Asante YESU KRISTO kwakuwa ulishatuweka wazi juu ya watumishi kama hawa..mkristo kuwa makini hizi ni siku za mwisho..
@aderanderwa76236 ай бұрын
YESU KRISTO ATUREHEMU HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO WATEULE TUWE MACHO MWENYE KUJITAKASA AZIDI KUJITAKASA MWENYE KUDHULUMU AZIDI KUDHULUMU KUDHULUMU HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO
@PeterMahona-zd3oz5 ай бұрын
kwelimpendwa nichangamoto. MUNGU anisaidie atusaidie maigizo kama. haya
@JosephKingwere5 ай бұрын
Mimi nilivyo muona uyo kiboko ya wachawi mhmhmh nimeshangaa sana daaaah hapo kuna namuna jmn 😢 Yesu chrsto atusaidie sana
@EngelLameck-nz5nk5 ай бұрын
Unapotea sana Kaka Angu masanja hebu mwambie Mungu akupe amacho uone kuhusu hao watumish unao wasifia unako enda sio kabisa
@focusernest56105 ай бұрын
Watu wako after maokoto macho ya rohoni hayaoni@@EngelLameck-nz5nk
@GodfridMbele-sb1ks5 ай бұрын
Hawa ni mawakala wa shetani wote hawa
@AtuganileGodson5 ай бұрын
Kabisa.Mungu anachezewa kiasinhiki??inatia uchungu sana
@PeterMahona-zd3oz5 ай бұрын
naumia Sana mungu wamemfanya. kama babuyao
@atuganileagrey50415 ай бұрын
Yaan Mungu aturehemu
@SifaelaYoram5 ай бұрын
Bible verse,, ,, hivyo husema, Amka wewe usinziaye ufufuke katika wafu na kristo atakuangazia,,,,,,waefeso 5:14,,,,,,, wapendwa tuamke wewe unayeona haya matukio amka hizi ni nyakati za hatari San
@MartiniEnock-e2e4 ай бұрын
Mungu akurehemu
@PaclasLeo4 ай бұрын
Mungu nifumbue macho niyajue ya rohoni
@SifaelaYoram5 ай бұрын
Nasikitika nahisi uchungu usioelekeza,,, Mungu turehemu
@selegioelias90765 ай бұрын
Yaani we achatu nasikia hasra ya Bwana nikuwa saga wote hawa
@gracesylvester37172 ай бұрын
Prophet ROLINGA kumbuka babako PROPHET TB JOSHUA. ata kwenye mambo kama haya usingemkuta kabisa. He was really serious with what he came for in this world and lived for. Thats why his Grace was increasing day by day. TRUST ME, APO WEWE NI SHEEP AMONG WOLVES Ndio maana nimekua nikijiuliza sana kwann ulikuja vizur lakin haulewek tena. Nilitegemea ungevaa vizur viatu vya babako kwa upande wa Tanzania kumbe i was wrong. Muombe MUNGU akupe inheritance ya babako wakiroho kwa mara ya pili alafu akupe na neema ya maintenance. Dont be that Available kwenye mambo yakipuuzi iv,.
@NaftaryMgoye4 ай бұрын
Mungu haketi miongoni mwa wenye mizaha...
@nicksonlyimo15625 ай бұрын
Masanja usidanganyike ,we binafsi Mtafute Mungu ataonekana ,achana na watu ,kama uliitwa kweli nadhani ulikua peke yako na siku ya hukumu utasimama peke yako na YESU Ili akuhukumu na hao huta waona ,Mungu hanaga wengi wape Bali ni jitahidi uingie ,nakushauri mtumikie Mungu kwa utakatifu, haki ,na unyenyekevu utavuka tuu, manabii wa uongo ni wengi Sana na kuwatambua ni vigumu Matayo 24 yote utaona ,Acha kuwasifu watu waache Mungu ndio ataamua hatima Yao kama ni wa kweli au usanii ,( ukitaka kujua maisha ya mitume we soma Biblia tuu utaona walivyoishi na walivyofanya na walivyo enenda kama kweli maisha Yao yanalinganishwa na mitume wa kweli ,) Kristo ni yeye yule Jana Leo na hata Milele hakuna wokovu wa kisasa Wala mwenendo wa kisasa Wala utakatifu wa kisasa ,jihadhari Sana nafsi yako , wengi watapoteza wengi .
@chrispinkyaruzi11105 ай бұрын
Masanja, geuka haraka! umepotea mdogo wangu! Huyo siyo nabii ni mchawi kama wachawi wengine, ni vizuri umuombe Yesu akufungue macho! ila nilichogundua watu wanakupenda. Hebu angalia coments za watu.
@mossyfimbo35775 ай бұрын
Mazingaombwe
@WiliamVicenteWiliam-q2y3 ай бұрын
Massanja nawe pia unaalibika sana daa mungu akasaidie
@HappyWilaganu4 ай бұрын
Mungu atulehem na atufumbuwe macho ya lohon kuyaona haya ya duniani juu ya watumishi wasaivi wapotoshaji mungu tusaidue😢😢
@josephgnzunda56315 ай бұрын
Pole sana masanja
@LukasEssau4 ай бұрын
Yesu anawapenda sana mrudieni atawasamehe dhambi zenu
@victorcephas36186 ай бұрын
Hahaha 😂😂😂😂😂 Masanjaaaaaaaaaa Eti Jana ulikuwa wapi? Nimecheka Hadi basi
@dorahisinika75765 ай бұрын
I LOVE JESUS SO MUCH.❤..AMENITOA MBALI SANA🙏
@bonifasiemanueli215 ай бұрын
Nilidhani Masanja yuko upande Wa Nuru,kumbe na yeye ni walewale yuko upande wa giza😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Ni ha ta lii sana,
@JohnSwain-s1r5 ай бұрын
Kwishaa iyo
@denismugisha25 ай бұрын
Hivi nyie mnapataga shida sana kuwatambua hawa eh Basi mwenzenu hata kwa mavazi tu nawaelewaga
@marthadaniel49045 ай бұрын
Kwenye madhabahu unalet comedy 😢😢Mungu atusaidie atupe macho ya kiroho, nyakat za mwisho kutakuw na manabii wa uongo
@BilihaniAdriano5 ай бұрын
mwanangu mmoja alishanigomea huyu alishachukuliwa kitambo walivyoona anakiu ya mafanikio wakatumia njia hiyo kumchukua 😢😢 leo ndo nimemkoma masanja
@joune4 ай бұрын
Kweli ukiwa na kiu ya mafanikio huwezi kwepa mitego ya shetani kukuvuta umtumikie kama nabii wa uongo
@MusaMoleli-t3k4 ай бұрын
😂😂😂😂😂ohoooooooo mmekutana kumbe
@JoycemsangiJoyce-go9su4 ай бұрын
Masa ja umeingia huko tena😂😂😂
@roseriwa69515 ай бұрын
Mungu wetu sijui kawa mpole....why! Inauma sana
@kakakuonamprubenikakakuona13874 ай бұрын
Jicho lenyewe lilishafunguliwa tu 😂😂😂
@johnbidya1193 ай бұрын
Leo nimekudharau sana masanja kumbe hata wrwe jizii duuuh
@AshaSendoki5 ай бұрын
Yaan mmeona Kwa Yesu ndo pakufichia ushetani wenu
@chrisdeoglatias86655 ай бұрын
@@AshaSendoki yaàan acha tu!
@BERTHAMBILINYI-q8i5 ай бұрын
kweli namtafuta MUNGU kibinasfi
@ellymunisi87495 ай бұрын
Wote hawana Mungu ndani yao
@peacelaity81043 ай бұрын
Mhh masanja sijaamininso.mmejikisanya wote tuwajue viizur
@richardmanirabona97874 ай бұрын
Ni hatari sana. Yesu Kristu aliponye kanisa lake Tanzania.
@thestkim66255 ай бұрын
Daaah pesa inatutenganisha na mungu kabisaaa😢😢😢😢
@PeterMahona-zd3oz5 ай бұрын
ndiyohivyo ilawapo. watakao. Simama tu namungu atatushidia
@JamesIbrahim-el4zw3 ай бұрын
Wahurumie watu wako,wamekua mateka Baba,kama ilivyo mfunulia isaya 5:13-15
@january_Tattoo5 ай бұрын
Nashukuru mungu 😂 mmenza kujichanganya na kujikusanya ili tuwajuwe😂😂😂 kumbe mpaka wewe ni mfanya biashara sio ujatumwa unajituma
@KatRobert5 ай бұрын
Hizo nguo zao zinatisha kwanza😅😅😅
@JofreyMsigwa4 ай бұрын
Ni kweli kabisa za Tisha huyu dogo kapotea jaman
@BeniJohn-xd3cn6 ай бұрын
Dunia imekwisha Kazi mnayo ngoja Mbarikiwa awajibu Mapepo ni mengi kwenye iyo ya Mazaba
@EmanuelBlassy-uz4gm4 ай бұрын
Kweli Mbarikwa na CAssian Paschal Kiboko Yao
@LesianaBizimana4 ай бұрын
Surely,mbarikiwa anapingwa vikali but yeye ndo ana injili ya kweli na watu hawajui
@ludovicmjili84803 ай бұрын
Aisee
@teyllalugazia3 ай бұрын
Hivi wanadamu wanashida gani khaa😢 wanadamu kwanini mnakuwa wapuuzi kiasi hiki😢😢
@eliasselemani19636 ай бұрын
AFADHALI KUISHI TU HUKU KIJIJINI
@eliasselemani19636 ай бұрын
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA
@chrisdeoglatias86655 ай бұрын
@@eliasselemani1963 ha ha haaaaaa! Unamaanisha kjjn ndy kukosalamaaa!!!!??? Hkuna bhana sasahv vyombo vya hbr vmefny dunia iwe mtaa nenda kjjn sasahv mchngj wa hapohapo kjjn wat hawamjui jina ila nabii wa uongo wa Dar wanamjua na vikorokoro vyke wanavyo had chumban kwao
@Joyceisaka5 ай бұрын
Kabisa kaka angu huku dar ni hatar mweee ni hurumaa
@marrynaftali79695 ай бұрын
Umeona eeeh,Mjini Mambo mengi mno
@MonicaBeni5 ай бұрын
Hahahahaha ndugu yangu umifurahisha sana... Afadhali kuishi tu kijijini !!! Umewaza nn kamanda wangu?
@fredrickmikera59985 ай бұрын
Mathayo 24:24,siku za mwisho watatokea manabii wa uongo na wakristo wengi wa uongo.someni ufunuo kama hamjajaliwa kuelewa tuulizeni ili tueadaidie tuko ktk dk za mwisho kabisa Yesu yupo karibu kurudi na shetani amewafumba macho watu wasijue ukweli
@doreenkahunde31864 ай бұрын
May God have mercy on these people. Repent Repent before its too late
@jacklinakinabo64795 ай бұрын
Can i prophesey 😢😅😅😅 Go deeper Papaaa😂😂😂😂 Haki Mungu wangu weq Tuhurumie
@JosephTherathini5 ай бұрын
Mungu utusaidie
@VicentJoackim3 ай бұрын
Dunia imeisha hii ni nn ss mbona hatar jaman tuwen makin 😂😢
@prchMichael5 ай бұрын
Wanasema wameitwa kumbe ndo wapuuzi kwanini mnalitumia jina la YESU kupoteza watu na kujitwalia heshima wewe ni nan watu wakupigie magoti acheni upuuzi jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭
@StevenMutale-xt9yj3 ай бұрын
Somaa vizuri neno la Mungu warumi 10-11-15
@SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA3 ай бұрын
I love you my jesus help the word
@lusungungimbudzi42655 ай бұрын
We Jamaa bwana Commed all the time
@BraytonMwakitalima3 ай бұрын
Masanja mi mchungaji wa uwo ngo tapeli mmoja ivi
@FabiolaTemba-kz2sq5 ай бұрын
Masanja mkeo ana kuzalilisha Yaan haja tulia kabsaaa jmn 😂😂😂😂 Sijawai kuona mke wa mtumish wa Mungu mwenye wenge kama uyu jmn 😂😂😂😂
@FamtamAli-vl2wx5 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😭😭😭😭 kweli hii ni Feremason kabisa yani Mungu tusaidie Walahi 😢😢😢😢
@MusaMsami-yh9cg4 ай бұрын
Mbarikiwe watumishi
@VenanceMsoka5 ай бұрын
alafu ni mwingizaji😅😅😅
@AmonSimfukwe-t7r3 ай бұрын
wateule wa Mungu tusimame tu kwa kristo yesu
@kelvinchaula4 ай бұрын
Mungu ni mvumilivu saaaana nyieeee
@kmotivation11305 ай бұрын
wazee wa kazi kazi
@MAONYOTVTANZANIA5 ай бұрын
Mihuni ya dunia hii , utani wa wahuni wajitambia mapesa ya uchawi wao , katskela anawajua wote
@klmhardware29935 ай бұрын
Daaaa kanisa limeva😢😢miwa😢
@dismasmtui9653 ай бұрын
Hata simuelewi anachokisema hapo zaidi ya comedy zake
@PaskariaSuwi5 ай бұрын
Naomba unipe mwisho mwema Mungu wangu
@magdalenapeter61065 ай бұрын
Hakika YESU yupo mlangoni tuweni macho Wana wa Ibilisi wamejikusanya
@kipkemoicheruiyot43155 ай бұрын
Ghaai huku ni wapi , may the light of the Holy scripture sound absolute truth till the end of the edge😢
@anyosisyedaniel17905 ай бұрын
Akifufuoa Mtume Paulo, ama laana iwale kwa kibadili injili ya Kristo kwa ajili ya njaa yenu.
@ellymunisi87495 ай бұрын
Masanja mwenzao
@FelicianiShine5 ай бұрын
Imebidi nicheke kwa nguvu sa😁😁😁
@GabrielgabbleMwambengo5 ай бұрын
Hapo hata kipofu mwenyeakili timamu hadanganywi,,iweje sisi tulopewa macho tudanganyike???,,Dear guys mwenyekusali sali sanaaaa pia mwenye kufwata hao mashetani endelea but majibu unayo😢😢😢
@GaudanceYasinta4 ай бұрын
Kifo ni kilekile 1 na mlango ni 1 sisi tu mavumbi ,pesa itakuheshimisha duniani na si mbele za mungu, Sio wote wanaosema bwana bwana watauona ufalme wa mbinguni
@graceyamado85784 ай бұрын
😢😢😢
@eliaichraymond12154 ай бұрын
😳😳😳
@JoycemsangiJoyce-go9su4 ай бұрын
Masanja hapo nimekuzarauuuu mh
@judithminja7705 ай бұрын
Nini hiki YESU😢😢
@MarrySanga-n1f5 ай бұрын
😱😱😱😱😱😱😱😱😱
@nicethgabriel33193 ай бұрын
Mwenyewe anacheka tu maana anajua ni mchawi kweli hana ata mungu
@DavidMbwilo-qk1bz5 ай бұрын
😂😂😂 pamoja na upako wote lakini bado kuna bodyguard inaonyesha mu waoga kiasi
@JohnMakweba-fj4rt5 ай бұрын
Can i prophesize 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JosephTherathini5 ай бұрын
Uuuuuwiiiii😮
@andrewkissava91846 ай бұрын
Kwani ma wewe masanja umekuwa mtu wa swaga namna hiyo hee mbona kuzimu mtajaa sana
@bensonmgaya56936 ай бұрын
Jana ulikuwa wapi afu ukapotezea nimefrahi sana😂😂😂
@HellenLemilya5 ай бұрын
Wahuni mmejikusanya kutapeli watu , serikali tuache kuwatafuta vibaka wengine tofauti na hawa waliojitokeza
@Gospo_beats6 ай бұрын
Duuuh 🙄 Nimeduwaaaaa
@geitandelwa2996 ай бұрын
Umeona ee shida
@deborahmchona55846 ай бұрын
Mungu wangu mpka mi sielewi wanatu changanya kuna niliokua mawaamini pia naanza kupoteza imani kwao sasa Mungu tusaidie tu hiz ni zama za mwisho kwa kweli
@chrisdeoglatias86655 ай бұрын
Achana nao ucje ukafa kabisa tukakukosa.
@sophiaommy83435 ай бұрын
@@deborahmchona5584mbona Kama Kuna Rolinga tenaa aiseee nimejikuta naumia sana
@AtuganileGodson5 ай бұрын
Utajua tu.Wamejipanga na wapo vizuri.Mungu hatajwi ila sifa za watu.😂😂😂 Mungu atusamehe sana
@veronicamnico4773Ай бұрын
Askofu shida ni huyo kiboko wa wachawi😢
@JeniphaMabway5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kwahiyo ukigusa viatu vya Masanja umemgusa Nabii
@johnbidya1193 ай бұрын
Hivi kwenye hii show unahisi masanja amelipwa bei gani?
@AyubuHeshima6 ай бұрын
Ninaona wahuni watupu tu.
@moseshaule5865 ай бұрын
Uhuni sio dhambi mbona,, kwani uhuni mining?
@rayisadesigns26464 ай бұрын
@@moseshaule586 WAHUNI KWA WANACHOKIFANYA, INJILI HAIHUBIRIWI HIVYO HAO NI WAPIGAJI TU NA NDIYO MAANA WANAITWA WAHUNI!!
@ednakawau98425 ай бұрын
Kumbe masanja ni wale wale
@barakanatus56765 ай бұрын
Ulikuwa ujui ni wale wale
@hosannakamwela92865 ай бұрын
Hakika ni walewale
@manaseliberatus13476 ай бұрын
TIMU IMEKAMILIKA MKUU, UKITOKA KWA KIBOKO YA WACHAWI UNAKUTANA NA NABII MUUWAJI, MADHABAHUNI HAPAPANDISHWAGI KILA MTU
@chrisdeoglatias86655 ай бұрын
@@manaseliberatus1347 kaz tunayo!
@johnbidya1193 ай бұрын
Majambazi ya kisasa
@DeoUrio-k6f5 ай бұрын
Watu wapiga magoti na kumfuta viatu masanja hii sio sawa ni kama wanakuabudu ,sio sawa achana na giza toka 😢,manabii wa uongo walitabiliwa wakati wa mwisho wa dunia au kuja kwa Yesu kristo,ndo sasa tunaona, Yesu tusaidie
@RestitutaNjau-k8x6 ай бұрын
Usanii mpaka kwa kutumia Jina la Mungu,mmmmm Mungu tuhurume
@chrisdeoglatias86655 ай бұрын
Sasahv Mungu c kawa k.m anko tuu tna ht kw anko mdada haend na visuruali ila madhabahuni bnt anasogelea na mavaz ya uchi bila haibu, jamaniii" M/ KE KUVAA SURUALI HT KM N Y SUT NI KUWA UCHI, ni roho ya yezeberi makanisani!
@patrobamalema86315 ай бұрын
KIBOKO YA WACHAWI ANAWAADABISHA WACHAWI BARABARAAAA 😄😄😄😄🏃🏃🏃🏃🏃
@ellymunisi87495 ай бұрын
Leo wameturihixishia timu yao yakishetani ngoja niwashitakie kwa Mungu na wapotelee mbali kwa njia 7 wote waangamie Kama hawatatbu na kumuubiri Yesu wa kweli
@sarahkeivaly33515 ай бұрын
Yaani Masanja umeweka Ukomedi wako hadi knsn, Umeambiwa nyumba ya Bwana itakuwa nyumba ya Sala, si nyumba ya kufanyia comed
@samuelakanga55865 ай бұрын
1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. 16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; '2 Timotheo 3:1-16'
@SamooTz-pi5ok5 ай бұрын
Matapeli wamekutana jmn hii dunia tunaenda wap 🙏
@yohanasingers3 ай бұрын
ujinga hautaisha kwakweli.. Hadi Yesu anarudi
@MarycianaGeorge3 ай бұрын
Dah Kwa Hali hii tumekwishaaaa
@TheofiloKihongosi5 ай бұрын
Pole myawe kweugenda
@verroallex91445 ай бұрын
Muda ni mwalimu mzuri sana.. Mtawatambua kwa matendo. Kwa matunda yao mtawatambua. Lilikua ni suala la Muda tu kuwatambua hawa. Bwana Yesu atupe maarifa ya Neno lake.
@gloryleon41873 ай бұрын
Kwa anayoyafanya kiboko ya ....... Kwa Sasa tumewatambua tayari
@hosannakamwela92865 ай бұрын
MUNGU anadharirishwa hivi, jamani. Dunia iko pabaya wamemfanya Mungu kama mjomba
@dorahkaruma92995 ай бұрын
Kuna kiboko ya wachawi na huyo sijui IPM siku nikiwa sijafanya dhambi kama iliyosababisha leo kujaziwa kadi la kliniki 😂. Nitakwenda makanisani kwao kuwaombea waokoke na kuwaongoza sala ya toba 😂😂😂
@ombendaud59385 ай бұрын
Mmmmhhh hivi ni vipande 30 tuuuuu
@raymondwilliam30426 ай бұрын
Bodyguard sasa 😂
@janethmwihumbo12896 ай бұрын
Ukitaka kujua manabii wa kweli na wauongo angalia kwenye mikussnyiko yao utajua tu ni wale wale kazi ipo ila tz mmejaa sana
@LucyKapinga-fg4dk5 ай бұрын
KUJAA KWA TZ NI Kwa Sababu Ya Tanzani Imebarikiwq Watumishi Wa MUNGU NI Wengi Soo Ndio Maana Shetani Anajita nayeye Kuwwka Wake ìli Aliangushe Kanisa Ndio Maana Tunatakiwa kuwa Karibu NaROHOMTAKATIFU Atutetee nakutuonyesha
@janethmwihumbo12895 ай бұрын
@@LucyKapinga-fg4dk Amina Amina Mtumishi ni kweli usemayo
@merabKitundu6 ай бұрын
Kweli mbinguni ni mbali
@annambembela66615 ай бұрын
Mungu wangu nin hiki jamani duuh Dunia shuka nisimame
@peterrichard96445 ай бұрын
Ngoja ninyamaze maana na imagine kina Paulo huko mbinguni wanatamani washuke