Supu ya nyama | Mapishi rahisi ya supu ya nyama tamu na fasta fasta | Supu .

  Рет қаралды 93,091

Rukia Laltia

Rukia Laltia

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
If you would like to watch this recipe in English language press the link ➡️ kzbin.info/www/bejne/emqyZYCserytrsU
@dorisdioniz2545
@dorisdioniz2545 4 жыл бұрын
Naomba utukuelekeze pia supu ya kuku wa kienyeji
@rashidibakari4231
@rashidibakari4231 3 жыл бұрын
Asante samahan nyam hujachmsha umewekanaviaz.vp.havijawalog.kwann
@marrynemec-bg6hk
@marrynemec-bg6hk Жыл бұрын
Enx mamy Kwa mafunzo mazuri nataka nipike Leo natumai ntaenjoy
@saidalbattashi4877
@saidalbattashi4877 3 жыл бұрын
Masha Allah shukran kwa recipe ya soup
@satwanthoogan6746
@satwanthoogan6746 3 жыл бұрын
Naipenda sauti yako, unaongea vizuri..👍😘 asantee kwa mapishi!
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awww asante sana ❤️
@HabibaHussein-g9j
@HabibaHussein-g9j 6 күн бұрын
Rukia asalam alykum...leo nimepika hii recipe wallllllahi ilikuwa tamu sana... love your kitchen rukia, wewe mambo baya then unajuwa kupika na kutuonyesha bila wivu.... shukran sana dada...nilikula na Chapati
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 5 күн бұрын
Waelekum salaam dear awwww jamaniii Asante sana kwa feedback yako 🥰🥰🥰Karibu sana
@HabibaHussein-g9j
@HabibaHussein-g9j 5 күн бұрын
@RukiaLaltia thx rukia i also tried piza was so so nice my dear... jazaka LLAHU khery,, but nilianza recipe yako na Kaimati 5 years ago na ilikuwa mzuri sana mpaka nikaaza kuuza kwa duka.. shukran sana
@ArchilesFurniture
@ArchilesFurniture 7 ай бұрын
Maelekezo mazuri
@rideofzanzibar122
@rideofzanzibar122 4 жыл бұрын
Najifunza vitu vingi kupitia video zako asante sana dada angu tupo pamoja am ahmed from zanzibar
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Asante sana nafurahia kuskia hivyo 🙏🏽
@rideofzanzibar122
@rideofzanzibar122 4 жыл бұрын
Usijal tupo pamoja na nitaendelea kujifunza kutoka kwako maana natamani kuwa mpishi mzuri huku kwetu zanzibar
@mulibby2409
@mulibby2409 4 жыл бұрын
Mashallah 😘😘😘
@jskitchendiaries1942
@jskitchendiaries1942 4 жыл бұрын
Yummy! do chicken too
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 2 жыл бұрын
salàm alekum mashallaah
@sarahneema3376
@sarahneema3376 4 жыл бұрын
Viazi haviwezi vurujika?
@LeahLyimo-dc6zh
@LeahLyimo-dc6zh Жыл бұрын
Wooow yummy yummy 😋🤤❤️
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 3 жыл бұрын
Salam alekum mashaallàh napenda sana supu
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 3 жыл бұрын
Salam Alekum mashaallah
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 4 жыл бұрын
Sàlam alekum mashallaah
@Craftiummah123
@Craftiummah123 4 жыл бұрын
love to watch your sharing, Stay connected.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Thank you
@maryamhaji1574
@maryamhaji1574 3 жыл бұрын
Mashallah supu inaonesha nzr
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Sanaa👌🏻
@hassanmkuta7784
@hassanmkuta7784 4 жыл бұрын
Nice recipe dear ,but viazi umevitia mapema sana hasa ivo ukiwa unapika red meat is meat viazi ukavitia baadae kdg , then try also kutia na hoho ya green you will enjoy moree dear .tnx
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Thank you , but nyama ya kondoo na mbuzi huiva haraka my dear , hoho itakuwa ni mchuzi saa hii itakuwa si supu tena ila asante sana ikiwa nyama yako itakuwa ngumu ndio viazi utaweka mwisho kabisa .
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 3 жыл бұрын
Salam alekum mashallaah
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Ws shukran
@joharichales2114
@joharichales2114 3 жыл бұрын
Supu nzuri
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
@@RukiaLaltia Maashaa Allah, May God bless you.
@thehonesty6765
@thehonesty6765 4 жыл бұрын
Shukraaaan sn 😘 ni 🔥na yummy 😋
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 4 жыл бұрын
Salàm alekum mashallaah supu yavutia tamu sana
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Asante sana ❤️ 😘
@angelmashauri6961
@angelmashauri6961 4 жыл бұрын
Shukran dear...😋😋
@dorisdioniz2545
@dorisdioniz2545 4 жыл бұрын
Please naomba utuelekeze pls supu ya kuku wa kienyeji
@haleemaramzan3875
@haleemaramzan3875 3 жыл бұрын
Mashaa Allha
@veronicajumanne2748
@veronicajumanne2748 2 жыл бұрын
Nimependa sana naomba unitumie namba yako niwe nakuuliza mapish
@mohamedmohd8373
@mohamedmohd8373 4 жыл бұрын
Mashaallah yummy soup❤. Am here waiting with my empty bowl😉😉😉wish cud get from here🙃🙃😂 mrs🇰🇪
@mariammwasha4742
@mariammwasha4742 4 жыл бұрын
Thanks
@Mimme338
@Mimme338 4 жыл бұрын
Asante Sana
@Tv-dl4qj
@Tv-dl4qj 3 жыл бұрын
Asante 😘
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 4 жыл бұрын
Hapo ni bofulo tuuuu😋😋😋
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Kabsa habibty 😋 👌
@mohabatkhanmalak1161
@mohabatkhanmalak1161 4 жыл бұрын
Bofulo ama ugali awo mikati za Faransa za itwa "French Sticks".
@christinekirari5423
@christinekirari5423 4 жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋👌👌👌👌👌👌 Rukia this early MTU hata hawezi tamani kunywa chai....naenda nyama mara hiyo hiyo supu ikam thru....🚴🚴🚴🚴 I'll be back nikisha jijenga
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 ndio manake waenda mwanzo kunywa supu
@christinekirari5423
@christinekirari5423 4 жыл бұрын
@@RukiaLaltia nimemtengenezea mume wangu hiyo supu Na ndimu Mashallah......
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 2 жыл бұрын
salàm alekum
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 4 жыл бұрын
😋😋😋🤤🤤👌👌
@fridaminja7191
@fridaminja7191 7 ай бұрын
Na je kama nyama ningum ukichanganya viungo n viazi mwanzo haitarojeka sana
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 7 ай бұрын
Viazi weka baadaye
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 3 жыл бұрын
Hi
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@babyayshermohamed554
@babyayshermohamed554 3 жыл бұрын
Kwa nini umechanya viazi na nyama wakati viazi vinaweza kurojeka Sana.
@zaitunisaidi4916
@zaitunisaidi4916 2 жыл бұрын
amekosea hapo tu
@emmalunojo5791
@emmalunojo5791 2 жыл бұрын
Kakosa kabisaaa
@elizabethlaurent2964
@elizabethlaurent2964 Жыл бұрын
7
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 4 жыл бұрын
Nyama ya kondoo tamu balaa mimi napikiaga pilau
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Hatari sanaaa
@anethwilliam1526
@anethwilliam1526 2 жыл бұрын
Asante sana
Jinsi ya kupika supu ya ngo’mbe (Beef soup )
9:23
🥕Nyau Kitchen🥕
Рет қаралды 613 М.
When Rosé has a fake Fun Bot music box 😁
00:23
BigSchool
Рет қаралды 5 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 152 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 49 МЛН
Kupika Supu Ya Kuku Nzuri Kuliko Zote YouTube ||Chicken Soup
5:14
Najla's Kitchen + 🤤
Рет қаралды 51 М.
JINSI YA KUPIKA NYAMA KAVU TAMU SANA
2:57
Hadija Sheban
Рет қаралды 857 М.
JINSI YA KUPIKA SUPU YA UTUMBO TAMU
4:47
Bint Awadhi Channel
Рет қаралды 461
Supu ya Nyama ya Ng'ombe
4:45
life with Sophy
Рет қаралды 991
Roast/Rojo ya Nyama ya N'gombe. the Malkia Way, utaenjoy sana
4:32
Malkia Foods
Рет қаралды 141 М.
JINSI YA KUPIKA SUPU YA NG’OMBE//HOW TO COOK BEEF SOUP
3:58
Miss Masao
Рет қаралды 36 М.
When Rosé has a fake Fun Bot music box 😁
00:23
BigSchool
Рет қаралды 5 МЛН