Kutachangamka tu acha watukere mpaka uvumilivu ufike mwisho
@johnsinyinza745022 сағат бұрын
Maagizo kutoka juu. Mbona kazi ndogo sana mkishidwa kudhibiti mtendaji bora muache shughuri za kisiyasa. Mkayenyumbani
@MtazameKristoTv21 сағат бұрын
Kusaga wewe ni noma, umemjibu naondoka lakini nataka majibu
@pastorjameswatersoflifechu122723 сағат бұрын
Mungu, kunanini kwenye nchi yetu baba? Mimi ni mtumishi wako. Naumia baba yangu.
@leokamil6284Күн бұрын
Mnalazimisha watu kwa nini inamaudhi sana nchi hii
@GaradiGaradi-zq1wf21 сағат бұрын
Nchi hii inafaa kuongozwa kijeshi. Huu ni uhuni
@imanuelzakayo870322 сағат бұрын
Yaaan hii tv ya kusaga kwa sasa ni sawa na ayo tv iko na ukweli ubarikiwe sana kaka kusaga
@generosennko834320 сағат бұрын
Lo ccm imevunda sana sehemu hiyo.
@elishuaisaya417616 сағат бұрын
Kuongoza wananchi ni kazi sana maana wanahisi kuwa na haki ya kitu yoyote ile bila kisahau kuwa mfanyakazi naye anahaki yake katika hili mfanyakazi anawakosea sana wananchi ushauri wangu mtaani ni kugumu mno yatupasa kuishi na watu vizuri hata kama tukikosea iwe kwa bahati mbaya kama wanadamu na si kwa makusudi na mungu atutangulie ahsante
@IssaAlly-lp4uf23 сағат бұрын
Hawa CCM wanataka kutoesha amani
@leokamil6284Күн бұрын
Haki haki haki hakuna kabisa katika nchi hii 🚮
@KandidoLuvanga23 сағат бұрын
Mwenye kusamehe hilo ni mungu ila chadema tutasaidia wasimamizi wasaidizi uchaguzi wakutane na mungu
@IssaKaminyoge21 сағат бұрын
Tunduma akimu aterekeza mawakara chadema Sasa kesho tutajitabulisha
@SubiranTimo21 сағат бұрын
Pole chadema inaleta hasiraa wananchi tuaamkke wanakula koodi zetu hii ni shida kqeli
@RamadhanAlly-cf7du17 сағат бұрын
Huu ni upuuzi mkubwa sana ivi huwa mnatuonaje nyie viongozi wa ccm izo ela mnazolipwa kod ni kod zetu ety mbonq mnatufqnya kaa wajinga
@Gaynor123419 сағат бұрын
Serikali ya Samia inatia AIBUUUU! Haijawahi tokea tangu UHURU. Ina maana hajiamini
@RamadhanAlly-cf7du17 сағат бұрын
Ccm ni kama mav ukiyaona unafumba macho wananukq
@rasnchimbiКүн бұрын
Nachojiuliza ni nini kitafatia, kwa mustakabali wa kitaifa,kwa jinsi ya uhalifu huu wa makusudi?
@YohanaMwakaje11 сағат бұрын
Tv nzur daaaa Kaz Kaz,🎉🎉🎉🎉
@andrewmaiga4331Күн бұрын
Kazi kweli kweli
@nicolauslema8821 сағат бұрын
Tunatakiwa tumuweke Mungu mbele.
@oam14lКүн бұрын
Mwandishi hizi habari kwa nini usizipeleke mbele?
@oam14lКүн бұрын
Hivi ni kwa nini watu wamejaa VIBURI kiasi hiki?
@johnsinyinza745022 сағат бұрын
Yote haya yanafanyika! Baraka kutoka juu.
@thefinalstand20229 сағат бұрын
Wewe ndo mmoja tu mwenye akili... CCM inajiua yenyewe kwa matendo yake. Mbinu hizo hazijengi lolote bali zinabomoa jengo lote la CCM.
@KisinzaNewton22 сағат бұрын
Nchi inaviongozi wa hovyo sana
@FredrickKinyaha10 сағат бұрын
Chadema mkimaliza uchaguzi huuuu mapambano ya kudai katiba mpya na tume huru ipatikane
@matendokagina7 сағат бұрын
CCM ni noma sana, Kwa uoga
@leokamil6284Күн бұрын
Uchaguzi huru hakuna bila tume huru uchaguzi wa haki hakuna
@RamadhanAlly-cf7du17 сағат бұрын
Hawa dawa yao nikwenda nao kibabe piga nikupge uwa nikuuwe tu
@RamadhanAlly-cf7du17 сағат бұрын
Dawa yao kwenye vituo vwa kula wasiingie ndan
@Miriam-m2b2 сағат бұрын
Hakika ramadhan@@RamadhanAlly-cf7du
@wilisonmikate165211 сағат бұрын
Sijajua ccm wana waogopea nini cdm
@NardhisMhagama-sy3eq23 сағат бұрын
Mnataka madaraka harafu mnakimbia ofisi mtahudumia watu saaangapi
@adelinelyaruu303623 сағат бұрын
Yaani tukio ni moja baada ya lingine. TZ maovu hayataisha. 😢😢😢
@Mrmohadi.OFFICIAL22 сағат бұрын
Nchi hiii jamani atari
@puritybariki852921 сағат бұрын
Watendaji kueni makini mnaishi mtaani na watu mnao wakosea
@DannySanga-gh1oj19 сағат бұрын
Tusilalamike sana bila kuchukua hatua
@salama1113Күн бұрын
Kumekucha hao wanataka fujo
@RamadhanAlly-cf7du17 сағат бұрын
Arafu unakuta police na akili zake timam anakuja kupga watu
@Miriam-m2b2 сағат бұрын
@@RamadhanAlly-cf7duni aibu xn
@SubiranTimo21 сағат бұрын
Hali ni twte. Wanapata nguvu polic
@isayamwashibanda581910 сағат бұрын
Yani mambo ya hivyoo sanaa
@mwitamahende439419 сағат бұрын
CCM tafuteni njia nyingine ya kisasa kuwakabili wapinzani, Sio hii ya hujuma.
@fabby118123 сағат бұрын
Wakati mwingine huwa najiuliza, viongozi wa kitaifa pamoja na mkuu wa nchi hii kwenu imekaaje, mbona kama mnaidharau, msije mkafanya watu kubaguana
@DandasiKundi4 сағат бұрын
Viongozi timizeni haki mtahukumiwa na hizo dhambi mnazofanya lazima mungu atajibu kwa vitendo mnavyofanya. Uchaguzi wa mtaa si mchezo bahati nzuri watu. Wanajuana ukimfanyia mwenzio figisu na anaona na nyie mnaishi wote kijijini hapo si itakuwa tayari chagueni mtu amaekubalika.
@FrankMwakatundu-cu6bd15 сағат бұрын
CCM INAJIDHARIRISHA, AIBU!!!
@StephenMassawe-z9y9 сағат бұрын
Hao ndio viongozi wetu bwana
@victoriabernard52877 сағат бұрын
Inasikitisha
@FrancisThomas-jc8wq23 сағат бұрын
Kiburi cha madaraka,
@BIGCHENDREADLOCKS17 сағат бұрын
Ila bongo kuna movie kali siku iz
@JohannesJamal19 сағат бұрын
LEO MSIONDOKE CCM IMEZIKWA
@EmmanuelSwedi-n2r19 сағат бұрын
Wewe kweli wandishi una subuka na neno la mtu kufungua me ofisi kweli kweli wewe mwandishi waovyo sana
@Hkilave20 сағат бұрын
Hawa wenye viburi Mungu atawalaani hilo ni agizo toka juu halafu waseme chadema wanavurugu kumbe ccm ndiyo wahusika wakubwa
@JeremiahKaliwa-h1w7 сағат бұрын
Tanzania imekuwa nchi ya ajabu bado tunaogopa na kuwaza uchaguzi, unafunga ofisi,badala ya kuwaza namna ya kumuinua MTANZANIA kiuchumi tunahofia eti atapita CHADEMA au CCM ni ujinga wa kiwango cha lami
@odoieriasmonga659119 сағат бұрын
sisisem ni waoga sana yote hiyo ni mbinu za kuhujumu uchaguzi
@deuskamugisha362711 сағат бұрын
watawala hebu ondoen hii aibu jaman Yani kila siku mambo Yale yale
@LeahMgunda-l8c22 сағат бұрын
Nchi yangu Tanganyika 😥😥😥
@nanguniMtaita-hz4zt6 сағат бұрын
Baada ya kufunga hiyo Ofisi, nini mulichukua hatua? Kateni vichwa vyao.
@MihayoMageta-k4n17 сағат бұрын
Hawa CCM vipi 😮
@RamadhanAlly-cf7du17 сағат бұрын
Ila hii Tanzania inabaazi ya viongozi wapuuzi sana istoshe hii ccm mmejsahau sana ety iv mnafkilia mtaishi milele mnaboa sana mpo kqmq mqvi
@MbwanaKisoro11 сағат бұрын
Mahaya badae tunamtafuta mchawi
@DannySanga-gh1oj19 сағат бұрын
Msilalamike jamani mtafuteni hata kwake
@JuvenaliNgonya19 сағат бұрын
Waiz wakura hao kijani
@valenakomba768617 сағат бұрын
MBONA HUO NI UTOTO NA USHAMBA.
@FrankMwakatundu-cu6bd15 сағат бұрын
SAMIA UTAWAJIBIKA KWA MUNGU KWA JAMBAZI(UOVU) HUU.
@ayubunato-lg7yy13 сағат бұрын
Wanajeshi mko wapi chukueni nchi jameni mbona tumechoka na hizi chaguzi za kimchongo
@magrethsengati25647 сағат бұрын
Mbona kama ccm wanaogopa 😂😂😂😂😂 alafu viburi ,dharau,jeuri waandishi wa habari wekeni wazi kila kitu,ninacho waza ni kwamba mkishinda chadema hawa watawapa ushirikiano kufanya maendeleo kwa wananchi
@barakajohn800521 сағат бұрын
Tupo live!!😂😂😂😂
@thabit577523 сағат бұрын
Tena
@stanslauschacha283322 сағат бұрын
Kuna siku watumishi wa serikali wataitumbukiza hii nchi kwenye matatizo
@Hkilave20 сағат бұрын
Siyo watumishi hilo ni agizo toka kwa viongozi ndiyo maana tunataka katiba mpya
Hawa watendaji mbona wanatu haribia nchiyetu!!!!!!!!!!!!!!!!!
@danielkanso23 сағат бұрын
Kwa sasa kilichopo ni kumcharasa bakora tu huyu ni mhujumu tu kama wengine
@ceciliamagalabajimmy439122 сағат бұрын
Huyu anajua anayempa kiburi. Anauliza wa chama gani!! Mmmmmh madhara ni makubwa sana.
@luthermartin109822 сағат бұрын
Kwanini hauko ofcni? Hawa viongozi wanapata wapi kiburi katika kazi?mlinzi kapata wapi funguo?
@zakariakihwelo570315 сағат бұрын
Huu ujinga sn huu
@brightergermanus216320 сағат бұрын
HIII NI. KALI MNO TENA NI BABU KUBWA . HAIJAWSHI KUTOKEA TANZANIA A MMMMMMM. MHUU
@johnsinyinza745022 сағат бұрын
Wataleta vita hawo washenzi. Ccm mnataka amani bira kutowa haki.
@MzeeBabu-s6y20 сағат бұрын
daa nishida
@SophiaKamgunda22 сағат бұрын
Vumilieni mpaka kesho
@JamesSichimata21 сағат бұрын
Kwani kufungua ofisi kuna shida gani
@SebastianCharleskayanda22 сағат бұрын
Hawa makuma wanataka vita sio bure hivi wananchi watavumilia ukuma kama huo
@StephenMassawe-z9y9 сағат бұрын
Kwa hiyo hata kuapisha mawakala hawataki? Kweli hali imefika pabaya.
@AlbertKilinga18 сағат бұрын
mtafuteni aliko atimize wa ofisi ya umma .
@KILINDONI_MEDIA18 сағат бұрын
Kusaga😂😂😂
@deodathsilayo3639Күн бұрын
Mbna Kama amelewa
@johnsinyinza745022 сағат бұрын
Hayo majina ya watoto waliyo andikishwa wanatafuta nafasi kuenguwa mawakala ili majina ya watoto majina ya marehemu wapate kuyasokomeza na kutangaza ushindi muwe macho.
@florencejohn642719 сағат бұрын
Huu upuuzi hauwezi kutokea singida mashariki. Mtendaji atalia meeeeee
@valenakomba768617 сағат бұрын
YAANI HATA KUAPISHWA NAKO NI MGOGORO? HIVI TUTABADILIKA LINI?.
@Hkilave20 сағат бұрын
Ccm kama wanapendwa na wananchi figisu za nini
@MaxCharles-wj5dg22 сағат бұрын
Yupo t
@JohannesJamal19 сағат бұрын
MTAFUTENI MWENYEKITI MBOWE KWA SIMU ATOE MAJIBU
@HellenNkwera22 сағат бұрын
Amna kituu apooo
@GodwinSadiki22 сағат бұрын
wanafanya hujuma kabula yasiku yauchagu zi
@FredMwamgogwa-td6ni19 сағат бұрын
Kwanini ufunge ofisi
@florencejohn642719 сағат бұрын
Hawa wa chadema waliofika hapa nao hawana akili na wapuuzi. Vijana wa ovyo kabisa. Wanajua kuwa agressive kwenye kushangilia mpira na kubet tu. Kwengine zero. Bure kabisa
@jangalaalexbubehi76587 сағат бұрын
Katoe msaada
@bahatikamihanda368921 сағат бұрын
Ndo maana alipo pigiwa simu aliuliza ni mawakara wa chama gani? Inawezekana Kuna mkakati umepangwa.
Watanzania tumekuwa mazuzu na manyumbu kupitiliza. Mtendaji wa kata si mnamjua na mnaishi naye? Mnakwama wapi? Arusha tulikuwa tunawategemea mko vzr kwenye siasa na hamfanyiwi upuuzi wowote. Lkn siku hizi mmekuwa mazuzu na manyumbu. Huo sio upole ni ujinga na upuuzi. Amkeni. Bure kabisa
@nelsonnyamle2 сағат бұрын
Chadema acheni kulalamika hakikisheni na wwgombea wa ccm mnaapishwa wote na mtendaji msikubali kuapishwa nyie peke yenu
@Castory-k4j21 сағат бұрын
Mimi kwa Hali hii sipgi kura ccm hawako tayari
@EdwardJohn-xz5oi15 сағат бұрын
Nenda ukapige kura acha ujinga wewe nyie ndio mnaturudisha nyuma ukiacha ndio umefanya nn sasa?
@estachengula390220 сағат бұрын
Hivi raisi Samia Yuko wapi au nchi Haina viongozi mbona vitendo vya aibu sana kwa viongozi watawala kiburi sio kizuri hawajiamini ccm wakati wamefanya vizuri shaka kwao nini