I love you swabaha salimu napenda unavyo imba nyimbo zako ndiyo pozo la moyo wangu unanikosha mpaka rohoni asante mama kwanyimbo zako nzuri ujumbe mzuri no one like you
@husseinhassanhassan94948 жыл бұрын
Juliana Charles 2
@ahmadamfaume16405 жыл бұрын
Juliana Charles Exactly
@noormahdaly98573 жыл бұрын
👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼😑😑😑😑🥦🥦🥦🥦🧸🧸🧸
@salmaomar38585 жыл бұрын
Nani anaangalia hii nyimbo na mimi 2019?nakupenda sana Swabaha you are the best mammy..Allah akuzidishie umri....
@mohdjuma44255 жыл бұрын
Salma Omar mambo
@mujahidalinaseem62135 жыл бұрын
sabah salum mchacho ndio mwimbaji bora mwenye sauti ya kipekee katika tasnia nzima ya taarabu
@zubedasaad35697 жыл бұрын
jamani nampenda sana mama yangu sabah salum na nyimbo Zake zina nimaliza jamani.
@sarahjuma51262 жыл бұрын
Sauti tamuuu achaaa kama hutaki vile mama nakupenda sana 🤩
@mathnaalbimani12522 жыл бұрын
Najikuta nafurahi tu, nyimbo pambe sana
@latiphakasimu64815 жыл бұрын
Imewashinda bahati hamkubali kwanini ukweli kwenu uchungu kama bado unasikiliza semen yasabaha 2020 nipe like yangu hapo jamani hii taarabu nipambeee xana nani anabixhaaa
@davidamandi94863 жыл бұрын
Semeni, semeni, very educating song, Salum, you are passing real message
@lizgichora64724 жыл бұрын
LOVE you Sabaha Salum....Kwa Ufupi, maneno yote kwenye Nyimbo.
@nadiafahad79457 жыл бұрын
Asanteee Sabah Salum Mchacho Swadaqta ujumbe pambeeeeeeee kwa walenga umewafikia, wanao kaa kuwasema wenziwao
@mwinyirogoh23897 жыл бұрын
swabah slm mchch!ur da best of da best mum!!
@jeyhunhajiyev74636 жыл бұрын
Semeni nazli gelir, ye ye, great! respect from Azerbaijan
@mohammedearly25755 жыл бұрын
am listening sabaha salum songs here in dubai.it reminds me east Africa.
@ninarkomora21435 жыл бұрын
nyimbo tamu sana..hongera kwa kipaji na sauti nzuri
@saraahs68843 жыл бұрын
Waaaaahhh semeni semeni yakiwashinda niulizeni mm swaaaaaadktaaa😘❤❤❤❤💯🤲🤲🤲💞💯
@lupozijuma27325 жыл бұрын
Muziki mzuri Allah akujaalie uhai mamaaa
@mouhamadbakri86558 жыл бұрын
wape maman ma hasidi wasokua na haya hawajuwi vibaya kweli linawatia dekedeke donge hilo wape tu ❤👍👍👍💘👊❤❤❤❤❤💪💪💪💪🖐 mpaji mungu kweli
@rayaishaka31876 жыл бұрын
Asante swabah salum unajua kuimba maashaallah
@AminaMohamed-ui3oo6 ай бұрын
Love the music it was superb and amazing❤❤❤🌺🌺🌺
@yusufjuma14067 жыл бұрын
Nice work@swabah pick-up#i love your message
@Abrahman3456 жыл бұрын
safi san
@hidayaalisaid10833 жыл бұрын
Kwa kweli mpaji jalali. Nyie semeni tu
@tumaomar72109 жыл бұрын
Nampenda sana sabah sauti yke haichuji
@fatmasalim61108 жыл бұрын
old is gold Jamani. mwanamama uyu yuanikosha kweli.
@neemakituga71435 жыл бұрын
Pambe 2 ....2020 Mambo yasiwe mengi ......wapeaoooo wakaanga sumu
@mouhamadsaid69507 жыл бұрын
ni n'a gara sijachuja nala kuku kuamrija mutasema si hoja 😍👍👍👍💞💖💗 hapo patamu hamnitaabishi hamnishukhulishi hamnikesheshi hamnitii nuksi 😅😅😅😅😅😅
@aminaabdullah76417 жыл бұрын
Mouhamad Said hallllooooow apo patammmmh
@mouhamadbakri86557 жыл бұрын
Wataimba wote lakini kwa huyu mama wameshachelewa hawamwezi asilani ❤😃