TAHARUKI! PENINA AUAWA kwa KUKATWA MAPANGA AKIWA BAR - "ALIANZA KIDOLE - AMEUAWA na MPENZI WAKE"....

  Рет қаралды 26,147

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

TAHARUKI! PENINA AUAWA kwa KUKATWA MAPANGA AKIWA BAR - "ALIANZA KIDOLE - AMEUAWA na MPENZI WAKE"....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 143
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@adammjomba5814
@adammjomba5814 4 ай бұрын
Wanawake acheni kuwaendekeza wanaume wanao mipiga ukiona mwanaume haishi kukupiga achananae hatakama anakupatia fedha zokatae muondokee atakua Au atakupa kilema cha maisha. Hasa hasa hii jamii ya wafugaji hawana masihara Hua wanakua wakali sana kwa sababu ya kula nyama tofauti na hizi jamii zinazotumia mboga mboga Hua wanakua wapole na waungwana mfano Simba chui fisi ni wakali hurarua tofauti na kondoo au mbuzi nk
@chikujuma18
@chikujuma18 4 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajighun polen jaman
@chimamilion
@chimamilion 4 ай бұрын
haya mmbo ya pombe tungewaachia wanaume jmn sipend mwanamke mnywa pombe 😢poleni sana familia jmn
@helenaemmanuel4897
@helenaemmanuel4897 4 ай бұрын
Alikuwa anafanya kazi na yeye ndo glossary yake
@ArafaKalinga
@ArafaKalinga 4 ай бұрын
Poleni sana kwa family,ndugu na jamaa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
Hatawanaume aifaikunywa kwani wanapotezaakili
@AholeLifilima
@AholeLifilima 4 ай бұрын
Kwani pombe ilitengenezwa sababu ya wanaume hii😮
@chimamilion
@chimamilion 4 ай бұрын
@@AholeLifilima kunammbo mengne ata sio lazima muambiwe nikujiongeza tuh mfyuuuu
@hawaa341
@hawaa341 4 ай бұрын
Hatari sana
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 4 ай бұрын
Dada mtagazaji napenda vipindi vyako maana maana unajua kazi yako ufike malengo yako
@joseemgongoz
@joseemgongoz 4 ай бұрын
Kwenye vifo ndo mnamjua mungu.kwenye raha zenu mungu wakazigani.acheni unafki
@BishopAdamGige
@BishopAdamGige 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa,sio sahihi kumjua Mungu wakati wa shida na wakati wa raha hawana habari na Mungu,ni vizuri sana kumjua Mungu wakati wowote ule,big up sana
@vailethpauloPaulo
@vailethpauloPaulo 4 ай бұрын
Umesoma au kusikiliza vizuri
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 4 ай бұрын
So Sad Rip😭😭😭🙏
@MauaDumba
@MauaDumba 4 ай бұрын
Mzee kaongea vizur sanaa inafundisha
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 4 ай бұрын
Mwenyezi mungu amsamehe makosa yake inshaallah
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 ай бұрын
Ukiona mwanaume anamkono achana nae mapema utakuja kutoka kilema au maiti
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 4 ай бұрын
Kama humsaliti wala hamna wasiwasi atakuuwa bila sababu?
@AholeLifilima
@AholeLifilima 4 ай бұрын
Kwani mapenzi ni lazima si unamwacha ​@@Maxpaul-oi8pw
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 4 ай бұрын
Innalilah. Wainailah. Rajuun
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 4 ай бұрын
Ili libaba senge ili ovyo na makengeza yake mwenyewe mlevi au lilikua linamtaka mfanyakazi Lione mtu mzima kisheti
@Nellyfredy
@Nellyfredy 4 ай бұрын
Penina kipenz tulikupenda tulifanya kaz kwa uzuri aiseee
@Ambwene
@Ambwene 4 ай бұрын
Poleni
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 4 ай бұрын
Allah naomba unipe mwisho mwema
@hemedMohammed-l2u
@hemedMohammed-l2u 2 ай бұрын
Amina
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 4 ай бұрын
Kunywa pombe ni sawa lakini ikizidi kupita kiasi ukasahau na majukumu yako ndio shida na pia Alivyochelewa kurudi nyumbani ndio mwanaume Akapata Asira kuna muda kazi ni sawa lakini pia mjali na muda wa kurudi nyumbani jamani.mungu Apumzishe roho ya marehemu mahala pema peponi
@zulfahaji91
@zulfahaji91 4 ай бұрын
Kunywa. Sio lazima
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 ай бұрын
Nimeshtuka kuskia Peninah nikadhan ni rafiki yangu wa Arusha 😢😢
@mengikiguruwe6750
@mengikiguruwe6750 4 ай бұрын
Hv Grocery inauza pombe hadi asubuhi au mm ndio sielewi? inavyoonekana huyo marehemu alikuwa na mahusiano na mtu mwingine, anyway yeye katangulia sisi tunafuata. Tunamuomba Mwenyezi Mungu ampatie pumziko la milele-Amina
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 ай бұрын
Wasukuma so watu wa mchezo wanapenda sana kupiga sasa penina kaumaliza mwendo na maji kichwani innalilah wainnalilah laijiun
@kamarhelo
@kamarhelo 4 ай бұрын
Ni zaid ya msiba kwakweri
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 ай бұрын
Ni mtihani kwa kweli
@irenenicesngkwayu3919
@irenenicesngkwayu3919 4 ай бұрын
Yaani dahhh
@rubenprince8990
@rubenprince8990 4 ай бұрын
​@@irenenicesngkwayu3919utamu wa chupi ya marehemu yamuingiza jela jemedali
@ZainabuMsengec
@ZainabuMsengec 4 ай бұрын
Shida yao sana ni wivu ndo huwa unasababisha
@Latifa123Latifa12
@Latifa123Latifa12 Ай бұрын
Sasa unacheka
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 4 ай бұрын
Pombe mbaya
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 4 ай бұрын
😢
@GetrudarCelestineAmede
@GetrudarCelestineAmede 4 ай бұрын
James jaman!! Ndo umeamua kuishia jela kisa mapenzi tu🙆
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 4 ай бұрын
Dah so sad
@adammjomba5814
@adammjomba5814 4 ай бұрын
Hapo sio pombe hapo ni mwanaume sio ni muuaji tu kwanini mwanamke wako utumie silaha kama panga?
@RehemaselemanMazwil
@RehemaselemanMazwil 4 ай бұрын
Kiukweli wasukuma tukipenda tunapenda kweli na tukivulugwa shetan hukaaa pembeni
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 4 ай бұрын
Bola Kristina kamwacha kuliko mpaka kuuwana
@consolatamsacky6400
@consolatamsacky6400 4 ай бұрын
Besti angu pumzika kwa amani
@annamussa185
@annamussa185 4 ай бұрын
Chanzo usaliti,haya endeleeni na usaliti si huwa hamsikii,umalaya ndo chanzo hakuna kingine hapo
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 4 ай бұрын
Mara nyingi huwa ivyo
@getrudakyando8798
@getrudakyando8798 4 ай бұрын
Kwani mwenzetu utaishi milele ?
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 ай бұрын
Duuu kamkata mapenz
@levinabyamungu8453
@levinabyamungu8453 4 ай бұрын
Rip
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
R.I.P
@muzneali4747
@muzneali4747 4 ай бұрын
KWA KWELI SERIKALI ICHUKUE HATUA KALI SANA MAANA SASA WATU HAWAOGOPI KUUWA WATU WENZAO
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 4 ай бұрын
Msipobadilisha sheriya nchini kwa sheriya hizo hakutakuwa na mabadiliko watu wataendeleya kwisha
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 4 ай бұрын
Ila mapenz duh ona sasa mwamba anaishi kwawasiwa
@aishatest4451
@aishatest4451 4 ай бұрын
😢😢😢😢poleni sana
@AngelclementGodwin-di4ij
@AngelclementGodwin-di4ij 4 ай бұрын
Nilkuwa na bwana msukuma akikasilika ananikazia macho alafu ananiambia nitakukata panga yan nilkuwa naogopa jamon had nimeachana naye siamini wasukuma wanawivu sana tena imepitiliza alafu wanaupendo ulio pitiliza had laha lakin shida ndo hiyo wivu
@mariamkundi
@mariamkundi 4 ай бұрын
Nilimpataga msukuma huko mafinga kilicho nikuta ndo hicho unasema utadhani ulikuwa karibu angel
@mariamkundi
@mariamkundi 4 ай бұрын
Wana wivu ulio pitiliza aiseeeee staki hata kuwasikia wasukuma
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
Mbona mnasema Serikali inafanya vizuri?. Usalama uko wapi sasa.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 4 ай бұрын
Sasa mnoogopa kutiya saini sheriya ya kifo majukumu ni yenu mjitafakari
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 4 ай бұрын
Acha kufikiria kuuwa ..wanawake waache usaliti ayo matukio yatapungua
@AholeLifilima
@AholeLifilima 4 ай бұрын
We vipi wanawake peke yao ndo wanasaliti​@@Maxpaul-oi8pw
@AbdulKijonjoo
@AbdulKijonjoo 4 ай бұрын
Jamaa alieuwa ni mwana utopolo ametoa kafara ya ubingwa do majini sports ni noma.
@paulmteki8196
@paulmteki8196 4 ай бұрын
Mitandao ya kijamii especially hakina mama baada ya nyinyi kubadilika tabia mnabaki vitendo vya ukatili vitendo vya ukatili mama zetu badirikeni tabia lasi hivyo utaharibu vizazi vijavyo mnatisha kwa tabia zenu
@PeninaChiduo-bn3cm
@PeninaChiduo-bn3cm 4 ай бұрын
Wa jina lng mpaka mwili unasisimka pumzika Kwa amani
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 4 ай бұрын
Tatizo ni anaeudumia sie anae zagamua 😢😢
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 4 ай бұрын
Jamani penni rafiki yngu
@aby21111
@aby21111 4 ай бұрын
No bouncers,security in the pub?
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 4 ай бұрын
Acha ujinga wa kizungu uchwara wewe. Sasa hapo ungeandika tu Kiswahili ungepoteza nini. Ati no bouncers security .!!
@vailethpauloPaulo
@vailethpauloPaulo 4 ай бұрын
Unaongea kitu ujaelewa hapo ni kazini kwake 😢😢😢😢
@hanifamziray277
@hanifamziray277 4 ай бұрын
Wasukuma achen wivu jaman
@jeanclaudeakili2372
@jeanclaudeakili2372 4 ай бұрын
Wa Tz niwasherati saaana ! Alafu mkorogo unawadanganya wanawake wasiku hizi!
@AholeLifilima
@AholeLifilima 4 ай бұрын
Hakuna mkamilifu Duniani..we unaujua mwisho wako
@petermanala6138
@petermanala6138 4 ай бұрын
Usiseme watanzania mseme yey
@bwizayasini2153
@bwizayasini2153 4 ай бұрын
Wanaume tunatakiwa tuelewa sasa hivi wanawake wamebadilika sana
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 4 ай бұрын
Wasukuma mm hapana wanajikuta wanawivu wakati hawajui mapenzi du hapana
@irenenicesngkwayu3919
@irenenicesngkwayu3919 4 ай бұрын
🤣🤣🤣
@AholeLifilima
@AholeLifilima 4 ай бұрын
😂😂😂nimekupendaaa
@josephineokama2200
@josephineokama2200 4 ай бұрын
na hua wanadata sanah na wadada weupe wanaipenda kifala mno
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 4 ай бұрын
Mapenzi shkamoo
@AbdulKijonjoo
@AbdulKijonjoo 4 ай бұрын
Jamaa alieuwa ni mean yanga ametoa kafara ya ubingwa.
@roseafrael75
@roseafrael75 4 ай бұрын
Hapo siyo pombe kwakweli uenda ni wivu wa muda mrefu
@petermangama330
@petermangama330 4 ай бұрын
Unapambana kwa jasho la jirani
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 4 ай бұрын
Bola niishi peke angu kulikokuwa na mahusiano na mwanamme yyt yule
@aftapat5365
@aftapat5365 4 ай бұрын
aaah ndio maana sina mpenzi nahisi wewe ndio ninaekusubiri
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 4 ай бұрын
@@aftapat5365 miaka49 hp nilipo badae nilee kajukuu kangu, tena niende kuitwa mama na uzee wote huyo mwanangu 1 na ana miaka 24 anatosha ngoja niendelee kuosha vyombo huku ughaibuni mwkn nikapumzike na mjukuu wangu shida yt ya nini unahenyeka na mikazi alafu ukamtumikie mwanaume lo .
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 4 ай бұрын
​@@aftapat5365😂😂
@petermanala6138
@petermanala6138 4 ай бұрын
​@@aftapat5365😂😂😂😂
@AbdulKijonjoo
@AbdulKijonjoo 4 ай бұрын
Jamaa ametoa kafara ni mwana utopolo majini fc. Poleni wafiwa.
@Lulualshagri
@Lulualshagri 4 ай бұрын
Mngese kweli kama huna cha kupost funga makalio yako mfyuuuuuuuu mkomwe ule
@irenenicesngkwayu3919
@irenenicesngkwayu3919 4 ай бұрын
Wasukuma hoye
@SwaumuMusanya
@SwaumuMusanya 4 ай бұрын
Acha useng
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 4 ай бұрын
Tukiwaambia achaneni na wasukuma mnasema ooh tunataka moto oneni ss
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 4 ай бұрын
Wana wivu sana nilikuwa nae yani hata hukai na amani
@petermanala6138
@petermanala6138 4 ай бұрын
😂😂😂😂aaaah kumbe wanamoto
@AniaSawaki
@AniaSawaki 4 ай бұрын
Wanawake tuache pombe aisee
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 ай бұрын
Sema wa bongo waoga huku chuga tungezuia hatuogopi panga
@helenaemmanuel4897
@helenaemmanuel4897 4 ай бұрын
Haakukuwa na mtu
@MohamedMkota
@MohamedMkota 4 ай бұрын
mbn balozi wawatu huku chuga aliingilia ugomvi wabibi na bwana mwisho hana kiganja Kimekatwa
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 4 ай бұрын
​@MondyoBalozMaskn.hakunamjanjaMbeleYaSilahahamedMkota
@chimamilion
@chimamilion 4 ай бұрын
Mbona mlikuwa mnalazwa sa12 nadogo ally😆
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 ай бұрын
@@chimamilion sio sanawar ni maboya wa daraja 2 wameisha kwa rivela na gongo waje sanawar chuga kubwa mzee
@juliuslengai5089
@juliuslengai5089 4 ай бұрын
Nilipokuwa sijaoa nilikuwa najiulza hv mtu unawezaje kumuuwa mwenzako,. Lkn sahv nimejua kwann wanauliwa
@emmadora7848
@emmadora7848 4 ай бұрын
Mwache huyo Binti wa watu aende ,unakoenda utamuua bure
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 4 ай бұрын
​@@emmadora7848😅😅😅kwakweli maana roho ya mauaji imemuingia
@Gersah
@Gersah 4 ай бұрын
​@@flavianajohn5250😂😂😂
@chimamilion
@chimamilion 4 ай бұрын
Mwanaume akisaliti tunasamehe haraka ssa ishu kwenu nyie yn mkisalitiwa cjui mnaonaga nn kusamehe wenzengu mpk mnaboa
@jamesloshilunye414
@jamesloshilunye414 4 ай бұрын
🤣🤣🤣mimi kabla sijaishi na mwanamke nilikuwa nashangaa sana inakuwaje mwanaume anampiga mke wake ambaye analala naye kila siku?? Lakin baada ya kuishi na mwanamke nikajua kuwa inahitaji nguvu ya Mungu tena iliyo kubwa kuishi na mwanamke na usimpige,,yaani kama hauna Mungu ndani ya moyo wako dakika sifuri tu unampiga mwanamke,, Mungu atupe vifua vya kukaa na hawa watu
@josephndunguru6290
@josephndunguru6290 4 ай бұрын
Hapoo ni umalayaa tuu sio kinginee,
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 4 ай бұрын
mhhh amejicreem mpka miguu imeungua
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 4 ай бұрын
Pumzika kwa amani Penina
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi 4 ай бұрын
umalaya ndio.chanzo
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 4 ай бұрын
penina amepata alichostahili ukiona huwezi kuishi na mwanaume angemuacha mapema tu haya mapenzi yani usingle raha sana
@pendomushi6351
@pendomushi6351 4 ай бұрын
Hiv wewe ni mwanadamu au pepo ! Una moyo Gani wewe
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 4 ай бұрын
@@pendomushi6351 penye ukweli lazma tuongee ukweli ila si wanaume wengine hatuwezi kuvumilia ndo maana misiba mingi marehem alikua na presha shinikizo la damu kumbe ukimwi why wasiseme marehemu kafa na ukimwi kwisha kazi
@pendomushi6351
@pendomushi6351 4 ай бұрын
@@mussakimaro5588 mungu akusamehe maana hujui usemayo hata hoja unazoziongea hazina point
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 4 ай бұрын
@@pendomushi6351 vitu vya kawaida hivyo duniani hapa kuua mtu kuuliwa kawaida hasa ukizingua ujue ndo yanayofatia hayo
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 4 ай бұрын
Hivi we chizi ama mzm kweli? Naona hazikutoshi Mungu akusamehe bure
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 4 ай бұрын
Acha mpigwe shenzi nyie akiwajiaga mwanaume mwenye kujitambua utasikia sijui huyo mfupi au mara huyo sijampenda. Mara huyo mweusi. Lakini mwanaume mlevi au mshenzi. Eti ndio anampenda na anashi nae. Badae yakiwatokea kama haya et mnashangaa sasa mnachostajabu ni kipi na wakati ndio maisha mmeyoyachagua kwanini wewe mwanamke ukubali kuishi na mwanaume mlevi na mvuta bangi yaani. Mshenzi mshenzi?
@neemanyove9130
@neemanyove9130 4 ай бұрын
Likikukuta utaropoka hvo pia
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 4 ай бұрын
@@neemanyove9130 habali ndio hiyo
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 4 ай бұрын
Sasa akimpenda ndio amuue wee mbaba unaongeaje
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 30 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 43 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН