Ndio maana wallah nnnakukubali sanna yarab Akuzidishie elimu zaid na zaid na sie pia amin
@saumusaliimu30863 жыл бұрын
Shukran Shekh wetu Allah akupe maisha marefu 🙏
@afric014 жыл бұрын
Aslm alkm.... Shukran sanaaa Sheikh Othman. Kweli kabisa tulikosea, nilazma tumshauri Allah kwa kila jambo na tutaona matunda yake. Inshallah nitawaeleza watoto wangu wakitaka kufanya chochote, wafanye istighara. Jazakallahu kheir sheikh wetu. Allah akulinde.
@0009-i4m Жыл бұрын
kweli shehe istikhara ni nzuri sana na mungu aliniongoza na muamini sana
@HabibaHared Жыл бұрын
Mashaallah mola akuhifath kwa kutuongoza kwa njiya njema
@husnashaibu63124 жыл бұрын
Shukurn jazeera Wallah nakupenda kwajili ya allah mwenyezmung atujalie sote kher Akuzidishie sheikh na uendelee kutufahamisha .
@zainabmaulidi98464 жыл бұрын
Shukrani sana sheikh othman tuko pamoja sana Allah akuhifadhi sheikh Wang 🙏🙏🙏
@kharihamdu17483 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atuwekee sheh wetu
@asyaasya37664 жыл бұрын
Istahara ni bora kwa kila tutakacho tarajia kufanya shukrani sheikh wetu mpendwa
@BakariMwayaga-q2p9 ай бұрын
Mashallah kweli kabisa
@anisasaid23225 жыл бұрын
Shukran jazilah allah akuhifadhi
@zuwenamsuya1615 жыл бұрын
JazzakhaAllah kheir!!! Allah amuhifadh Sheikh wetu.
@yusrakombo51235 жыл бұрын
Shukran sanna Allah azidi kukutilia ruhu akhty na afya njema ufanikiwe ktk umri wako Amin thumma amin
@khajramiraji29455 жыл бұрын
Jazak Allahu Khair
@salamaramadhan26415 жыл бұрын
Shukran kwakweli napenda darsa zako sana Allah akuzidishie elmu utufaidishe na ssi in shaa Allah..
@rukaiyamohammed80725 жыл бұрын
Shukran Shekh. je wasio jua kusoma kiarabu waombeje?
@habibanampendasanadada28174 жыл бұрын
Shukran sanaaa kwa darasa
@hakizimanazawadi26224 жыл бұрын
Shukrani allah akulipe
@LailaLaila-et6sn2 жыл бұрын
Jazzakallah kheir shukran sana
@mejumaaabuu6182 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu mungu akupe ufahamu zaidi
@halimamariri52105 жыл бұрын
Alhamdulilah ,Allah akulipe mema dunian na akheraa,,,
@saidishekalaghe34965 жыл бұрын
Istikhara ni muhimu sana, shukran sheikh kwa somo zuri.
@uwingeneyeshadia76975 жыл бұрын
Jazzakallah kheri sheikh
@ziggyuae24645 жыл бұрын
Shkran jazzakkaAllahu kheir 🙏
@salmaiddy96274 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe maisha marefu inshaallah 🤲🤲🤲
Kwa ajili ya Allah nakupenda mungu shahidi Allah akuzidishie elmu na akuepushe na shari za waja na mitihani ya Dunia
@fatmakhanii16765 жыл бұрын
Shukran sana kwa darsa nzuri sana nimeipenda jee yaweza kusomwa kwa lugha yoyote itafaa shekh wetu
@ashuraashura8825 жыл бұрын
Shukrani sheih mungu akujaliye umbri mrefu İnshaallah
@bisharahamis12274 жыл бұрын
Mashallah allah akulipe kl la kher hapa duniani na kesho akhera na akuandalie pepo ya firdas amiin
@aminaathuma31934 жыл бұрын
Inshaalah
@ukhtyjohari84035 жыл бұрын
MashaAlla ,,,naomba naomba no zako ,,,nakupenda kwa akili ya Allah
@omaryissa39655 жыл бұрын
Mungu akuzidishie katika mambo yako ya akhera na ya kidunia.
@swabirswaleh73345 жыл бұрын
ma shaa ALLAH nikweli kabisa.ALLAH atuwezeshe salama na tumfanye yy ndio mshauri wetu zaidi.AMEEN.
@saumdalia61725 жыл бұрын
Asalam aleikum Sheq mm sina wastp wala Fe's IMO tu ss VP nionge nawee nikueleze shidazangu
@halidijuma18842 жыл бұрын
Naam kweli kabisa
@jainaboman89524 жыл бұрын
Mashallah namejifunz asante
@bellbell92944 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu
@ZainabZainab-tv9ir5 жыл бұрын
Shukran shiekh allaah akulipekilalakher from🇧🇮
@jasminali59215 жыл бұрын
Naam shekh shukrani sana
@salimajuma55305 жыл бұрын
Allah akuPe kilalakheri
@hamisimasaai83434 жыл бұрын
Shukran sheikh michael
@farashuusukuni67315 жыл бұрын
MashaAllah Mungu akubarik
@kamalsaid5585 жыл бұрын
Masha Allah
@fatomajuma15785 жыл бұрын
Maashaallah
@muhamadhalimah50445 жыл бұрын
Shukrani sheikh...Tht y c achi mpya yko itakapo ingia hujikataza mengi lkn nisikie ulichosema...Jazzakallahu kheiry
@OmanOman-gc1zu4 жыл бұрын
jazzakaAllah kheri Allah akuzidishie kila KHERI in Shaa Allah 🙏🏻🙏🏻🌹♥️
@salmasaidally31334 жыл бұрын
Shukran jazzka Allah kheri
@angle36002 жыл бұрын
Asante sheik,mwenyezi mungu akulinde na shari zote
@hawaabdala52035 жыл бұрын
Allaibarik yaarab
@salmahayeke89575 жыл бұрын
shukran sana kwa mafunzo yako
@afric014 жыл бұрын
Wallah umesema kweli kabisa mashallah 🥰
@rizikisebe8905 жыл бұрын
Shukran sana
@faizasaid82625 жыл бұрын
Shukuran Mashallah
@osamashakeeb71944 жыл бұрын
Masha Allah ❤
@aishaabdulmujib70274 жыл бұрын
Masha Allah Allah akujazi kheri nyingi tu, uzidi kutunufaisha. Amin.
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
mashallah mashallah
@mamass74815 жыл бұрын
Ahasantee. Shukran. 🙏
@emmakeneth25845 жыл бұрын
Shukran tnx
@ummuhaula18485 жыл бұрын
Mashaallah umeongea fact
@ashaomary88815 жыл бұрын
Shukran kwa darsa
@uthmanihimbawe52444 жыл бұрын
Allah Akbar,🤲🤲🤲
@aminaathumani41565 жыл бұрын
Mashaala
@shabaniramadhani6575 жыл бұрын
Shukrani
@fettyseja26255 жыл бұрын
Mashallah Mashallah ,
@fettyseja26255 жыл бұрын
Umeelezea mambo mazuri sana matamu na dani yake rahaa
@naamohamed99644 жыл бұрын
MASHAALLAH
@HalimaNasser-l9g11 ай бұрын
Asalamualaykum sheh nikweli mim niliswsli nikamuomba mungu anioneshe mwazo hadi maisha nitakayo ishi na mume wangu ilaniliona yule mwanaume ananyumba mzuri mpausafiri ila chakushagaa nilimkuta yukonje anakosha viyatu vile vikavu alivo vaa kavuwa akavaa vile vibichi na mule kwenye ilenyumba akatoka mtot badae akatoka mwanamke mwengine ambaye soo mim na kabiba mtot mim nime fuga ndoa kisiri nayule bwana sas kaowa mkemwengine na kwenye ilenyumba anaenda kukaa yule mke mwengine nasoo mim😢 daaa najiuliza mim mwisho wangu niupi shehee
@fatmamombasa34305 жыл бұрын
Masha Allah ya shekh mawaidha mazurinikughafilika tuu lkn Allah atuongoze naAtujaalie niwenye kuskia nakufuata lnsha Allahh
@abalfadhilabdulqahari30182 жыл бұрын
ISTIKHARA
@mariammlaki48714 жыл бұрын
Allah akujaalie elimu zaidi na miaka Mingi ya kuishi ili uendelee kutufunza zaidi
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
aleyhi sallallahu
@ashurahassani88905 жыл бұрын
Jazak Allah kheri
@ummykhanifa9623 жыл бұрын
Shukran sheikh mi pia nilifanya istikhara kwa ajili ya mchumba wangu ila kinacho nishangaza gisi siku zinavyokwenda kwenda nazidi kumpenda zaidi nakumuota kuna mdaa na muota pia na kumuwaza mara kwa mara ina mana mungu kanijibu naomba sheikh unijibu?
@husnamohammed81992 жыл бұрын
Uliposali uliomba vp juhusu uyi mchumba wko ummy khanifa na jee saiv keshakuowa tayari au bado
@ummykhanifa9622 жыл бұрын
@@husnamohammed8199 chaajabu kwa sasa mambo ya mebadilika nilijitahidi kuchunguza myezi miwili ilo pita nilikuta kaka uyu ni kiboko yao ana uyu ana ule na sisi sote katuahidi kutuowa ila tuka alipogunda kama nimejiwa tabia yake ndo kabisa mapenzi ya mepungu
@husnamohammed81992 жыл бұрын
Hee wawili kaahid kuwaowa huyu ni muongo itakuwa mmoja ndo alomuweka moyoni amuowe wanaume wengine ni waongo sn
@husnamohammed81992 жыл бұрын
@@ummykhanifa962 ulivyosali iyo istighara hujaoteshwa ndoto kuhusu uyo kaka yaani kupata majibu kupitia ndoto
@ummykhanifa9622 жыл бұрын
@@husnamohammed8199 istighara nili sali kwabla sijaijuwa tabia yake na nilikuwa nikipenda kumuota sana tu ata tukigomba nimikuwa nikimuota ila kwa sasa na muota ila sio sana
@najmabozz29984 жыл бұрын
🙏
@nyamvulajollo52015 жыл бұрын
Shukuran
@umutonisandra86279 ай бұрын
Assalam alaikum ,kama hujyajyibiwa utaendeeya au la
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi
@mulhatkhattor60754 жыл бұрын
Assalaam ghalaykum,shekh naweza kuomba dua kwa kiswahili ktk hizi swala za sunna
@mtumwamwako10 ай бұрын
Asalam alaykum. Samahani je dua ya istikhar naweza kuisoma kwa kiswahili?
@abdallamwinyikombo65575 жыл бұрын
Asslm alykum sheikh,,,,mm natk kusafr bi idhinllah,,,,so nlswal istikhara tokea ramadhan ilopita,,,lkn ckumbuk nlchoota,,,ila safar ilitulia ckupigiwa SMU offcni,,,ila week ii nmepta CMU naitwa kwa office,,, je istikhara yaeza chelewa kuleta majibu sheikh???,, au nswal tena kabla ya kurud officeni!???,, naomba jibu sheikh
@wardaadam56942 жыл бұрын
Asalam alaikum shehe me nna mchumba wangu ameswali istikhara mara tatu na ananiona me lakin anakua ana huzuni kwenye ndoto iyoo
@majaliwahamad40534 жыл бұрын
Shekh wengne hatuna hicho kitabu tuandikie tueze kuijua inshallah
@alhabibismail30314 жыл бұрын
riyadh swalihin
@abadialbalushi9445 жыл бұрын
Maa sha Allah dua tam kweli lakini sheikh wetu wengine kiarabu kinatuchapa bakora ukiomba dua hio kwenye lugha yakawaida vip itaswihi??
@athumanmichael85015 жыл бұрын
Naam itaswihi
@abadialbalushi9445 жыл бұрын
@@athumanmichael8501 Shukran wa jazakallahu khairah
@zamdakimaro29734 жыл бұрын
SHEGHE OTHMAN KWA MOYO WANGU NAFARIJIKA MNO KUSIKILIZA MAWAIDHA YAKO " NASHUKURU NAKUELEWA SANA NA KUHIFADHI PIA SABABU UPIGI KELELE UNATULIA TUNAKUELEWA SHEGHE WETU
@wardaadam56942 жыл бұрын
Naomba tafsiri ya hilo jambi
@longjuly2395 жыл бұрын
Assalam aleykum sheikh uthman.samahani niko nje ya mada.mamangu anasumbuliwa sana muscles pull jee mpaka inampandisha presha.jee nimtumilie dawa gani?plz
@muajumaarashidi40294 жыл бұрын
In shaa Allah shekh Allah akuhifadhi...ila samahani shekh jee ikiwa unahitaji sana kuolewa lkn hujui ni nani atakaye kuoa waweza kutaka ushauri kwa Allah na Allah Akakuonyesha aliye wa kheri?
@ngushy87983 жыл бұрын
Ndo penyewe hassa hapo!
@umutonisandra86279 ай бұрын
Kama hawenyishawi utakuwa ajye???
@nasraiddy96785 жыл бұрын
Asalam alyekum sheikhe samahani nahitaji kuliza sheikhe wangu ikiwa bint wakislam anatolewa posa na wanaume wawili kwa wakati mmoja na hapo hapo kila mmoja anampigania kuwa anahitaji kumuoa yeye binti anashindwa kuchagua yupi sahihi na anaswali istikhara ila Allah hamjibu nini afanye binti huyo ....??naomba unijibu sheikhe na naomba number zako nahitaj ushauri wako hata kwa kuulipia sheikhe wangu nipo tayarii kulipia
@omadybinumady54275 жыл бұрын
Naam shekhe shukran sana nauliza istikhara inaswaliwa wakati gani?
@swabriali45835 жыл бұрын
Wakati wowote mchana au usiku
@abadialbalushi9445 жыл бұрын
Sasa Sheikh swali langu ni hili ukiwa tayari umeingia kwenye ndoa kisha badae ukasali istikhara Allah akakujibu utavunja ndoa?
@issaramadhani97145 жыл бұрын
Hukmu ya istikhara ni kabla ya hujalifanya jambo lenyewe ikiwa bidhaa umeshainunua na umeanza kuitumia wawezaje kuirudisha?hapo ni kurekebisha matatizo yaliyopo ili lengo la ndoa liendelee kuwepo na kufikiwa ikiwa kuachana kwenu kuna heri na umefanya juhudi zote imeshindakana basi unaweza ukaukaribia mlango wa taraqa.
Hii aina kikomoo na ukisali unapewa jibu lkn uwee unaniya na utulivu
@charozawadi72174 жыл бұрын
🤭
@halimaomari34155 жыл бұрын
Sheikh na hii istghara yaswaliwa saa ngapi swala yake au haina masaa
@kamilyaibrahim97844 жыл бұрын
8 usiku
@abadialbalushi9445 жыл бұрын
Mm bado nauliza katika swala hiyi ya istikhara unapo kuwa uko unasali unasoma sura gani?? na iyi dua unaisoma kabla ya sala ? ao baada yasala nikimaaanisha ukimaliza kutawadha kisha unasoma duwa hiyo kisha ndo unasali ao? nielewesheni sheikh kwamana iyi sala inafaida kubwa sana
@swabriali45835 жыл бұрын
Maulamaa wamependekeza usome Surat kafirun raka ya Kwanza na Surat ikhlas raka ya pili. Lakini pia waeza soma sura yoyote. Na dua unaisoma baada ya kutoa salam hapo ushamaliza sala yako ndio unasoma hio dua.
@abadialbalushi9445 жыл бұрын
@@swabriali4583 Shukran jazillah sheikh wangu wa jazaqumullahu khairaah