Allah akujaaalie subira shekhe ramadhan maana kazi ya Allah ni ngumu ila kwa Allah ndio malipo makubwa Allah akufanyie wepesi usikate tamaaa 🤲
@naimaabuualii578 Жыл бұрын
Amin
@mwanamtotosaid702 Жыл бұрын
Allahumma Aamin 🤲
@stevek8318 Жыл бұрын
Wamkataao Yesu wa haki wote hawana tofauti na huyu yesu muongo, hukumu iko juu yao. Soma Yohane 3:16Maana Mungu aliupenda ulimwengu hivi hata akamtoa Mwana wake wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uhai wa milele. 17Maana Mungu hakumtuma Mwanae ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali aukomboe.
@andallaathman3856 Жыл бұрын
@@stevek8318 hKuna muislam anae mkataa yesu waislam pekeake ndio wanamfuata yesu Kwa kila kitu but wakiristo wote wana mpinga yesu wao ni kumuunga Kwa mdomo tuu bc but vitendo na maneno ya yesu hwafuati
@JamilaJumanne-u7q3 ай бұрын
@@andallaathman3856alhamdulilah❤❤ umemaliza kona
@millicentwawira1779 Жыл бұрын
Aki uyu Ramathni ni mwalimu kweli Moto wakuote Bali be blessed ust
@ryankoech Жыл бұрын
Ako sawa
@erickjmgema3923 Жыл бұрын
Uyo yesu ata kuoga tu ana oneka ni shida..kweli hii dunia..mungu naomba uwape adhabu wavuta bangi kama hawa..
@caspermichael372Ай бұрын
daaah nimecheka🤣🤣🤣🤣
@42HUSNA38 Жыл бұрын
Allah awafanyie wepesi na awakinge na kila la shari AMEEN THUMA AMEEN🤲 tuna wapenda mashekhe wetu kwa ajaili ya Allah.
@akhrazjunior4089 Жыл бұрын
Shekhe Ramadhan Allah akupe ngunvu na wepesi na maisha marefu ili uweze kutangaza Allah tabaraka wataalla. Na mtume wetu Muhammad s. a. w, na dini yetu ya kiislam
@antibiotic7238 Жыл бұрын
Aende awahubirie alshabab waache ushetani Somalia kama anajiamini 🤣🤣🤣
Allah ataleta kheri zake na kwa uwezo wake Noor ya Allah ataiona yy pamoja na wafuasi wake na watakuwa waislam Amin In Shaa Allah,Yesu wa Tongeren hawezi mpita Omar,naye alisilimu kwa uwezo wa Allah,Allah atawaongoza Amin
@noornoor-pr6nf Жыл бұрын
Alhamdulillah nakushkuru Allah kunijalia neema ya uislam wabariki wazazi wangu na utufishe tukiwa muslim amiiin.
@shabanabdi5489 Жыл бұрын
Ameen
@mwatumsaidi5104 Жыл бұрын
Innalillah wainna illahi rajuon SubhanaAllah mtihani mkubwa huu Allah atakupa ujira wako kwa kazi hii nzuri ya daawa
@newvip4663 Жыл бұрын
I love the way this shekhe anajaribu kumfunza huyu mzee,,after everything that happened in Brazil for the sake of peace please fear God
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
Alaykum Salaam Warhmatullah Wabarakatuh asante Shekh Ramadhan nilikuwa nasubiri kwa hamu baada ya kusikia habari yake ya kukimbilia police kwa kuhofia kusulubiwa Mwenyeez Mungu akulipe kheri hapa dunian na kesho shekh wetu kipenzi Aman ya Mwenyeez Mungu iwe juu yako
@roberttanui1889 Жыл бұрын
A mad man hii ni upuzi
@aishaally6602 Жыл бұрын
SUBHANAH ALLAH awahid hawa watu mm napenda ujarisi na subra yako ALLAH akuzidishie
Alhamdulillah uislam raha saaaana 🤲 yaallah tujalie Mimi nawewe mwisho mwema 🤲😭 Dunia ime kuwa na watu wa ajabu
@mariaeddie198 Жыл бұрын
😂🤣😂🤣❤️
@jamesnganga1418 Жыл бұрын
Hehehehehe waaaaaaaaaaa
@SalmanMughal-lq5lt7 ай бұрын
AaminaYahnMieSijawahiFikiriaHayaninayoyaona
@samxx411 Жыл бұрын
Wallahi Sheikh Ramadhan kazi mnazofanya ni ngumu sana tena sana ambayo mitume wote wa Mungu hivyo ndivyo walivyokuwa wakifanya (kazi yao) na takriban wote wamefeli kwa kukataliwa na kudharauliwa na hata kutaka kuuliwa kama yesu akaokolewa na Mungu ila usichoke kwani Mtume Muhammad pekee hakufeli katika hili hadi amefariki bado kazi yake tunaiendeleza waislamu hadi mwisho wa dunia
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Walahy hii kazi ni ngumu saana maana mnakutana na watu wenye akili na fikra tofauti.Maana hata Ramadhani hatulii alipokaa na kumkazia yesu macho haamini anachokiongea.Subhana Allah umetakasika RABB wetu MOLLA wa arshi zote.
@HalimaNadio-uj7tj2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie elimu uzidi kuwalingania watu katika dini,🤲🤲
@ggv866 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe kila la kheri Ustadhi Ramadan .
@ummabubakar5319 Жыл бұрын
Salute ustadhna'a ALLAH akuzidishie kila la khery
@RehemaBaya-i4q4 ай бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatu, ndugu zangu waislam. Mm nasema Alhamdulillah kwa kuchagua dini hii njema na yenye hakki kwa Allah. Alhamdulillah
@hassadube225 Жыл бұрын
Inalilah wainaileyh rajuhuni hawa watu krist kila siku maajabu tu walai na hii imani ya kristo ni ya ajabu walai nashukuru ALLAH kwa nihima ya upeke mbae ni islamu alhamdulilah alhamdulilah alhamdulilah
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Hiyo siyo imani ya kikristo wewe!
@christinamsigwa5942 Жыл бұрын
Hawa ni waganga wa kienyeji, hakuna ukristo hapo au waislamu wanaoigiza
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Pole sanaa Shekhe Ramadhani naona umesimama umeshika tama unawashangaa. Wallah mimi mwisho wa siku machozi yamenitoka nawahurumia hawa wafuasi wake.
@@zuwenamohd4372 umeona eee 😂? Msiba huu kwa hawa ndugu zetu ktk Adamu .
@zuwenamohd4372 Жыл бұрын
@@nakundwamkubwe7823 mm ningekua karibu ningempiga jiwe yule anoruka sana mana naona ndo anotia hasira🤣🤣
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
@@zuwenamohd4372 😂😂😂
@DoctorKajase6 ай бұрын
@@zuwenamohd4372 huyu ni pumbavu au mwendawazzimu shenzi sanna mpelakeni kwa Aatiwoli. Simple , simple;
@najatsalum2122 Жыл бұрын
Dini ya Haki mbele ya mwenyezi Mungu ni uisilam,karibuni katika uisilam.
@jeanmuzaliwa9023 Жыл бұрын
leta andiko dini ya kweli mbele za mwenyezi Mungu ni islamu sio utupe qu'ran 3:19!ahina msingi wote ule!
@petermathenge-eu1tr Жыл бұрын
ramathan uliza uyoyesu kama kweri niyule alie sulubiwa yesu hakuna kitu hajui mulize mamlaka yakuoa alitoa wapi kama alikuja kuchukua kanisa ok watoto wake watahukumiwa peter
@khamisjumaa-vm2tk Жыл бұрын
@@jeanmuzaliwa9023 ww TOA andiko kuwa Christian no dini ama TOA andiko yesu asema yy ni mungu
@jeanmuzaliwa9023 Жыл бұрын
@@khamisjumaa-vm2tk mm najuwa dini ya Muhammad ahiwezi jitetea kwa maandiko bali inatetewa na midomo ya watu ndio maana Muhammad mwenyewe kasema dini imekujaga kushindana na dini zote duniani ndio maana waislamu wote wabishi!
@ambarnelly6071 Жыл бұрын
@@jeanmuzaliwa9023asalama alaikum ndugu ,mm naomba tu wewe umekuwa mkristo kwa amri ya nani ,kwa ushahidi wa mandiko
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Maajabu ya ukristo yaani yesu mbaluya naanaongea kiswahili, pick up mei God bless you sherk Rama alha akuhifadhi kwa mema yako inshallah
@leilaathumani3611 Жыл бұрын
😂😂😂
@dominiquemwenda-mz7hg Жыл бұрын
This luhya man kwani mnakulako ugali mnakuwaje ndio
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Nchi ya Kenya inacheza na kumdhihaki Bwana Yesu Kristo (Mungu aliye hai) kwa kuruhusu wendawazimu kama hawa kumdhihaki Mungu. Kenya subirini. Dawa yenu kutoka Mbinguni inachemka. Mungu kamwe hadhihakiwi, kila mtu huvuna anachokipanda. Waulizeni Wabrazili yaliyowakuta.
@mgeninaima9866 Жыл бұрын
Masha Allh tabaraka Allh kwakazi nzuri
@mutuacollins1551 Жыл бұрын
Ramadhan, asante kwa kazi yako...tunaomba sasa uende kwa pastor Awour na Ezekiel
@stephenmusyoka3938 Жыл бұрын
Toa Ezekiel Kwa list Yako please
@yusufshariff1477 Жыл бұрын
@Stephen Musyoka hehe huyo hana nyota ya Akili
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Hao walikataa kukutana nami
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Uislam ni dini nzuri sana. Ingekuwa dini inaokoa basi ningechagua kuwa Muislam. HAINA shaka. Wokovu hauhusiani na dini. Wokovu ni kumwamini Yesu. Masihi alisulubiwa ndugu yangu Muislam. Wewe huamini, basi endelea na safari Yako ndefu.
@mariammganga5061 Жыл бұрын
Mimi ni mkristo,, ila nimependa sana huyu shekhe Ramadhani ni mstaarabu Sana,, pia anaonyesha kuwa anaufahamu mzuri wa Imani YAKE japo hapo alipokwenda hawezi kupata majibu sahihi huyo anaye jiita YESU,,, hajitambui kabisaaa huyo amejiita mwenyewe wala hatambuliki na umma wa kikristo,,,,
@natashamusoo211 Жыл бұрын
Jameni mungu atuhurumie mimi ni mcrito na nina hamini mungu ni moja ambae hakuzaliwa wala kuzaa. Yesu ilitumwa tu kukomboa walio potea kwaivyo yesu ni mtume tu
@JamilaJumanne-u7q3 ай бұрын
Tyr umewakana wakristu wenye mungu watatu ww nimuslim bado shahada tu
@nasramusaro Жыл бұрын
Ndugu Ramadhani ALLAH akupe subra maana kuongea na mental ni kazi ngumu namuomba Mwenyezi Mungu mwisho mwema Inshaallah
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
Hyu jamaa atakuwa Dakota wa vichaa ,maana sio vichaa waliyomzunguka
@asadahmedadan2959 Жыл бұрын
Manshaalah ustad wetu kuwa kazi mzuri alah akuli jana fardowsa
@doreenlukas Жыл бұрын
Pasta Doreen pole ameijua bibilia tu sio yesu yesu anakitambi mara mungu Mara yesu iyo kazi kweli
@maqottes5833 Жыл бұрын
Nashukuru sna mwenyzi mungu kwa kuzaliwa ndni ya uislamu hii dunia ama hii Kenya kuna kabila wenye hawatawai toka kwa ujinga MTU kujiita yeye ni mungu enywe njaa ni mbya Ruto punguza bei ya unga
@magnussanga Жыл бұрын
Shekhee naona umepiga salute Mungu atufanyie wepesi.kwa kweli Nimefatilia wote lakini naona imefika maala kila Mmoja imekuwa mshangao kwa mwezake.
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Ramadhai naona leo wako malaika wapya, wameongezeka. Alhamdulillahi kwa wiislamu yaa الله.
@husna34562 Жыл бұрын
Malaika wanaenda choo😢
@ramadhanitumbo1802 Жыл бұрын
Yesu aliondoka mweupe karudi mweusi nishida jaman
@bonifacegasper9508 Жыл бұрын
Wakati mwingine napenda misimamo yauslam nasheria zake,sisi akristo tunamdhiaki Sana yesu mungu aponye roho zetu.
@hafsamnenga1942 Жыл бұрын
sanaaaaaa km zumarid uyo sasa inakuwaje jamani
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Iko siku uyu baba atawachoma moto kama Kabwetere wa Uganda alivyo wachoma moto waumini wake akachukua pesa zao na mali akakimbia. Allah tunusuru na hii shirki ya hawa watu na usituadhibu sote kwasababu yao. ALLAH awaongoze watoke ktk hii kufru na shirki Amiin
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Unabidii sana sheh ramazan mungu atakulipa heri inshallah na atakuepusha nakila shari inshallah
@اللهلاالهالاهوالحيالقيوم-س7جАй бұрын
🎉hao walioketi na huyo,wote nimachizi maan wanakubli kua wlimuon eti akishuka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hapo wote siowazima ,isipokua wew ustadh
@OmanOman-vb4uj Жыл бұрын
Usichokeeh shekhe wetu Allah akusimamie ktk hili maan inasikitisha kwakwel
@nasra8436 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie sana sheikh Ramadan Kazi nzuri ,natoka kitale kiminini,naomba ufike Huko inshaAllah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Allahuma ameen 🤲
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Shekh Ramadhan kasema ehee. Nimecheka kweli 😂😂😂😂😂😂. Chezea yesu wa tongareni we
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Hatariii 😮
@abdulpires90914 ай бұрын
Allah akulinde ustadh Ramazan
@rahmamrishoyussuf2652 Жыл бұрын
Jamani sheikh Ramadhan Mungu akupe subra hii kazi binafc naona siiwezi naona ntatia mtu makofi 😂😂😂😂 mtu unamuelewesha haelewi anapinga woii Inataka subra na hekima ya halii ya juu Najivunia kua muislamu Alhamdulillah ❤ Mungu awaongoze 😢
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
😂😂😂 Kaz haitak hasira
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@nicholas8958 Жыл бұрын
Kazi ya mungu haitaki hasira kweli.
@husna34562 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂wasema polepole
@qalbi8198 Жыл бұрын
😀😀😀
@abigaelmwende4452 Жыл бұрын
Wacheni ufala. Tukona Mungu mmoja pekee only Jesus
@sospetermaina-nw2jk Жыл бұрын
Angejiita to pastor
@isseamin2017 Жыл бұрын
M.A may Allah Guide this christian to the straight path Insha Allah
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Hawa siyo wakristo wewe!
@revidywamaggy3594 Жыл бұрын
Wacha ujinga ww watu wanaanza zao unawaita wakristo
@elizabethkabui4076 Жыл бұрын
Wee chunga kuchanganya ukristu na Hawa watu wamechanganyikiwa
@januarismuema5390 Жыл бұрын
Please,ibeg you, guys, stop,that because, repent,lord will punish you ,
@ARNOLDKARISA-fs3ht11 ай бұрын
amiin
@dannyosolo2752 Жыл бұрын
HUYU SIYE YESU HATA KIDOGO!!!Anatuaaibisha sis Wakristo
@JabamanJeve20155 ай бұрын
Ndio maana ukiristo si Diini
@oscahatswenje8443Ай бұрын
Jesus never existed to start with .
@issasembe Жыл бұрын
Allah akubark Ndugu yangu Kwa kuwa elimisha ungemuambia asitumie kitabu kama yeye ni yesu
@mariammganga5061 Жыл бұрын
Safiiiiiiii
@kutailass6671 Жыл бұрын
Hawezi huyo hata maandiko kichwan hayapo😂 hapo akimtega swali bila Bibilia aulize lipo sura gani hawez jibu maana hawezi jua linako patikana
@Kitwitwi Жыл бұрын
Masikitiko makubwa ! Ibilisi hapa kafanya kazi ya hali ya juu!
@eddahmzee5237 Жыл бұрын
Kweli kabisa mbona hajiti yesu Christ anajita yesu watongeren
@nabeajulius1682 Жыл бұрын
Am fearing this, mungu si wakucheza naye
@ashahossein1743 Жыл бұрын
Waalekum salam warahmatullah wabarakatu, mwenyezi atujaalie mwisho mwema
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Yaani huyu anajua kuwatenganisha kati ya wanaume na wanawake wasikae pamoja na anawafundisha wavae nguo za stara ila sasa ndo yupo kwenye upotovu Shekh mlinganie labda ataongoka In shaa Allah
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
Kaka Ramadhan mungu akuzidishie hekima maana hawa watu ni mental kesi kabisa mungu akupe umri mrefu wenye kheri na ww uxid kufanya daawa
@aishaabdi2059 Жыл бұрын
Mtihani huu wallahi Allah atuhifad inshaallah
@mwanamtotosaid702 Жыл бұрын
Allahumma Aamin 🤲
@germamassawe6968 Жыл бұрын
Kwenda! Yesu wetu hakuli sukuma!
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Mtian wallah duh shekh Ramadhan Allah azidi kukupa nguvu duh
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Subhanallah huyu anajita yesu amepotea na wafuasi wake wote Allah awaongoze
@lucyoyiela6718 Жыл бұрын
Amina Amina endelea kuwafunza Ili wajuwe Mungu ni mmoja na sio binadamu
@asharamdan363 Жыл бұрын
allaah akuogoze kila la her ❤❤
@sirpleasureb Жыл бұрын
collassian 2:18 Do not let anyone who delights in false humility and the worship of angels disqualify you. Such a person also goes into great detail about what they have seen; they are puffed up with idle notions by their unspiritual mind.
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Shekhe Ramadhaini nilikusubiri sana kwa hii stori. Nikajua walifanikiwa kumsulubu yesu wa uongo, chezeakufa wee, yani sijui watu wanachotwaje hakili kiasi hiki.
@robertcosmas7575 Жыл бұрын
Tunamsibiri ijumaa kuu
@nurtoaliosman8303Сағат бұрын
Bangi mbaya 😂😂😂😂😂 wlhi hi kazi ni ngumu sana😂😂😂😂
@ashalaurent2465 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atuhifadhi pamoja tufanikiwe jamani kuujua ukweli nawe shekh wetu Mungu akuhifadhi na umri wenyefaida
@samsiakassakangeta1780 Жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh! Tumewasikilizeni mnavyojibizana na Yesu mzushi wa Kenya!
@gracembete1867 Жыл бұрын
Aky huyu Yesu WA tongaren,ati anasema watu wawe na wogovu wa kweli watoke kwenye kisa😂😂
@judithlejalearnmore2236 Жыл бұрын
Hata kama babake alitabiri Sio.kuwa wewe nipesa Ni kuwa utajua Mungu Ila wewe unajiita Yesu,,Wewe wafaa kichapo
@maryammdoe5801 Жыл бұрын
Wallah mtihani huyu baba mie ninanvyomuona kama hayupo sawa kwamkichwa yake 😢Allah awaongoze.
@barakamkalimbe-ep4br Жыл бұрын
Yesu anamiliki simu duuuuh na yesu anakitambii duuuuh hata so smart hizoni njaaaa
@Adm9464 Жыл бұрын
This guy is just chilling and playing with the minds of this poor people in his village. He doesn’t want to work rather do all this to just survive the pandemic of hunger in our society.
@FIREBWIZE Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 #huyumungu
@mildrednafula3082 Жыл бұрын
In Kenya anything is possible Bora akili yako
@Adm9464 Жыл бұрын
@@mildrednafula3082 I got you . Make sense
@joycekoech8277 Жыл бұрын
So true, taking advantage of the vulnerable
@samawadeahmed4380 Жыл бұрын
He is guiding them if you mean Ramadan is doing So. They are misled by satani
@SarahNyambura-ns3xp Жыл бұрын
Mungu tusaidie kulinda imani yetu maana wanabii wa uongo watapoteza wengi aki mungu tuhurumie
@sirnaismail8926 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi na macho ya watu
@asharamdan363 Жыл бұрын
🤲🤲allaah akupe guvu akuogoze
@maryamjuma1980 Жыл бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu ❤
@brianmudave Жыл бұрын
Uyu jamaa asulubishwe 😂😂😂😂 good challenge my senior Muslim
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Wallah nimecheka kwa sauti 😂😂eti Nazareti ni hapa Tongareni 😂😂.
Mpka ustadh Ramadhan ashangaa wanavo ruka ruka😂😂😂..awe nyie..am proud to be a Muslim.. ALIHAMDULLIHAH 🤲 with big capital letters 😮
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Achana n'a huyo muongo eti Yesu anachezea maisha yake n'a Hao wanaomfuata ni mjinga sana huyo Ana mle n'a ametelekeza watoto wake😊
@NawalOmar-q4w Жыл бұрын
Allah ni Mkuu na ansbra watu waciojielewa Hadi wanajiita manabii na Mungu na hali Allah anawapuruzia Tu uko cku mda mchache watarudi kwake waone Yale walokuwa wakijizuliya Enyi watu tumiogopeni Allah shetani acikuhadaeni
@tinadesmond3877 Жыл бұрын
Jina ni mwalimu Yesu so this month is for you but kufufuka ni hiari yako yesu wa tongareni
@shabanirukundo4272 Жыл бұрын
Ustadh wetu etianajiita yesu
@muznazahra45510 ай бұрын
Dunia inaelekea pabaya Subhanallah 😢
@mariethabuhulula7637 Жыл бұрын
Yesu bado hajarud kwa macho ya nyama.
@rachelmliwa9830 Жыл бұрын
Asitubebe ufala Yesu anamke 😔😔😔 tumepigwa
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
Tena mkwe yesu anamimba hapo kubwa tu
@harunisack8489 Жыл бұрын
Kama yeye n yesu si asome maandiko bila kufuatilia kitabu juu n yy ameteremsha jameni🤗
@shamimnorah9156 Жыл бұрын
Masha Allah ramadhan Allah Aku bless sana
@emorutnicholas1893 Жыл бұрын
Yesu Kristo Wa Nazareti ndiye Mwana Wa Mungu Wa Kipekee Wa Kuabudiwa, sio wa "yesu wa tongaren!!""
@JamilaJumanne-u7q3 ай бұрын
Yesu sio wakuabu mwabudu MUNGU!! tu yesu muamin maneno yake
@joseealexislenguumeni18 Жыл бұрын
watu walivuta bangi hadi wakaamua kujiita miungu...alafu viumbe zingine bado zinafuata tu....Ee mwenyezi Mungu,muumba mbingu na dunia,uturehemu
@samxx411 Жыл бұрын
Nyie ndio mnaokoroga watu hadi sisi waislamu tupambane lakini nyinyi mnaruhusu yote
@stoispapi2380 Жыл бұрын
@@samxx411 Lol this guy Loves Islam.. don't be too judgmental
@samxx411 Жыл бұрын
@@stoispapi2380 ok bro
@mzaliwaseif7079 Жыл бұрын
Mungu aturehem?
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Alikunywa chang'aa litres tano akapoteza fahamu the following day akaanza kujiita yesu according to her 1st born dota. 😂
@eagleoneelectronics8318 Жыл бұрын
waluya mtafanya tukose uzima wa milele Mungu atwabie tujisort na yesu wetu
@jetherkipeiwakapisi3987 Жыл бұрын
Mungu anadeel n mtu personal c rende
@wilkistermbaria9427 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@wilkistermbaria9427 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@RamadhanMwawila Жыл бұрын
Asalaam Alaykum' Shekh Ramadhan. ALLAH Akulipe Kila lakheri ktk jitihada zako zakuutangaza Uislaam na MUNGU 1tu.
@moseskathenyaofficial6111 Жыл бұрын
Huyu yesu anabore,asulubishwe
@laurynolenjo1598 Жыл бұрын
😂😂😂
@ednaogeto6464 Жыл бұрын
Kabisaaaa
@strongwomanwithnoregret82344 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@JescahShanti Жыл бұрын
😂😂huyo mzee anatafuta laana pamoja na uzao wake,bangi ndiyo mingi ndani yake 😂😂😂😂😅😅
@furahaclaudineofficial2318 Жыл бұрын
Eh Yesu ungerudi kutuchukuwa maana yote uliyoyasema nikweli tunayaona yametimiya nawewe mzee unatejiita Mungu Bwanayesu akusamehe
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
We ramadhan uwe msabato maan kuna madin ndan yako!!