TAG MMEMDHULUMU VYOMBO VYA MUSIC MBARIKIWA? KWANI ALIWAPA NINYI VYOMBO VYENYEWE?

  Рет қаралды 22,638

Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili

Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili

Күн бұрын

Пікірлер: 326
@user-ve6ho2db7l
@user-ve6ho2db7l 2 ай бұрын
Acha kuchafua thehebula la watu aliyesema hv ni mtu mmoja kanisa zima linahusika nini mch Mwakipesile unazidi sasa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Tukiwaambia huyu kavamiwa hamtuelewi Haya ss
@francismwalyambi1363
@francismwalyambi1363 4 ай бұрын
Mungu AKUBARIKI sana mtumishi kunawakati nakuelewa vzr sana.
@Sangaligospel
@Sangaligospel 4 ай бұрын
Mtumishi wa mungu mbarikiwa ukisoma ufunuo 22:9-22 nijibu lao wewe fanya kazi ya Mungu wao mungu atawalipa sawa sawa na neno ktk ufunuo
@GideonJackson-bq2lg
@GideonJackson-bq2lg 4 ай бұрын
Huyu jamaa...alianza vzr sana...lkn kadri anavyoendelea mmmmh;
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Wewe ulianza vibaya ila unaendelea vizuri?
@HenrickMhema
@HenrickMhema 3 ай бұрын
Moses kulola mwenyewe ilitokea kama hii ila alitulia kimya akachapa kazi ya Mungu na Mungu alitembea nae mpaka mwisho sababu alijua kua shetani alitaka kusambaratisha wakristo
@peterpaul-mq5qn
@peterpaul-mq5qn 3 ай бұрын
Huyu anaelekea kwenye anguko
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 2 ай бұрын
ahkumbe warikufuku zawasami Kaka irawakupisip kazako
@barakamwale7190
@barakamwale7190 4 ай бұрын
Mch Mbarikiwa nitaanza kufuatilia nyimbo zako za tenzi tu, maana saizi unaenda siko kabisa
@staphordsanga2436
@staphordsanga2436 4 ай бұрын
Pastor, acha kulalamika sana kwenye media, ukizani ndiyo njia sahihi ya kuhukumu kanisa la TAG, nilivyo ona kichwa cha ujumbe nilizani ni vyombo vya gharama kubwa sana, umezurumiwa, umepokonywa, na kanisa la TAG, Kumbe ulitoa sadaka kwa wafungwa, getezani,Si dhani kama ni busara kulalamika kwenye media na kama unakerwa kuona mchungaji wa TAG anavitumia, Nenda kavichue maana hakuna atakaye kuzuia,sio kulalamika wakati vyombo vipo na unaumia kuona mchungaji wa TAG anavitumia, harafu suala la Askofu mkuu na mchungaji Magembe wana husikaje kwenye vyombo vyako USHAURI, nenda kavichukue, wakikukatalia nenda mahakani Hapa kwenye media tunataka kusikia unatufundisha neno la MUNGU ili tupone tumjue Mungu
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Yule mchungaji ametumwa /anafanya huduma mle kwa udhamini wa uongozi wa TAG. Hivyo kusema kwenye media ni kuwapa taarifa viongozi wake wajue anachofanya mtu wao. Na kwa swala la kuvichukua, kama una njia ya kuwaambia askari magereza wanirudishie wambie warudishe. Kwani ndio wanaompa jeuri huyo mTAG kuvitumia vyombo hivyo.
@alexvenas2699
@alexvenas2699 4 ай бұрын
Hakuna kitu kizuri kama kuomba Mungu akupe hekima na maarifa ,ili uweze kuamua sahihi na kujua ni wakati upi sahihi unapaswa kusema na wakati upi unapaswa kunyamaza,kwani tukitumia media inakusaidia Nini mchungaji? Ungelikuwa na busara ungelifata utaratibu kuliko kuji expose kwenye social media Munalitukanisha kanisa acheni lopolopo 😢
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Wewe hapa umetumia nini? Kwa nini wewe usimtafute Mbarikiwa unaandika mtandaoni?
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 4 ай бұрын
Itakua TAG ndo wana kusababishia matatizo, pia usipate usajili wa kanisa lako, piga moyo konde utashinda💪
@barakamwale7190
@barakamwale7190 4 ай бұрын
T.A.G haihusiki hata kidogo
@vaxminja9053
@vaxminja9053 4 ай бұрын
Hapa kwenye social media ndio mahakamani au ofisi za TAG? Unajiharibia sana. Jifunze kufuata utaratibu wa kiroho pale unapokuwa umekosewa au kukosea.
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Kwa hiyo wewe hapa ulipoandika ndio ofisini kwangu? Kwa hiyo ndiyo umefuata utaratibu wa kiroho? Biblia imeandika maovu mengi ya watu yaliyokemewa hadharani na yanasomwa hadharani miaka na mikaka. Ila ninyi panyarodi ndio mna haki ya kutukana na kudhulumu hadharani ila anayedhulumiwa hana haki ya kulalamika hadharani. Enyi uzao wa nyoka.
@joycegeorge-mf5kn
@joycegeorge-mf5kn 4 ай бұрын
Kumbe panyarod😂😂
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 4 ай бұрын
Mtu anasemeya atakapo ona ujumbe unafika kwa haraka na kwa uzito.
@barackawithokiswaga2686
@barackawithokiswaga2686 4 ай бұрын
​@@shuhudazakikosikazichainji928Tatizo kuna Muda huwa mnajiona kama mna ulokole saana, na mna kiburi cha kuto sikia ushauri kuna mambo hata ukija kwa media kupayuka hapa haisaidii, na unapo sema TAG una zungumzia kwa ujumla kwa Tanzania nzima, kumbe kuna mahali fulani hawajui kama kuna hiyo shida, kwani Ina maana Mbarikiwa ukinikosea mimi, ina maana familia yako yote niichukie kuwa imekosea? Kwa nini kosa la mtu mmoja liharibu uzuri wa kitu?
@barackawithokiswaga2686
@barackawithokiswaga2686 4 ай бұрын
​@shuhudazakikosikazichainji928 Yaani point yako ni ipi? Una simama kwenye media uponye roho za watu, au upo kuelezea mambo yako? Unateswa kwa sababu adabu hamna na una kiburi cha kuto sikia ushauri, unajiona sana kwamba wewe ndio unajua sana, kwani TAG ina shida gani?😂😂😂 Mungu tunae mtumikia atusaidie sana maana mmmh!!!🙌🙌🙌🙌
@HenrickMhema
@HenrickMhema 3 ай бұрын
Mi nimefungua hapa nikajua kuna ujumbe wa neno la mungu kumbe vijembe tu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Halafu Kuna watu wanamtetea
@andrewkalubi3524
@andrewkalubi3524 4 ай бұрын
Sijakuelewa kwani njia unayoitumia haiko sawa kama mtu unayemjua Mungu hukupaswa kufanya ivo.
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 4 ай бұрын
Lakin hapo mbarikiwa unakosea ulishatoa sadaka na sadaka ukitoa huhitaji tena kujua kinaenda kufanya nn hapo sikuungi mkono
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
Mimi nami sikuungi mkono kwa ulichoandika.Hatutoi sadaka itakayo geuka mkuki kwetu au itakayotuumiza bali tunatoa sadaka itakayokuwa faida kwetu na kwa watu wengine
@HarryMbale
@HarryMbale Ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU wakat tulio nao niwakuhubili injili yatoba watu waokoke nakuomba iyo nguvu unayoitumia kuwachambua watu uigeuze uilekeze marko 16:15 nenden ulimwengun mwote mukahumbili injili kwakila kiumbe mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu hayo mengine mwachiye MUNGU yaan hapo mnawapoteza wale walio chini yenu mawaingiza katika ugomvi wenu tafadhali anayejidhania amesimama aangalie asianguke anayejidhania anajua neno, hajui neno jinsi impasavyo kujua vita vvyetu nivyakiloho sio vya mwili na damu
@yusuphmwashabwa1465
@yusuphmwashabwa1465 4 ай бұрын
Mnayavuta majaribu kwa kamba za ubatili. Kwa sababu ya kutafuta umaarufu unayapitia hayo. Mungu ni Mungu wa hekima na adabu.
@ElizaAxson
@ElizaAxson 5 күн бұрын
Hyu mchungaji mimi ata simuelewi kwakweli usipofuata utararatibu wa kimungu utapata tabu sana ukizani nishetani kumbeni ukosefu wako wa akili mtafute mungu akupe hekima na maarifa utapata shida sana
@joshuandone468
@joshuandone468 4 ай бұрын
Wafilipi 2:3-5 Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;
@natressvayinga518
@natressvayinga518 4 ай бұрын
Nimesikiliza, nimesikitika sana Hata mateso ya mwenye dhambi Kwa Mkristo inampa mzigo wa maombi na maombolezo ya Toba kwaajili yake, kuomba rehema ili aokolewe, inakuwaje Hilo Kwa mwenye haki??
@JovinBuberwa
@JovinBuberwa 3 ай бұрын
Si uende mahakamani,, na kweli ujui kuhubiri baba.
@user-dh2pw2rq2f
@user-dh2pw2rq2f Ай бұрын
pole sana mbarikiwa ila sijategemea kuwa na wewe utakuwa miongoni mwa wachungaji wapumbavu,,,jitahidi kubadirika simama na mungu acha maneno mengi yatakuharibia kwa mungu na kwa mwanadamu mmmmmmmmh, umezidi mdomo baba
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 4 ай бұрын
Kwani ukinyamaza unapungua Nini?
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Biblia isingeandika walivyomtesa na kumuua Yesu kusingekuwa na upungufu? Haya yanawekwa wazi ili vizazi vijavyo waje wajue kuwa kuteswa na kuuawa kwa mtu huyu kuipitia mchakato moja, mbili, tatu.
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
Hata biblia isingeandikwa kama walioandikwa humo wangenyamaza na kukaa kimya, waonapo dhuruma na uonevu. Kukaa kimya uonapo uovu, dhuruma na uonevu ni ushetani mkubwa. ISAYA 58:1
@mcsedekiatz702
@mcsedekiatz702 2 ай бұрын
Mwakipesile umepungukiwa na hekima
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala 4 ай бұрын
TAG kama mkisipo muwajibisha huyo Mchungaji basi ni wazi mlimtuma
@danielsinda
@danielsinda 4 ай бұрын
Ukweli wanajiona wao ndo wana mungu tu
@EmanuelRazaro
@EmanuelRazaro 3 ай бұрын
Pole sana mchungaji
@zainabusona5901
@zainabusona5901 4 ай бұрын
Mwee mungu afunge kuongea kwako heee
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Ili muendelee kutapeli mali za wenyewe
@amanmalima940
@amanmalima940 3 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@romanamassawe814
@romanamassawe814 4 ай бұрын
Pole Sana mwakipesile, ulikosea Sana pa kupeleka hivyo vyombo, sío hivyo tu, angalieni Sana mnakopeleka sadaka , hivi unapelekaje vyombo vya injili gerezani
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Wafungwa wanaofanya injili walikuomba awasaidie vyombo
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 4 ай бұрын
Ndio hata gerezani Injili inapaswa kuhubiriwa kwa sauti kubwa ya kutumia vyombo kutokana na wingi wa watu na Mazingira ya huko Gerezani pia. Kwahiyo kufanya hivyo alikuwa yuko sahii kabisa.
@ElizaAxson
@ElizaAxson 5 күн бұрын
Huyo mchungaji aliongea kweli ukijirekibisha utakua mtumishi mzuri mimmi sio mt aig lakini unanikera sana nakukuchukua kwambo yako ya ajabu
@user-zd6tt2dq3k
@user-zd6tt2dq3k 4 ай бұрын
Mbarikiwa ubarikiwe sana na mimi nimetapeliwa na mchungaji aliniahidi kunisapoti kujenga jengo la kuabudia lakini tujenge kwake kwanza nikifanya hivyo nilipo maliza tu kujenga na kupaua akavunja mahusiano tena kwa matusi mengi inauma sana japo sisi sote na wachungaji lakini tujichunguze jamani
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 4 ай бұрын
Magembe ni chuma kitupu hana mbambamba...yuko tayari kufa kwa ajili ya kristo
@sautikuu212
@sautikuu212 4 ай бұрын
Acha kumsemea mtu.
@Elia-Ntenga2027
@Elia-Ntenga2027 4 ай бұрын
Hautaki sasa​@@sautikuu212
@ELGIUSKELAMIYE
@ELGIUSKELAMIYE Ай бұрын
Kwani mbarikiwa unajua kuhubili mi sjawahi kukuona unahubili zaidi ya kuchambua watu..kiukweli sijawahi kuona unahubili..
@user-bf9en7xc5z
@user-bf9en7xc5z 4 ай бұрын
Mzee Mungu Hana uhasama mnachokifanya iko siku mtajua tu
@mtumishiwamungunelson1684
@mtumishiwamungunelson1684 4 ай бұрын
Naomba namba ya Mchungaji mbarikiwa mwakipesile tafadhari ya whtsp
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x 11 күн бұрын
Mwakipesile taja account number nkulipe yaan kuchafua tag kisa m.2 tuu
@esthemussa
@esthemussa 2 ай бұрын
Unamdharirisha YESU bwana hebu tulia omba MUNGU bila kujianika hivi kwenye midia ,unasahau unashambulia wenzio nao wanakushambulia ,tulia utamuona MUNGU jmn
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 2 ай бұрын
Kama yesu wako ni Tapeli pamoja na hawa ATADHALILISHWA SANA.
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 4 ай бұрын
Chungeni Sana washirika wa M'barikiwa,Kama kunatuvitu amewasaidia cku mtakapofanya maamuzi ya kuhama Mtanyang'anywa,ubongo huu ni shida,bila kugombana huna maisha
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 4 ай бұрын
Mbona hajawahi kumnyang'anya yeyote alie msaidia?na hapa hana maana ya kunyang'anya hapa kuna funzo anataka kulitowa
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Elewa nimesema wazi KUWA SIKUWAPA TAG. WAMEPORA TU. WAUMINI WANGAPI AMEWASAIDIA NA WAMEHAMA? AMENYANG'ANYA NINI? AU UNADHANI KAANZA JANA KANISA.
@ronaldsikaponda3553
@ronaldsikaponda3553 4 ай бұрын
Atakuwa anachuki na kanisa la T.A.G angekuta wanaovitumia vyombo alivyotoa Gerezani ni watu wengine au ni imani nyingine asingekuwa na neno.Mungu atusaidie sana kama mtumishi huyu anachuki ya aina hii ni hatari.Yamtokayo mtu yameujaza moyo wake.
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 4 ай бұрын
@@ronaldsikaponda3553 hachukukii kanisa bali anachukia viongozi wa hilo kanisa wanaoenda kinyume na neno.
@stamilinyakunga
@stamilinyakunga 4 ай бұрын
Duu kwakwel tuko mwishoni kabisa mwa nyakati ambazo ndio Mungu tu atasema
@nicholausrwezaura1971
@nicholausrwezaura1971 4 ай бұрын
Pole sana Mtumishi
@joshuandone468
@joshuandone468 4 ай бұрын
hapo umejikwaa brother,Huna misingi ya utumishi Ungeenda chuo cha biblia Hili usingelizungumza
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Hao TAG si wamesoma chuo cha Biblia na Mchungaji wao MAGEMBE anasema WAKO ICU? Unataka nikasome niwe ICU? Nimeamini kweli dunia ngumu. Yaani hamuwashambulii wadhulumaji bali anayelalamikia dhuluma.
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
​@@shuhudazakikosikazichainji928umenena nimekuelewa sana baba
@brightenmzulu8675
@brightenmzulu8675 4 ай бұрын
Unaweza ukawa sawa Ila angalia sana maneni yako na yawe machache
@geraldngumbi8415
@geraldngumbi8415 3 ай бұрын
maelezo(ujumbe) uko sawa mahali upotolea maelezo siyo sahihi
@mtumishiwamungunelson1684
@mtumishiwamungunelson1684 4 ай бұрын
Naviomba ivyo vyombo Baba yangu nihuburie injili tafadhari
@GladnessMwakila
@GladnessMwakila 4 ай бұрын
Ukitoa sadaka ya maiki kanisani ndo kibal kwamba Roho asikuonye au? Unaangalia kama n la kwako unajirekebisha na kama unaona wewe hujafanya si basi ... Mungu akupe hekima mtumishi
@user-ew4pb9lx8i
@user-ew4pb9lx8i 4 ай бұрын
Pole sana unapambana na TAG kwa ajili ya spika na mix nilijua wamekuzuia kuhubiri siumfate kiongozi wetu akupe full sett
@jemedalimwakalundwa3520
@jemedalimwakalundwa3520 4 ай бұрын
Mungu wa haki husimama na haki Atasimama tu aendae tofauti na haki atangamia
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Akatoe gerezani arudishe zangu.
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
Mmeshindwa kutoa full set gerezani lakini mmesubiria alivyotoa MBARIKIWA gerezani mkaanza kuvitumia kumtukania
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 4 ай бұрын
Mfano mdogo sana ; hivi kama mzazi wako akupe shamba Urithi/ulime mazao, arafu umkute mzazi wako aliokupa shamba shambani anachuma hata nyaya tatu za mboga, arafu wewe ukampigia kelele ya mwizi na ukiwa ulimuona kwa ukaribu na kumtambua kuwa ni mzazi wako. Je? Mzazi huyo huyo atakapo rejea nyumbani kwake atanyamaza kwa hicho kitendo hasiwaambie koo nzima? ndugu zako na majirani na marafiki wa familia.
@GladnessMwakila
@GladnessMwakila 4 ай бұрын
Utoaji wa sadaka haupo hivo ... T.A.G ni dhehebu tena la kipendekoste sasa sjui shida ipo wapi kusema wasitumie kwamba ni wanapiga miziki ya dunia?
@samwelkimaro192
@samwelkimaro192 4 ай бұрын
1.8M ndo inakutoa povu hivi? Kuna kosa la kiufundi ulifanya. TAG ni taasisi haina nafasi ya kushindana na mtu mmoja.
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Kwa tapeli hiyo ni ndogo kwa sababu mmezoea kutapeli mamilioni. Kama ndogo si ungeilipa tu faster ili usitoe povu la comment hapa?
@RizikiNjovu-uy3be
@RizikiNjovu-uy3be 4 ай бұрын
Mbalikiwa we niwapekee Sanaa mung akutie ngunv maana weng wanaenda na kinyume na bibilia
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
🙏🙏🙏
@zakayosaston551
@zakayosaston551 3 ай бұрын
Umekosoa hujaonya, Halafu nimeshindwa kuelewa hivyo vyombo mda huu wakati unaongea vipo gerezani au mikononi kwa watag??? Shalom
@zakayosaston551
@zakayosaston551 3 ай бұрын
Vyombo vipo kwa wa tag au vilitumiwa na hao w tag??
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 4 ай бұрын
Achana nao walikufukuza kwenye redio yao maana hawataki ukweli orijino
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 4 ай бұрын
Imekuwa TAG ndo ilikuweka ndani??😂😂unapenda vita, wewe baba!,ujui kuhubiri kweli nenda kasome kwanza!
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Hapa tunadai vyombo vya MUSIC. Rudisheni kwanza ndipo muendelee na mateso mliyokusudia.
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 4 ай бұрын
​@@shuhudazakikosikazichainji928unatudai vyombo vya shilingi ngapi?
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
@@sharonyasin7521 kwa hiyo umeanza kutukana bila hata kusikiliza kilichomo ndani? Mbona gharama imefafanuliwa. Rudi usikilize kwa utulivu na ndipo utapata na point nyingine nyingi za kutukana. Nakufahamu sana kwamba huwa haurudi nyuma kirahisi ukianza kutukana ni mpaka uone umekuwa wa mwisho kuandika. Ila hii ni ishara mbaya. Sina hakika kwa moyo huu kama waweza kudumu hata kwenye ndoa. Na kama umedumu basi huyo mume kahenyeka kweli. Yaani mwanamke unashangilia mauaji na maonezi! Baada ya matusi tena ndipo nitakublock rasmi. Sikufanya hivyo ili niujue moyo wako kwa uhakika.
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 4 ай бұрын
@@shuhudazakikosikazichainji928 yamekuwa hayo?umenishinda tabia
@OsiahRaphael
@OsiahRaphael 4 ай бұрын
TAG warudishe vyombo yupo sahihi
@user-ur2nc3ll9h
@user-ur2nc3ll9h 4 ай бұрын
Mmmmm sawa bwana naomba wote trudi msalabani
@user-vo6fu3pp1p
@user-vo6fu3pp1p 4 ай бұрын
Waafrika ni nani aliyeturoga? Kuongea ukweli na uwazi wa mambo yalivyo unakuwa umevurugwa? Aiseeeee hii dunia ndo maana wanyonge wengi wanakufa vihoro kwani wanapoumizwa wanashindwa kuongea.
@Commonwealth782
@Commonwealth782 4 ай бұрын
WAFILIPI 2:14 - 16
@isayakiyeyeu6295
@isayakiyeyeu6295 4 ай бұрын
Mwana wa Mungu, sifa yake ni Hekima. Kipesile jitafakari.
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
Wewe umjitafakari?
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 4 ай бұрын
Tafakari kwani wewe ushamaliza?. Na Kama umemaliza na sisi tumeanzia Pale ulipo malizia na kusonga Mbele.............................
@SelemaniHamiss
@SelemaniHamiss 4 ай бұрын
Tumia Hekima Kama Wewe Wakiroho
@NgoshaJaphet-zo4sq
@NgoshaJaphet-zo4sq Ай бұрын
Sasa kwani mnakuja kushitaki mtandaoni ivi kweli mliitwa au mliijiita tu mnakela sana Kila kitu mtandaoni
@erickchaula5084
@erickchaula5084 4 ай бұрын
Ila kweli wachristo wa siku za mwisho ni hatar sana. Kwanini mtupiane vijembe kwenye mitandao kama wachungaji mnamfaidisha nani na ambao hawajamwamini yesu wanajifunza nini Kutoka kwenu
@amashapatrick211
@amashapatrick211 4 ай бұрын
Na wewe kucomment mtandaon unafaidisha nini acha unafiki
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
Wanajifunza ushetani wa waTAG kwa walichomfanyia Mbarikiwa
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 4 ай бұрын
Ila kweli Wakristo wa siku za mwisho ni hatari sana. Maana wasingekuwa na UNAFIKI hata MIKATABA MIBOVU MIBOVU YA DPW YA BANDARI hisingekuwepo. Na ndugu zetu huko NGORONGORO NA LOLIONDO NA MSOMERA Kuangaishwa kila kukicha na kunyanganywa ARDHI ZAO katika taifa lao na huko Wakristo wapo wana ona na kuangalia na kushangilia UDHALIMU WA WADHALIMU Katika uovu wao.
@user-no2tw5vb8j
@user-no2tw5vb8j 4 ай бұрын
Nami nashangaa 😢
@mariakalama3014
@mariakalama3014 4 ай бұрын
Huyo siyo MTAG huyo hana roho mtakatifu naomba mwachie na mungu atakupa vyombo vingine
@Donyo-rh8do
@Donyo-rh8do Ай бұрын
Nimepoteza mb zangu☹️
@venancemwakilembe3735
@venancemwakilembe3735 4 ай бұрын
mtumishi kosa la mtu mmoja linaweza kuwa kosa la TAG wote.
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Huyo mchungaji ametumwa na TAG. Hivyo sio kosa la mtu mmoja. Na kama ni la mmoja basi wamchukulie hatua ya wazi kumuwajibisha.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 4 ай бұрын
Mikataba MIBOVU MIBOVU Ya DPW YA BANDARI, kupitia Dhalimu mmoja Shetani Je! Wanaumia wangapi?.
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 3 ай бұрын
DA! NAPATA JIBU LA KWANINI KULOLA ALIAMUWA KUHAMA NA KUANZISHA EAGT.
@elisantennko8222
@elisantennko8222 3 ай бұрын
Kazi ipo ndugu.
@elicanaambweni8666
@elicanaambweni8666 4 ай бұрын
Kazi IPO jamaniMungu atusaidie
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 4 ай бұрын
Mtumishi Huyu anahaki sana,Makanisa yetu yamezidi dhuruma
@HenrickMhema
@HenrickMhema 3 ай бұрын
Mmmh inamana Mim nikitoa sadaka kanisani nikanunua vyombo vya kanisa je? Ninapoondoka nidai hiyo sadaka?
@user-tm1vn7fd4f
@user-tm1vn7fd4f 4 ай бұрын
Mimi, ninajushauli unaikanda, injili kwann usiwaone viongozwake, mbonaunatakakujisafisha wakat umechafuka?
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
Unamshauri nani wewe?, kama unaona ni vizuri Mbarikiwa kuwaona viongozi, wewe umeshindwaje kumshauri Mbarikiwa kwa kumuona kuliko kuandika kimeseji chako kichafu kisicho na mpangilo mzuri?
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 4 ай бұрын
​@@zawadimwaibako4065sawa kabisa.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 4 ай бұрын
Injili kaikanda tangu lini? twambie.
@VioletMkonda
@VioletMkonda 4 ай бұрын
Jitahid kunyamaza hata kama unaonewa hiyo ni bibilia
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 4 ай бұрын
Uwe unanyamaza wewe unapokanyagwa ila anaeumia ni lazima aongee sana.
@KsaC711
@KsaC711 4 ай бұрын
Isaya 62:6-7
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
Nyamaza wewe. Hajakukuta ndiyo maana unaongea hivyo. YESU aliongea mpaka anakufa msalabani ila Mbarikiwa ndo unataka anyamaze?
@KsaC711
@KsaC711 4 ай бұрын
Yohana 8:31..........42
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 4 ай бұрын
Kila binadamu anaitaji faraja, Kwa nini mnapenda kumuumiza mtu huyu kila wakati. Tambua na yeye alizaliwa kama wewe nae, pia anaitaji upendo na faraja kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki. Kwani yeye ana moyo wa chuma?, kila wakati kumtwisha mizigo ambayo nyie hamuezi kujitwisha au kuibeba na kustahimili nayo. Maana nyie tu Jambo kidogo Presha imewapanda mara kisukari.
@silvanusjeremiah8256
@silvanusjeremiah8256 2 ай бұрын
Kaka umefilisika sana na anayekusilikiliza anapotea
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 2 ай бұрын
Ukiwemo wewe umepotea. Kwani mpaka kuandika yote haya tayari umesikiliza.
@joelypharesy-te3dk
@joelypharesy-te3dk 2 ай бұрын
Namashaka na hakili zako we mtu
@indalesiohenery6124
@indalesiohenery6124 4 ай бұрын
Baba Acha tu sikuzote akutendeae mabaya we tenda mema waschie tu
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 24 күн бұрын
Acha mawazo ya kimaskini
@zakayosaston551
@zakayosaston551 3 ай бұрын
Nimeishia kusikitika yaan vyombo vya milion mbili kweli ndo vizue mgogoro?? Hiyo hela kama ungefuata utaratibu unaotakiwa mshirika mmoja tu asingeshindwa kutoa hata mili3 ya vyombo vyako
@user-ob6it9em6i
@user-ob6it9em6i 3 ай бұрын
Biblia inakutambua kama wakili wa Siri za Mungu, mbona unakosa hekima ? Mana maneno yako hayo humwaishi mtoka mbari na TAG, bari unamwaibisha kristo; Iko wapi hekima ya Mungu ndani yako?
@mulebatagtv5665
@mulebatagtv5665 4 ай бұрын
Ndugu mtumishi pole sana,huyu ndugu wa TAG ongea naye malizana naye Baba wawatu Askofu Muache ,nashauri ongea nao .
@DavidOkumu-by3yh
@DavidOkumu-by3yh 4 ай бұрын
Message sent my dear.
@InnocentMlembe-qt9fd
@InnocentMlembe-qt9fd 2 ай бұрын
Pole mchungaji mm mwenyewe ni t a g uliongea kweli
@MhinaLwassa
@MhinaLwassa 4 ай бұрын
We ndo maana unafungwa, ni mhimu ujue unaongea nini, kwa nani na wapi!! Huenda ni kweli unachosema, ila sisi hatuhitaji kujua unachodai. Kuna mioyo ya watu unaiua kwa kuweka wazi udhaifu wenu. Ndo maana wengi hawaokoki kwa Sabab mnaweka wazi madhaifu mliyonayo. Unaharibu unayoyajenga. Mbona mshitakiane wazi! Ni hatua Gani umetumia kudai vitu vyako kabla ya kuja public? Kanisa ni kama familia, ukishaona baba wa familia anatoa nje madhaifu ya familia yake, uwe na uhakika familia inakufa. Mbarikiwa nakuombea, uwe na hekima ya kujua unaongea nini na wapi kabla ya kuweka mambo wazi. Kwa mfano, kwa kusema haya wazi, nia Yako ni Nini? Unataka ulipwe? Kwani mitandaoni ni mahakamani? Nia Yako bila shaka ni kudhaliliaha kanisa! Ili iweje! Furaha Yako ni pia! Aliyeanguka akipotea au akisimama Tena? Mungu akusaidie. Ni mhimu ujue kutofautisha mateso ya YESU wanafumzi wake na wewe. Kila kitu kina maana yake na sababu nyuma yake. Mateso ya YESU yalikuwa na ulazima wake, ya wanafumzi nayo yalikuwa na sababu yake. Ya kwako nayo Yana sababu yake. Usitwambie sisi, sisi hatutaki kujua ugomvi wenu kwa sababu ugomvi wenu unaharibu mioyo ya wengi.
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 4 ай бұрын
Daah!😢
@stephenkikoti9223
@stephenkikoti9223 4 ай бұрын
Wewe umetoka haraka jera, unatakiwa urudi jera, huo mdomo una Pepo. Kama unaona wamekudhulumu. Washitaki kuliko kubweka mitandaoni
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Sio jela tu furaha yako ni WANGEMUUA KABISA. Kwa sababu mna shida si ya uhai wake tu bali na vitu vyake? Kulalamikia kutendewa dhuluma ni mdomo? Miuaji mikubwa ninyi. Amelalamikia kuuawa mtoto wake mmesema mdomo. Shida yenu ni uhai wake tu.
@Elecovid
@Elecovid 4 ай бұрын
Jela utaenda ww sasa anasema ukweli huyu jamaa
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
Ooh! Watesaji na wauaji mmeanza kujitokeza hadharani na kuonyesha makusudi yenu juu ya Mbarikiwa!!, Nimeamini kuwa, wakuu wa dini kwa kushirkiana na serikali ndio mnaotekeleza mauaji ya watu wa Mungu tangu zamani za biblia. Nyoka wana wa majoka, kijazeni kikombe cha baba zenu.
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 4 ай бұрын
Wewe mtakatifu zamu yako inakuja ya kuishi wewe gerezani
@ev.francischacha69
@ev.francischacha69 4 ай бұрын
Huyu ana lake jambo , kumbe tuvyombo vyenyewe ni twa chini ya milioni mbili, kisha kumtaja askofu mkuu kutafuta kiki, acha upumbavu huu utakugharimu kiroho
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Twa chini ya milioni mbili ila unashindwa kutoa wewe unatumia vya yule unayemtesa gerezani kumtukania. Huyo asingetumwa na Askofu wenu kwenda kumtukana Mbarikiwa gerezani angemchukulia hatua. Yule mchungaji kawekwa na TAG kama mchungaji ikimaanisha kuwa kila anachokifanya ndicho alichotumwa. Vinginevyo wangemchukulia hatua. Na hilo itakugharimu haitamgharimu Mbarikiwa zaidi ya mlivyomfanya ENYI WANA WA MAJOKA MLIOJAA DAMU KATIKA MIKONO YENU.
@jacksonchaula6010
@jacksonchaula6010 3 ай бұрын
saizi umeacha kuhubiri watu waokoke umekomaa na kukosoa watu
@AyubuHeshima
@AyubuHeshima 4 ай бұрын
Nasikitika nimepoteza mb zangu kwakusikia upuzi
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Tapeli kumwambia wewe ni tapeli ni upuuzi. Kama vile mlevi, mwizi, malaya, fisadi nk ukimwita kwa Sifa ya tabia yake LAZIMA AONE NI UPUUZI.
@JovinBuberwa
@JovinBuberwa 3 ай бұрын
Unastahili yaan uchapwe viboko kama 100 mbalikiwa.. una saikolojiko problems,ukichapwa zitarudi .
@ElishaGabriel-ul3cu
@ElishaGabriel-ul3cu 4 ай бұрын
Mmmmh ila kwa kweli😢😢😢😢
@ElizaAxson
@ElizaAxson 5 күн бұрын
Au unatafuta umaarufu
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 4 ай бұрын
Magembe ni mtumishi wa Mungu,Anatakiwa awe na huduma yake,watu wa ukweli Wanataka ukweli
@eliudymwanandenje7229
@eliudymwanandenje7229 4 ай бұрын
Mmh!
@fideliskipilipili8305
@fideliskipilipili8305 4 ай бұрын
Nenda ofisi kwao ukaongee nao,,, neno la Mungu (YESU) hatetewi brother, nenda hospital za ugonjwa wa akili na genge lako mnaharibu watu wengi
@HenrickMhema
@HenrickMhema 3 ай бұрын
Yani nyie watumishi wa siku hizi mnampa shetani nafasi kubwa sana aise badala ya kumhubiri yesu mmeanza kutumiana vijembe kuna injili tena hapo?
@eliamwambela4215
@eliamwambela4215 3 ай бұрын
OFISI HAZIJAFUTWA JAMANI. MPENDWA NENDA OFISINI.
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 3 ай бұрын
Wewe umekuja ofisini? Au comment ndio ofisini kwetu?
@barakamwale7190
@barakamwale7190 4 ай бұрын
Sasa siumfuate mhusika kwa ajili ya utaratibu zaidi? Yaani Mch Mbarikiwa mi napendaga sana mahubiri na mazungumzo yako, ila kuna mambo unayafanya utafikiri huna Mungu, unanikatisha tamaa ya kufuatilia mahubiri yako
@isayakiyeyeu6295
@isayakiyeyeu6295 4 ай бұрын
Baba Mwakipesile, achana na TAG. Hiyo ni kesi ya mtu binafsi. Na kama ulitoa kwa nini ufuatilie matumizi ya ulichotoa kwa Mungu?
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Kama ni binafsi wangemchukulia hatua. Kwani mle alitumwa na uongozi wa TAG. Zaidi ya hayo nataka ufahamu kuwa utawala wa Pilato ulilazimika kusaini Yesu auae kwa sababu ya MSUKUMO WA VIONGOZI WA DINI KAMA HAWA AMBAO HAKUNA HATA ANAYEKUPA POLE ZAIDI YA KUSHANGILIA MATESO YA MWENZAO.
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
TAG ndiyo mliomtuma mchungaji huyo akamshambulie Mbarikiwa gerezani na nyie ndio mnaopanga kumuua Mbarikiwa.
@aivanalexander
@aivanalexander 4 ай бұрын
Jamani mpola
@user-eo7gr1nx3c
@user-eo7gr1nx3c 4 ай бұрын
Mtumishi mimi ni mtu mdogo sana kwako kihuduma lakini kwa hiki unachosema ukitoa bado ni chako hapana Mtumishi hapo haiko sawa labda sema uliazimisha kwakweli uliwaazimisha unapotoa sio chako tena wala hupaswi kulaumu labda kama unamengine
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
Acha uchawa na hekima za kipumbavu, ukidhani ndiyo hekima. TAG ndiyo sababu ya madhira na mateso ya Mbarikiwa, wakati yupo gerezani waTAG walivitumia kumsimanga na kumshambulia
@user-vt7rr4gh7u
@user-vt7rr4gh7u 4 ай бұрын
Hatukuelewi watu wa TAG wamehusika wapi na ni wangapi he ulikutanan nao wote wapi nyosha maelezo bwana mbona unazunguka tu kama una bifu yako na mtu mmoja nyooka. Unapaswa kukaa hela kweli
@Dr.Mlelwa_Official
@Dr.Mlelwa_Official 4 ай бұрын
Mbarikiwa anaongea anasema "MIMI NIKO PALE NAWAANGALIA KAMA MTAFIKIA HUO UAMSHO"
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 4 ай бұрын
Hivo vitu mbona muumini mmoja tu anaweza kuvinunua😂😂😂😂
@juliusphabian
@juliusphabian 4 ай бұрын
Kama una roho wa Mungu huwezi kuongea haya mimi na uchanga wangu wa kiroho siwezi kusema maneno hayo
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Kwa kweli. Huyo roho wa wazungu aliyewafanya kuwa makatili, wadhulumaji, hawezi kuwaruhusu mzungumze mambo ya haki.
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 4 ай бұрын
​@@shuhudazakikosikazichainji928kweli kabisa
@frbm1729
@frbm1729 4 ай бұрын
Natamani ungekuwa Mwanza ningesali kanisani kwako
@SimeoMajige-it8so
@SimeoMajige-it8so 4 ай бұрын
Duh Vita vyatoka wapi na mapigano haya mbona Yesu alinyamaza kama kondoo apelekwavyo kuchinjwa jamani shida nini sasa kazi yetu ni moja Kuhubiri injili mengi ni yenu ila sis tunataka Muhubiri tu Injili Kama siku zisingepunguzwa yamkini hata wateule wasingeokoka
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala 4 ай бұрын
Uwe unafuatilia kila saa 4 usiku huwa tunarusha live kila siku mahubiri
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Paulo alipomkosoa Petro ILIKUWA VITA (GAL 2:11-14)? NAYO VITA ILITOKA WAPI? PETRO ALIMKEMEA ANANIA NA MKEWE SAFIRA MPAKA WAKAFA ILIKUWA NI VITA NA ILITOKA WAPI? Kwani hawa hawakuwa kanisa? Mjuacho kuwa ni kuwa mwenye dhambi ni kuto kwenda kanisani? Hao ndio wenye dhambi? Wote mnaoenda makaburini mnakoita kanisani hamna dhambi? Mtu wa kanisani au mhubiri akikemewa ni vita? Kwako injili ni kubwabwaja vilabuni, sokoni ila kwa mnaojiita mmeokoka au watumishi huku mkifanya dhuluma ninyi hamhubiliwi hicho ujuacho ni injili?
@godmankulawa2500
@godmankulawa2500 3 ай бұрын
Huna akili
@davidmdadila4080
@davidmdadila4080 4 ай бұрын
Sasa wewe mwakipesile ndugu yangu mbona haufwati utaratibu unashindwa kwenda ofisini unaongea kwenye mtandao unakosea.kosa la mmoja sio la TAG
@shuhudazakikosikazichainji928
@shuhudazakikosikazichainji928 4 ай бұрын
Wewe umefuata utaratibu kuja kuniona kuja ofisini kuniona? Mbona wewe umeandika comment yako mitandaoni? Na ukumbuke kuwa TAG NDIO WALIOMTUMA MCHUNGAJI HUYO GEREZANI. KAMA SIVYO WANGEKANUSHA.
Planting 40,000 Churches | Dr. Barnabas Mtokambali
44:47
Talking Church Podcast
Рет қаралды 1,5 М.
Majibizano ya kuhani Musa na Mbarikiwa. Pamechimbika
25:37
Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili
Рет қаралды 16 М.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 44 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Kimeumana! Mbarikiwa na IPM Wakristo kutoa kafara. Nani yuko sahihi?
20:50
Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili
Рет қаралды 2,6 М.
HAPA NDIPO ULIPO LIKOROGA KAA KIMYA | SHEIKH MSELEM BIN ALY
1:28:51
UVUMILIVU UMEMSHINDA CASIAN KAMFATA RAISI SAMIA KIBOKO YAWACHAWI MWAMPOSA  EV PASCHAL
1:01:02
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 49 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 88 М.
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 71 М.
Joel Nanauka I Giant Killers for a 21st Century I CCC Upanga
42:09
CCC-Upanga TAG Church
Рет қаралды 7 М.
UJUMBE MZITO WA ROLINGA MBELE YA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO
6:49