Naipenda hii nyimbo sana japo niya kitambo bado yatamba. Nani anasikiza aeke like apo tuende sawa haaaaayaaaa mamboooo
@Pedeshee015 жыл бұрын
Mariam Keah sisi tuliozaliwa 2000 hii mbona hatuijui
@ahmedal-busaidy15065 жыл бұрын
My name ali suwed natokea znz mm mwenyewe naipends sana
@ahmedal-busaidy15065 жыл бұрын
@@Pedeshee01 ndo. Zakale hiyo silaum
@ahmedal-busaidy15065 жыл бұрын
Tuko pamoja
@saimonyohana8554 жыл бұрын
Noma sana naipenda mpaka naumwa
@tazzat33834 жыл бұрын
I feel in heaven whenever I listen to taarab. Is it only me??
@MMmusee Жыл бұрын
It's only you am an atheist but Taarab is my antidote.
@MarcoPolo-vo2on Жыл бұрын
It's not only you. Let's just hope there's taarab in heaven too.
@luqmanhassan478111 ай бұрын
@@MarcoPolo-vo2on😂😂😂
@patrickpgm636910 ай бұрын
Yes only you
@ShamimWanjiru-bm6ve9 ай бұрын
Eh tuko wengi taarab pozo la moyokutingisha maungo tu mdogomdogo
@tazzat33834 жыл бұрын
Subhanallah. This is the greatest best song ever!!
@fatimaramadhan8192 Жыл бұрын
This takes me back to the 90 growing up in Mombasa and mom would always be listening to her taarab, nostalgia ❤️
@brianmithia29302 ай бұрын
Taste,Smell and Sound Always take You to the Moment the First time visiting the coastal town of Mombasani from the Saline Water,Saline Taste of Water and the 🌊 to Wonderful Pilau nilijua nimewasili and that memory of 2002 will linger.Tulikuwa Kenya Poly😢😢😊😊 Memories.
@salimmohamed3668 Жыл бұрын
yaa salaammm wallahy umetukumbusha 90's enzi hizo taarab za kina swabah salum,mwana hawa ally na malkia mwenyewe Asha abdoo kwa jina lingine maarufu ni Malika. duh time imeenda sana
@khalfantambwe92918 жыл бұрын
zamani sana Nairobi Kenya...Mzee Shebe Issa Machakos na watu wote Majengo Pumwani Nairobi.. mnakumbuka hii...
@zabibujuma93837 жыл бұрын
khalfan Tambwe
@uthmanali69035 жыл бұрын
My favourite gwiji unajidai maarufu kumbe anajikashifu..........Khadija living Legend of Taarab music love you
@elmayohandez53175 жыл бұрын
Me leo nmependa hii kwa sana... Sijui nmeiskiza mara ngapi...
@zainabsuleiman59202 жыл бұрын
Haaawaaakuuuweeeziii baaabuuu weeee hao wengine ni maaapaaraaaziii na wakatafute mabuuzii was kuwaaeenzi
@felixmakinda76892 ай бұрын
Wimbo wanikumbusha enzi zile tukiishi Kericho kwenye majani chai. Khadija Ali kwenye Mahanjumati na Salamu Za Vijana. Mola amrehemu na ampe maisha marefu zaidi.
@jacobkomba91796 жыл бұрын
Hata iweje,watake wasitake Hadija kopa ndo malikia wa taarabu afrika nzima wengine wanajikongoja tuu kwanguvu za soda,lakini wewe ni habari ya mjini au ww ni Habari nyingine bigup mama.
@kanakamama44966 жыл бұрын
Wamesikia
@ismailali98205 жыл бұрын
Habari. Asha Abdow. Wapi wapi vidonge vyao
@omarymwamudu99165 жыл бұрын
Daa nikickia uwimbo uwa namkumbuka Sana mama angu alikuwa anaupenda Sana
@lisaanthony68444 жыл бұрын
Kweli kabisa
@rahadkinulimited73804 ай бұрын
Kweli kabisa
@aminatumbo74103 жыл бұрын
Gwinji 🔥🔥🔥still trending big up mama..
@swalehshaban28882 жыл бұрын
The song is legendary so soothing
@minnaomar92509 жыл бұрын
eti nae ajisifu kammiliki Fulani hujidai mzuri hapa mjinii u rock khadija kopa
@mchimazalitheheadgirl92924 жыл бұрын
One of the best taarab classics
@vetoncallkenya67187 ай бұрын
Heard this one in 1997 courtesy of my friend late Ngugi wa Mbugua
@amanadaudi65168 жыл бұрын
hongera hadija kopa wimbo mzuri sana,eti ngwinji nae jamani
@pcazzo222 жыл бұрын
Mamma mia...ancora mi viene la pelle d'oca ogni volta che l'ascolto!!
@salimmohamed3668 Жыл бұрын
questo mi ricorda mombasa e malindi... bellisime giornate
@jayblackxxx10 жыл бұрын
HAWAKUWEZI MAA KHADIJA WATAKWENDA MBIYO SANAA THANKS KWA KUTUWEKEYA OLD IS GOLD
@huaweiphone91205 жыл бұрын
Old is gold
@MalkiaSingida-s7h2 ай бұрын
Mama zuchu nakupenda sana mama yangu❤
@abdulhamidsuleiman49535 жыл бұрын
Eti ngwinji atambe,atambie kitu gani Eti nae ajigambe,ajigambe ana nin?? Old is gold taarab de Zanzibar
@mishepukarol43154 жыл бұрын
2020 Piga kelele kwa mama zuchu akeee👌👌👌👌👌
@mwanaidihassan53862 жыл бұрын
Safi sana Khadija kopa
@philipmugagolo28784 жыл бұрын
Zilizopendwa na ndio zinadumu mpaka leo zani kumbusha 80s and 90s Taharab ilikuwa kitu 👌
@firdausmohamed1458 жыл бұрын
Eti nae ajisifu kammiliki fulani.... Old is gold kopa ur da best
@sofiyasofi44375 жыл бұрын
haloooooo pambeeeeee anajisifu kamiliki fulani nakupenda sana hadija kopa
@sofiyasofi44375 жыл бұрын
santeeee
@maikhan15804 жыл бұрын
Nani kamuona zuchu jmny 😍❤💃
@brianmithia2930Ай бұрын
😊😊😊Tumemuona Mrembo Uwe Na Krimasi Njema Dada 4:39 Maikaani
@tyraxcyber57108 жыл бұрын
ajigambe ana niiini.hahaaaa love this song.
@chikumbwana87512 жыл бұрын
Kujidai maharufu, mzuri hapa mjini👌😜
@pcazzo223 жыл бұрын
Non so che dire... la nostalgia mi uccide dentro!!! 😭😭😭 Il Meglio!!!
@shamimhussein13518 жыл бұрын
kopa hoyeeeee 👌siachi kuisikiliza mie
@mamu85raja868 жыл бұрын
my fvrt of all the time khadija kopa... reggae my fvrt bt coming to taarab shez the best . much lov from kenya mamaaa
@KhalidKhalid-ox4pg2 жыл бұрын
Aisha Oman asante mama unarindima big up iyo nyimbo ni balaa tandale kwa tumbo palikuwa hapatoshi ngwinji 🙄
@zainabsuleiman59202 жыл бұрын
Tupigeniiii keleleee kwa mkweweeee wa mondiiiiiyyyy weeeee weeee
@zulachama10675 жыл бұрын
2019 bado namsikiza ngwinji kweli Zilipendwa na bado zapendeza
@hamidaramadhani33833 жыл бұрын
Uko juu wakopa
@chikasbigfish91385 жыл бұрын
2019 nabado naangalia......from Mombasa Kenya
@mashakiabdulrahman33735 жыл бұрын
Nakuona bro 😊😊🇰🇪🇰🇪
@zulfaswalehe91113 жыл бұрын
Kama umemuona zuchu like hapa yujuane
@nasmasalimu95084 жыл бұрын
Jamani ni mm ama ninawenzangu mumemuona nzuchu ndu ama kweli mola akitaka kukupa umarufu mpaka mda autakaoo nyimbo niyanzamani Sanaa ila nzuchu amejulikana 2020 Corona days
@RioIpo3 жыл бұрын
Kwanza, nyimbo hii inatoka Zuchu hajazaliwa mana imetoka 1992... izo ni picha za matukio tu
@tatamatata36418 жыл бұрын
naitafuta nyimbo ya kopa... amelowa nimelowa na wangu fulani.. pls upload this song kama unayo
@aishahassanor64873 жыл бұрын
I like the songs 🌺🌺🌺🌺🌺❤️🌹✌️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 big up khadija kopa 💪💪💪💪💪💪💪💪
@mohamedkilyamangombe2963 жыл бұрын
Legend wa taarab Africa Mashariki
@kennar012 Жыл бұрын
Sijai jua kuna ngoma mali safi ivi. Watu wa Nairobi rada manze?
@mikemunyendo1982 жыл бұрын
Khadija Kopa nakupenda mamaa
@azarhokarani758010 жыл бұрын
Maa khadija uko juu......
@shamsanassor11988 жыл бұрын
azar hokarani hhghhhghhjhhjjjjhjujjjhhjjjjjjhuhh
@inkibao5495Ай бұрын
Wpiga vyombo walikuwa vizuri sana
@nilamlenga35815 жыл бұрын
1992 duh...... Aysee nimekumbuka mbali huyu dada kweli ni malkia wa taarab
@toihirmzembaba41858 жыл бұрын
BB lionne des lionnes, je t'aime bi khadidja. ipvangamudu comoros
@sheillahfaraji53389 жыл бұрын
kopa uko juu sanaaa
@janethcloudy85204 жыл бұрын
2020 bado naskliza kopa ni nouma
@rodgersangolo25347 жыл бұрын
IT IS such a lovely song..very great
@HAMISIYUSUF-e8p2 ай бұрын
Mama mlezi wa huba khadija omar kopa
@shununamtoni91453 жыл бұрын
The Best of the best of my malkia khadija big up 💪♥️ 2021 still the hit🔥
@brianmithia29302 ай бұрын
Hata 2024 She's the 👑 Dada😊
@zamimila50425 жыл бұрын
love this song too much..husema anaspendi dollar za kimarecani ...lol..please tuwekee na nyimbo yake kinyangunya please
@hassanadamali33828 жыл бұрын
Old is gold penda sana huu wimbo
@janetmwikali5477Ай бұрын
Hadi nasikia kasauti ka Zuu😊❤
@traytrid9367 Жыл бұрын
Unmatched vocals🤩🤩🤩🤩🤩
@mwenemaseko49216 жыл бұрын
kwenye watu wapendwao ngwinji humo hesabuni!!!! my god!
@tazzat33834 жыл бұрын
This will cure all your depressions and lowliness
@philcoism5 жыл бұрын
Dollar dollar...dollar za kimarekani..eeeh ngwinji eeeh ngwinji atakupa nani.
@aishaissa25123 жыл бұрын
Very very nice mum khadija❤️❤️💋
@RioIpo3 жыл бұрын
Hujidai maarufu mzuri hapa mjini
@hindukassim80375 жыл бұрын
ahsante khadija umenikunaje
@qweenymamu27686 жыл бұрын
If you still listen to this Taarab piga like
@rajabukasuka5 жыл бұрын
😘
@ahmedal-busaidy15065 жыл бұрын
Ndo namcklz hp ngwinji
@fistyomar83454 жыл бұрын
Nakubali
@zaynyusuf7072 Жыл бұрын
Shogaangu😂me replying 5 yrs later😂😂😂😂😂
@KennedyWanjala-m7d6 ай бұрын
Yanikumbusha mbali sana
@TheFamilesso8 жыл бұрын
Thanks Khadija, always my fav
@sylviamaven66715 жыл бұрын
I love khadjah
@sylviamaven66715 жыл бұрын
Khadija gwingi are so many God know am not gwnji
@sylviamaven66715 жыл бұрын
Gwinji
@sylviamaven66715 жыл бұрын
Njwingi atambie Nani
@shillingihamisi6353 жыл бұрын
2021 nabado nyimbo iko mpya from Mombasa likoni kenya
@augustinolugano17069 жыл бұрын
Ngwinji..... naupenda sana wimbo huu
@zuhuranjeri16636 жыл бұрын
Still enjoying this song in September 292018.
@muddyzanga74764 ай бұрын
up now September 2024
@cherongosidavid93753 жыл бұрын
The very best, soulful and soothing music
@gshdhshhshs33626 жыл бұрын
Hehehe kujidai maarufu mzuri hapa mjini hehe gwiji ata aibu huoni
@swalehelshabiby59154 жыл бұрын
Kopa hiyo nyimbo poa watambia nini wewe si kama mimi poa kopa😂😂😂🖐🖐🖐
@sekkelajoel21994 жыл бұрын
Penda sana wajina wangu😘😘😘
@maryamtassama4942 жыл бұрын
Mmwaaaa mama yangu....mfundishe zuchu poz zako....tatizo Andover confidence ndio maana watu wanamponda.anatakiwa afanye kujiamini kwakiasi sio anajionesha kamaliza kilakitu....iyo overconfidence inawaboa watu....
@brianmithia29302 ай бұрын
😊😊😊😊❤❤❤nimeipenda Comment 🥰🥰🥰
@saumuabdallah33686 жыл бұрын
Nakumbuka zamani sana miaka ya 1992 zama hazirudi day!
@ameirameir49302 жыл бұрын
Zanzibar ya wakat wake tupo wadogo tukiisikia wimbo huu kwenye radio ya unguja kipindi cha burudani....
@markkayuni994 жыл бұрын
Mama umenikosha 2020
@sakinaabd58989 жыл бұрын
ngwinji mwacheni atambe ajitia hisabuni, kuwa kammiliki fulani hata aibu haoni kwani atambia kitu gani? heko dada Khadija kopa
@MarcoPolo-vo2on3 жыл бұрын
KhadijaKopa Queen 👑
@safiyahkaiji57042 жыл бұрын
Nice one oldies the great always
@rukiamashaka75778 күн бұрын
Eti ooh ngwijie pochi atakupa nani😅😅😅😅,,,,,,,, someone here 2025
@moshiraelqady95135 жыл бұрын
Penda sana bi khadija kopa zanzbar oyeee
@supertal29436 жыл бұрын
Mmmh'Ama kweli zama hazirudi !!!
@alwafealwafe72866 жыл бұрын
Kweri
@nzeyimanamewajuma1666 жыл бұрын
2019
@latifaomary17692 жыл бұрын
Nakubar Sana hili jimbo
@mariamakwinya86464 жыл бұрын
Uwwwww rahaaaa
@samatarali77254 жыл бұрын
Sauti nzuri sana kweli
@albertocerezo20898 жыл бұрын
nimeshukuru kwa hii upload..please give us more of TOT Taarab..Nyama ya bata-Ally Mwanahawa, Alipuke and the rest
@redflowsr82227 жыл бұрын
Ngwinji una nn chakutushulisha huna ulokua na tatizo nyota hatufananiiiiii
@rahadkinulimited73804 ай бұрын
Hapo uliweza
@mirajmtoma55773 жыл бұрын
Lov song ilove be khadija kopa
@paulinacherement25344 жыл бұрын
Old is gold.
@salha.d50602 жыл бұрын
2023 Mambo Bado pambee tyuuu Ngoma inaishiii
@yussufdpac90975 жыл бұрын
Asante malkia wa taarab
@nadiahassan79934 жыл бұрын
2020 bado twasikizaaaa
@zabibujuma93837 жыл бұрын
tuma za zamani zimetulia saanaa
@siasmiles80574 жыл бұрын
Kama umekuja baada ya kuona picha ya zuchu gonga like
@nishimweangenicole38 Жыл бұрын
Still number one❤❤
@samuelmwaipopo13022 жыл бұрын
Imenikumbusha utotoni tunatoka mtaa wa makanya tunaenda mtaa wa kondoa magomeni ukumbi wa DDC kuangalia TOT. Ilikuwa show kabambe,, mchana zamu yetu watoto kuangalia maigizo, sarakasi na mazingaombwe. Jioni wazee wanaangalia TOT modern Taarab... Magomeni ilikuwa magomeni haswaaa...
@IsmailAhmed-xg8mi3 күн бұрын
Nani anaangalia hii video mwaka 2025 🎉
@hmddhmdd11693 жыл бұрын
Nyimbo tamu
@vanessaenock13373 жыл бұрын
2021 piga kelele wewe 👌👌🥰🥰🥰
@deomwanicheta5533 жыл бұрын
Enzi zetu tulijua anaimba mwainyi Atambe
@RioIpo3 жыл бұрын
Labda kwenu uko lakini sisi huku zenji tulijua ni Ngwinji