SWALI GUMU LILILOMSHINDA MAZINGE NA MASHEKHE WENGINE

  Рет қаралды 472,586

Loud Cry TV

Loud Cry TV

2 жыл бұрын

Пікірлер: 476
@princeeddiekingsley8719
@princeeddiekingsley8719 2 жыл бұрын
Sio mnyazi mungu bali mwenye enzi mungu msomaji wa kikristo mbona anakosea Mungu Heshima.
@thingsidotobeatboredom6132
@thingsidotobeatboredom6132 2 жыл бұрын
Kizuri umemkosoa maana yake
@mustafaabdi7708
@mustafaabdi7708 2 жыл бұрын
Allah akupe umri mreefu sheikhe wangu ustadh Mazinge💯🔥
@saidijinebi8767
@saidijinebi8767 2 жыл бұрын
Sasa ndio unasema. Mashekhe wameshindwa kujibu swali wakati sauti mafundi wenu sauti wametoa. Pumbavu Sana
@ismailponda1269
@ismailponda1269 2 жыл бұрын
Wanajifanya wajanja sna awa muhubri wao alivo ulza swli sauti imetoka vzri lkn wakat wa kuonge shekhe saut inaktshw katshw
@mohdkibaba8285
@mohdkibaba8285 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
@abeidmrengaofficial1792
@abeidmrengaofficial1792 2 жыл бұрын
What u have said it make sense. May Allah grant us understanding. Greetings from capetown Rsa.
@RodgersMae
@RodgersMae Жыл бұрын
Ikiwa utume wa Mohamed ni wizi wa aya za bibilia nabii alie umi bt Torati alio iba 18:18-20 Mohammed akakufa kudhihirisha ule wizi yan uongo
@omaryaman1312
@omaryaman1312 2 жыл бұрын
Hamna sauti wakat wa majib ya mazinge hahaha....
@mustafaabdi7708
@mustafaabdi7708 2 жыл бұрын
Kidume akifika jukwaani, mnatoa sauti, si mgeacha tu myoroshwe tu😂😂
@josephhjackson7632
@josephhjackson7632 2 жыл бұрын
Mungu alisaidie kanisa lake (SDA) kwa kazi nzuri
@missdida5316
@missdida5316 2 жыл бұрын
Kichwa cha habari ni kibovu shehe wangu mazinge anakipaji kkubwa alichpewa na Allah mashaallah
@masungwasalumu1278
@masungwasalumu1278 2 жыл бұрын
Hugo mazinge ajifurahisha Hugo kesho kutwa atatokewa na Yesu MWENYEWE na ataokoka kama Alijojo makanzu alivyookolewa mazinge silolote hiyo inakuja waisla mazinge ukweri anaujua
@omaniomani643
@omaniomani643 2 жыл бұрын
Mwehu wewe huko ndo aliko toka kwa yesu
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 2 жыл бұрын
Jipe moyo wa kujidanganya
@ErastoBias
@ErastoBias Ай бұрын
Wanapaswa wawaulize wakristo na mayahudi watapata kufunguliwe af mabishano yataisha amen
@zuberihassani4434
@zuberihassani4434 2 жыл бұрын
Sas ss tunajuaje mazinge kashindwa swali hali yakua mmekata saut nyie vp ,,,,,,mazinge niswali gani alishindwa kujibu nandomana tukaangalia tujue kidume was Allah anashindwaje swali .. waislamu takbiiiiiirii🌟🌙
@istambuliahmedi8203
@istambuliahmedi8203 2 жыл бұрын
الله اكبر
@mwichandemuyinga6007
@mwichandemuyinga6007 2 жыл бұрын
Penye ukweli uongo hujitenga asante
@benyoussoufaboubcar1575
@benyoussoufaboubcar1575 2 жыл бұрын
Mazinge Allahuma barik
@ibrahimmawee9837
@ibrahimmawee9837 2 жыл бұрын
Assalam Aleikum, napenda nichangie kwa wanaoshuhulika na vipaza sauti maranyingi vinapoteza mawasiliano nayanaporudi huwa tumepitwa na mengi sana
@kakarashidi8550
@kakarashidi8550 2 жыл бұрын
UHUNII HUO KIDUME KINALETA MAJIBU NYIE MMEKATA SAUTI IMEISHA HIYOO
@saifalhajari4491
@saifalhajari4491 2 жыл бұрын
Hapa nikupamban na iman yako tu jamn hayo yote mwachien tu mungu jamn yey do anajua
@omanbarka1588
@omanbarka1588 2 жыл бұрын
😀😀😀😂😁😂
@hussaynmuhammad8782
@hussaynmuhammad8782 2 жыл бұрын
Mnajaribu kuficha Haki wakati Haki Unadhihirika!!!! Kwani hamzingatii
@ismailchande561
@ismailchande561 2 жыл бұрын
Mbona mumekataa sauti ya mazinge kipindi kirudiwe ....ndo maana nashangaa ati ni swali gani mashiekh wameshindwa kujibu..Bali munakataa sauti huwa hamukubali kushindwa....
@alimohamed3730
@alimohamed3730 2 жыл бұрын
Kweli akili zwnu sizo tutajua vpi kama swali limemshinda n hakuna tunachoskia zaid y salam .
@martinnkuba6683
@martinnkuba6683 2 жыл бұрын
Mambo ya fundi mitambo ka mute sound
@ameenaghubra4224
@ameenaghubra4224 Жыл бұрын
Mungu akupe uml mlefu shehk wangu mazinge
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 жыл бұрын
Majibu ya mazige mnayakata alafu mnasema kashidwa
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Mashallah Allah
@elsoody8868
@elsoody8868 2 жыл бұрын
Naah hamn swaly gumu apo...hamjamuelew ndio shida🙌
@amurisabiti7037
@amurisabiti7037 2 жыл бұрын
Mazinge sio mchezo hili swali ni ndogo sana kwa mazinge
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
mbona sasa amechemka
@jumaothman9449
@jumaothman9449 2 жыл бұрын
Kweli kakaa kama mchungaji wako kweli hujakosea au Nina wasisi yupo juu zaidi ya askofu wako.
@christian-jw4zb
@christian-jw4zb 2 жыл бұрын
Jesus Christ is the Son of God. he can save us. Acts 17:30
@salumali868
@salumali868 Жыл бұрын
Kwaiyo yesu ni mtoto was mungu. Je Huyo mungu ni mwanamme au mwanamke.
@fredrickonyango94
@fredrickonyango94 Жыл бұрын
Dini ni lugha ya kiarabu inayomaanisha njia .....hapo wameshindwa kujibu ni kurukaruka tu because you are more antichrist and na kama mnaelewa yesu ni nani lazima muamini pia maneno yake maana yesu anasema Mimi ndimi njia ya kwenda Kwa baba hakuna haendae isipokua kupitia kwangu. Wapi kataja Mohamed...... bible has a hidden meaning to the antichrist they will never understand because they expect it to work with the world science not knowing God is above everything we are discovering and that's why He sent his son to prove that he has power over nature and science.
@mohamedomaronline7459
@mohamedomaronline7459 2 жыл бұрын
Allah Akbaru 🥰
@talibmuhsin5221
@talibmuhsin5221 2 жыл бұрын
Muislamu hawez kishindwa kwacbb dini yake imekamilika na hakuna kisicho wazi kidalili nyinyi makafiri sio Kama hamuamini Ila tu munaukaidi na mishipa ya kiyahudi rudini kwa Allah na mtume Muhammad awe ni kiongozi wenu , njia munayo fata nyinyi ni yakwenda motoni hiyo Allah awaongoze in shaa Allah
@alicemangat3165
@alicemangat3165 2 жыл бұрын
So malicious! Wamefunga sauti du!!!!
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 жыл бұрын
hakuna suali gumu lisilo na jibu...
@mohamedjuma1019
@mohamedjuma1019 2 жыл бұрын
Mbn mmetoa sauti😂ukorofi uwwoo
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Asalm alaykum mbona sauti akuna masheikh wameshidwa kivp yani Imani yangu imani Yang inanituma kama wameweza masheikh wetu Allah awazidishie umri 🤲🤲🤲
@gilbertnzeyimana611
@gilbertnzeyimana611 2 жыл бұрын
Hakika ni mafundisho ya mhimu Mungu abaliki watu wake
@yahyawanjiku
@yahyawanjiku 2 жыл бұрын
Hapo mbele kwa mazinge mbona sauti jameni hatuski😹😹😹😹😹.....
@user-vg3bf5vi1y
@user-vg3bf5vi1y 2 жыл бұрын
Hahaha c kweli tulioiyo tunajua achen uwongo hii channel mwogopeni Allah bhna daah
@LinaLina-jg3wb
@LinaLina-jg3wb 2 жыл бұрын
Waisilamu lini mtaacha majivuno na kipri ilali ? Odoweki majivuno na kipri mpate kujuwa kweli
@frankellyswaggz1651
@frankellyswaggz1651 2 жыл бұрын
Ukweli Gani?
@hadijahshabani2674
@hadijahshabani2674 2 жыл бұрын
Ww ndo hujui ukwel
@danielnyerera
@danielnyerera 2 жыл бұрын
Very well Jesus said i am the way the true and the life no one comes to the father true way ... I dont know this kind of Prophet Muhammed... Yeyote aki amini kwamba Yesu ndie Bwana ataokoka
@keddydonchedda1894
@keddydonchedda1894 2 жыл бұрын
all the prophet of god they are the way to father ,and if jesus is way to go to the father why you people you plaised him as father .
@danielnyerera
@danielnyerera 2 жыл бұрын
@@keddydonchedda1894 Every thing about the father is possible is the way and the life
@hijatumbo8709
@hijatumbo8709 2 жыл бұрын
Wakristo wakiuliza swali nje ya mada na wakajibiwa sema mda wa Mazinge uliisha.
@saeedmbarak6550
@saeedmbarak6550 2 жыл бұрын
Haiko full n maneno ya mazinge yamekatwa ili msifahamu huyo ni professor hashindwi na jibu Al Hajj Usthadh Professor mazinge
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Professar wa Majini hana lolote zaidi yakulazimisha nyekundu kuwa kijani ingawa ukweli anaujua. Atachomwa sana huyu Mzee Mshirikina
@SAM_163
@SAM_163 2 жыл бұрын
Eti Professor 😆😆😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kapewa na Nani huo uprofessor au mnapeana kwenye vigenge vyenu?🤣🤣🤣
@SAM_163
@SAM_163 2 жыл бұрын
Mazinge mjanja mjanja tu. Elimu hakuna 😄😄😄😄😄
@salhatyjuma2131
@salhatyjuma2131 2 жыл бұрын
Mmekata sauti ya nini???Hamjielewiii kabisaaaa,wakati Wa kuuliza sauti IPO ila wakati Wa majibu sauti hamna??Sheikh Mazinge hakuwahi kushindwa na swalii
@loudcrytv8949
@loudcrytv8949 2 жыл бұрын
Waislam ndiyo walikata Sauti kwenye vyombo vyao vilivyokuwa vikirekodi Sauti. Wewe huoni mwisho mwenyekiti wa Waislam anampa mipasho Mazinge kwamba hakutumia muda vizuri anaeleza utumbo. Na Mara ya Pili hakurudi Tena ikabidi mwenyekiti atafite Mwalimu mwingine naye swali likamshinda
@hassanussein1817
@hassanussein1817 2 жыл бұрын
Mazinge kawashinda siku nyingi tuu bona
@masashelecomedien4626
@masashelecomedien4626 2 жыл бұрын
Mazinge Allah akurehemu
@aminrendis7249
@aminrendis7249 2 жыл бұрын
UNAONA UJANJA WA WAKRISTO WAMEKATA SAUTI HALAFU WANASEMA WAMESHINDWA KUJIBU SWALI ACHENI LONGOLONGO
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 жыл бұрын
watu wa injili ni watu wa Nabii Issa (yesu )ambae ni mtume wa Mungu..waislamu...
@zainaikoki4954
@zainaikoki4954 2 жыл бұрын
Wallahi ukweli wanauona wanafanya ubishi kwa kichwa
@jabirsaid4245
@jabirsaid4245 2 жыл бұрын
Naona wakristo mnakaza vichwa achen jeuri muaminini Allah
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 2 жыл бұрын
Mnakazi ya kubishania dini tumnaboa
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 2 жыл бұрын
Ukweli ndivyo ulivyo,huwezi ikalazimisha uongo uwe ni ukweli. Dini ya zamani inajulikana ,
@blueeyes5952
@blueeyes5952 2 жыл бұрын
Waislam ni wabishi achana nao
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 2 жыл бұрын
Hizi dini zitawasaidia nn , amini nawambia yeyote asie amini na kukili kuwa yesu kristo ndio njia ya kweli na uzima na kumfuata yeye Kisha aka okoka , hato uona ufalme wa mbinguni.
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Dini zilizotangulia zilikua kwa wanaoamini na kuabudu MASANAMU kisha Mungu akatuma manabii waje kuwaonyesha ipi dini ya Mungu ambayo ameridhika nayo
@blueeyes5952
@blueeyes5952 2 жыл бұрын
@@mbwanarajab4756 mbona bado mnafuata inshala ya mwezi unapo andama ndipo mnafanya ramazani?? Je kufuata inshala ya mwezi sio kuabudu sanamu??? Je unafahama mtume Muhammad alipovunja sanamu zote pale makha mu na sanamu ya Allah nayo ilikua miongoni ??? Je unajua kabla ya kifo cha Muhammad alisema anaogopa kifo chake ju anajua baada ya kufa kwake wafuasi wake wanaweza kugeuka?? 1. Point of correction dini ilio tangulia ni ya wayahudi, na mwanzilishi ni Abraham sasa ni wapi Abraham aliabudu sanamu????? Ya pili ni ukristo na sio ukatoliki. 3. Ukatoliki sio ukristo bali ni upangani , (roman empire in religion) na izo misanamu ni viongozi wa roman empire wakafanya uongo na kujingiza katika ukristo lakini ki ualisia sio bali ni waongo na mashetani
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
@@blueeyes5952 duu uromani ni upagani hivi maana ya upagani nini?
@suleymanally4729
@suleymanally4729 2 жыл бұрын
Wameshindwa jukwaaani wanakuja taka kushinda kweny youtube 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Always waislam ni Pasua kichwa hawajui lolote hukalia sana Ubishi na ujuaji feki
@yahyawanjiku
@yahyawanjiku 2 жыл бұрын
Toa hoja kwa vitabu sio kwa kichwa ndugu yangu😹😹😹😹
@ibnseyf5724
@ibnseyf5724 2 жыл бұрын
Hao wanaojiita wakristo mm naona wasaelewi wana akili gani kila wanavofahamishwa haki wao wanapinga na kutanga batili au ndio wanatetea vibarua vyao
@gracegelege1706
@gracegelege1706 2 жыл бұрын
Jamani nenda You tube tafuta Christian Prince mwanafunzi mahiri wa kitabu cha Allah atakutafsria kiarabu uelewe
@hidayaamri1112
@hidayaamri1112 2 жыл бұрын
Sauti hakuna kipindi kirudiwe hatusikii kabisaaaa
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 жыл бұрын
mbona sauti imekatwa ya Mazinge? tutajuaje kama Ustadh Mazinge kashindwa kujibu, Ndugu zetu wakristo acheni ujanja, swali mboga kabisa hilo, Mazinge haezi kushindwa kujibu swali hilo
@zakhianzuki9348
@zakhianzuki9348 2 жыл бұрын
Jamani mie ushauli wangu watu tumche MWENYEZI MUNGU ili kujiwekea amali yako ya kesho utakapo lejea kwa MOLLA wako lakini haya mambo mengine sioni kama yana mantiki
@veronicalaizer3940
@veronicalaizer3940 2 жыл бұрын
Mazinge nakuhurumia,ungemjua unae dadisi habari zake ni mfalme wawafalme ambae baada ya maisha haya ya duniani Utasimama MBELE ZAKE kutoa hesabu ya maneno ya kinywa chako,
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
Kkkkk’ila wakristo mnaakili ndogo sana wazungu wanawadanganya sana tu na kuwatawala ndiyo maana hamuwezi kuelewa.
@saidirajabu7863
@saidirajabu7863 2 жыл бұрын
UFalme mnampa nyie ilihali amesha sema yeye simungu
@saidirajabu7863
@saidirajabu7863 2 жыл бұрын
Wazungu wanasilimu nakugeuza makanisa miskiti webado unaamini kitabu walicho kuandikia wazungu wakat yesu hakuwai ata kukanyaga ulaya
@amoscharles1420
@amoscharles1420 2 жыл бұрын
@@saidirajabu7863 ni wapi alisema yeye si Mungu
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 2 жыл бұрын
Yani kusema wakiristo tunafuata wazungu Kama Ni hivo na ninyi mnafuata mkumbo wa waarabu ,Ila ukweli ipo siku ambayo mtakuja kujutia Sana NAFSI zenu na wakati huo rango la rehema litakuwa limefungwa
@ernestrichard8599
@ernestrichard8599 2 жыл бұрын
Sasa mbona Mlikata sauti hiyo ni ishara ya kushindwa tusidanganyane. Tena hapa mmeshindwa kujibu.
@shabanimaarifa3336
@shabanimaarifa3336 2 жыл бұрын
Nafikiri mashekhe upo sahihi
@aliramjaane236
@aliramjaane236 2 жыл бұрын
Sauti wameipoteza sio
@mwechizumbabaraka708
@mwechizumbabaraka708 2 жыл бұрын
Makafiri mnatabu sana,
@ayubukhamis8673
@ayubukhamis8673 2 жыл бұрын
Kafiri ndonin ndugu
@kusagakusaga729
@kusagakusaga729 2 жыл бұрын
Mnakata sauti ya mazinge
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 2 жыл бұрын
Hata sauti yenyewe mmekata
@fabianmasenganya7791
@fabianmasenganya7791 2 жыл бұрын
Ninyi nyote hamjui maana ya Imani. Imani huwa haina mjadala.
@eliapendamollel4486
@eliapendamollel4486 2 жыл бұрын
Huu mjadala mzuri Sana nimeupenda
@najmahyerkhan2157
@najmahyerkhan2157 2 жыл бұрын
Mmekata sauti nyooo shekh mazinge angewanyoosha
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
Mazinge hana ubavu wa kuinyoosha Injili. Maana injili ya Yesu imenyooka kama chuma cha pua
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Anyooshe wapi Mada manabii wa kale ni wakristo na Quran imesema jadilianeni na Dini zilizo tangulia ambazo ni waislam na Wakristo sasa anabishana na kitabu chake mwenyewe si Chizi huyo mzee? Jibu ndio au hapana basi sasa yeye anaanza Ukristo sio Dini mara Wasabato sijui nini hapo hakuna blabla jibu kutokana na Quran ilivyo jieleza Kafiri mkubwa Mfuga Majini Mazinge.
@user-sf6lp9vt5g
@user-sf6lp9vt5g 2 жыл бұрын
Maiki imefeli hapo yaonyesha.
@bashirabdalla2843
@bashirabdalla2843 2 жыл бұрын
Mbona Mme poteza sauti ama tusipate ukweli ndio maanake subhana Allah
@hussaynmuhammad8782
@hussaynmuhammad8782 2 жыл бұрын
Hapa mtafaidika tu na views lakini Mna cha maana
@halarihamadi4926
@halarihamadi4926 2 жыл бұрын
Lol 😂😂😂 dude out of the subject
@haronokesa9545
@haronokesa9545 2 жыл бұрын
Mazinge leo amelemewa mpka akapoteza sauti..Tumia sign language please
@cathiberteliastesha2928
@cathiberteliastesha2928 2 жыл бұрын
Sauti mmekata kabisa
@shufaamwambashi1547
@shufaamwambashi1547 2 жыл бұрын
Majibu bila sauti tutayasikia vp
@ericlondonmuwazijimmy1221
@ericlondonmuwazijimmy1221 4 ай бұрын
Mazinge kapata kibano na ndancha 😂😅😅
@user-cg9tl3ys5l
@user-cg9tl3ys5l 2 ай бұрын
Mungu Yuko upande wetu kina la bwana libalikiwe
@adamrusheke2224
@adamrusheke2224 2 жыл бұрын
Sauti mlinyakua
@taufikihamisi6385
@taufikihamisi6385 2 жыл бұрын
Akili huna wewe unasemaje mazinge ameshindwa kujibu swali wakati video sauti inakatakata
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 2 жыл бұрын
MBONA SAUTI YA MAZINGE HAISIKIKI
@cathiberteliastesha2928
@cathiberteliastesha2928 2 жыл бұрын
Wamezingua
@achanifumos1093
@achanifumos1093 2 жыл бұрын
Si uhodari wa mazinge bali ni maneno ya kweli ya Allah ndio mazinge hwezi kushindwa na swali...na munamuongopea mbona mumemnyima time na sauti mulimuondolea aliposhika mic...wacheni kujidanganya rudini kwa Allah...
@kuy4011
@kuy4011 2 жыл бұрын
Tusiwe na ubishi
@achanifumos1093
@achanifumos1093 2 жыл бұрын
@@kuy4011 si ubishi...someni maandiko ndio mutajua kuwa wachungaji wanawapoteza
@ahmadamwawalo5651
@ahmadamwawalo5651 Жыл бұрын
Nilifikiri limeshinda kweli kumbe sauti haitoki . Basi ingeandikwa ivi. Swali lililotolewa sauti wakati wakujibu Habib Mazinge
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Huyu mchungaji anashangaza sana. Wanadai ukristo ni dini ya "Kristo" yaani Yesu, Yesu mwenyewe kaja baada ya manabii wengine, vipi hao wlmanabii wengine wawe wakristo? Akili ni mali
@izaurajuma3452
@izaurajuma3452 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣wanashangaxa sana mbona mwatoa saiti kunanyengine pia walisema maxinge atangaxa kubatizwa🤭hawanajipya wataomba sana maxinge ashindwe kujibu swali Allah atakulinda maxinge🙏
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
Nyie mtatujazia pepo bure sio lazima muwe waislamu uisilamu haulazimishi Mtu ....kaeni huko huko Bora tushafikisha ujumbe...
@willysospeter9270
@willysospeter9270 2 жыл бұрын
Nyie Pimbi mmeandika heading mkijua kbs mkitumia jina la Mazinge watazamaji watakuwa wengi na mtapiga hela ya kutisha. Mi nilitaka kushangaa, swali Nyanya Kama Hilo Mazinge ashindwe!!!???
@RayaRashid-dc2hn
@RayaRashid-dc2hn 2 ай бұрын
Always mazinge jembe
@sootb8470
@sootb8470 2 жыл бұрын
God is one and that's it
@benedictinestory1454
@benedictinestory1454 Жыл бұрын
Huyooooooo swali kashindwa
@111dudi
@111dudi Жыл бұрын
Mmemzimia mic Mazinge ili jibu lake lisisike.ujanja wa wakristo daima
@talibmuhsin5221
@talibmuhsin5221 2 жыл бұрын
Na spika mumeizima halaf muuchafue uislamu ata mufanye VP uislamu utabaki kua Ndo dini sahihi TU mpaka mwisho wa dunia na uyo munaedai mungu wenu ni mtume Kama mitume wengine , kwaiyo mutambue kwmba munamshirikisha Allah alieumba binadamu na kila kitu nawala hajafanana na kitu chochote mnaabudia misanamu wakati haisemi wala haina uhai
@yassirrashid7802
@yassirrashid7802 2 жыл бұрын
Takbiiiiir
@achuzesalim8361
@achuzesalim8361 2 жыл бұрын
Makafiki muko na shida mumeamua mukate sauti isiskike
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 жыл бұрын
Yoyote atakekuja mbele ya Allah hali ya kuwa dini yake sio uislamu, hatokubaliwa mtu huyo na atakuwa kuni ya Motoni. Allah atuhifadhi. Ameen
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 2 жыл бұрын
Acha wew
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 жыл бұрын
Sio kweli, kila nabii atavuna watu wake, na watatengwa na makundi yao, watajumuishwa manabii wote wenye uma mkubwa, na uma mdogo, manabii waongo na wa ukweli, na atae pewa mamlaka na MUNGU ya ku hukumu ni isa bin Mariam, yeye hakua muislam wala hakua mjudarizim, na hakua katika dini ya mayahudi, na ndo kwa maana walipishana na hao viongozi wa hizo dini!
@pisgatv5863
@pisgatv5863 2 жыл бұрын
Unajidanganya
@EK-kp2np
@EK-kp2np 2 жыл бұрын
Unatia huruma, hukumu ya kiama atoe Yesu halafu mbinguni waingie Waislam 🤷🏼‍♂️
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 жыл бұрын
@@mgangaruban9383 usije kusema hukuonywa
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 жыл бұрын
KUNAWALI LAKUMSHIDA MAIGE MAZIGE HATAFUTI SWALI MAZIGE ANA JIBU KUTOKANA NA VITABU VYA DINI YAUKWELI SIYO WAKIRISTO KUBABAISHA
@fahimabdul7494
@fahimabdul7494 2 жыл бұрын
Alaah barok
@ibrahimgumbo6814
@ibrahimgumbo6814 2 жыл бұрын
Nyie makaafiri mmeondoa sauti
@yassirrashid7802
@yassirrashid7802 2 жыл бұрын
Mmeona bora mtoe saut ili watu waamini kua mazinge kashindwa kujib swali poleni 😀
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Sauti imekatwa kusudi tu ili kuendelea kuwadanganya wakiristo wakt dini yao sio ya Kweli kabisa
@Chekanamimi_
@Chekanamimi_ 2 жыл бұрын
I think NI Bora binadamu kujifunza kubalance Mambo,ukitaka kulijua Jambo jifunze kutoka kwa wanaolijua jambo lenyewe,ikiwa umejifunza kwa ambaye mwenyewe kafundishwa n'a ambaye hajui n'a wewe kuamini ndio ukweli unajidhulumu,nashauri mkristu akitaka kujua ukweli kuhusu uislamu aende madrasa n'a kama muislamu unataka kuujua ukweli wowote kuhusu ukristo basi n'a uende kwenye mafundisho yao ukajifunze kutoka kwao ili uupate ukweli wenyewe
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Be aware of false information is more dangerous than ignorance
@musamulungu822
@musamulungu822 2 жыл бұрын
Swali safi hilo
@sitihassan4309
@sitihassan4309 2 жыл бұрын
Hmm mnaminya sauti kisha eti wameshindwa kujibu Weka sauti upate majibu usiyoyapenda hapo Umeishiwa hoja kaa pembeni
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Wakristo wamemfungia sauti Mazinge
@paulkaranja3099
@paulkaranja3099 2 жыл бұрын
Jesus is God
@111dudi
@111dudi Жыл бұрын
Swali.Vipi mungu amuue mwanae wa pekee kwa ajili ya makosa ya shetani, badala ya kumuua shetani?
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 2 жыл бұрын
Waislam Kwa ubish ukristo raha najivunia kua ma mkristo
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Wakristo Hawana maswali yakuwashida Waisilam Hatasiku MOJA acheni kupotoa ktk Title
@loudcrytv8949
@loudcrytv8949 2 жыл бұрын
Tunapenda kuomba radhi kwa kukatika Mawasiliano katika Video hii. Hii Ni sababu ya kiufundi ambayo haikuwa ndani ya uwezo na Wala siyo kwa Maksudio ya kuficha ujumbe weowote. Kuna Chanel zingine Tena za Kiislamu zili rekodi mdahalo huu. Hapa Ni link ya kipande hicho hicho Cha Mazinge kushindwa kujibu swali. kzbin.info/www/bejne/pGjGnpKoitmEl6c
@eunicebukokhe6805
@eunicebukokhe6805 2 жыл бұрын
Mazinge ni kujigamba na kujipiga kifua cha kiburi,utakula kiburi chako siku moja,nayo ni ya kiama utasimama mbele yake Yesu huyo mnaye msukuma kwenye ukuta. Uta juta ndugu, chaguo ni lako
@abeidbinissaissa6848
@abeidbinissaissa6848 2 жыл бұрын
Siku mutakapo fumba macho ndio mtajua kwanini mliku mnlipwa mshahara kwasbabu ya uongo nyie mnaojiita wasabato wafuas wa Helen g white, Hakika mmezitia nafsi zenu katika upumbavu,
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 жыл бұрын
Kumbe kuruani inasema inawatambua wakristo hao bana Wanashida
@nathanielmkuki3048
@nathanielmkuki3048 2 жыл бұрын
Mjibuji wa injili, usinge jibu kwa mzunguko mrefu yaani kusoma vitabu kwanza, ungejibu kwamba! Manabii waliotangulia walikuwa dini ya kiyahudi na kikristo, ili wakikataa ndipo utoe maandiko.
DEBATE | Sheikh  Mazinge Jibu Yesu ni Mungu au ni mwana wa Mungu
13:16
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 15 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 12 МЛН
MDAHALO WASLAMU WASHINDWA KUTETE IJUMA
27:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 819 М.
Mama anayedai ametumwa na Yesu apambana na sheikh Hassan kariuki
39:12
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 677 М.
Build a Realtime Chat App in React Native (tutorial for beginners) 🔴
3:49:50
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН