No video

SWALI LILILO MCHANGANYA NDACHA NA KUMPA USHINDI DR SULE JANA NIHILI NDACHA ASUBIRI KUSILIMISHWA LEO

  Рет қаралды 190,724

Adil TV

Adil TV

Күн бұрын

Пікірлер: 627
@raiyasaluum
@raiyasaluum 3 ай бұрын
Mashaallah Allah akulinde Dr sule amkupe umri mrefu kwa kuulinda uislam . Waislam takbir.🤲🤲🤲🤲
@SalumMustafa-hv2gh
@SalumMustafa-hv2gh Ай бұрын
Wislam gan anaulinda bal anatia haibu
@Safia-wc3tn
@Safia-wc3tn 7 күн бұрын
Mungu akubarik na uzid kuwaongoa wanaopotea nashkur kuzalw muislm❤❤❤
@sikudhanimagembe8190
@sikudhanimagembe8190 2 ай бұрын
Waislam taq taq taqbiiiiirrrr!!!! Dr. Sule maashaallah!
@user-vg3hw5gi7j
@user-vg3hw5gi7j 2 ай бұрын
Allahu Akbar
@hadijaomary-w5g
@hadijaomary-w5g 13 күн бұрын
Dr. Sule unajua Mashaallah Mungu akupe miaka mingi ya kuisambaza dinii Inshaallah
@AhmedNagei-et5vm
@AhmedNagei-et5vm 2 ай бұрын
Dr sule JazakaAllah Kheir Mungu akuzidishie elimu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Msomaji wakiislam nampenda maashaallah anasoma vizuri❤
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 3 ай бұрын
Dkt sule mashallah mashallah Allah akubariki sana
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 ай бұрын
Ndacha ni mpuuzi tu mim mwenyewe kutokana na huo mdaharo nimeamua kusilimu (MaashaaAlla)
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 4 ай бұрын
Mashallah Allha akuongoze kwenye haki, Ww una akili, n km umesilimu basi Allah kakuchagua Kuwa muisilamu n neema kubwa kukliko chochote. Usirudi nyuma mdugi yangu silimu na ukasome uisilamu usikae tu.
@SANDUKUTV
@SANDUKUTV 4 ай бұрын
Allah Akbar
@peterluppy8843
@peterluppy8843 4 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he 3 ай бұрын
Huna akili
@directorhaji2023
@directorhaji2023 3 ай бұрын
Mashallah
@ZigashaneByamungu
@ZigashaneByamungu 2 ай бұрын
Ndacha ww ni kipuuzi sana 😢😢😢😢. Dt sule mungu. Akupe maisha marefu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis 2 ай бұрын
Unalana pa kumtukana mwalimu ndacha
@motivumotivunbktv4409
@motivumotivunbktv4409 5 ай бұрын
Alhamdulillah Dr sule ww ni hatari sana,Allah SW akuzidishie
@myself4128
@myself4128 3 ай бұрын
Unashabikia mganga??
@KennedyGideon-di8oh
@KennedyGideon-di8oh Ай бұрын
Hongera Dacha , Dr sule hajajibu hoja ata moja ameagaika bure hadi akachoka bila point
@user-vb4ek9jd7x
@user-vb4ek9jd7x 5 ай бұрын
Ndacha unajielewa sana ubarikiwe ❤❤❤❤
@ZigashaneByamungu
@ZigashaneByamungu 2 ай бұрын
Yesu si mungu bali ni mtume ❤❤❤❤❤❤❤
@FadhiliMbwambo-x1r
@FadhiliMbwambo-x1r Ай бұрын
Mashaallah Dr.sule m/mungu akuzidishie ghelimu na ufahamu zaidi
@ZabibuZebu
@ZabibuZebu Ай бұрын
Manshallah ❤❤
@muhamedtwaha8225
@muhamedtwaha8225 5 ай бұрын
Jazzakallahu khair Dr Sule 🙏
@motivumotivunbktv4409
@motivumotivunbktv4409 5 ай бұрын
Dr sule umepigaje apo😂😂 msomaji ubarikiwe uko vizuri sana
@user-mx2ln4vn3g
@user-mx2ln4vn3g Ай бұрын
Mashaallah shekhe wetu❤
@AbdirizakSiyat
@AbdirizakSiyat 5 ай бұрын
Mashaallah by dr sule that is totally knockout
@AbinexHaje-rn5mv
@AbinexHaje-rn5mv 5 ай бұрын
Nilichokisoma na Nilichokiona ni tofauti... Mungu akurehemu sanaa
@cabylake2320
@cabylake2320 6 ай бұрын
Mashaallah Allah awabariki masheikh wetu
@mahamudsalim-uq4xc
@mahamudsalim-uq4xc 5 ай бұрын
MashaALLAH hawa wakristo hawana muelekeo juu mapaster wao wanawadanganya juu ukiulizwa maana ukristo nini?..
@mahamudsalim-uq4xc
@mahamudsalim-uq4xc 5 ай бұрын
Mungu inshaALLAH wajalie maustadh wetu awape nguvu maana hakuna cku mkristo ataweza mshinda muisilamu kwa mjadala hapo hakuna hata kidogo nadhani kila mtu anashuhudia
@shabanabudalah
@shabanabudalah 3 ай бұрын
Dini ya mungu Iko wazi ktk vtabu vya mungu ,soma,3,19
@mwinyiamsobabel6061
@mwinyiamsobabel6061 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂 dr. Sule umepigaje hapo
@raiyasaluum
@raiyasaluum 3 ай бұрын
Ndacha kweli ww ni innalilahi wanna ilaih rajiu unapotosha wenzio kwa Kur Ani yauongo.
@MwakaMalizawa
@MwakaMalizawa 5 күн бұрын
Marshalla Drsule
@davidmukengere8190
@davidmukengere8190 10 күн бұрын
Suler nakubali saan ada muhazara uje Bujumbura Burundi
@allymugisha6431
@allymugisha6431 5 ай бұрын
Ma sheikh wetu nyie.ALLAH.awaweke myaka miya pasina maradhi ao uze
@MaryamJumwa-mp2ds
@MaryamJumwa-mp2ds 5 ай бұрын
Astaghafrullah mungu akusamehe ndacha...... Alhamdhulillah kwa mafunzo ya Dr. Sule Allah akuzidishie Insha'Allah 🙏
@johannesmusa1393
@johannesmusa1393 5 ай бұрын
Sijui jina lake, Lakini kiukweli Mkristo kashinda debating fosho!! Mungu ni Mkristo
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 5 ай бұрын
Maryam ALLAH Hasemehe makafiri kamwe
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 4 ай бұрын
​@@h.alshidhani8971 Mpaka asilimu
@manaseskanda8569
@manaseskanda8569 7 күн бұрын
Ndacha tupo na wewe🙏🙏 elimu ya bibilia umeitangaza 🎉
@aminajuma838
@aminajuma838 5 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu mtumish wa mungu ndacha wafundish wajue njia ya kweli ya mungu muumbaji wa vitu vyote
@claimministries4505
@claimministries4505 7 ай бұрын
Knowledge and power of God be with you Ndacha.Jesus is Lord.continual revealing Jesus to Them.
@user-sb2tz7sk6t
@user-sb2tz7sk6t 7 ай бұрын
wew acha upumbavu,kwahy had leo unaamin yesu ni mungu?mungu gan wa kumxhika nyie mukamuua mxalabak😂😂😂,hovyo mumetawaliwa na wazungu
@hanifa9153
@hanifa9153 7 ай бұрын
Hyu ni wazim kabisa yesu anakuaje mungu!?? Yaan ata kwa akili za kawaida tu hawezi kua binaadam mwenye amekua akienda haja anakula anakunywa jaman anapigwa na kusulubiwa yaan kiufupi hyo mungu yesu akakubali kdhalilishwa na binaadam innalillah😢😢😢 hii ni kufuru kabisa yesu ni nabii wa mungu jaman acheni kuzua ni gharam😮 tena bac tuwaulize kama mnashangaa yesu kutokea bila baba bac mtuambie kati ya kuku au yai kilianza kitu gani!???
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 6 ай бұрын
OH POOR ON YOU THE BLIND OR HEART AND SOUL
@hanifa9153
@hanifa9153 6 ай бұрын
@@user-oh6pc7zd4s Tuambie kati ya kuku na yai kilianza kitu gani ndo mshangae yesu ktokea dunian bila baba aya nabii Adam nae!?? Wakristu akili zenu mnazijua wenyewe dadeki
@SamuelmuneneMuthoni
@SamuelmuneneMuthoni Ай бұрын
Waislamu wana maneno lakini si neno la mungu
@RobertMadolio
@RobertMadolio 4 ай бұрын
Akuna mwalimu wa kislamu anae weza ndacha kwa uchambuzi 🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋
@lulkul7784
@lulkul7784 4 ай бұрын
Dr sulle ndio dawa yake umejionea Wacha uwongo
@onesmusmathitu8313
@onesmusmathitu8313 4 ай бұрын
Tumekupa hizi haya Saba! Kwani walimpea wakiwa naa nani na mungu ni mmoja?
@peterluppy8843
@peterluppy8843 4 ай бұрын
😂😂😂 Keisha habari yak
@HabasuFamily
@HabasuFamily 3 ай бұрын
Sasa kwa jina lk lilivyo unadhani utamkubali dk sule
@HabasuFamily
@HabasuFamily 3 ай бұрын
Ndacha kapigwa ambush
@user-xu7de2hb2c
@user-xu7de2hb2c 6 ай бұрын
Mungu akusamehe ww tubuu mapema maana umisha dini hiyo hako sahihi
@hajiameir8688
@hajiameir8688 5 ай бұрын
Yesu sio mungu
@RehemaKingu
@RehemaKingu 3 ай бұрын
yesu mwana wa mungu
@vinny.morales
@vinny.morales 2 ай бұрын
Endeleeni kuabudu jiwe jeusi la Makka
@KhadijaKipua-dw7yz
@KhadijaKipua-dw7yz 7 ай бұрын
Dr sule takbiriiiiii
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 5 ай бұрын
Mwandishi acha ushabiki! Aliyechanganyikiwa ni Sule sio Ndacha! Hoja za Ndacha haziwezi kujibiwa na muislamu yeyote hapa duniani!
@peterluppy8843
@peterluppy8843 4 ай бұрын
😂😂😂 kula chuma
@ismoodmohamed4581
@ismoodmohamed4581 3 ай бұрын
Wewe ukilicto nn
@mshamhemedy8567
@mshamhemedy8567 3 ай бұрын
Wambie
@professorimmah
@professorimmah Ай бұрын
Nyie wapakwa mafuta
@SamuelmuneneMuthoni
@SamuelmuneneMuthoni Ай бұрын
Kweli kabisa huyu ndacha ni moto
@user-ek7bx6sk6f
@user-ek7bx6sk6f 7 ай бұрын
Subhanallah Mwemyezi Mungu Akusamehe wewe ndacha na Matusi unayozungumuza kwamaana wewe usipopata neema ya kupata Uislamu unaishiya jahannamu milele ,so hivyo nikusahauri tu Tafuta haki Bado unanafasi ukiwa bado ungali hai
@EmanuelNicholaus-vn9gl
@EmanuelNicholaus-vn9gl 7 ай бұрын
Kitabu mnachokikataa ndicho mnachokitumia basi tumieni Maandiko yenu kuliko kutukana Injili ya Kristo acheni kulazimisha imani
@Melikzedek-dy1nv
@Melikzedek-dy1nv 7 ай бұрын
Ndacha ana kipaji
@ZeroBlen
@ZeroBlen 7 ай бұрын
Tunatumia kitabu chenu Kwa sababu ndicho mnachokiamini,,so tunatumia ili kukufundisha usichokielewA
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 7 ай бұрын
Ndacha ni mkali waislamu hamumuwezi
@AyubuIbrahim
@AyubuIbrahim 7 ай бұрын
Ndacha hajui anachokisema maskini ya mungu ya mungu anainge mladi ashinde ila anazima ya kumjibu mungu kesho na nyie wengine msishikwe akili mwenzenu anaonge ushindani kuwaongezea maudambwi ila ukweli unajulikana uislamu ndio unaojulikana
@user-zv4sx9iv8z
@user-zv4sx9iv8z 7 ай бұрын
Tume mushukuru Allah kupitiya Dr SULE
@molee2339
@molee2339 5 ай бұрын
Wewe, Mnafik, Allah HANA Broker, kama Sule, wala MTU yeyote!
@SANDUKUTV
@SANDUKUTV 4 ай бұрын
​@@molee2339hii inaweza kuwa shirki
@KhamisiJuma-xd7il
@KhamisiJuma-xd7il 2 ай бұрын
Uislamu ni raha sana ukweli wote umeelezew ndacha kama hautaki kusilimu jiandae na Moto wa jianam
@babakayla4109
@babakayla4109 8 ай бұрын
Msomaji wa Kiislamu iko vizuri sana❤
@minabuelysee8
@minabuelysee8 7 ай бұрын
MashaAllah
@ramadhanimwambeni1259
@ramadhanimwambeni1259 5 ай бұрын
Huwa mnanifurahisha 😂😂😂 mungu azidi kuwajalia uzima na afya wote waislamu na wakristo coz tunaelimishana kimpango
@RehemaKingu
@RehemaKingu 3 ай бұрын
Ndacha win %100 mungu atazami kama tunavyo tazama sisi ukiwa mkristo upo sehem sahihi
@MamboleoKalibikoJohn-Pet-uz3kt
@MamboleoKalibikoJohn-Pet-uz3kt Ай бұрын
Past. Ndacha ubarikiwe
@saudaumar3354
@saudaumar3354 8 ай бұрын
Mashallah ushindi wetu waislamu innadina idallah al,islam
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 5 ай бұрын
INNA DIIN GHINDA ALLAH AL ISLAAM
@aminajumale6805
@aminajumale6805 4 ай бұрын
Jazakallahu kheir
@user-ik2fz3kg9y
@user-ik2fz3kg9y 5 ай бұрын
Allahu Akbar❤❤❤❤
@user-ik2fz3kg9y
@user-ik2fz3kg9y 5 ай бұрын
Naam Manshaallah
@mahamudsalim-uq4xc
@mahamudsalim-uq4xc 5 ай бұрын
ALLAH AKBAR
@FelixMallya-xv9xu
@FelixMallya-xv9xu 4 ай бұрын
Ndacha have a good life broo watu mnaona dini n kama team zampra jaribu kujioneeni huruma
@user-kd5eu3bn4g
@user-kd5eu3bn4g 5 ай бұрын
Wislam wezangu ndacha mwache awe mbishi lakin ubishi wake ndo chanzo cha kusilimu Allah amfanyie mwepesi dokta sule ishaallah
@mahamudsalim-uq4xc
@mahamudsalim-uq4xc 5 ай бұрын
InshaALLAH mungu ampe nia ndacha na atasilimu juu wengi wao hao wakristo walikua wabishani mwisho wakasilimu wote kwa hvo imebaki ndacha
@onesmusmathitu8313
@onesmusmathitu8313 4 ай бұрын
Tunakupa hizi haya Saba! Kwani mungu ni wangapi hao wanapea mtume Mohammed hizo haya?
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 4 ай бұрын
​@@onesmusmathitu8313 Hiyo ni lugha tu inatumika, kwenue lugha y kiarabu inatumika hivyo kwa wingi km ni kujitukuza
@Nim68182
@Nim68182 3 ай бұрын
@@zulekhaa6817 Quran inasema anaye mfanyia uadui malaika wake hasahas wawili jibrili na mikaeli ni adui wa Mungu, Pia ikasem kuwa alie teremsha Quran moyon mwa muhamad ni adui wa jibrili 🤔🤔🤔🤔🤔 Hoooo hio imekaaj
@issackmohamed642
@issackmohamed642 Ай бұрын
Mash Allah sh sulee mabruk alek
@pettybrown2655
@pettybrown2655 7 ай бұрын
Ndacha👋👋👋🤝🙏🔥📖
@user-sw4wi9iw5x
@user-sw4wi9iw5x 6 ай бұрын
Mungu atu vushe
@godsknowledgeonlinetv3899
@godsknowledgeonlinetv3899 3 ай бұрын
😂😂😂😂 haki najifunza vitu ving kupitia hii midaharo asee 😂😂
@FrankAloyce-ic6rq
@FrankAloyce-ic6rq 4 ай бұрын
Safi ndacha kiboko yao waislamu hamuuwezi mziki wa yesu yesu Yuko kazini msipookoka basi Tena mnaenda kuhuukimiwa
@user-fu8iw8xb3n
@user-fu8iw8xb3n 6 ай бұрын
Ndacha wafundishe neno waache maneno
@KeleLesi
@KeleLesi Ай бұрын
❤❤❤ Masha allah
@SadalaMahamdu-vj7iy
@SadalaMahamdu-vj7iy 4 ай бұрын
Moto umewashwa kwa ajil ya majeuri allah aepushie mbali akuongoe na miongon mwa waliokufuata ndacha😭😭😭
@IssaMishi
@IssaMishi Ай бұрын
Thak bir
@ManenoDouglas
@ManenoDouglas 3 ай бұрын
Mwalimu dacha Ako juu sana ,pia Ako na hoja zenye mzingi
@HIRBOSALESA
@HIRBOSALESA 6 ай бұрын
Bwana ndacha Ubarikiwa katika Jina LA yesu
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 6 ай бұрын
POOR ON. U THE BLIND OF HEART AND SOUL
@mahamudsalim-uq4xc
@mahamudsalim-uq4xc 5 ай бұрын
Yesu n nn?
@Nim68182
@Nim68182 5 ай бұрын
​@@mahamudsalim-uq4xcYESU nimwana wa Mungu naa nimwokozi wamaisha yetu vilevile ninjia kweli na uzima kwa Mungu hafiki mtu bila kupitia kwake
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 5 ай бұрын
Ndio maneno yenu makafiri. LAANA Zinawasumbua
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 5 ай бұрын
​@@Nim68182yesu ni Mtume wa wayahudi tu. Hawahusu ninyi makafiri wengine. Mtume wa binaadamu wote ni MUHAMMAD saw
@basilejuma
@basilejuma 4 ай бұрын
Ndachaaaa mwalimu anae garagaza waislam
@samueldoweramadhani6826
@samueldoweramadhani6826 5 ай бұрын
Merci pasta wa chane
@user-nw9ds9qe5i
@user-nw9ds9qe5i 7 ай бұрын
Hallelujah mwalimu ndacha ubarikiwe sana wewe ndiyo uitwe Dr. Siyo huyo anae jiita Dr sule hajui kitu. Waislamu poleni.
@AishaAbbas-mw6ef
@AishaAbbas-mw6ef 7 ай бұрын
Pole ww usie elewa maan ya dini Sasa hunukristo ndo dini Gani na imeandikwa wapi 😅😅😂
@KharufaniRamadhani
@KharufaniRamadhani 6 күн бұрын
Dr sure uishi maisha malefu ili uzid kuwaelimesha wasiojielewa
@user-mv2zs6cx1e
@user-mv2zs6cx1e 4 ай бұрын
Nafurahi kuwa muislamu ALHAMDULILLAH huyu ndacha hata mm namshinda🤣🤣🤣 hata hajui anaongea nn maskini karibu kwenye dini ya haki tunafurahi sana kuwa waislam tunafurahi sana wenzio washasilimu tunakusubiri ww tu unawaponza wenzio ndacha 🤣🤣🤣 UISLAM ndo dini ya haki wallah tunafurahi kuwa waislam DR.Sule ALLAHUMMA BAARIK INSHALLAH
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 7 ай бұрын
Mafundisho Mazuri mubarikiwe
@Dama-sd4qk
@Dama-sd4qk 7 ай бұрын
Hi
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 3 ай бұрын
Ndacha mbona mm sijakuelewa naona hapo ww wamkoseya mungu sana kwanza staghafiru sana piya msikilize dokt sule anavo kupa elimu vizur ila la muhimu rud kwa mola wako na umuombe maghafra akusamehe
@experiusmrefu1003
@experiusmrefu1003 3 ай бұрын
Ndacha ni kiboko.🎉
@user-hg5vb5ct5g
@user-hg5vb5ct5g 6 ай бұрын
Mkusanyiko wa vtabu?hamjiuliz tuu Allah Waongoze
@onesmusmathitu8313
@onesmusmathitu8313 4 ай бұрын
Swali gani?
@user-rg1fz7wr7p
@user-rg1fz7wr7p 6 ай бұрын
Hakika dini mbele ya Allah ni dini ya kiislam.... Ukiristo ingekua dini wangeingia kanisani wakaanza kutumbuiza na mavazi ya Uchi, et wapo ibadani na muziki unaendelea Allah awasamehe na awaoneshe njia iliyonyooka... Amini inshallah
@aldinazani528
@aldinazani528 5 ай бұрын
Unaabudu mungu unampigia instrument na makelele zote
@aldinazani528
@aldinazani528 5 ай бұрын
Ndacha amekuja kutafuta pesa kwnye ukristo lkn ukwl anaujua ulipo
@aldinazani528
@aldinazani528 5 ай бұрын
Unashk bibilia na umetoka chooni kujipangusa na tissue,,dini gani hyo inaruhusu jina kitabu cha.mungu ukishike ukiwa mchafu
@user-pl8pn7qb9e
@user-pl8pn7qb9e 5 ай бұрын
@@aldinazani528 na janaba toopu ,maana nywele Toka alisuka Zina miezi 3 kichwa hakijatiwa maji janaba linaulizana tu we umingia lini we upo Toka lini ,aisee najivunia sanaaa kuwa muislamu
@nelsonrunya4686
@nelsonrunya4686 4 ай бұрын
Pongezi ndacha we love your❤
@user-fm8bq4pt9q
@user-fm8bq4pt9q Ай бұрын
Waislam takbirrrri
@user-wl5pu4qe1z
@user-wl5pu4qe1z 6 ай бұрын
Inshaallah nimeujua ukweli najiunga na wakristo
@cabylake2320
@cabylake2320 6 ай бұрын
Umepotea kabisa
@punyetoke9343
@punyetoke9343 5 ай бұрын
karibu kwa dini ya ukweli,,,
@hajiameir8688
@hajiameir8688 5 ай бұрын
Toka na mwanzo tu ww ni kafiri kwa lipi kubwa alilolisema ndacha kuacha dini yako yahaki na kuufuata ukiristo we huna akili kama ndacha
@zahorsuleyman3429
@zahorsuleyman3429 5 ай бұрын
Huyu kafiri zaman
@user-wl8cq2rn8z
@user-wl8cq2rn8z 5 ай бұрын
Ni kafiri tangia mwanzo,
@MuhandiJohn
@MuhandiJohn Ай бұрын
Sule kubali ukweli umpoke Yesu akukomboe
@user-hg5vb5ct5g
@user-hg5vb5ct5g 6 ай бұрын
Pole msifuate mikusanyiko y a vitabu funguken Allah awaongoze
@Nim68182
@Nim68182 5 ай бұрын
Niulize ,kwani taurati alopew nabii Moses katika Quran imo au
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 4 ай бұрын
Ndacha ubarikiwe sana Mungu akutunze unaeleweka sana
@nelsonrunya4686
@nelsonrunya4686 4 ай бұрын
Abarikiwe na mungu amueke....
@LEAHHAMISI-gg7ov
@LEAHHAMISI-gg7ov 5 ай бұрын
Ubarikiwe saana mchungaji ,unachanganua vzr saana sielewi hata wanaposhindwa kuelewa ni wapi?
@mahamudsalim-uq4xc
@mahamudsalim-uq4xc 5 ай бұрын
Ushawai sikia musilamu amemuelewa mcristo akiongia
@user-pl8pn7qb9e
@user-pl8pn7qb9e 8 ай бұрын
Mkristo wa kwanza ni Ibilisi pinga na hilo
@Nim68182
@Nim68182 5 ай бұрын
Towa Aya kweny Biblia kama ulisoma kwel 😂😂😂 usidanganywe na sulee jisomee mwenyewe we nip andiko kweny Biblia Ila usisahau kuwa majini nawo walisilimu mpk sas niwaislam
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 4 ай бұрын
​@@Nim68182 Sasa unataka waisilamu tuamini bibilia 😂 Qur'an ishatuambia kila asiefiata maamrishi y Allah anamfuata shetani, Sasa hapo kila dini nyengine ni shetani. Kuhusu majini kuwa nibwaisilamu ni kweli ni viumbe wameumbwa kumuabudu Allah. Na hao majini wapo mashetani ambao ndio wamemuasi Allah ambao sio waisilamu km iblis n wafuasi wake. N viumbe km sisi wapo waisilamu wapo n wasiokuwa waisilamu. Na wala hawataki dini nyengine kwa sababu wanajua dini zote sio z haki isipokuwa uisilamu. Sasa wawe wakiristo kwa nini na wkt wanajua sio dini y kweli
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he 3 ай бұрын
Hahaaaa,,pole na Quran Yako ya kichawi
@user-pl8pn7qb9e
@user-pl8pn7qb9e 3 ай бұрын
@@HappyMunisi-ig6he mkristo wa ni ibilisi ndacha mwenyewe amekubali andiko Hilo we nani ,makao makuu ya shetani kanisani we unasoma biblia Gani
@nduwimanaelyse1982
@nduwimanaelyse1982 2 ай бұрын
Ndaca Mungu akubariki
@petermwelesa1749
@petermwelesa1749 5 ай бұрын
❤❤great
@minanietienne-sz8xu
@minanietienne-sz8xu 7 ай бұрын
Thanks alot pastor ndacha you are good preacher
@Dama-sd4qk
@Dama-sd4qk 7 ай бұрын
Hi
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 6 ай бұрын
OH POOR ON U THE BLIND OF HEART AND SOUL
@peteremanuel8022
@peteremanuel8022 7 ай бұрын
Ndacha fundisha hawa waokoke na moto wa jehanamu hawaijui hawa maana njia ya kwenda kwa mungu ni moja tu. NI YESU KRISTO NDIYO NJIA KWELI NA UZIMA
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 5 ай бұрын
Wewe una matatizo ki Akili. Huyu ndacha wako Kisha laanika utamwona baadae atakavyokuwa
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 3 ай бұрын
Yesu katahiriwa
@user-ct9fb5or2n
@user-ct9fb5or2n 5 ай бұрын
Ndacha we kiboko umefanya nianze kufuatilia chanel hii una mafundisho mazuri zaidi
@Timonlangat
@Timonlangat 5 ай бұрын
True
@ZabibuZebu
@ZabibuZebu Ай бұрын
Ndach tafadhali kuw mu islamu tu 😂😂😂 ❤❤
@StevenMgassa
@StevenMgassa 4 ай бұрын
Ndacha oyeeeeeeee....👏👏👏👏
@Omari-w6d
@Omari-w6d Ай бұрын
Huyu ndacha hajui wala haelewi anacho ongea zaidi ya kupiga makelele
@SurprisedSalmon-ol4lh
@SurprisedSalmon-ol4lh 5 ай бұрын
Ndacha moja sawa na waislam wa Dunia nzima
@SurprisedSalmon-ol4lh
@SurprisedSalmon-ol4lh 5 ай бұрын
Timu ndacha tukuje hapa
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 4 ай бұрын
Umekosea sana Asiomuamini Allah ni sawa ni jumba bovubambalo halikaliwi
@pettybrown2655
@pettybrown2655 7 ай бұрын
Ameeeeeen ndacha Yes the lord Jesus Christ of Nazareth is the winner
@hanifa9153
@hanifa9153 7 ай бұрын
Ny'oo atawakata siku ya mwisho hyo yesu manake mmemzushia uongo😢 sio mungu bhana acheni
@gilbertfungameza
@gilbertfungameza 6 ай бұрын
Ndaca Fundisha Hao Wahiitao Kwamba Wanamtumikia Mwenyezi Mungu Kumbe Mfalme Wao Ni Wa Kuzimu Jamani Wakubali Wabatizwe
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 2 ай бұрын
Ukihamia ukiristo kumbe tunamuabudu Yesu sio MUNGU,hasara tupu.
@BadruHisha
@BadruHisha Ай бұрын
Ndacha hana hoja hajuwi kujitetea masiiiiikiiini weeeee😅
@RehemaKingu
@RehemaKingu 3 ай бұрын
DR SULE MASWALI YAKO YANA PASWA KULIZWA NA MTOT WA MIAKA 10 UKO NAUWELEWA MDOGO
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 yaan Ndacha chiz kwel aisee,ana ropoka tu na wakristo wasiojua chochote wanashangilia tu bila kuelewa chochote, wallah ndio maana nilisilim na kutoka kwenye huu ukafir
@masubukopita7201
@masubukopita7201 7 ай бұрын
Haaahaaa nyie waislam mnaabudu majin ndacha ni mwalim was ukweli
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 7 ай бұрын
@@masubukopita7201 hta mm nilivyo kuwa kafir nilikuwa nina mawazo finyu km ww,lkn mwenzio namshukur Mungu sikuwa mjinga sn km ww nilikuwa nasoma vitabu vyote,sasa nikuulize kati ya Waislam na wakristo ni din ipi kitabu Chao wakianza kusoma Aya au maandiko yake wanaanza na kumlaan shetan...?ukipata majibu jiulize hv unaweza kumlan unae muabudu....??😂😂😂😂😂😂shida nyie makafir hamuelew kitu yaan mnapelekwa km Manyumbu, ahsant Mungu kunitoa kwenye ukafir huu
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 6 ай бұрын
@@masubukopita7201 ww akil huna ,Kanisan ndio kuna kiti cha enzi cha Shetan,vp huwa mnasal nae...? kwenye Uisilam ukianza kusoma Aya zetu cha kwanza tunaanza na kumlan Shetan je nyie huwa mnaanza na kumlan mshirika wenu...?😂😂😂😂😂 makafir mnatabu nyie
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 5 ай бұрын
Ndio WAKIRISTO ni makafiri walivyo.. Husema maneno yao ya shetani... ALLAHU AKBAR
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 5 ай бұрын
@@h.alshidhani8971 wao hawaelew kitu kaz kuburuzwa tu na wachungaj wao,maandiko hawajui wao ni kushangilia tu😂😂😂
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 5 ай бұрын
Wewe ndacha utapata LAANA jiangalie Sana na ukafiri wako.
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 4 ай бұрын
Wewe ndiyo kafiri
@mnyarutv8896
@mnyarutv8896 15 күн бұрын
Wakristo wana akili nyingi
@alphapetro4901
@alphapetro4901 Ай бұрын
Ndacha wewe umetumwa na mungu kuwaelimisha dini saf dini aliyoileta mungu duniani
@OmarOmar-h2k
@OmarOmar-h2k 10 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@prudentbulambo
@prudentbulambo 3 ай бұрын
Wa islamu ni wapinga kristo wapinga kristo ni watumwa wa shetani 😢
@SalomonK-ic6mw
@SalomonK-ic6mw 4 ай бұрын
Ndasha Mungu azidi kukutumizia na akuendeleshe zaidi umewababaisha kweli kweli ubarikiwe kabsaa.
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 8 ай бұрын
Wakristo wengi hupewa maneno ya himani yao bila ushaidi wa maandiko ni dini propanganda tu haina ushaidi wa maandiko kazi yao ni uchawi tu wa wachungaji wao lakini hilo awalisemi kwa nini kila siku shetani toka kwa jina la yesu atatokaje na hapo ndiyo nyumbani kwake hiyo ni danganya toto tulakini hatoki hapo hamnadua kumtoa shetani kanisani hata siku moja wenyewe msharuusu ushoga kanisani sasa atatokaje apo na shetani anaupenda ushoga
@Nim68182
@Nim68182 5 ай бұрын
Ushoga nidhambi mbele za Mungu kama dhambi zingine Ko hakuna muislam shoga???
@nelsonrunya4686
@nelsonrunya4686 4 ай бұрын
Lakini ndacha anakupea maandishi sio maneno kuruan inatibitisha
@francisnachan1045
@francisnachan1045 3 ай бұрын
Hujui chochot ww ebu tulia waislam wamejaa majini ndo dini inayoongoza Kwa kuwa na wachawi wengi mnamiliki majini
@AmanMaker-wb5ss
@AmanMaker-wb5ss 2 ай бұрын
Hv ww usiongee kwa kujinufaisha zungumza/andika kwa point nikuulize kitu labda hv kati ya Zanzibar na Bara wap mashoga wamejaa mm nitakwambia zenji na nitakupa ukweli ya kuwa hata bara mashoga wapemba wapo wengi na wanaonekana hivyo bas mbona husemi na nyie waislam msharuhusu ushoga mskitin kwa maana iyo usiishi kwa kukosoa dini ya mtu ama imani ya mtu ww amini tu unachoamin kwa maana hata hizi dini mbili kubwa duniani tumeletewa waafrica hatukuwa na dini kwahy mkuu amini unachoamin na sio kukandamiza dini ya mtu bro
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 17 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 31 МЛН
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 5 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 42 М.
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Mbengo Tv
Рет қаралды 64 М.
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН