MGONJWA LAZIMA APONE KWA MCHEMSHO HUU😋VIAZI NA NYAMA/ potatoes & meat steaw

  Рет қаралды 20,926

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 2 жыл бұрын
Lazima mgonjwa apone kweili hapo👌
@ikamalle
@ikamalle 2 жыл бұрын
Yaaani ni lazima 😂😂
@shamilahhassan3213
@shamilahhassan3213 2 жыл бұрын
Jmn yanmy...uwe unatuandikia ivyo viungo basi my dear
@fettymalipula2206
@fettymalipula2206 2 жыл бұрын
Looks yummy 😋😋😋
@hassangwamarungu2766
@hassangwamarungu2766 2 жыл бұрын
Umetshaa maama Kwa mchemsho huo
@ikamalle
@ikamalle 2 жыл бұрын
😂😂😂
@thuwaybah5679
@thuwaybah5679 2 жыл бұрын
Yaaan uko poaa
@tsepoirina4393
@tsepoirina4393 2 жыл бұрын
Shwari
@RawlingsOkeyo
@RawlingsOkeyo Жыл бұрын
Ongea kingereza ukitaja spices please nimepotea apo😂😂
@badawyhaji9288
@badawyhaji9288 2 жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋😋😋
@neemaminja4161
@neemaminja4161 2 жыл бұрын
Aika,hongera Sana ,nauliza haya mafuta ya Nazi Ni yapi jamaniiiiiiiiiiiii,nijibu tu maeer
@ikamalle
@ikamalle 2 жыл бұрын
Yakutengeneza
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Ndo nn Ika haya sasa mm nakuwa mgonjwa sy kupona tn 😫😫😫
@ikamalle
@ikamalle 2 жыл бұрын
Ukila tuu unapona 😂😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
@@ikamalle au sy 😂😂
@leonialymo8286
@leonialymo8286 2 жыл бұрын
Ika hayo mapochopocho Mimi naomba niwe mgeni wako kwa mwezi tu nirudishe afya.
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 жыл бұрын
Hello da ika,umekosea kuandika Mchemko badala ya MCHEMSHO
@ikamalle
@ikamalle 2 жыл бұрын
Asante kwa kunijulisha..
@mlionea
@mlionea 2 жыл бұрын
wapikie hii hijacking Tzu. itapea viazi competition.kzbin.info/www/bejne/pYDLnapojJdmrMk
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 14 МЛН
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 69 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 16 МЛН
Ndizi Mbichi / Jinsi ya Kupika Ndizi Mbichi na Nyama/ Matoke / How to Cook Plantains with Meat
6:34
JINSI YA KUPIKA VIAZI VYA ROJO / ROSTI LA MBATATA /POTATOES  CURRY WITH SOUR MANGO/ EMBE BICHI
10:10
Beef stew recipe | South African YouTuber
4:59
Thato Cooks
Рет қаралды 779 М.
CHAPATI ZA MAJI ZENYE NYAMA NDANI 😋
9:41
Ika Malle
Рет қаралды 494 М.
JINSI YA KUPIKA MAYAI NA KABECHI NI TAM SANA
5:18
MACKMILAN STUDIO
Рет қаралды 1,3 М.
Jinsi ya kupika mchemsho wa ndizi na nyama #neemashaaban #msukuma
4:27
MAPISHI YA VIAZI NYAMA/VIAZI VYA KUUNGA NA NYAMA (2021)
4:32
Ika Malle
Рет қаралды 13 М.
NDIZI NYAMA ROAST YA NAZI @FoodloversTz
3:49
Foodlovers Tz
Рет қаралды 35 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 14 МЛН