JE KUNA MUNGU WATATU?

  Рет қаралды 5,854

Testimony Tv

Testimony Tv

Күн бұрын

Ni swali linaloulizwa na kujadiliwa na watu mbalimbali Duniani leo, Katika majadiliano haya kati ya Fransis Ndacha na Fabiani utaweza kuongeza kitu kipya katika ufahamu wako juu ya Nafsi tatu za Mungu yaani Mungu mmoja kujifunua katika nafsi tatu (TRINITY), Mungu Baba, Mwana wa Mungu na Mungu Roho. Pia utajifunza juu ya Mungu mmoja yaani BABA, kisha mwana wa Mungu na Roho wa Mungu.
Karibu kwa Maswali na hoja zilizonamizizi ya neno la Mungu.

Пікірлер: 89
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 3 ай бұрын
Asante kwa maelezo yako mazuri , baeikiwa sana mtumishi wa Mungu
@IrishuraIshmael
@IrishuraIshmael Ай бұрын
Hakuna Mungu zaidi ya yesu ndugu bando haujaele bado jifunze dhidi ya Yesu na Baba yake maana haujapata kujabata kijuwa maana Mungu alivaa mwili ili apate kufa
@msemakweli243
@msemakweli243 3 ай бұрын
Unaelezea vyema ndacha
@iddyhassan7666
@iddyhassan7666 3 ай бұрын
Mwalimu upo Sawa kabisa
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 2 ай бұрын
MUNGU ni mmoja TU. Nukta.Mwalimu ninakuelewa Sanaa Tena ninakuheshimu SANA.Hauna ubabaishaji Wewe ni MTU unayefundisha Kweli ya MUNGU wa Kweli haufundishi mapokeo.
@laboratorykibahadc
@laboratorykibahadc Ай бұрын
Yohana (st jJohn 10:30 kjv) I and my Father are one tafsiri hiyo swahili ni Mimi na Baba tu mmoja na si umoja, kama ni umoja basi biblia kizungu ingesema I and my Father are once.
@mush337
@mush337 2 ай бұрын
Sasa yesu ni mtoto mwanaume,nyinyi mtaacha zenu ,yesu hana jinsia,kuchukua mwili wa kiume na kutahiri haimaanishi yeye ni mtoto mwanaume,yesu ni mungu na ni roho isiyoenekana, mwili ulionekana wa binadamu sio yesu mwenyewe,huo ni mwili tu ila yesu ni roho
@mush337
@mush337 2 ай бұрын
Sijawai sikia mtu anayesema kuna mungu watatu,hata waindi na wachina wanajua kuna mungu mmoja tu,Sasa hilo swali gani. Ungeuliza je Kuna Mungu mmoja katikati utatu?
@GunduaTV-et4nb
@GunduaTV-et4nb 3 ай бұрын
Dacha ukae na mtagazaji huyo visuri ndiyo ameweka amejua kuweka maneno msuri na kiswahili yake ni mnono
@kiarienjire5595
@kiarienjire5595 3 ай бұрын
Yesu kazaliwa lini Kawa Mungu lini
@DeusMakubi
@DeusMakubi 3 ай бұрын
Mnakata kata sana mahojiano, mmevuruga wenyewe waandaaji, ila mchungaji anaeleza vzr mungempa mda awasomee maandiko
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Elimu yako nzuri,umenifanya sasa ninaelewa bible vizuri
@fredkamau
@fredkamau 3 ай бұрын
the transition is totally different 1 John 5:7-8 New International Version 7 For there are three that testify: 8 the[a] Spirit, the water and the blood; and the three are in agreement. King James Version (1611) 7For there are three that bear record in heaven, the Father, the Word, and the Holy Ghost: and these three are one. 8And there are three that bear witness in earth, the Spirit, and the water, and the blood: and these three agree in one. (1 John 7-8 KJV)
@fredkamau
@fredkamau 3 ай бұрын
1 Yohana 5:7-8 Neno: Bibilia Takatifu 7 Wapo mashahidi watatu: 8 Roho, maji na damu; na hawa watatu wanakubaliana.
@EmmanuelMoses-pb1zh
@EmmanuelMoses-pb1zh 3 ай бұрын
Mimi hii hoja ya utatu inanitatiza tu sehem moja pale kwa Roho Mtakatifu
@HellenLemilya
@HellenLemilya 3 ай бұрын
Lakini kama Yesu anatumia jina baba ake basi Mungu baba ni Yesu maana jina la Yesu ni la Mungu baba according to your explanation
@whajavfsb5154
@whajavfsb5154 3 ай бұрын
Wewe unatumia jina la baba yako ...je umekua baba yako?😅
@YusuphLyanga-e8j
@YusuphLyanga-e8j 3 ай бұрын
Umemjibu vzuriii😂😂
@stevenstationary
@stevenstationary 3 ай бұрын
Wewe ndo umeelewa.Mungu jina lake ni Yesu
@MusaMsaki-b8b
@MusaMsaki-b8b 2 ай бұрын
Nakukubali sana mwalimu respct
@SuzanKonya
@SuzanKonya 3 ай бұрын
MUNGU Awabariki kwa ujumbe na ufafanuzi makini.
@annanjoki6826
@annanjoki6826 3 ай бұрын
Yesu alipo kufa pale msalaba ni mamlaka yote alipewa na Baba yake na jina lake kikapewa nguvu kwa kina lake tutoa pepo kwa jina lake tutaponya wagonjwa na kwa kina lake tutafanya miujiza na maajabu lakini atakapo rudi kutuchukua kutupeleka kwa Baba yake ndipo atakapo regesha mamlaka yote kwa Baba yake ndipo akamwambia Baba kazi ulio nyuma nimemaliza hawa ndio nilio wapata duniani lakini kwa sasa tunamuita Mungu hata yeye mwenyewe anasema ukiniona mimi umemuona Baba yangu kwasababu mimi na Baba yangu ni kitu kimoja
@GunduaTV-et4nb
@GunduaTV-et4nb 3 ай бұрын
Umetoa wapi hii?
@shadyz9208
@shadyz9208 2 ай бұрын
Sasa toa andiko pia linalosema Yesu ni Mungu kwa sababu ni mwana wa Mungu..
@SiriliNachan
@SiriliNachan 2 ай бұрын
Mwana wa mungu n mungu hujaelewa nn
@YoungAslam11
@YoungAslam11 3 ай бұрын
Yesu sio mungu mwenyewe unajikanyaga umetoa andko umesema uzima wa milele ni huu then ukasema kumjua mungu wa kwel na yesu uliemtuma. Sasa kama yesu ndomungu vipi ajitume mwenyewe
@YoungAslam11
@YoungAslam11 3 ай бұрын
Saut imetoka mawingun na sio mbinguni .na je hyo sauti ilikuwa ya nan?
@alonmusse4729
@alonmusse4729 3 ай бұрын
Hakuna miungu mitatu.bali Kuna Mungu mmoja katika nafsi tatu
@Ufahamu-01
@Ufahamu-01 2 ай бұрын
Unakwama ndugu yangu fanya tafiti makini zaidi..
@TheGreatPerson1
@TheGreatPerson1 2 ай бұрын
kumwelewa Mungu kuko nje ya ufahamu wetu ni machache yememfunua yeye katika Neno lake hivyo utatu bado ni siri kubwa
@HellenLemilya
@HellenLemilya 3 ай бұрын
Mzee wa upako anasema yesu sio Mungu ni binadamu mtume kama alivyo kua akina Paulo vipi ww yesu ni mtu kama akina Paulo?
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH 3 ай бұрын
Anamuunga mkono kwa kukataa Utatu sio katika kukataa Yesu ni Mungu kwa kuwa ni mwana Wa Mungu
@stevenstationary
@stevenstationary 3 ай бұрын
Mie huyo mungu mwingine simuhitaji aisee alishindwa kujitoa kuja kufa kwa aajili yangu mpaka Yesu ndo akajitoa kwa ajiili yangu.Yesu ndo Mungu wangu mmoja ambaye aliumba kilakitu
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH 3 ай бұрын
Upungufu wa Uwelewa Upendo aliyo kuwa nayo Baba kwetu ndio akamtoa mwanae kutufia hata huna haya unless wewe ,ni mwislaam wezi elewa Jhn3:16
@stevenstationary
@stevenstationary 3 ай бұрын
@@OLUNGAJOSHMAH hakuna kitu kama hiko,mie nachojua Yesu anaitwa mwana kwasababu TU alizaliwa ila ni Mungu mwenyewe alifanyika mwili akaja kukaa kwetu
@musamagulu2023
@musamagulu2023 2 ай бұрын
Okay sawa,na Yesu aliposema sitawaacha ninyi yatima nitawaletea msaidizi Roho Mtakatifu. Je huyo Roho ni nani na yupi?
@SleymanKassim
@SleymanKassim 2 ай бұрын
MTUME MUHAMMAD
@TheGreatPerson1
@TheGreatPerson1 2 ай бұрын
​@@SleymanKassim Roho wa Mungu ni nafsi iishiyo ndani yetu sio huyo ndugu
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 2 ай бұрын
Natuwaumbe watu kwa mfano wetu hebu ndacha niweke vizur hapo hao wanaomuumba mtu kwa mfano wao ni akina nani katika kitabu cha mwanzo
@YoungAslam11
@YoungAslam11 3 ай бұрын
Sawa mungu amemuita yesu mwanae. Wewe ndacha je mwanao anayomamlaka yako .na je mtu ukiwa mfalme je mwanao nae mfalme ataitwa mwanawa mfalme. Yesu sio mungu. Kutumia jina haimaanixh kuwa mungu .umejb vyema yesu sio mungu
@SiriliNachan
@SiriliNachan 2 ай бұрын
Yesu n mungu amepewa hicho cheo na mungu
@williams979
@williams979 3 ай бұрын
Amri inasema "Usiwe na miungu mingine ila mimi," Kutoka 20:3. Sasa je, utajuaje kuwa Mungu wako ndiye sahihi? Jibu ni Yohana 8:54. Katika Aya hii Yesu aliwaambia Wayahudi kuwa wanenaye wao kuwa ni Mungu wao, huyo ni Baba yake, yaani ni aitwaye Baba (soma pia Yohana 3:16; Waefeso 4:6). Hapa Wayahudi hawakujua kuwa Mungu wao waliyeelekezwa, kupitia Musa, katika Kutoka 20:2-3 ana Mwana, Yesu ndiye aliyewafahamisha. Baba ndiye Mungu wa pekee wa kweli (Yohana 17:1,3; 1 Wakorintho 8:6). Hata hivyo, kinyume na Mungu wa Wayahudi aliyeelezwa na Yesu, wanautatu hunena kuwa Mungu wao mmoja ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, umoja wa nafsi tatu za milele. Je, Mungu watatu (Mungu Baba, Mungu Mwana, Mungu Roho Mtakatifu) wanawezaje kuwa mmoja! Umoja unawezaje kuwa Mungu!
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 3 ай бұрын
Amen
@benardsonga6597
@benardsonga6597 3 ай бұрын
ndugu Ndacha hili somo la utatu linakutatiza sana.
@YusuphLyanga-e8j
@YusuphLyanga-e8j 3 ай бұрын
Wewe ndo linakutatiza,,,hiyo ni doctrine,, Soma 1corintian 8:6
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 ай бұрын
pia NAMI simuelewi kaka
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 ай бұрын
Tunaona anaongozwa na roho wamungu alipokuwa katika majaribu hapo Hilo somo limekupika Jenga kubwa sana
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 ай бұрын
​@@YusuphLyanga-e8jKwa Hilo linamtatiza sana
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Unaeza toa aya ambayo inaashiria utatu wa mungu,haiko na haitawahi patikana toka mpaka mwisho haimo
@YusuphLyanga-e8j
@YusuphLyanga-e8j 3 ай бұрын
Kumwelewa ndacha hd uiache biblia iongee
@BarakaZabron-py2fz
@BarakaZabron-py2fz 3 ай бұрын
Absolutely true
@annanjoki6826
@annanjoki6826 3 ай бұрын
Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe tena neno la Mungu ni Biblia na hiyo Biblia kwa wasio amini ni ujinga lakini kwa hao wanao kuamini ni hekima na akili za Mungu kwa hivyo hili Biblia kama huna roho mtakatifu imefungwa utaisoma tu kama kitabu cha historia ya Yesu na haitakufanyia kazi
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 3 ай бұрын
Ninacho hoona mungu nimmoja watu nimajina wamemjumuisha ilamungu nimmoja majina ndio walitaka kutumia kwajili wautukufu waliotaka kumuita basi
@MwasabuniSuleiman
@MwasabuniSuleiman 3 ай бұрын
Je waebrania ni injili ya yesu?
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 3 ай бұрын
Yani hata kama huelew mandiko ndacha amefundisha vzuri sana barikiwa Sana mtumishi
@adam-sr9jk
@adam-sr9jk 3 ай бұрын
Hueleweki juu mara unasema utatu hauukubali na yesu unamwita mungu,sasa ukweli upi unachanganya,
@Jonas-t9h
@Jonas-t9h 2 ай бұрын
Ndacha kanisa lako wapi baba staki kuburuzwa huku mimi
@janejoseph561
@janejoseph561 3 ай бұрын
Alisema pia mumuombapo baba yangu neno lolote kwa jina langu nae atawapatia
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 3 ай бұрын
Ninacho hoona mungu nimmoja watu nimajina wamemjumuisha ilamungu nimmoja majina ndio walitaka kutumia kwajili wautukufu waliotaka kumuita basi
@joshualutengamasomwakilawa1025
@joshualutengamasomwakilawa1025 2 ай бұрын
Ndacha wewe unachanganya watu ingawa unafikiri unamaelezo yanatosheleza labda wewe una elewa , je yesu anafaa kuabudiwa? Halafu wako watatu washuhudiao mbinguni baba mwana na Roho na hapo anamaanisha nini kama hizo siyo nafsi
@joshualutengamasomwakilawa1025
@joshualutengamasomwakilawa1025 2 ай бұрын
Mimi sijaelewa maana mara yesu ni mungu nahuyo ndiye anakuja kwa mzee wa siku anakuja kama nani kama mungu au kama kiumbe?
@salimobeid1470
@salimobeid1470 3 ай бұрын
Ndugu zanguni wakirusto kaeni chini mtafakari hii dini ya mchongo mnapoyea jamani bibilia haitambuliki kabisa ni maandiko ya wanaadamu kwa matamanio yao ya dunia sikilizeni maelezo mnaambiwa yupo mungu mmoja amabe pia ni mungu wa yesu jamani someni quran mjie ukweli
@BarakaZabron-py2fz
@BarakaZabron-py2fz 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@AlhamdulillahLuqman
@AlhamdulillahLuqman 3 ай бұрын
Kama Nyoka huza Nyoka basi yesu naye mungu.hivo msikwepeshikwepeshi mmebaki na waungu wawili mwana na babake kama mnavo Dai. Ivi mkisema mungu ni mmoja na yesu ni mjumbe wake shida iko wapi?
@YoungAslam11
@YoungAslam11 3 ай бұрын
Swali je mtoto wa rais ni rais? Ujaona mbuz anazaa mbwaa
@ZukhelRwegoshora
@ZukhelRwegoshora 3 ай бұрын
Kwenye miti Kuna jinsia mbili ya kike na kiume
@stephensena7195
@stephensena7195 3 ай бұрын
Barikiwa Sana Mwalimu Ndacha
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 3 ай бұрын
Mr ndacha nikutokuelewa hapo mbona tunasema wako katika utatu
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH 3 ай бұрын
Andiko
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 3 ай бұрын
Hoja za ndacha ziko Sawa kabisa
@YoungAslam11
@YoungAslam11 3 ай бұрын
Hoja hanaa mada anayozungumzia inabedhi kuwa yesu n mwanawamungu
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 3 ай бұрын
Mi kwangu akuna kinachonzunguka akuna
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH 3 ай бұрын
Ukiwa wewe ni mkristo au pstr kula kibano Isiah56:10-11
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 3 ай бұрын
Ndacha wew ni kiboko
@pastoralexanderofficial6023
@pastoralexanderofficial6023 3 ай бұрын
Yesu alitumwa kama mtume na anajielenza mwenyewe kua nimwana wa andamu alietumwa nayesu sijui kwanini mnakosa kumuelewa
@DrUno-kp8go
@DrUno-kp8go 3 ай бұрын
Hujui chochote kuhusu biblia kma yesu n mwana wacadamu kwann zaburi 110:1 daudi anamuita bwana?
@stevenstationary
@stevenstationary 3 ай бұрын
Pastor hao kondoo zako unawambia kuwa Yesu ni mtume tu😢
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 3 ай бұрын
mimi nilikua namtegemea ndacha kuamtetezi mzuri waumungu wayesu-kristo kumbe sivyo! imani yandacha njo ileyakiislamu
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 3 ай бұрын
Jaribu kumsikiliza tena ukiwa na "fikra huru" na sio kimapokeo uliambiwa na viongozi wako wa dini...,utamuelewa
@YusuphLyanga-e8j
@YusuphLyanga-e8j 3 ай бұрын
Umemjibu vzurii huyu mjolii,,,ili umwelewe ndacha inabidi utoee fikra ulizokuwa nazo za dini yako
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 3 ай бұрын
Ndacha akosawa niww huelewi
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 2 ай бұрын
Mie naona hujamuelewa tu Ndacha. Hebu pata hiii kzbin.info/www/bejne/rIjGlpV7q9d3qdU
@BaruMasimango-zo2se
@BaruMasimango-zo2se 3 ай бұрын
Ndacha we ni muongo saana Utakufa kafiri
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Ww ndio muongo juu majini ndugu zenu walisilimu mtu yeyote ambae amesilimu ni ndugu na jini,ww utakufa tu na ukafiri wako wa Islam na majini
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Utachomwa fanya uokoe nafsi yako mapema
@BarakaZabron-py2fz
@BarakaZabron-py2fz 3 ай бұрын
Na moyon mwako unaamini kabisa unamtete Mungu kumbe sio
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
✌️🙏
USTADHI SHAFII USO KWA USO NA MCH. NDACHA KISA SABATO NA MAJINI
35:59
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 15 М.
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 42 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 120 МЛН
wasabato sio wakristo
19:22
THE POWER OF CHRIST MINISTRY
Рет қаралды 8 М.
USTADHI DANIEL AWAVURUGA DR SULLE NA USTADHI SHAFII KWENYE SUALA LA MAJINI NA UISLAMU
45:05
Mbona hakuna nyimbo kwa msikiti maswali ya wakristo leo ni mengi sana Mmoja asilimu
1:35:41
MCH NDACHA :MASWALI NA MAJIBU
47:51
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 8 М.
MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI
20:44
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 38 М.
Maswali leo yamwagika kama maji wanawake wakikristo wauliza maswali kali kali
1:25:26
Je Mungu BABA ni nani?
2:07:10
Testimony Tv
Рет қаралды 6 М.
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 42 МЛН