Subhana llahu hii Alhadulilahi. Hii swalata nariya inamajabu makubwa Sana tena Sana ambao sijayaona. Ikiwa unaguvyu utapata. Majabu majabu makubwa Sana. isome utajionea mwenyewe. Mimi Alhadulilahi namshukuru Allahu kumpa nguvyu ya kutufundisha hii swalata nariya hutokuwa na hofu ya kitu chochote katika hii dunia.
@muddymuzungu43575 ай бұрын
Maa Shaa Allah dada Nipe mpangilio tafadhali
@AyumeAbasihassan-xc8wn Жыл бұрын
Shukuran sheikh
@habibaramadhani-xv2ed8 ай бұрын
ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH
@fatmakhamis5044 Жыл бұрын
Mashaallah jazakallah kheri
@mwanaidihamisimtupa5126 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh
@biashasuleimanabdalla481 Жыл бұрын
Ingia kwenye play store. Kisha bonyeza hicho kidude cha kwanza cha games. Kisha andika swalatu Jibril. Zitakuja kila namna ya kumswalia wetu Muhammed S. A. W Amin
@rayarashid-uw7hl Жыл бұрын
Swallat Nariya
@hawayussuf9244 Жыл бұрын
Shukran
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Allah atuongoze atujaalie mwisho mwema. Kumbe watu wa Bidaa. Hawa!!! Wa Maulidi
@Randomcattvideos Жыл бұрын
Ùwe unafunga mdomo wako na kama huipendi basi kwanini unaiangalia hio video
@mrfashion1687 Жыл бұрын
Hii صلاة النارية niliisoma sana nilipokua madrasa, mimi na wenzangu tulikua tukiwa wadogo wadogo tulikua tunasoma kwa kuiimba mara kwa mara hua tulikua tunaisoma mara 4444 mpk nimeikariri sasa N.B... Ostadh wetu alikua mganga wa kitabu(اللهم اغفر له ور حمه واسكنه في الجنة )
@ayushjhayayushjhay2476 Жыл бұрын
Plz ndungu nakuomba uniadikie hiyo dual plz plz
@mussamtupa Жыл бұрын
Vipi mulifanikiwa mulisho kihitaji?
@Moc.khalfan Жыл бұрын
@@mussamtupa yeah Mimi nilikua naitumia wakati wa fm 6
@mrfashion1687 Жыл бұрын
@@mussamtupa mi nilikua mwanafunzi tu ndugu na nilikua mdogo hivo mimi na wenzangu tulikua tunaagizwa tuisome hiyo, kufanikiwa au kutofanikiwa sifahamu shekhe wetu ndo alikua anajua
@mrfashion1687 Жыл бұрын
@@ayushjhayayushjhay2476 unawweza kusoma kiarabu??? Maana nikikuandikia kwa kiswahili kuna maneno utayatamka vibaya
@aminasuphian7685 Жыл бұрын
Naomba iyodua naminiisome
@husseinmwiti2801 Жыл бұрын
Maduat wa kisufi wacheni kulingania watu kwenye shirki pia tutafsirie hiyo duruud nnariya neno kwa neno
@broumaiyyah8018 Жыл бұрын
Taja we hyo shirk uloiona
@wardalwena5846 Жыл бұрын
Kama jambo halikufai na pia sio lako achana nalo fata unayoona yanakufaa ww
@husseinmwiti2801 Жыл бұрын
@@wardalwena5846 sio mafundisho ya dini kunyamazia shirki
@Randomcattvideos Жыл бұрын
Kwanza mnakuja kufanya nini humu nendeni mkasome dua za watu wenu
@husseinmwiti2801 Жыл бұрын
@@Randomcattvideos dua ni kwa Allah hizo za watu ndo masufi upeleka makaburini
@ayushjhayayushjhay2476 Жыл бұрын
Naomba iyo dual
@Moc.khalfan Жыл бұрын
Ingia Google andika swalatu Nnariya ikingia kwenye sehemu ya image zitakuja tele
@husseinmwiti2801 Жыл бұрын
Na lau ukijua shirki iliyomo kwa hiyo swalatu nnariya auwezi kubali kuisoma
@Moc.khalfan Жыл бұрын
@@husseinmwiti2801 hemu tufundishe hiyo shirki iliyomo humo
@broumaiyyah8018 Жыл бұрын
We km waona shirk viache so lazm ukoment maana ukiulizwa shirk hujui maana ake
@husseinmwiti2801 Жыл бұрын
@@broumaiyyah8018 usipende kutoa povu kama ng'ombe aliyekula chumvi.sasa wewe mwenye wajua shirki mbona umekosa kujua hiyo swalatu nnariya sio mafundisho ya rasul wala hakuna kwenye vitabu vya hadith? pia umekosa kujua hiyo swalah maana yake neno kwa neno