Jamani nawasihi sana waislam wenzangu dua za usiku hakika mungu anajibu haraka sana
@habibakhalfan10653 жыл бұрын
Kweli_hata_mimi_nina_ushahidi_mzuri_tu
@husseinkazigo6189 Жыл бұрын
Wallah nikwelli kabisa unalo lisema ndug yang
@likourv12614 жыл бұрын
alhamdulillah nmeshuhudia nguvu ya sala za usiku japo kama binadamu tunateleza tunaacha kutokana na dunia mwenyezi Mungu atufanyie wepesi Insha ALLAH
@sumaiahamimu67054 жыл бұрын
Allahuma Aamin YAARAB kwasote piya
@mwanaidiramadhan39194 жыл бұрын
Mashallah mashaaallahu takbir x 3
@maryamsboosiri22854 жыл бұрын
Ameen
@farhatmuhanna73514 жыл бұрын
Ameen kwa jamii Islam 🙏
@faidaruzamuka69974 жыл бұрын
@@sumaiahamimu6705 qr
@tiffahkillax62674 жыл бұрын
Shekh wangu Allah akujaze yalo ya kheri .. Mafundisho yako shekh natamani niache masomo chuoni nije nijifunze elimu ya dini kwako nakuelewa sana shekh 😪😪😪....Allah akuongoze daima
@fatumakambi960 Жыл бұрын
AMEN 🙏
@chunaamina87194 жыл бұрын
Mashaallah Mungu atuongoze sote tuwe miongon mwa wtu wa pepon inshaallah, Aamin
@kaltumaissak66314 жыл бұрын
Amin yaa rabb
@IMRANSTORIES1363 жыл бұрын
Aamiin ya rabb
@neemarashidi17913 жыл бұрын
Masha allah nakupenda kwa jili ya allah
@tumajunior60804 жыл бұрын
Mashaallah ustadh cna chakukupa jazza yako utaikuta kwa Allah Jalal kwa ilmu unayo wapa waja wake
@salimanasri39803 жыл бұрын
Shukran Allah akupe umri murefu mwalim wetu
@mjasiriamalishupavulailamu71634 жыл бұрын
Nimekukubali sana she he wangu hiyo ndo siri yamafanikio yangu nakuna kitu umeniongezea
@BurudaniOfficialTz4 жыл бұрын
جزاك الله خيرا 🌹
@asiaissa9764 жыл бұрын
Shukran ya sheykh othman maalim mungu akuhifadhi na kwasadaqa hii unotuzawadia ndugi zako iwe ndio sababu yaipata jannat alfidaws amiin amiin
@khadeejahrashid31774 жыл бұрын
Subhana LLah unavyozungumza nahisi mafanikio, in Sha Allah tutashika swala za usiku, shukran
@zakhiamohamed21784 жыл бұрын
MashaAllah nakupenda sheikh Mungu atuongoze
@mpawenimanafirdaous71813 жыл бұрын
Namimi pia nampenda maanshaallah tabarakaallah sheirh mung akujalie mwisho mwema. 🙏
@yussarsaleh57604 жыл бұрын
Assalam alaykum waaalaykum vipi hali yako ndugu yangu shukran Wallah nnakupenda sanna kwa ajili ya Allah
@fadhiliomari27594 жыл бұрын
Allah akulipe sheh
@maryammct39674 жыл бұрын
Mashallah mashallah nakupenda kwajili yallah
@enterenter77982 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@AgahozoAsmahАй бұрын
Shukrani
@saeedsaeed73814 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Authuman mada safi sana..Shukrannnnnn Sheikh wetu...Ma Salam
@ghaniyajaffar95874 жыл бұрын
ASALAAM ALAYKUM SHUKRAN SAANA KWA KUTUFAHAMISHA NA TUTAJITAHIDI INSHAALLAH
@mursalmrisho15382 жыл бұрын
Shukran sana
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
Jazak Allah khayran 💕
@YusuphuPonela7 ай бұрын
🎉
@YusuphuPonela7 ай бұрын
Axantee kwmaa lakn
@سعدالمنجي4 жыл бұрын
Shukran kwa ukumbusho allah akulipe kheir
@maryammaryam57894 жыл бұрын
Mashallah
@asiaissa9764 жыл бұрын
Shukran ya.sheykh othman michael Mashallah jazakallahu khayra
@alishor60203 жыл бұрын
Shukran Sheikh wetu mpendwa Othman nakupenda kwa ajili ya Allah
@binthassancollection.63084 жыл бұрын
JAZZAKA ALLAHU KHEIR
@halimakalinga77643 жыл бұрын
MashaaAllah jazzak la kheri walah najifunza san Kutok kwak
@mariamsfamily4824 жыл бұрын
Mashallah nakufatilia sana
@korogwetanga8104 жыл бұрын
Jazzak Allah khayra sheikh
@fatumagaspa31403 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe heri nyingi
@bebisheni43804 жыл бұрын
Asante Shekhe mwenyezi mungu akubarik
@misszai47313 жыл бұрын
Maashaallah jazakallahu kheri
@sharifaabdullah68253 жыл бұрын
Insha allah mungu tupe mwisho mwema amiin
@alih5613 жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@tomi40554 жыл бұрын
mashaAllah mungu akuzindishie Neem
@farouqsilvester99184 жыл бұрын
Mashallah... sheikh it’s good daawa sheikh
@kamaluissackkalonkano13484 жыл бұрын
Barakallaah fiik akhy
@ashamtwana76914 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah mwenyez Mungu akupe maisha marefu zaidi ili utupe mafunzo ya Allah
@ashamtwana76914 жыл бұрын
MashaAllah Mungu akujalie maisha marefu utufundishe mambo ya Allah ameen ameen
@kamaluissackkalonkano13484 жыл бұрын
Allahuumma aaamiin
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm wtw.... Ma sha Allah!!!
@fatmaabdilahi10074 жыл бұрын
MashaAllah shukran sana shekhe
@issakawaya83154 жыл бұрын
Allah barik
@khadeejahrashid31774 жыл бұрын
Masha Allah
@jamilamanariyojamila14873 жыл бұрын
Manshallah
@naamohamed99644 жыл бұрын
MASHAALLAH
@vonkugwile86764 жыл бұрын
Ntaanza inshallah leo
@hassanmasoud91804 жыл бұрын
...na Allah Akufanyie wepesi ndugu yangu kwa nia iliyo safi kabisa; na kwa waislamu wote pia in sha'Allah.
@kizamaulidi60043 жыл бұрын
Mashaallah
@yussarsaleh57604 жыл бұрын
Tunazingojea siku za offer biiidhni llah
@rahmahrahmah66834 жыл бұрын
Shukrani sana mimi.nafatilia darsa zako nzuri
@asiaissa9764 жыл бұрын
ماشاء الله
@hamisimalla2404 жыл бұрын
Maashaallh
@manishhassan053 жыл бұрын
😲😭❤❤🙏🙏🤲🤲
@asiaissa9764 жыл бұрын
صل الله عليه وسلم
@tashrey22514 жыл бұрын
Mwamba unajua
@asiaissa9764 жыл бұрын
الله اكبر كبيرا
@asiaissa9764 жыл бұрын
سبحان الله
@Naziluna-en7lj4 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh shukran san shekhe wetu ila nilikuwa naomba dua,a ya wakati mvua inanyesha
@fahadybakari55224 жыл бұрын
Naziluna 2555 allahuma swahiban nafia'
@naimamuktar90283 жыл бұрын
⁸
@swabraty17604 жыл бұрын
شكرا
@irenemina20594 жыл бұрын
🤲🙏
@hamiyarkhamis73574 жыл бұрын
Asalamu alaikum warahmatullahi wabarakatu. ustadh mm naomba elmu juu swala ya tarawehe kwasbb kuna mamb yananitatiza zana juu ya utekelezaji wake. kwa ilmu yangu niliokuwa nayo mimi ni kwamba mtume saw alikuwa akiswali rakaa 8 kwa juzuumoja na wala hakuwahi kuswali rakaa ishirini na moja kwa sura yeyot ile katika msahafu naomba unielezee hapo kwasbb kuna ni jmbo linalonicanganya kidog naomba ilmu juu ya huenda siku niliosom sikumuelewa ustadh
@salimanasri39803 жыл бұрын
Sisi wamoja hatujafahamu mubini
@enterenter77982 жыл бұрын
Naomba namba
@timaahamdi56214 жыл бұрын
Waasaykumu salam warhmatuAllah wabarakata,ustadhi naomba namba yako ambayo naweza kukupata kwa watsapp tafadhali
@muniraramadhani90934 жыл бұрын
A,leykum warahmatulah wabarakatuh shekh naomba number yako
@raiyanassor57564 жыл бұрын
😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@zanmedia52254 жыл бұрын
Assalaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh.....vip hali Shekh othman michael....shekh usiku una thelusi tatu ni zipo hizo shekh wangu? Na ukiamka kiamu ukaanza kusal lakini mwishoni ukajikuta unasinzia kwenye ibada je hii nayo ikoje maalim wangu...🙏🙏
@zanmedia52254 жыл бұрын
@Msafiri Afraha asante ndugiangu katika imani
@zanmedia52254 жыл бұрын
@Msafiri Afraha alla akujaalie kheri Inshaalla 🤲🤲
@zanmedia52254 жыл бұрын
@Msafiri Afraha naam swadakta kabisa akhy
@sonofafrica64954 жыл бұрын
Maana yake unachelewa kulala mapema . lala mapema baada ya kusali ishaai tu.
@yahayab4u6143 жыл бұрын
Kuanzia leo silari wanawake wapeponi ni laha
@emmanuelmoses58813 жыл бұрын
Hhgg
@jamilaibuma88874 жыл бұрын
Naombeni number ya huyu Ustadh
@fadhumoabdi74914 жыл бұрын
Jamila Ibuma sihiyo hapo juu
@jamilaibuma88874 жыл бұрын
@@fadhumoabdi7491 ahsant sana
@rayisadesigns26464 жыл бұрын
ni hizo zilizoandikwa hapo kwenye hiyo video ndizo namba zake sheikh Othman.