Nakuelewa sana nikiwa Saudi Arabia ubarikiwe sana mchungaji 🙌🙌🙌🙌🙌
@janetkahada52064 жыл бұрын
🙌🙌 Kweli kabisa
@simonogaro63035 жыл бұрын
You have really tought me alot for the last 1month have been listening to your teachings
@alvinemajani63955 жыл бұрын
Following from kenya,I love your preaching very much pastor
@estherkusaga91814 жыл бұрын
Kiukweli nimebarikiwa na somo hili ni kweli kama dhambi haijatugalagaza ni rahisi kuunyoosha kidole yakitukuta tunanyooka Mungu atusaidie sana vinginevyoo mmmh hatuwezi
@Joycependopendo-dv2tb Жыл бұрын
Am l have been blessed alot Glory to God and may God bless you pastor
@belindacharosulubu22224 жыл бұрын
May god bless you pastor
@ednacelemon59504 жыл бұрын
Amina.
@philipomisagu99415 жыл бұрын
Nami nimeelewa kuwa nimepungua sana nahitaji msaada wa roho mtakatifu asante pastor ubalikiwe.
@everinekabakilwa73365 жыл бұрын
Thank you Jesus for Mahubiri Tv niko na barikia sana Amen
@nkwembacharles86764 жыл бұрын
Amina pr nimefurah Sana na nimebarikiwa
@agnesmtimba51215 жыл бұрын
I am so blessed with your bible knowledge pastor Mmbaga may our Jesus Lord continued to strengthen you amen.
@estermahimbo33915 жыл бұрын
Amina Mungu akuinue uzidi kuwaleta wengine kwa Yesu
@annadaniel94864 жыл бұрын
Be blessed pastor
@stevenbenson14995 жыл бұрын
je pasta hauna group la wasap linalo fundisha malezi ya kiroho
@t7zkc5tpxgim285 жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@janeingosi97154 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako sana hua najengeka sana ki Imani mungu akubariki siku zote
@PastorJoshua_tz4 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@selfaakinyi5125 жыл бұрын
Kwakweli mchungaji nimerudi nyumba kiroho labisa, ila Leo natakurudi kwa baba yangu , kama mtoto mpotevu. Nipoke eeh mungu wangu na nyenyekea chini ya mkono wako wa neema. Thanks pastor from Qatar
@samuelmoses92435 жыл бұрын
Ubarikiwe
@bestinajoseph99715 жыл бұрын
Mungu anisaidie nimjue zaidi
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Mimi adui yangu nimemuuguza week 3 mpaka amefariki mwezi ulio pita. Nimemuuguza ktk mazingira mazito mpaka yy mwenyewe akawa ananionea huruma..ingawa alikua muislam lkn nilikua naomba nae kwa Mungu wa kweli uku nalia namuomba Mungu amponye ..lkn kwa bahati mbaya alifariki akiwa na mimi na uwakika alijifunza kitu...sikuangalia ya nyuma maana nilijua hii dunia tunapita....
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Ubarikiwe
@danokangi80145 жыл бұрын
Dah mungu atusaidie
@stevenbenson14995 жыл бұрын
aisee somo limenigusa sanaa ili pastor
@claracasto76152 жыл бұрын
Barikiwaa sanaaa
@danielselestine47295 жыл бұрын
Am much blessed of your messages from mahubiri tv thanks Lord through Media am proud of Your Channel
@sheilaombongi80865 жыл бұрын
Amina mtumishi wamungu nimebarikiwa
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Pastor tunataka group please.....
@mtumishimatrida54704 жыл бұрын
Rohomtakatifu Asante umeniona
@pendohumphrey75885 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana, mimi si kitu bila yesu.
@alicesidi96013 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@ndetitave90745 жыл бұрын
Amina nimebarikiwa na hiri somo
@japhetmkumbwa79145 жыл бұрын
Asante kweli Mchungaji mungu atusaidie warokole tuna mahuzurio kanisani
@yohananyabu40405 жыл бұрын
Amina
@neemajaphet53495 жыл бұрын
Mungu akuongezee sikukuishi mchungaji navizazi vyetu wakusikilize
@georgemerere60975 жыл бұрын
Asante kwa somo la Yona nimepata kitu inaitwa kutokuwa na kiburi
@masanjaadam39085 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@emmamoke2184 жыл бұрын
Aksanti Sana kwa mafundisho .
@georgemerere60975 жыл бұрын
Mwaka huu hautaisha namm nibahatike kukuona mchungaji ulonifundisha kumjua Mungu alivo
@janenyagwencha77374 жыл бұрын
Ubarikiwe muchungaji nimepokea neno
@zachariamwihechi78845 жыл бұрын
Pastor naweza pata soft copy ya biblia ya kiswahili cha kisasa
@chidango83105 жыл бұрын
Wako sawa kimya amon yuda na Peter maana dhambi ni dhambi ni dhambi.
@damariskerubo67845 жыл бұрын
Amen & thanks to God for using you to proclaim His word. Since i started following you on U-Tube i confess that i feel a change in me be blessed abundantly.
@damariskerubo67845 жыл бұрын
Hivi unaeza patikanaje maybe kwa whatsapp
@beatricen12285 жыл бұрын
Nimepokea kwajina ya yesu.
@sophiakinyonto52225 жыл бұрын
Mchungaji Mungu azidi kukubariki katika huduma nzuri unayoitoa kwa watu wake
@damianlugendo91615 жыл бұрын
Pastor mbaga vp! Mbona saut ya mafundisho yako yanasikika chanel y PMP hii chanel mnamausiano nayo alafu mbona ni sauti tu! Huonekan live
@maxlove26685 жыл бұрын
🙏🏻
@sheilaombongi80864 жыл бұрын
Qminaaa!
@rosemutinda30765 жыл бұрын
Kwa kweri wakati tuko na shinda ndio tunamkumbuka Mungu... Mahubiri yako hunimbaba sana
@salmakiyabosiriyamachoziha87563 жыл бұрын
Ameni
@godwinainsworth73884 жыл бұрын
nilifunuliwa macho kutoka katika somo la NURU KABLA YA JUA