Huyu mama ni kiboko , jasiri sana watu kama Hawa ndio tuna wahitaji katika nchi yetu , BIG UP TO HER
@ALESIACHIJOKA2 ай бұрын
Nimekupenda bure my dear ASANTE KWA kujitoa kwako umeongea kama mzazi thabiti kwenye jamii inayokuzunguka . Ubarikiwe sana mungu aendelee kukupa hekima na busara zaidi . Kwa kweli ni pigo kwa nchi yetu haijawahi kutokea . Hongera sana utetezi ni muhimu kwa nchi hii . ❤❤🎉🎉 Nimechukia chama .
@HassanKibwana-h3w2 ай бұрын
Mama upo vizuri sana hongera sana
@JosephineKabuka2 ай бұрын
Kamanda umetisha sanaaaa❤❤
@KumbushoMbanga-hf3wx2 ай бұрын
Mama uko vizuri sana
@aloycemisigalo39832 ай бұрын
Laaa!!!!! aisee huyu mama ni noma sana.
@StevelabaranSeverwa2 ай бұрын
Mama teteaa nchi yetu, samia anacheza na watanzania
@asteriashios18522 ай бұрын
Tanzania bara inateseka sana dada yote hayo ni Kwa sababu mhusika ni mnzanzibar siyo wa bara yaani huyo mafwele kwanini hajakamatwa hadi Sasa hivi na Rais kawaambia watu Wana mikia daaah Rais huyoooo
@MibakuMoson-n5j2 ай бұрын
Hongera Sana mama mimi ni moja wapo ya wale wanaoteswa ngorongoro
@michaelmshighati84322 ай бұрын
Hongera Susan Kiwanga umesema Ukweli Mungu akubariki
@abdalahgunda13192 ай бұрын
Susan kiwanga has spoken reality underground vary lmotion as her chadema political figure woman into chadema strong hold on democracy day tcd
@GiftBatista-p2e2 ай бұрын
Well
@AnnaFelix-p1z2 ай бұрын
Safi sana mama umezaa kweli uchungu unaujuwa mama mwenzangu
@godfreydavid69962 ай бұрын
We are proud of you Susan ❤
@RayOmar-vk2nn2 ай бұрын
Malaika wangu wa ulinzi nendeni kwa mama susan mkaongeze ulinzi plz❤❤❤❤
@saidchaula19472 ай бұрын
Jamani nimejikuta nalia mwenyewe ukweli samia alicho kusema mbele ya policcm wake ni dhahili haya mambo wanafanya makusudi kwamba tutawafanya ninj ukiwa mkweli kwenye hili taifa uwezi kudumu wana ccm spika alisikika akisema ccm hawako tayali nawala hawatothubutu kumwachia mtu kiti kwagarama yeyote
@verdianabanabi22052 ай бұрын
Susan mungu akubariki sana na umesema ukweli na uwazi.
@SakagodoInnocent2 ай бұрын
good speech
@lailafakhihaji2 ай бұрын
Hongera mama upo sawa
@MkingaJulius2 ай бұрын
Sijawahi ona mama kama huo kina mama kama hawa ndo tunao wataka na sisi tutawaunga mkono mia kwa mia
@HajiMwangama2 ай бұрын
Pole sana mama umeongea kwachunga tuendelee kupambanamwisho wake utafika
@verdianabanabi22052 ай бұрын
Mwombeeni mungu siyo kiziwi.
@mlyamalitv17892 ай бұрын
Ila kwa upande mwingine ukifiria ,INAUMA SANA.
@geofreybowden54772 ай бұрын
Ongera mama kazi nzuri nakuona kama mama yangu safi sana
@brysonmandari56942 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba uinue upanga wako upambane wanaopanga miapango ya utekaji na kuua, usiache hata mmoja wanotumwa, wanaotuma ,wanaopanga na wanaojua na kukaa kimya.Amen
@maryfranknamkumba91822 ай бұрын
Ahsante dada Susan. Mwanamke pekee aliyeongea ukweli ndani ya huo mkutano. A spade is a spade. You can’t call it a spades a big spoon
@jailosntashura2 ай бұрын
Umenigusa moyo wangu unavuja damu ya watanzania Mungu ingilia kati haraka sana
@MusaOgwoko2 ай бұрын
Mama huyu Safi sana
@DausonShensherwa2 ай бұрын
Mh kiwanga mungu akupe ulinzi na maisha malefu kwakweli chadema ni shida ndo mahana CCM wanayumba na kupoteana
@MasudSalum-o4o2 ай бұрын
Nakupenda bure mama kiwanga
@anosiata82422 ай бұрын
Mama Katema madini bila kumugunya maneno. Mbunge wangu wa mulimba .nakupenda sana.
@agnessangawe38442 ай бұрын
Enzi za Dr Ulimboka kutekwa kuteswa kungolewa kucha na meno Zimerudi😢😢😢😢
@PaskaliCharles-pz8ds2 ай бұрын
Mama barikiwa sana kwa kweli mungu akulinde inauma sana Hakika wewe ni ujasiri na ujumbe umefika
@SamwelSadock2 ай бұрын
Kiti cha uraisi ni dhamana umepewa na Mungu na kiongozi yeyote akimwanga damu isiyo na hatia Mungu anasema nitaitaka mikononi mwa kiongozi Mungu anamwambia habili damu ya ndugu yako uliyoimwaga kila mahali utakakokwenda una itakulilia
@FrenkMushi-i7f2 ай бұрын
Uko vizuriii mamaa yangu ongeraa sanaaa
@rachelsika95882 ай бұрын
Mungu akubariki mama,,akulinde,,mama jasili
@MagakaManyanya2 ай бұрын
Mama nakutakia maisha marefu uje kuwa raisi wa nchi yetu
@ZainabLol-wx7xf2 ай бұрын
SAMIA MUST GO &SAMIA LAZIMA AENDE
@thamani58422 ай бұрын
Utakwenda ww kwanza
@ameirzapy13182 ай бұрын
Labda aende ikulu😂
@nahlaaasidee18482 ай бұрын
Hujitambui, utajibu nn kwa Allah unasaidia makafiri na vitimbi vyao dhidi ya uislaam na waislaam.
@christopherleonard12642 ай бұрын
@@nahlaaasidee1848acha udini mbona hata magufuli alipingwa
@asteriashios18522 ай бұрын
Hongera saaaana dada point sana
@B23-i8p2 ай бұрын
Mama kaongea kwa uchungu sana na ukweli ccm wanatengeneza moto wasio weza Kuja uzima,vijana wengi hawana ajira nchini, na watakuja kuwa wazee masikini wengi nchini
@StevenTambi2 ай бұрын
Samia must go
@EliasOwilly2 ай бұрын
Uko sawa dada mara mia ufe kwenye maadamano kuliko kupotea
@Globalpeace1232 ай бұрын
Safi sana Susan Kiwanga Mungu akubariki sana Jamani akina mama jitokezeni kwenye maandamano kwa faida ya taifa letu na vizazi vyetu.
@christianmwabukusi81322 ай бұрын
Itabidi Bendera ya Tanzania iwekewe rangi nyekundu kudhihirisha Damu ya Raia wanaouwawa
@MashakaMagesa2 ай бұрын
Tulipata uhuru bila kumwaga damu Leo tunamwaga damu Rip Mwl Nyerere
@AlfredAlfred-yd2mg2 ай бұрын
Ccm wanachojali maslahi yao tu wanadhulumu mpaka wafanyakz mafao hawana dini Mungu atawaadhibu Kwa dhulma
@washingtonngullo19882 ай бұрын
Matusi hayo aombe radhi huyo na anajua mwanzo mwisho kupotea Kwa wananchi yeye ndo anawatuma
@aminimushi69452 ай бұрын
Kwa hotuba aliyotoa Moshi,hana pakukwepea,lawama lazima zimkabili Mh Rais,zinathibitisha yanayotokea-utekaji,mauaji,ubakaji anayajua vizuri,na ndiyo sababu hataki kuwawajibisha hawa viongozi wakuu wa usalama-waziri wa mambo ya ndani,igp,baadhi ya viongozi wengine wa Polisi,na hata usalama wa taifa.watanzania was kawaida hatuwezi kuzuia matokeo haya,lakini Mungu amesema ukishindwa kuzuia maovu haya kwa mikono,zuia kwa mdomo,ukishindwa basi uyachukie,Mungu tuhurumie uzuie kwa uwezo wako.
@maryhando2272 ай бұрын
Mama safi , ameogea ukweli mtupu.
@abeidmayanga8092 ай бұрын
Safi sanaa sasa tupambane jamani kwanjia ya amani tuu
@GilbertGombeye2 ай бұрын
Pole mama hayo hakuna pakuyasemea hakuna haki hapa kwetu tz ya bara
@kinkybanjukome2172 ай бұрын
Mama wambie usiwaogope washenzi sana na huyu mama samia atajibu kwa mungu wake
@RamadhaniMasumira2 ай бұрын
Nilimuona mtaani kwangu juzi kati iv...sura ya upole lakini maamuzi magumu 💪💪💪💪💪
@davieswillson97822 ай бұрын
Safi sana 🙏🙏🙏🙏
@AmmarSadik-x5u2 ай бұрын
Wamama wako kama hawa wanatakiwa walindwe na Mungu awape miaka mingi na heri dunian
@benedictmrisho18002 ай бұрын
Kumbukeni tulipata uhuru.bila kumwaga damu leo tuna miaka 63 ya uhuru tunajadili umwagaju damu miingoni mwetu wenyewe ni aibu iliyoje? Hapo kuna kujadili demokrasia ama umwagaji damu?
@MesiakiKayan-qm7tv2 ай бұрын
Kuna uhuru bila amani kweli
@EREVUKATV2 ай бұрын
Ningekutukana we kuma ila ngoja nkuache
@emmyandrew86702 ай бұрын
Safiiiiiii sana dada yangu Sekiwanga. Ww unacofedence sana penda wwwwwww
@HulumaKisakali2 ай бұрын
Inaumiza kwa kweli Mungu ingilia kat tz
@YacintaJames2 ай бұрын
Asante mama
@AyubuMasaka2 ай бұрын
Hongera xana dada unajitahd kuongea Ila hapa hatuna Rais polen xana watanzania kwa kujiongoza wenyewe .
@ZakayoJohn-o7r2 ай бұрын
Hivi Hawa watu huwa hawasikii mamae
@gowekogoweko58032 ай бұрын
BIG BRAIN DER SUZANNE 👊👊👊👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@luciasteven33142 ай бұрын
Kenya nawapenda sana dunia nzima asaivi inaamshwa usingizin kupitia Kenya
@JohnNtutu-u2f2 ай бұрын
Very nice mama keep it up
@jeitangogo-rf8uf2 ай бұрын
Kweli kabisa dada mweeuchungu unauma kamanda😂😂😂
@AnnaVictor-s2x2 ай бұрын
Inauma kweli 😭😭
@AnnoyedBooks-kn5pm2 ай бұрын
Kweli mama upo sawa
@AyubuChacha-u6u2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mama yangu kweli una uchungu mkubwa sana ila Mungu amsamehe mama yetu samia kwa kusema huvyo.
@neemanziku54032 ай бұрын
Unafaa kuwa rais
@asteriashios18522 ай бұрын
Chadema nimeamini ina watu vichwa akili sanaana point mama
@martinndunguru71032 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@paschallLaizer2 ай бұрын
barikiwa sana mama
@EmanueliWildausoni2 ай бұрын
Ni bora kuongea kuliko kukaa kmya lakn mm binafs moyo unechoka lakn swali maandamano yanazuiliwa juz jeshi lilikuwa linaonyesha jinsi yakuthibit wananchi kuliko kuwalinda wananchi vitu vya ajabu kabisa
@alphascaona5762 ай бұрын
Chadema ina watu mungu tupe ujasili
@elizabethsaibo36582 ай бұрын
Ongera mama
@AnaniaMmari2 ай бұрын
Mama mungu akulinde sn mungu atawalipa 🙏
@thadeusmateru13562 ай бұрын
Binadamu huhukumiwa kwa kauli zake. Chura kiziwi
@NassourJuma2 ай бұрын
watu wenye akili sana, hongera sana mama
@HamzaNamkaa2 ай бұрын
Kiwanga
@brianbrayoo15902 ай бұрын
😢😢This is too much
@christinenyagiro66622 ай бұрын
Huyo Mafere hakuzaliwa na mama. Lakini huyo Mafere anawatoto hivi watoto wake wakichukuliwa atafurahi? Huyu Mafere na hili limama Samia ni wauwJi wakubwa. CCM watakula laani laana yao. Mimi nashangaa sana watanganyika sijui ni watu wa aina gani
@sizorstartv61682 ай бұрын
Huyu ni RAIS 2025. EE MUNGU MPE URAIS HUYU ATAKUWA MAMA WA WATOTO MWENYE HAKI UPENDO NA UZALENDO
@GiftBatista-p2e2 ай бұрын
Your voice heard
@neemanziku54032 ай бұрын
Mimi ninge kuwa mchawi ningemloga bibi na kijiji chake
@gililwise2 ай бұрын
Safiiiii unafaa kuwa viongozi
@ChikuOmmary-ii2xf2 ай бұрын
Hakuna jambo linaniuma kama kuuwawa kwa watoto kama nikiwa mzazi wa mtoto mmoja tu na ninahamgaika na kizazi Mungu tusaidiane walinde watoto wetu inshallah
@frankmaeda42842 ай бұрын
Kweli inauuuma.
@AnnaFelix-p1z2 ай бұрын
Uyo Samia nilaana kubwa sijawayi wona mwanamke kama Samia sisi tuliopitia leba tukavuja damu tunauchungu kwamtu yeyote Alie zaliwa ndomana msibani tunaliaga atakama aliyekufa humjui sababu uchungu
@ameirzapy13182 ай бұрын
Kwani yeye hajaingia leba 😢 punguza hasira
@nurumohammed13102 ай бұрын
Ww tulia hapo watu wanauchungu kwa kudharauliwa @@ameirzapy1318
@InnocentJohn-l5y2 ай бұрын
Suzani uwa nijembe sana good sana mama
@khatibuseif34902 ай бұрын
Awajitambui tu hi dunia akuna atakaeish milele wao pia na wao watakufa wanaelekea uko wanayoyafanya mung anawaona ipo sku watakayalipa aya
@RayOmar-vk2nn2 ай бұрын
Mama kama mama
@edwardmwingira70962 ай бұрын
SAMIA MUST GO!
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp2 ай бұрын
she speaks with painfully heart.inauma sana.we have to get up as a nation otherwise we are finish
@KhamisBoss2 ай бұрын
Asant san mama
@EREVUKATV2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ClarenceHilaly2 ай бұрын
Nchi hii ni samia na watoto wake wala sio ya watanganyika
@BahatiRamadhani-i8f2 ай бұрын
Saf sana mama
@ExodusMarcStanley2 ай бұрын
Dah kila mtu anahisi ameshatekwa muda wowote linakufika au familia yako. democracy iko wapi? Tunaishi kwa huzuni
@SaidHassan-ot3un2 ай бұрын
Kweli mm alichemka unatakiwa kabla yakuliongea neno ulifikirie