Khadija Kopa Full Stop Official Video

  Рет қаралды 2,205,638

Africha Entertainment

Africha Entertainment

Күн бұрын

Пікірлер: 573
@JustinaSamson-xm2xu
@JustinaSamson-xm2xu 7 ай бұрын
Aliemuona zuchu Kama mm agonge like jaman
@mariamlishaz6732
@mariamlishaz6732 7 ай бұрын
Kama umekuja hapa kumuangalia zuchu gonga like😂😂
@afrosagodfrey1791
@afrosagodfrey1791 7 ай бұрын
Duh😂
@kingsanya6860
@kingsanya6860 7 ай бұрын
😂😂
@NunuSaidi
@NunuSaidi 7 ай бұрын
😂❤
@ONEMANN1
@ONEMANN1 6 ай бұрын
hako kamama kakonde ndio zuchu?
@Lizbethlaban-l2b
@Lizbethlaban-l2b 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@matildamoris3641
@matildamoris3641 7 ай бұрын
Hii nyimbo nimeiyona kitambo Sana tena home ulikuwepo cd yake kbs lkn wazo la kusema zuchu alikuwepo wala sikuwa nalo😅😅😅 ayha km tunafanana uwelekeo gonga like hp
@LuckyLucky-qi8so
@LuckyLucky-qi8so 28 күн бұрын
Wakumbuka nyimbo ya pili kwa hii cd? Naitafuta sana iyo nyimbo lakini sikumbuki jina
@SaumuSaumu-x8g
@SaumuSaumu-x8g 27 күн бұрын
Na bas zuchu mkubwa jamani sabbu hi tarabu niya muda tena
@saidharith5643
@saidharith5643 7 ай бұрын
2024 muko wapii
@fatumaali2158
@fatumaali2158 2 жыл бұрын
Aliyemuona zuchu kwenye song aweke like zake appa
@aminamussa5122
@aminamussa5122 7 ай бұрын
That's not Zuchu
@chifuwasalimatz2971
@chifuwasalimatz2971 7 ай бұрын
Kama umekuja hapa kumuangalia Zuchu Gonga Like 😅
@fatmamazige9486
@fatmamazige9486 2 жыл бұрын
Kama umemuona zuchu gonga like
@zulachama1067
@zulachama1067 4 жыл бұрын
2020 bado hii ngoma ni more fire sana,wapi LIKE zenu tujuane hapa.#254 Kenya.
@martinmbuvi9406
@martinmbuvi9406 2 жыл бұрын
Very nice, and well played.heko khadhija koppa.
@zawadiwega2149
@zawadiwega2149 4 жыл бұрын
Daaah kama bado upo unapata burudan hii tamuuu gonga like 2020
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 жыл бұрын
Aliye muona muona zuchu miongon walio vaa vikoi vyachano awowasichana watatu mmoja wao zuchu
@lulugama1547
@lulugama1547 2 жыл бұрын
Zuchu kumbe yuko kwenye hii nyimbo! kudos to Zuchu
@shabanijudith202
@shabanijudith202 Жыл бұрын
Ndo namuona dhaaa
@GiftMsey
@GiftMsey 2 ай бұрын
Nandy pia yupo
@shaltonomolo7579
@shaltonomolo7579 5 жыл бұрын
Naku enzi Sana kutoka Kenya. Mziki imepangwa kweli
@kabwelerywamwatumu5078
@kabwelerywamwatumu5078 4 жыл бұрын
Wanaendelea kusikiliza goma ili 2020 tujuane🔥🔥
@saumuomary2117
@saumuomary2117 3 жыл бұрын
👎👎👎👎👎👎👎
@lulumtinge2138
@lulumtinge2138 2 жыл бұрын
Huna nyimbo siipendi Khadija wangu.
@khalidvova6601
@khalidvova6601 8 жыл бұрын
nilimpenda sana kopa toka enz za ngwinji..hakuna alichokosa...kaimba vyote..lkn muda muafaka kuachana sasa na vurugu za dunia mshukur sana mungu khadija mpaka Leo upo hai na afya imara mungu akubarik sana lkn mama yang imetosha muda uliobakiza duniani mrudie mungu wet kidhat..leyla khatib..issa matona..na Dada yako shakila(.Allah awarehem)..mungu alishawachukua zaman na huko walipo Allah yalaam.khadija mrudie mungu imetosha Dada yang..nakutakia mema nikiwa km shabik.kipenz km ridhk imetosha Dada yang.. kwaher lkn usia Wang ukumbuke sana..kwaher khadija!
@wane6560
@wane6560 7 жыл бұрын
gud
@habibakhlifa8534
@habibakhlifa8534 7 жыл бұрын
Khalid Vova kwelii hadija kukumbushana ndo ilivyo Arejee nyuma tena huenda Mungu anamuweka ili atubiee wengii wenziwee washatangulia Mungu atamrudisha inshaallah katima hakii
@lilianswai8336
@lilianswai8336 6 жыл бұрын
Khalid Vova waaaaaaaaaao
@rashidibrahimshemlugu7845
@rashidibrahimshemlugu7845 6 жыл бұрын
Khalid Vova naungana naww kaka
@faudhiasalim3305
@faudhiasalim3305 6 жыл бұрын
Swadact 🙏🌹💓
@milanzisalum9305
@milanzisalum9305 5 жыл бұрын
Noma sana Mama Omary, ucache kuimba bado tunahitahi hizi radha
@zulachama1067
@zulachama1067 2 жыл бұрын
15/09/2022 alhamdhililai, hii nyimbo haishi hamu kizuri kipewe sifa mama unajua kazi auakika ubatishi.# khadija kopa full stop.
@hamzaramadhani2343
@hamzaramadhani2343 3 жыл бұрын
Sharobaro kapewa kikombe kasema nasubiri mrija men noma sana
@neemasamwel8314
@neemasamwel8314 5 жыл бұрын
kama unaangalia ngoma hii 2019 gonga like
@wardasalumu1940
@wardasalumu1940 5 жыл бұрын
naipenda Sana
@hassanseleman1567
@hassanseleman1567 5 жыл бұрын
hassan hii buldan
@zamzambakari1423
@zamzambakari1423 4 жыл бұрын
@@hassanseleman1567 ngoma ni motooo
@zamzambakari1423
@zamzambakari1423 4 жыл бұрын
@@hassanseleman1567 ngoma ni motooo
@mzimamzee5
@mzimamzee5 3 жыл бұрын
@@wardasalumu1940 naipenda sana n mashalaah
@jeandarc9653
@jeandarc9653 5 жыл бұрын
From comoros I love swahili music, it's like comoran music
@rajabmwachia6508
@rajabmwachia6508 5 жыл бұрын
Same culture Jean,same roots💕
@mwinyibakarisenkopwa931
@mwinyibakarisenkopwa931 4 жыл бұрын
Vizuri,Karibu Tanzania
@AbdulMtausi-qi3en
@AbdulMtausi-qi3en Жыл бұрын
Greatest of all Time Khadja Kopa
@benardmwanzia.8438
@benardmwanzia.8438 6 жыл бұрын
Hata mje na waganga Lori nzima huyu wangu siachi...napenda nyimbo hii
@matildamoris3641
@matildamoris3641 7 ай бұрын
2016 ndo hii nyimbo imetoka R.I.P bi rukia mama yake isha mashauz 😢
@rubinmakori9866
@rubinmakori9866 4 жыл бұрын
Hadija kopa u are still on top and towering each day. Long live to keep us entertained.
@lullaklem894
@lullaklem894 9 жыл бұрын
Excellent. This is real African culture. I GIVE IT A SCORE OF "A"
@esthermumbimuchina5918
@esthermumbimuchina5918 8 жыл бұрын
😍😍
@amriopio4670
@amriopio4670 5 жыл бұрын
Lulla Klem y
@mwanamkuuhassan9849
@mwanamkuuhassan9849 5 жыл бұрын
hili goba hatariiiii mwanamkuu Hassan tabata segerea
@franciscogash4466
@franciscogash4466 2 жыл бұрын
I just can't stop listening to this FULL STOP. The voices and the dancing are very WONDERFUL
@sifrajenterprises5002
@sifrajenterprises5002 2 жыл бұрын
Still listen this November 2021 love from Tanzania 🇹🇿 ❤ beautiful khadija kopa
@AbdallahMillah
@AbdallahMillah 8 ай бұрын
Mama Zu wallah sichoki kuangalia hii 2024
@eugeniaakochi2187
@eugeniaakochi2187 8 жыл бұрын
Big up malkia wa mipasho.The one and only Queen of Taarab
@abdiahassan1903
@abdiahassan1903 3 жыл бұрын
Munguakupeemaishamarefukhadija! Inshaallah
@MohammedTwahili-vy6zq
@MohammedTwahili-vy6zq Жыл бұрын
Mmm! Utafuti wako ukamwekaaaa! Asanthe mama; mama shikamoo
@missmoona4497
@missmoona4497 4 жыл бұрын
Pole khadija kwa kufiwa na baby wako ulimpenda mwenyewe. R I P
@luciamgila4353
@luciamgila4353 2 жыл бұрын
Ahsante Dear 🙏 Ms Khadija Kopa, Mungu akubariki my Dear Kwa huduma. Asikupungukie hata moja. Nakupenda ❤️
@ramadhanhamisi3397
@ramadhanhamisi3397 3 жыл бұрын
Mimi kwakweli nampenda tu uyu mama alafu anajua kuimba sana
@florankeshi3569
@florankeshi3569 9 жыл бұрын
Kama kawa mama I give you 100%. love your music. from USA
@EVALINEKEMUNTO-xr3mx
@EVALINEKEMUNTO-xr3mx Жыл бұрын
Mama zuchu kiboko yao Simba wa taarabu nakupenda Sana unavyoimba na kukoroga kiswahili,pia kiuno hata sisemi kitu.kila la heri malkia.kutoka kenya
@halimarajabkenya9413
@halimarajabkenya9413 4 жыл бұрын
Wapi likes za 2020 kwa khadija kama bado unatazama huu wimbo
@aminaamina5308
@aminaamina5308 4 жыл бұрын
Mama lao
@ikoneeregae9270
@ikoneeregae9270 5 жыл бұрын
Jamani mapaparazi mtajuta kuniona mnaingilia mapenzi....kali hiyo
@robertikwabe6887
@robertikwabe6887 10 жыл бұрын
lo k.khopa ukomanda wamakike kweli. shangazi maripoti waletewa
@leonsakia6127
@leonsakia6127 4 жыл бұрын
I wont lie, I only got here becoz of her daughter. Salute Madam Kopa
@musasaid964
@musasaid964 4 жыл бұрын
Kama umemuona zuchu Katika video hii ❤like kama zote
@zawardmdolo2334
@zawardmdolo2334 Жыл бұрын
Kumbe zuchu mkubwa
@benitopilla3145
@benitopilla3145 Жыл бұрын
Acha uongo z alikua anatambaa unavyotoka wimbo huu
@ayshajeffa6592
@ayshajeffa6592 Жыл бұрын
@@benitopilla3145 n kwer
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 7 ай бұрын
​@@zawardmdolo2334sana
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 7 ай бұрын
​@@benitopilla3145 yupo usibishe😂
@millicentamwayi4607
@millicentamwayi4607 4 жыл бұрын
Juuuu tu Sana nikiwa Kenya
@mellenondieki6329
@mellenondieki6329 2 жыл бұрын
Mama,nyimbo nzuri,l see you from USA GONGA MWAMBA,MAMA,KHADIJA,,SONGA, MBELE,KABISA,, I NOKO,AMERICAN.
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 7 жыл бұрын
Napenda miziki migumu ila ili goma lilipigwa siku usiku mwingi nipo bwenini saa 8 usingizi umekata basi nlitulia kama mzanzibari dah nakkubari sana madam dah
@saidimnyani3330
@saidimnyani3330 Жыл бұрын
Nalikubari Sana Hili goma na sichoki kulitazama
@dianabanga2625
@dianabanga2625 Жыл бұрын
sema na sauti yake tamu sanaaa ...me pia hivi so vitu vyangu ila huyu mama 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@deogratiasgabriel8555
@deogratiasgabriel8555 4 жыл бұрын
Dah nakumbuk mbal sana kipind hiko nipo zenj full rusha rohoo
@lilywei6616
@lilywei6616 4 жыл бұрын
Wasio fika zenji kwenye full rusha rohoo
@issashabani6493
@issashabani6493 4 жыл бұрын
Hauna mpizani kabisa
@khadijayahya-e3n
@khadijayahya-e3n Ай бұрын
Chumba na veranda tena ghofani nampatia❤
@catherineahonge8687
@catherineahonge8687 6 жыл бұрын
Napenda sana... mama Africa Hoyeee...ni kweli mji atauhama...
@upako4598
@upako4598 Жыл бұрын
Hii nyimbo ni nzuri saaanaa khadija kopa popote ulipo nakupenda sana mimi mama wa kinyaru miaka mia nane kwangu huu wimbo hauchuji
@emmanuelabuga3185
@emmanuelabuga3185 6 жыл бұрын
Taarabu taaaamu inayofurahisha roho yangu na kunipa mafunzo.
@fredricknadduli
@fredricknadduli 10 жыл бұрын
its one of the taarab tracks i cannot stop to listen to. Its so good. love ua music dear
@jasminmirajikimaro6263
@jasminmirajikimaro6263 2 жыл бұрын
No WY
@eunicemutuku2919
@eunicemutuku2919 Жыл бұрын
Same here
@fardosmohdhallimhanyfatyla4687
@fardosmohdhallimhanyfatyla4687 3 жыл бұрын
Kiboko Wala hakuna kama Khadija hajazaliwa 😍
@issashabani6493
@issashabani6493 4 жыл бұрын
Khadija kopa wew ni mwisho
@rashidepango5878
@rashidepango5878 4 жыл бұрын
Kama unahangaliya hiyi ngoma 2020 like hapa
@mamafatuma138
@mamafatuma138 4 жыл бұрын
21/2/2020
@issashabani6493
@issashabani6493 4 жыл бұрын
Poa kabisa
@salimkhamis5150
@salimkhamis5150 3 жыл бұрын
@@issashabani6493l
@salimkhamis5150
@salimkhamis5150 3 жыл бұрын
sawa
@robylima2054
@robylima2054 8 ай бұрын
Uhh HH hqho hho o. me and 😊 me 40 me v and. I😊v. Oovoo😊
@jumaahussein4847
@jumaahussein4847 4 ай бұрын
Nice taarab, I love it too much
@ramadhaniibrahim-zv1ci
@ramadhaniibrahim-zv1ci 6 ай бұрын
Nimemuona zuchu wa web au wa zanzibar
@selemanshidda9688
@selemanshidda9688 Жыл бұрын
Bravo Tanzania!! Bravo TAARAB!!
@samwelatuti5895
@samwelatuti5895 3 жыл бұрын
Inaongoa kweli ,usiome wingi was ndevu ukafikiri busara
@yohanakivuyo4261
@yohanakivuyo4261 3 жыл бұрын
Mungu akuenge see kipaji
@BiumbeBiumbealiy-fe1zt
@BiumbeBiumbealiy-fe1zt Жыл бұрын
Thanks wafiyangu.mungu.akueke.akupe.kheri.yaakhera.naduniani.uzidi.upendo
@amnemuhammad8407
@amnemuhammad8407 6 жыл бұрын
heheheyaaa caro light hiyo itauwaaa napenda sana nyimbo zako 👌👌👌
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Hatutaki uso wa paka babu we👌
@danielmipango8550
@danielmipango8550 9 жыл бұрын
Asanteeeeeee mama wape ukweli hao fuuuuuuul stop
@gatumajuma2909
@gatumajuma2909 9 жыл бұрын
ile neno nalo, khadija kopa wewe mwisho
@Stefanomartozjr
@Stefanomartozjr 10 жыл бұрын
Vuruga kabisa mama, Upo juu sana.
@zainabsuleiman5920
@zainabsuleiman5920 2 жыл бұрын
Wamekata kona wanakubali penati aaaaah
@jeandarc9653
@jeandarc9653 7 жыл бұрын
Nakubenda sana maman watrou khadidja. From comoros
@antonyammar6182
@antonyammar6182 6 жыл бұрын
MLINDE O m
@ismailmukama8930
@ismailmukama8930 9 жыл бұрын
hadija kopa u rock the taarab music industry as well! hasante sana!
@geldapango4741
@geldapango4741 4 жыл бұрын
Mama was mjini nakipendaga Sana wewe ulikuja kibaha siku moja ukapiga shoo hu wimbo nilishindwa kuvumilia nikapanda jukwaani nakuelewa huwa haukosei
@maureenmeli5225
@maureenmeli5225 Жыл бұрын
Mamaaa ongera
@jacksonntunzwenimana3776
@jacksonntunzwenimana3776 3 ай бұрын
Thanks Kopa. One of my all time songs for sure
@zainabsuleiman5920
@zainabsuleiman5920 2 жыл бұрын
Sio wanaovaa wepe wote ni madaktari wengine ni wauza nyama aaaaaahh
@VICKYVICKY-rt5sn
@VICKYVICKY-rt5sn 5 жыл бұрын
Wanaosikiliza mpk Leo Dec 2018 na bado inahit naomba tujuane 👌👌😂😂💋💋❤❤❤❤❤
@jamesbaya5631
@jamesbaya5631 5 жыл бұрын
James
@ashurausseinashuraussein7275
@ashurausseinashuraussein7275 5 жыл бұрын
Tupo
@douglasnyakango636
@douglasnyakango636 6 жыл бұрын
Haaaaaa,wamekataa Conner,wamekubali penati.
@calvinrichard4591
@calvinrichard4591 3 жыл бұрын
Maajabu hayo
@MohamedDody01
@MohamedDody01 4 жыл бұрын
napenda aliposema hata uje na waganga roli zima 2020
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 11 ай бұрын
Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤❤❤
@hamadibrahimu3845
@hamadibrahimu3845 6 жыл бұрын
Uko juu mama khadija kopa mamaa wa mipasho
@aishasalum2963
@aishasalum2963 5 жыл бұрын
Aiseee wimbo upo powa nawew unamauno hatali mama
@oliversamadu3581
@oliversamadu3581 4 жыл бұрын
Kopa nmekuja kukuona baada yakuona kipaji cha mwanao 2020
@vuzotv22
@vuzotv22 3 жыл бұрын
Kitambo sana, uswazi ilikuwa noma
@mtindishee1715
@mtindishee1715 7 жыл бұрын
like the lyrics and the uniformity of the dancers, love mmmmwaaaahn job well done, congrats admn.
@annnditu3659
@annnditu3659 3 жыл бұрын
Great woman ..i love all your songs
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 жыл бұрын
Nakukubali mama yngu 😙 😙🇪🇭🇪🇭🇪🇭🔥
@fourgmasolwa3953
@fourgmasolwa3953 3 жыл бұрын
Tujuane hapa 2021
@Basagamp4
@Basagamp4 6 жыл бұрын
Daah aiseeee huu ni wimbo wangu Booora kabisa
@aminahassani-jh5rp
@aminahassani-jh5rp 7 ай бұрын
Nyimbo ya zamani hii kumbe zuchu no mkubwa sana khaa nyimbo ya kitambo sana kabla Marian hajafariki😂😂
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 жыл бұрын
Maryam khamiss kama yupo dunia hii vile ah kifo bhana Allah amrehem na amxameh dhambi zake
@francinesafi9047
@francinesafi9047 Жыл бұрын
Ongera san kwa nyimbo hii dada
@latifalatifa6460
@latifalatifa6460 5 жыл бұрын
Jamani naombeni kujua nikitaka kumpata khadija kopa nitampata vipi
@dianabanga2625
@dianabanga2625 Жыл бұрын
sauti tamuu 🥰🥰🥰
@roneyjuma1826
@roneyjuma1826 5 жыл бұрын
nyimbo nzuri sana
@shabhykhazinja8339
@shabhykhazinja8339 7 жыл бұрын
Malkia wa mipasho, wapashe wapashike, ata mie naringa narangi yangu.
@yohanakivuyo4261
@yohanakivuyo4261 3 жыл бұрын
Kama umemuona dada zuchu twende pamoja
@euniceruhasha6528
@euniceruhasha6528 7 ай бұрын
Song yangu bora ya taarabu ya miaka yote..❤
@mrbeasty5449
@mrbeasty5449 Жыл бұрын
Kuna mkoja hapo marehemu alikufa wakat anajifungua
@hfufghvbvbv7905
@hfufghvbvbv7905 9 жыл бұрын
umelenga ndipo...wawaa...mamaa hongera...
@leonidawilliam5525
@leonidawilliam5525 5 ай бұрын
Ka imetoka leo aiseeeh..
@Kingsman2713
@Kingsman2713 4 ай бұрын
2024 wote njooni hapa 😂
@IssaAdamu-jz3ng
@IssaAdamu-jz3ng 5 ай бұрын
Uyu mama mm namjuwa toka enzi ya ytk
@petercharles7888
@petercharles7888 4 жыл бұрын
Penda sana huu wimbo
@mwanatumusuleimani2648
@mwanatumusuleimani2648 9 жыл бұрын
hongera mama kwa kazi yako
@alikhamis9566
@alikhamis9566 4 жыл бұрын
waliopo hapa 2020 like
@saumuomary2117
@saumuomary2117 3 жыл бұрын
✌✌✌✌✌
@neslysteve5327
@neslysteve5327 3 жыл бұрын
Wale tupo hapa 2021 muwapi
@bashirmkambala2407
@bashirmkambala2407 3 жыл бұрын
Kama unaagalia hii ngoma 2021 weka like yako hapa ili tujuane
@mamiihadija5981
@mamiihadija5981 4 жыл бұрын
Nani amekujaa tena kumsikiza gwiji wa taraab 2020
Khadija Kopa Top In Town Official Video
20:39
Africha Entertainment
Рет қаралды 2,6 МЛН
Nalijua Jiji Full - Khadija Kopa. Official Music Audio_ MARJAN SEMPA
18:36
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 3,3 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Khadija Kopa - Mwanake Mambo "Utapenda!!!" (Official Video)
17:22
Africha Entertainment
Рет қаралды 781 М.
KHADIJA KOPA _ WHY KWANINI WITH T.O.T BEST TAARAB.
18:54
Kwarahazetu
Рет қаралды 9 М.
Isha Mashauzi - Sudi Sudini (Official Video)
12:41
Isha Mashauzi
Рет қаралды 1 МЛН
SITAKI USHAMBENGA
15:57
Bin Seif
Рет қаралды 439 М.
Mwanamke Khulka_ Mwanahawa Ali
17:07
Ali Samaki
Рет қаралды 252 М.
Taarab: Khadija Kopa - Mjini Chuo Kikuu . Audio
17:59
Marjan Sempa
Рет қаралды 937 М.
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Oliver Aswani
Рет қаралды 2,9 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН