Hakika nyimbo zenu zinakonga nyoyozangu nasikiliza nyimbo zenu kutoka kongwa
@robertjoseph89685 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@silvanomuhumha97602 жыл бұрын
Wako vzr sana
@fredrickmtangoo50713 жыл бұрын
Hongereni sana.
@joycembunda37833 жыл бұрын
Mungu awainue sana
@benardchinua14433 жыл бұрын
Hawa waimbaji ni sehemu ya maisha yangu katika kristu Yesu. Huwa naona Kristu akiongea katika maisha yangu sana kupitia kwa hizi nyimbo. Waimbaji wote wa kwaya ya mt Andrea Msalato Dodoma, mungu na awabariki sana. Nyinyi ni mandugu na dada zangu wa kweli kabisa. Msiiache ile imani ya kwanza katika kristu Yesu. Kila kuchao nasikiza wimbo zenu. Mimi niko magharibi mwa Kenya lakini najihisi niko karibu nanyi mnapoimba. Amina.