No video

Suma Lee & Sulesh - Yaa Rasuul Allah (Official Video)

  Рет қаралды 29,563

Suma Lee

Suma Lee

Күн бұрын

Muendelezo wa Qaswida yetu pendwa #YaaRasuulAllah

Пікірлер: 90
@thanibright3768
@thanibright3768 4 жыл бұрын
Ismael, nakumbuka mara ya kwanza nimeonana ma wewe duka i kwangu mwaka 2001 ulikuja kujaribisha CD yako yenye nyimbo ya “SEMENI HOO”. Mashallah leo umekua mpambanaji wa KUSOGEZA UISLAM MBELE. ALLAH AKUBARIK ALLY NA NASIB Inshallah nao wafate nyayo zako kabla MAUT
@abdallahantony9524
@abdallahantony9524 3 жыл бұрын
Hadi nimelia kaka
@eltajir
@eltajir 4 жыл бұрын
Bora huku, kule mzee yusuph ataka arudi mjini... Allah akudumishe huku na ufie hali yakua allah amekuridhia in shaa allah... In shaa allah next time toa hizo vinanda na vigoma
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 жыл бұрын
maa shaa llah bro umejitahidi ingawa hivyo vinanda havitakiwi ki sharia ila allah atuongoze tuache aliyotukatza me nakupenda kwa ajili ya allah bro na pia nakuhusia bro usiwe kama brother mzee yuusufu aliacha lakini sasa hivi nasikia matangazo ya kwamba amerudi kwenye mziki Aamin jazaaka rrahmaani khayraaaaa allah atukutanishe peponi Aamin
@rajabkhalfan212
@rajabkhalfan212 4 жыл бұрын
Ondoa na music brother, Vocals Only inatosha Sana. Tunasubiria Hilo bro...Tutafurah wengi Sana #SumaLee
@hafidhali815
@hafidhali815 4 жыл бұрын
Wallah nimeshindwa kujizuiya machozi tu yamenitapakaa hasa nikiwaona hawa mashekh waliofanya kaz ya Daawat 😭😭😭😭😭😭
@salmajuma5596
@salmajuma5596 4 жыл бұрын
Nataman ulimwengu mzima uguswe juu ya kuwajua mawalii hawa. Alhamdullillahi kwa neema Allah aliyotupa. Ya kuwa nao baadhi yao Karibu. Shukran Allah. Sisi hatuna hofu tunatawasal tu. Alhamdullillahi
@kidaumtumbwi1128
@kidaumtumbwi1128 4 жыл бұрын
Kabisa wengine walipewa Thamani ya hawa Masheikh hawakuijali wakawafukuza katika Nchi zao. Mmoja wapo nakumbuka historia yake ni sheikh Abdallah Saleh Al farsy alifukuzwa Zanzibar akaelekea kenya Rais kenyata akampokea na kujuwa thamani ya huyu sheikh akampa kuwa kaadh wa kenya .
@fatmakhamis6492
@fatmakhamis6492 3 жыл бұрын
wallah sheikh wangu nakuombea dua sana Allah akuzidishie toka ulilotoka Allah akuzidishie na akulipe kila kheri waislam tuachane na hii dunia sisi tunapita na kwake Allah tutarudi
@shabanzuberi6446
@shabanzuberi6446 4 жыл бұрын
Allah akudumishe ktk njia ilio bora zaidi ya hii ucjekubwa na mtihani kama wa kaka ako
@shabanimnkaitv
@shabanimnkaitv 4 жыл бұрын
Ma sha Allah, Nakushauri uimbe Nasheed(vocal only) ili kuondoa mashaka ya kufanana na mziki ndugu yangu mpendwa#Sumalee.
@rajabkhalfan212
@rajabkhalfan212 4 жыл бұрын
Yes, yaani ataondoa shubha yote
@seifuhassan6889
@seifuhassan6889 4 жыл бұрын
Masha Allaah... Allaahumma Swallii alaa habib Muhammad.... Wallah hao masheikh wameugusa moyo wangu.... Sheikh ismail karibu zanzibar utabarruk nao hao mabwana R.A
@razzackkingoffashion5269
@razzackkingoffashion5269 4 жыл бұрын
Mashaallah sumalee Allah akushikishe zaid kamba yake!!
@nasymchuzi8667
@nasymchuzi8667 4 жыл бұрын
Naipenda San hii mmezid kuipendezesha
@abbaschaula3260
@abbaschaula3260 4 жыл бұрын
Sumalee mkubwa sana
@ismailmadenge3818
@ismailmadenge3818 4 жыл бұрын
Dohhhh maashaallah maashaallah mmeuwa sana hii dohhhh vittaaaa
@mrbayuali6916
@mrbayuali6916 4 жыл бұрын
Ile ya mwanzo bado iko vzri Sana kwa mtazamo wangu
@maluzukuchemka8473
@maluzukuchemka8473 4 жыл бұрын
Kaka ahalimdulah kazi dhuli towa kaswida nyingine tunakubali unaviweza tatizo unatowa ambazo tayali time sikia achia kaka
@yahayablam5248
@yahayablam5248 4 жыл бұрын
Mashaallah suma Lee mungu akuongozee ucje ukarudiiiii nyuma
@salmajuma5596
@salmajuma5596 4 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah. Ohhh my Allah kwa Baraka za wapenzi wako mawalii wako na kwa Baraka za Mtume Muhhamad (S.A.W). Tupe neema kubwakubwa na neema ndogondogo. Na utujaalie mapenzi ya dhati juu ya silesile hii hadi kwa Rasulillahi.. Muridu la tahafu Allahu Rabbi "Alhamdullillahi."
@saumsalim9966
@saumsalim9966 4 жыл бұрын
Amin
@themaxis2327
@themaxis2327 4 жыл бұрын
Qaswida nzuri sana hii,, version ya kwanza na hii ya pili zote nzuri,, siwezi sema hii ni remix huu ni wimbo mtukufu,, kazi nzuri....
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
Masha Allah kijana waloimba na sumalee ni motooo nimekubali hakika
@tuntuhassan1932
@tuntuhassan1932 4 жыл бұрын
Ishallah mungu azid kukuongoza
@abdulparesh4899
@abdulparesh4899 4 жыл бұрын
Kaka nakukubali Sana
@mukaplatnumz2313
@mukaplatnumz2313 4 жыл бұрын
Nimependa sana ngoma hii🙏🙏 👇👇
@jaafarjacka3320
@jaafarjacka3320 4 жыл бұрын
Allahumma swalli wasallim wazid wabaarik aleee
@muttae2
@muttae2 Жыл бұрын
Hii ngoma ni ibada tosha. Thanks Suma Lee.
@abbaschaula3260
@abbaschaula3260 4 жыл бұрын
Mashaallah tushaiva Kwa, kheri na baraka M/mungu ukuzidishie Zaid ndg yng Suleiman bin Massanza
@fonser
@fonser 4 жыл бұрын
Swadaktaaaaa
@queenshibaskitchen9130
@queenshibaskitchen9130 2 жыл бұрын
Ma shaa Allah MASHALLAH
@mwatangahamic2502
@mwatangahamic2502 4 жыл бұрын
Masha Allah kaz nzur
@athumanimsangi7092
@athumanimsangi7092 4 жыл бұрын
Maashallah,zote nzuri,ila hii nzuri sana.
@mwajumamussa9510
@mwajumamussa9510 4 жыл бұрын
Mashallah. . . Nzuriii sana. . ♥️
@temmynamjoonrm1038
@temmynamjoonrm1038 3 жыл бұрын
Amin Allah atufanyie wepesi watu wake 🤲🤲.
@nasramustafa2758
@nasramustafa2758 4 жыл бұрын
Allah Huakbar 😭😭😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@queenshibaskitchen9130
@queenshibaskitchen9130 2 жыл бұрын
Qasida ya ramadhan tunaomba please.
@khalidhamis5811
@khalidhamis5811 4 жыл бұрын
Allah akujaaliye mafanikio zaid 💪🏾 @suma lee
@farijalimussa2592
@farijalimussa2592 4 жыл бұрын
Mashallah qaswida nzuri ubarikiwe sana
@abubakaryusuph6555
@abubakaryusuph6555 4 жыл бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليما كثيرا الي يومنا هذا والي يوم الدين
@822532
@822532 4 жыл бұрын
Masha Allah! Allah yahfadhuk wayatuula 'umrak.
@abdulazizkibwaju8316
@abdulazizkibwaju8316 4 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Kibingwa
@dracula4742
@dracula4742 Жыл бұрын
Mashallah kipepe kapendaza sana
@ommarelbungara4347
@ommarelbungara4347 4 жыл бұрын
Mashallah muft ismail.
@tabyhamisi7797
@tabyhamisi7797 3 жыл бұрын
Mashaaaallah Nimewapenda bure
@herson9343
@herson9343 4 жыл бұрын
Mnajua Wallahi mnajua
@mudykajembe6677
@mudykajembe6677 4 жыл бұрын
mwambaaaa
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 жыл бұрын
Ngoma kal
@mwandegeplaza6504
@mwandegeplaza6504 4 жыл бұрын
Kazi zuri sana
@stevvais653
@stevvais653 4 жыл бұрын
Masha Allah al Habib viiitaa
@dr.mwinyikhatibu1785
@dr.mwinyikhatibu1785 4 жыл бұрын
Masha Allah
@mohammedyahya972
@mohammedyahya972 4 жыл бұрын
Mwamba level ya international naipenda sana habib mashallah tabaraka llah
@raheemprince9643
@raheemprince9643 4 жыл бұрын
Mashaa Allah ndugu zangu hakika Allah Mkubwa na sifa zimuendee mtume wetu kipenzi chetu Mtukufu wa darja mtume wetu Muhammad (SAW)
@hafidhali815
@hafidhali815 4 жыл бұрын
Subhannallah
@fehomoliez8652
@fehomoliez8652 4 жыл бұрын
ila brother usije ukafanya interview na wadada katika media , wasije wakakurudisha nyuma kama mzee Yusuf alivyorudi tena ushetanini
@husseinkhalfan9467
@husseinkhalfan9467 3 жыл бұрын
ماشا الله
@jumamfaume9738
@jumamfaume9738 4 жыл бұрын
Swalallahu alayh wasalam
@mohamedahmed-yj5rq
@mohamedahmed-yj5rq 3 жыл бұрын
mashallah mashallah mashallah
@husnaabdallah9767
@husnaabdallah9767 4 жыл бұрын
Doooohh Mashaallah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@omarissa5737
@omarissa5737 4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@makabencher3772
@makabencher3772 3 жыл бұрын
Ma Sha Allah Beautiful collaboration❤May Allah bless you all. Ameen
@selemanwaziri7653
@selemanwaziri7653 3 жыл бұрын
Suma toa album ya qaswida
@salimliemba3458
@salimliemba3458 4 жыл бұрын
Mash Allah
@ChoziSeleman-zl6jg
@ChoziSeleman-zl6jg 7 ай бұрын
Maashallh
@Allyahmed40
@Allyahmed40 2 жыл бұрын
Twayeeeeb
@zulfaabdul4294
@zulfaabdul4294 Жыл бұрын
Mashaallah ❤
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 4 жыл бұрын
Mashaallah
@husnarajabu4343
@husnarajabu4343 3 жыл бұрын
Mashallah
@haimahaima9473
@haimahaima9473 4 жыл бұрын
Mashalah
@shukurually8769
@shukurually8769 3 жыл бұрын
Allah awabariki
@abubakarmfaume8718
@abubakarmfaume8718 4 жыл бұрын
Mashaallah 🙏🙏🙏
@munirahmasoud9889
@munirahmasoud9889 4 жыл бұрын
maashallah
@uwaysurajab7111
@uwaysurajab7111 4 жыл бұрын
Masha allah
@asajatv8234
@asajatv8234 4 жыл бұрын
Bless allah
@mtashacrewtv2922
@mtashacrewtv2922 4 жыл бұрын
Kaka nakukubal san
@msihamohamed7000
@msihamohamed7000 3 жыл бұрын
Mashalla
@honeymzigo7555
@honeymzigo7555 4 жыл бұрын
Maashallah
@zainabsuleiman5350
@zainabsuleiman5350 4 жыл бұрын
❤️🥂
@Msambweni
@Msambweni 4 жыл бұрын
🇹🇿💚🇹🇿💚🇹🇿💚🇹🇿
@fatmakhalid584
@fatmakhalid584 4 жыл бұрын
Maa sha Allah
@fehomoliez8652
@fehomoliez8652 4 жыл бұрын
Brother Ile video yako ya nashid hii uliyoitoa ilikua nzuri sana, ila naomba ondosha vinanda uzidi kunivutia zaidi na ndio maelekezo ya dini, unaweza kutumia sauti za kughanni kama midundo
@hafidhali815
@hafidhali815 4 жыл бұрын
Wallah nimeshindwa kujizuiya machozi tu yamenitapakaa hasa nikiwaona hawa mashekh waliofanya kaz ya Daawat 😭😭😭😭😭😭
@hamaddede5647
@hamaddede5647 4 жыл бұрын
Mashallah
@raniahmamu2586
@raniahmamu2586 2 жыл бұрын
Masha Allah
@elshaarawymuhabesh316
@elshaarawymuhabesh316 4 жыл бұрын
Mashaallah
@swittychenguli5523
@swittychenguli5523 4 жыл бұрын
Maashallah
@amanindete6279
@amanindete6279 2 жыл бұрын
Masha Allah
@hemediikoki4412
@hemediikoki4412 4 жыл бұрын
Mashaallah
@fashion_killer_up6959
@fashion_killer_up6959 4 жыл бұрын
Mashaallah
Suma Lee - SWALAATU MUDHWARIA (Qaswida)
8:45
Suma Lee
Рет қаралды 8 М.
Suma Lee - Yaa Rasuul Allah (Official Video)
3:33
Suma Lee
Рет қаралды 342 М.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 8 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
Ust.Suleyman Munta - Qaswida Mianga
7:37
Suleyman Munta
Рет қаралды 153 М.
MKE WANGU || DADIRI ISSA MUYA || OFFICIAL VIDEO NASHEED
2:30
Dadiri Issa Muya (عبدالقادر عيسی) Abdulqadir Issa
Рет қаралды 16 М.
AVSEQ06
8:19
jelani ali
Рет қаралды 624 М.
Hurairah -  Don't Cry (Official Video)
3:57
Hurairah
Рет қаралды 191 М.
Suma Lee_Naam Sara
4:42
Suma Lee
Рет қаралды 10 М.