Mimi ni mmoja wa wale wanamuenzi kwa nyimbo zake za mafunzo mengi. Nitahishi kumukumbuka mwalimu wa maisha yangu❤❤❤❤.
@jeromechembe22068 ай бұрын
Aiseee! Nakushukuru sana kwa KUMKUMBUKA mtu huyu. Huyu ndiye alikuwa Mwanamuziki wangu NILIYEMPENDA SANA na bado NAMUENZI sana na Super Bomboka ndiyo ilikuwa bendi yangu. Nilimtarajia sana Mzee Joh Jambele kutimiza ahadi yake kuwa atatengeneza album yake ya MOBVIE. Nakusalimia sana Mzee Jambele.
@zanukazididi36999 ай бұрын
Ni historia nzuri saana Asante
@absalomaloo30225 ай бұрын
I respect this man..usia wake utadumu milele
@HisanHaji Жыл бұрын
Nazipenda nyimbo zake hadi zinatupa raha sanaaa
@aminaomarimaidi3 ай бұрын
Allha amlaze mahali pena lnshaalha
@hakimundabila79405 ай бұрын
Nilikutana nae Arusha 1988 akiwa na band ya Kurugenzi jazz band, alitunga wimbo mama nioe mke gani na band hiyo aliokuwa akiupiga pale equator hotel
@abuukarata96532 ай бұрын
40 tu
@aud548 Жыл бұрын
Nikushauri tu ...simulizi ni nzuri ila asee background music ni mbovu na haiendani na story
@DASTAN_FRED_KAMALA Жыл бұрын
Asante Mkuu nimepokea ushauri wako next time nitajirekebisha.
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@DASTAN_FRED_KAMALA kwa nini unatoa historia ya mtu ambae anafahamika vizuri bila kufanya utafiti wa kutosha!!! Unasikitisha!!! Hao ndo waandishi wa Tz ingekua nchi nyingine ungekiona na mtema kuni😔😔
@DASTAN_FRED_KAMALA Жыл бұрын
@@mamboshepea8888 Mheshimiwa nashukuru kwa kunikosoa hakika wakati mwingine nitakuwa Makini zaidi ila ningefurahi zaidi kama ungeeleza Makosa yalipo ili tujirekebishe, maana hata hao wa nje unaowasujudia pia nao ukosea mara dufu kwakuwa nao ni binadamu kama Mimi na Wewe.
@b.3940 Жыл бұрын
Marijani Rajabu alijulikana pia kwa jina la kitani kama Jabali la Muziki.
@DASTAN_FRED_KAMALA Жыл бұрын
Naam ni kweli kabisa.
@abdulpagali7476 Жыл бұрын
Mtangazaji umeweka picha ya bendi ya wanafunzi wa shule ya Mkwawa ya mwaka 1972. Mwaka huo Marijani alikuwa kidato cha pili Tambaza. Les Orchestra Mkwawa ilikuwa inaundwa na wanafunzi wa kidato cha sita wa Mkwawa. Je, kulikuwa na uhusiano gani kati ya Marijani Rajabu na bendi hii iliyokuwa inaongozwa na Mhina Simon Sewando?😮😮😮
@DASTAN_FRED_KAMALA Жыл бұрын
Hakika sikuwa na maana yoyote nimeweka picha hizo ni kwasababu na yeye yupo katika picha hiyo. Asante.