#PART2

  Рет қаралды 46,366

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#PART2: MTANZANIA AOLEWA na MZEE OMANI - AWEKWA JELA SIKU 13 - UBALOZI WAMZUNGUSHA PASSPORT YAKE...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 752
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 3 ай бұрын
Mwez ujao nakuja kutetea tunao ishu vizuri maana kila siku wanakujaga wenye matatizo
@user-uh7tk3zi7j
@user-uh7tk3zi7j 3 ай бұрын
Shukurumung nasi tumeshashindwa
@user-uh7tk3zi7j
@user-uh7tk3zi7j 3 ай бұрын
Kumina tatu ndogo mbona kunawengine wapo mwaka
@user-uh7tk3zi7j
@user-uh7tk3zi7j 3 ай бұрын
Hajasema wote😢
@user-uh7tk3zi7j
@user-uh7tk3zi7j 3 ай бұрын
Kilamtu nabahati yake
@jamilajamila183
@jamilajamila183 3 ай бұрын
Pole sana jamni,, kweli changamoto zipo ,, na ukipata nyumba nzur kwelii shukuru san mabos hawafanani,,, ila mmi nasema Alhmdullillah 🤲nyumba niliyopo n nzur nainjoy
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn 3 ай бұрын
Ukiwa hujapitia shida huwez amini shida ya mwenzio kun dada hapa mzanzibar anateswa na wazanzibar wenzie kila siku anaambiwa ananuka asisishike kikombe asitumie atumie vile plastiki ndiyo vikombe vyake 😭 Ramadan amipika sambusa anapewa mbili tu tena hiyo mpaka daku au hamna kitu kabisa wanakula wao Tu tena wanamwambia hasa mpka umelize kazi mbwa hawa mungu atawalipa @zaninikikumbi
@user-ub6ot5ky9o
@user-ub6ot5ky9o 3 ай бұрын
Pole Sana kipenzi mungu akulinde Kwanza nakupa pole mwanamke shujaa napia nakupatia ongera Sana kwakuolewa uko urudi kwa mumewe ukiwa alali kitaifa Mimi mwenye nilipita uko jera omani lra nili kaa siku mojatu nililala vizuri nakula kizuri adinikarudi Tanzania
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 3 ай бұрын
Tatizo lenu mnataka kufanya kazi za deiwaka kuzulula kwa sana. Hamtaki kutulia mfanye kilichowaleta. Mimi nina miaka 8 sina shida na boss wangu sijawai kubadilixha nyumba. Tamaa zimekuponza uliolewa iliumfilisi mzee wa watu tuxhawajua sana.
@KhadijaRamadhaniKillo
@KhadijaRamadhaniKillo 3 ай бұрын
Wewe kwa sababu ulipokaa hupati shida hivyo huwezi kujua shida ni nini na hufikirii kwamba Kuna watu wapo na wanapata shida sio vzr
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
Sasa sishasema wako sio wawote
@KhadijaRamadhaniKillo
@KhadijaRamadhaniKillo 3 ай бұрын
Eeeh ndo ivyo kiukweli anachokiongea yupo sahihi kwenye upande wa wafanyakazi kutokupata haki zao baadhi Yao wanaishi vzr tuu lakini wengine wanapata tabu sana Hadi kupigwa wanapigwa😭
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 3 ай бұрын
Kila mtu na bahati yake kama umejaliwa ma boss wazuri sio wote na kingin sio kila mwenye kufanya kazi za day works eti niwazururaji wengin wamekimbia kwasababu ya manyanyaso na mateso wengi wapo kwa kazi za inje ili kuokopa kurudi nyumbn na wengin hufanya kazi za halali wanapambana 😞🙏 sio kila mwenye kufanya kazi za inje eti ni mzururaji
@KhadijaRamadhaniKillo
@KhadijaRamadhaniKillo 3 ай бұрын
@@belyseirakoze5371 kabisa hujakosea na watu wanakosa haki zao jaman nawashangaa watu wanawatetea waarabu kama ndugu zao khaa
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 3 ай бұрын
Nasoma comment tu nikicheka SubhanaAllah nina mwaka wa 17 nimefanya nyumba tatu ya kwanza sauadia miaka 6 nyumba moja ,dubai nyumba ya kwanza miaka9 nikarud nyumbani nyumba ya mwisho yakuaga kazi miaka miwili alhamdulillah sijwahi kupata misuko suko hata kidogo
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 ай бұрын
Duh myaka yote hujafanikiwa siitakuwa umeisha zeeka sasa😂😂😂
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 3 ай бұрын
Alhamdulillah nimejijenga vzr wanangu wapo makazini Dubai Sio kazi za nyumbani alhamdulillah na kikubwa Zaid sijawahi kupata kazi ya mateso ,kama nimteso singekua nimekaa hivyo ,kazi zagulf ukipata pabaya huez kukaa zaida ya contack
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@pillyseleman8090hongera na mshukuru MOLA wako wengi wamishia kunyanyasika na wengine kufanywa vile hata vifo
@fatimahants1526
@fatimahants1526 3 ай бұрын
Khulka, maadili msimamo wako, dhamira yako ndiyo tafsiri ya maisha yako....hongera sana ukhuty, miaka 8 sijawahi badili nyumba allihamndulillah
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k 3 ай бұрын
​@@fatmafatu1128Nami nilitaka kuuliza miaka yotee hiyoooo khaa kweli kunawatu washazoea kutumwa
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 3 ай бұрын
Duh Mungu anipe moyo wakuridhika na vidogo nnavyopewa na mme wangu amiin ya Allah
@aminamhina9129
@aminamhina9129 3 ай бұрын
Omani ni nchi nzuri sana watu wanatoroka wanaishi magetoni 😂😂😂😂
@RehamAlmamari
@RehamAlmamari 3 ай бұрын
Mmmmh
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 3 ай бұрын
Sio oman tuu kila nchi ilo lipo ila ukidakwa una bahati na bora uko mageton kuliko ubaloz ila sasa hakikisha kila unapoenda umebeba kibunda chako mana ukidakwa safari sasa ole wako ela ziwe mageton zitakuwa sadaka😁😁
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 3 ай бұрын
Tena wengi wanaishi tu kwenye mageto 😂😂
@HabibaHussein-vb1ir
@HabibaHussein-vb1ir 3 ай бұрын
Ayajakukuta tulia ww
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 3 ай бұрын
Sio wote lkn wengine wanavumiliya lkn wanapata shida tu
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 3 ай бұрын
Watu weusi ivi lini utumwa na umaskini utaisha maishani kwa wa africa ni binti wausi njo wanao sumbuka duniani wala sii wazungu sii wa arabu kila kona ya dunia ni wausi tu.hadi huruma.
@user-el7ut2qk4e
@user-el7ut2qk4e 3 ай бұрын
Waphilipine niweusi?
@SalhaSaleh-cf8tw
@SalhaSaleh-cf8tw 3 ай бұрын
Mkienda nchi za watu muwe na adabu
@zaneenbeauty
@zaneenbeauty 3 ай бұрын
Hana ADABU babako mbwa wewe
@mamymamiza2924
@mamymamiza2924 3 ай бұрын
Cjui nacheka nini wewe ni mwehu kwakweli😂
@fatimahants1526
@fatimahants1526 3 ай бұрын
Tatizo baadhi yao wana shindwa kuheshimu mamlaka ya watu, na kufanya wapendavyo, kuishi na binadamu wenye yahitaji uelewa wakina, ukijitya mjuwaji utajuta
@user-eh6ws2sq5s
@user-eh6ws2sq5s 3 ай бұрын
😂😂
@morogor90
@morogor90 3 ай бұрын
Aliokwambia awana adabu nani kama ujawai kutoka kutafuta uwez kuelew na kama upo uko na unaishi vizur shukur mungu
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 3 ай бұрын
Jamani hyu hajatesw oman kateswa na waafrika wezake wenye njaa zao kama kawaida yenu afrika pesa mnaipenda kuliko ubinadamu.
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 ай бұрын
Kwani wewe sio mwafirica ni mwarabu koko au nani
@RahmaKasawa-cn2dt
@RahmaKasawa-cn2dt 3 ай бұрын
Wee nae na kiswahili chote hichi utatumbia mwarabu aaah kudadeqi zako😅😅
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 3 ай бұрын
Ww mzungu hodari mzungu unajua kiswahili vzuri
@naymamoses3436
@naymamoses3436 3 ай бұрын
Asalaam alykum sisi
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 3 ай бұрын
@@Rizikialiamechannel763 snaa shukran
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 3 ай бұрын
Mnao msema huyu dada vibaya hamuna bahati, mwenzenu aliolewa ndoa kabisaaaaaaa 😊😊😊
@graceshakanyi8784
@graceshakanyi8784 3 ай бұрын
Na akalamba mln 10 na ushehe
@Kondoa805
@Kondoa805 3 ай бұрын
Kaush basi😂😂😂
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 3 ай бұрын
Shida kazitaka mwenyewe watu wapo miaka 12 hawana shida na kujenga wamejenga
@faumarley5707
@faumarley5707 3 ай бұрын
Akuna mtu ana taka shida swaiba kama aujapata shida shukuru.
@omanoman2044
@omanoman2044 3 ай бұрын
Hakika ten tumejenga haswaaaa huyu ni mam mjinga san
@user-fo5ii9tl3g
@user-fo5ii9tl3g 3 ай бұрын
Watu kama nyinyi ndio mnafanya tuonekane wa Afrika hatupendan hivi ni kweli mtu mzima alieacha Familia yake aje kuzifata shida??? Umepata sehemu nzur Sema Alhamdulillah hata mm niko Oman nashukuru Alhamdulillah lkn usiseme uongo kama huku watu hawanyanyasiki wanashindwa kujisimamia. So Hali zote zipo tusijikwezwe
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 3 ай бұрын
Kimbembe kinaanzia pale ulipotaka kubadil nyumb na kutaka 120 wakat watu wapo had leo na wanalipwa 90 na wanazaid ya miaka 2
@faumarley5707
@faumarley5707 3 ай бұрын
@@Zainab-sq1tc we ukikubali kulipwa ela yyote ukiona ina kufaa kubari usitake na mwngne akubari wakat miaka ina enda na mmbo yana badirika
@berthaclement8905
@berthaclement8905 3 ай бұрын
Polee kipenz Mungu halali wala hazinzii,,,,,,na utambue huwezi pendwa na wote na huwez chkiwa na wote. Atakama ufanye nn so jiamn mwanamke shujaaa, hateteleshwi songa mbele😘
@faumarley5707
@faumarley5707 3 ай бұрын
Maelezo yamenyooka kama rula akuna kona kona kama una uelewa kuna kitu cha kujifunza mungu akufanyie wepesi katika alakat zako
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 3 ай бұрын
Pole sana
@sabnaa9110
@sabnaa9110 3 ай бұрын
ISHALLAH KHER MUNGU ATAKUSIMAMIA KILA KITU KITAKUWA SAWA NA UTAPATA HAKI ZAKO UWE KM MKE WA MUOMANI NA KWA YYTE ALIESHIRIKI KUKUZALIKISHA ISHALLAH MUNGU ATAMZALIKISHA N YY APA DUNIANI NA FAMILIA YKE MPKA KESHO MBELE YA HAKI. NA PIA NA SS TULIOKO HUKU MUNGU ATUSIMAMIE DAIMA. ILA TUNALIA SANA NA UBALOZI. HILI JAMBO SERIKALI LILIANGALIE SANA
@AdelphineUWIMANA-f3z
@AdelphineUWIMANA-f3z 3 күн бұрын
Unafafanana nawao hongera sana kupata mme😂😂
@monalisaally4387
@monalisaally4387 3 ай бұрын
Pole sana dada ila usipende kushindana na watu kuna muda ukijishusha utafanikiwa sana
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 3 ай бұрын
ATA KAMA UYU DADA ANA MAPUNGUFU YAKE ILA YOTE NI SAWA LAKIN KIUHALISIA UBALOZ WA OMAN WOTE UNAIHITAJI MSASA SEREKAL UANGALIE KWA JICHO LA PILI KIUKWELI SHIDA YAKO WANAIGEUZA FULSA NA USIPOENDA NAO SAWA WAKALA CHOCHOTE LAZIMA USOTE😢😢
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 3 ай бұрын
Hili nalo neno
@user-fo5ii9tl3g
@user-fo5ii9tl3g 3 ай бұрын
Jiran yangu umesema kweli
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 3 ай бұрын
Wewe ndio umeongea la MAANA kuhusu ubalozi
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Ndugu zangu mlioko huko MUNGU awasimamie waarabu wengi ni makatili hawana utu
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 3 ай бұрын
​@@MiriamAbdallahwaafirika na waarabu na mayahudi wapi makatili zaidi ?
@ummohamed4404
@ummohamed4404 3 ай бұрын
حسبنا الله و نعم الوكيل لا حول ولا قوة إلا بالله
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 3 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏
@oman1oman179
@oman1oman179 3 ай бұрын
Pole sana dada kwenye maisha lazima upitie changamoto
@husna34562
@husna34562 3 ай бұрын
Mashallah mdada mzur Allah atakufungulia njia mitihan tumeumbiwa binadamu 😢
@faumarley5707
@faumarley5707 3 ай бұрын
Amin inshaallah
@mwanah3643
@mwanah3643 3 ай бұрын
Alhamdulillah
@mwajoma1373
@mwajoma1373 3 ай бұрын
Pole san dada zanin mim nimekuelewa san ❤❤
@sophiamasawe4309
@sophiamasawe4309 3 ай бұрын
Pole sana dada yetu mapito hayo ya dunia naomba namba yake
@user-nu6ge7rg7n
@user-nu6ge7rg7n 3 ай бұрын
Watanzania tutafute maisha apa apa kwetu tuache tamaa na ela nyingi pole ila koma
@DaheerK
@DaheerK 3 ай бұрын
Mm nipo Oman nyumba 3 nimekaa nabado nipo has kataka kukaa poke yao nyumba zakupanga
@mamasalhat
@mamasalhat 3 ай бұрын
Mtu anselezea yalio mkuta sasa muna msakamia nini ?? Kwani oman mateso hayapo?? Yapo sana tena yapo
@omanoman2044
@omanoman2044 3 ай бұрын
Hatujakata kam oman hakuna mateso lakin kulala na mbuzi huu sii uongo kwan africa hamtes mnateswa kila siku na wahindi na mpo kwenye Nchi yenu
@mamasalhat
@mamasalhat 3 ай бұрын
@@omanoman2044 kulala na mbuzi washaangaa. Nini? Kuna agent alinitumia video nimeona kwa macho yangu mdada kitanda chake wanalala na mbuzi hayo mambo yako kama hamujapitia kaaa kimya usibishe usiyoyapitia nashangaaa muna paniki au ndio mushazoea utumwa WA ukoloni hata mukiteswa munaona sawa?
@omanoman2044
@omanoman2044 3 ай бұрын
@@mamasalhat sasa utumwa wa nin na kat hata TZ MBAFANYA HIZO KAZ TEN MSHAHAR MDOG ANALAL NA MBUZI HUYO KAYATAKA MWENYE UKION HIVO NI MTUY AMBAE HAJIELEW KABSA MBUZ KWELI MBUZI HAWHAW AM MBUZI GAN JAMAN OMAN HII MIE SIJAWAHI ONA
@omanoman2044
@omanoman2044 3 ай бұрын
@@mamasalhat ni bora nitumike oman miaka miwili kuliko kutumika kwa wahindi na mshahara wa 90 na matusi juu
@ummohammed8380
@ummohammed8380 3 ай бұрын
Mbona Oman Tu Hakuna kwengine Story ni Oman tu
@hajikomora703
@hajikomora703 3 ай бұрын
Pole sana ; Mungu azidi kupe nguvu.
@zania1295
@zania1295 3 ай бұрын
Pole cna ndugu yangu Mungu atakufanyia wepesi
@sharifaaliy1519
@sharifaaliy1519 3 ай бұрын
Uongo hayo unayosema sio wote wabaya mm hapa nipo na watu wazuri TU kama wazazi wangu nanikobvizuri sana moaka muda huu nyamafu ww usiwatie ila wwatu burewa Oman
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 ай бұрын
Umeandika manini sasa havisomeki😂😂😂
@ZenaMgwao
@ZenaMgwao 3 ай бұрын
Hayajakufika ndo maana
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Umeandika pumba na nyamaza hayajakikuta
@fauzeia976
@fauzeia976 3 ай бұрын
Hayajakufika ndo maana unabwabwaja ww siku wakikubadilikia ndo utajua kumbe karanga inaliwaga na ugali
@morogor90
@morogor90 3 ай бұрын
Mimi nipo sehemu nzur naishi kama kwangu ilo uyo anachoongea yupo sahii oman ukipata sehem nzur shukur usione mwezio anangaika ukajion wew ndio mwenye akili mwenzio ataki kazi
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 ай бұрын
Yaaan comments za humu zahiri wa makadam ,mashaghala maana kali.aswaaaaa ,pole sana mama mwalabu wa oman ndoa tunayo na tunatamba nayo😂
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 3 ай бұрын
😂😂😂 aipate wp😂😂
@SalmaIbrahim-ns6wy
@SalmaIbrahim-ns6wy 2 ай бұрын
pole Sana mweyezi
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 3 ай бұрын
100%it is true 👍
@felisterjames5859
@felisterjames5859 3 ай бұрын
Ubalozini hauna msaada kabsa mimi niliugua niliishiwa damu boss akakataa kunitibu akasema gharama ubalozini ni katuma msg hawa kujibu Mpaka wiki 2 hapo nimesha jipigania mwenyewe
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Pole tunayaona hayo kwenye mitandao inaumiza xn yule wa Uganda alitolewa figo na kumpatia ukilema na hakika huko muda refu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Kwamimi binafsi sikuona baya uloongea umeongea ukweri. Yaliyokutokea. .polesana. nduguyangu. Wengine wanakutolea maneno machafu ni Dongetu. Mungu atakulipia hayaya Dunianitu yanapita
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 3 ай бұрын
Ndugiangu humjui hyu mtu vzr uliza uwambiwe alioyoyafanya muangalie macho yke tu atukana hyu mpk wazee waliokufa ana matus mpk aibu na voice zke zpo hyu na yy voice zke anatka kuja oman bdo anasema yy mazali kaolewa ataingia tu Oman hyo
@saay4273
@saay4273 3 ай бұрын
Kabisa yani watu wanahukumu bila kusikiliza
@saay4273
@saay4273 3 ай бұрын
​@@user-dx6dm6lh1i😂😂😂😂😂😂huyu hatukani bila sababu ukimchefua anakuchafuaa
@RahmaKasawa-cn2dt
@RahmaKasawa-cn2dt 3 ай бұрын
​@user-dx6d😂😂😂sasa ukimtukana unataka akuchekee mie pia namjua miaka mi3 nasijawahi tukanwa nae tena mtu powa😎😎m6lh1i
@saay4273
@saay4273 3 ай бұрын
@@RahmaKasawa-cn2dt wambiye bwana mtu pec sanaa
@user-cb9mn8ct7k
@user-cb9mn8ct7k 3 ай бұрын
Pole sana dada
@latiphaabubakary5102
@latiphaabubakary5102 3 ай бұрын
Jala nikawaida kwa yeyote alifanya kazi za nje kinyume na boss wake ukitoroka kwabosi lazima upitie jela Ambayo inaitwa leba ila hukai sana ata Mimi nilipitia kwasababu nilimtora bosi wang kwaiyo ukitaka kurudi lazima upitie huko jela
@user-zx1og2uj8b
@user-zx1og2uj8b 3 ай бұрын
Kweli kweli about what she is saying some of the theme 95% evils they don't have heart😢😢😢
@midojokefu1103
@midojokefu1103 3 ай бұрын
Pole sana zanini wangu
@jokhaali5893
@jokhaali5893 3 ай бұрын
Huyu si mtu wa kazi ni jambazi
@saay4273
@saay4273 3 ай бұрын
Hujasikiliza wew kitakuramba😂😂
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 3 ай бұрын
😂😂😂😂mmmmm
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 3 ай бұрын
Muogopeni mungu mwizi kakuibia nini
@rahimarahima630
@rahimarahima630 3 ай бұрын
Jambaz ni wew na roho yako mbaya
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@allyasia3662
@allyasia3662 3 ай бұрын
Siku zote mungu huku onyesha njia sahihi kwa kupitia magumu utakayokutana nayo inshalah Allah atakusimamia haki zako zote na utapata kwa uwezo wa allah kulli khaki walaukana muraa ni siku zote dhuluma haidumu kwa kweli
@MohamedOmari-wb4oy
@MohamedOmari-wb4oy 3 ай бұрын
Wee dada wee so wote lakini
@amohammed3390
@amohammed3390 3 ай бұрын
Huyo balozi wa Tanzania nchini Oman na wafanyakazi was ubalozi hawafai wanawadhalilisha Watanzania Oman. Wanakula rushwa na urasimu. Hiyo economic diplomacy iko wapi
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 3 ай бұрын
Huyu alitaka kushindana na nchi ya watu alitaka kuishi kama yupo nchini kwake jaman kila nchi zinataratibu zake
@salmaalkindi5735
@salmaalkindi5735 3 ай бұрын
Huyo ni muwengo. Kama kweli alipata shida kwa nini asirudi Tanzania. Na watu wa ubalozi. Wamemuona muongo. Vp ukodi nyumba. Wengi wanakuja kufanya uhuni. Kesi nyingi ,zipo ubalozi .huyo mzee namuonea huruma huyo mwanamke tapeli kaolewa. Kwa pesa tu. Hata ukimsikiliza kwa makini unamjua muonngo. Wengi wanatoroka kwa mabosi wao ili wafanye uhuni.
@fauzeia976
@fauzeia976 3 ай бұрын
Mbona wapo wengi tu wafanyakazi wamepanga nyumba?
@morogor90
@morogor90 3 ай бұрын
Omba mungu yakukute Ata kidog tu alafu utajua kwann ajarud
@bintabou828
@bintabou828 3 ай бұрын
Ahsante ​@@morogor90
@angolina1768
@angolina1768 3 ай бұрын
Nyie ambao mnaembishia huyu dada hayajawakuta pole mpenzi Inshaallah Mungu atakufanyia wepesi utakudi kwa mume wako
@KudraIsmail
@KudraIsmail 3 ай бұрын
Jamani huyu mdada namjuwa tumefanya kazi katika familiy moja alikuwa anafanya kazi kwa bibi jonha ❤
@fatmamdihiri4164
@fatmamdihiri4164 3 ай бұрын
Na nikweli ameteseka km sio kweli jmn
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂sasa Si ndio yy amemfanyia useng
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Namimi pia namjua tulikuawote kwakoha. Nimemuacha kalipwapesazake kwa. Joha anatafutiwanyumba ingine
@KudraIsmail
@KudraIsmail 3 ай бұрын
Ndio😂😂😂tujuwane upo omani sehemu gani
@zuwenaomar4201
@zuwenaomar4201 3 ай бұрын
Anaefanya day worker kakodi chumba nataka nije naomba namba
@SawayaNm
@SawayaNm 3 ай бұрын
Huyu dada I tried to critique her! Mimi ni mzuri sana to find untrusted stories! But her story, I believe 99.00% ni mkweli mtupu! My advice be a good wife and work hard to go back to Oman with your children and forget where you come from! God bless you!
@najatramadhani6300
@najatramadhani6300 3 ай бұрын
Mmmh
@ShakrinAliy-kz2el
@ShakrinAliy-kz2el 3 ай бұрын
Allha akufanyie wepesi akusimamie na aidumishe ndoa yenu
@FatmaAliy-ld4dg
@FatmaAliy-ld4dg 3 ай бұрын
Hana haya huyu dada atakidogo yani hawa ndowanao tusababishia sisi huku tuonekane wahalifu yani anasema kabisa hataki kurudi kwao anataka ikama yandoa mh hana haya🙄
@RahmaKasawa-cn2dt
@RahmaKasawa-cn2dt 3 ай бұрын
Kuomba iqama ya ndoa ni dhambi 😅😅
@user-fo5ii9tl3g
@user-fo5ii9tl3g 3 ай бұрын
Kwa hiyo kama kaolewa abaki na bataka ya shaghala ama ulitakaje???
@MaryOman-tc1nt
@MaryOman-tc1nt 3 ай бұрын
Atabadilishiwa kama muoman
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 3 ай бұрын
Pole dada angu
@Naw89
@Naw89 3 ай бұрын
Pole mpendwa watu ndio wana roho mbaya ila Allah atakusimamia Kwa ambae hajapitia majanga hawezi muelewa huyu dada ila mie namuelewa sana tu
@user-hr9fd8du6o
@user-hr9fd8du6o 3 ай бұрын
I've ninavyo Onqea nipo Oman mambo mnakua na mambo menqi huyo dada Ana mambo menqi mtazame chenille kuchukua waume za watu nani atakubali
@faumarley5707
@faumarley5707 3 ай бұрын
Iloooo ovyooo
@zuwenaomar4201
@zuwenaomar4201 3 ай бұрын
Cha mtu huliwa na mtu😂
@Official83640
@Official83640 3 ай бұрын
Gabriel huyo kasepa wametapeli cargo za watu na Pesa za Tigo pesa na Dullayo mwenzie anapostiwa kila group matapeli hao ushakuwa na block unatakiwa urudi Tz .Hivi ukamatwe na umeolewa ulishindwa kutoa namba za mumeo ajulishwe km upo police na umerudi ht wiki 2 bado mara huduma mumeo anatoa jaman Mzalamo unajua kuyabananga
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 3 ай бұрын
@$_Officia yani Nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣 Utapeli umemponza
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 3 ай бұрын
😂😂😂 hahahaha 🤣🤣🤣
@sikudhanimoshi6967
@sikudhanimoshi6967 3 ай бұрын
We kumbe uyu tapeli pamoja na dullayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Official83640
@Official83640 3 ай бұрын
@@sikudhanimoshi6967 Ndy hd ndoa nahisi kafungia kwa Dullayo maana picha yao inatembea kwenye magroup kakaa sana kwa Dullayo huyo
@zulphalasher4337
@zulphalasher4337 3 ай бұрын
Pole sana wi❤
@user-hp7rx4zk4t
@user-hp7rx4zk4t 3 ай бұрын
Aaah vzuri yule mzee anajua kunienzi
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes 3 ай бұрын
Ndoa ya maslahi na anasema bila aibu. Mscheeew ndo mana ukakutana na madhila 😢
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 3 ай бұрын
Ujuaji mbele yalomkuta alistahili
@QUEENBEEOG
@QUEENBEEOG 3 ай бұрын
Ubalozi wa Tanzania 🇹🇿 oman hauna msaada na wa Tanzania wa oman wanashilikiana na hao waoman sana mm nime kaa miez mitatu sana aisee pale mmmh
@user-py8kr6rx7c
@user-py8kr6rx7c 3 ай бұрын
Huhu nimuongo kupita kiasi duuuu !!!
@HabibaHussein-vb1ir
@HabibaHussein-vb1ir 3 ай бұрын
Ww unamjua huyu mpk unasema muongo?? Km uyajui bora ufunge domo lk majnuni wahad
@FathiyaAlshidhani
@FathiyaAlshidhani 3 ай бұрын
Saaana muongo 😊
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 3 ай бұрын
Giornalist uko vizuri sana
@user-hr9fd8du6o
@user-hr9fd8du6o 3 ай бұрын
Tatizo lenu mnaenda na mawilimawili Umalaya mbona sisi tupo Oman mnakwenda kufanya Umalaya From Oman
@khadijamasoud3936
@khadijamasoud3936 3 ай бұрын
Wew ukikaa sehemu ukatulia shukuru saana Mungu wapo watu wanatabika huko bora unyamaze
@hamzasalum613
@hamzasalum613 3 ай бұрын
​@@khadijamasoud3936kwakwe watu wanateseka sana uku ukipata sehemu nzuri nikushukuru
@morogor90
@morogor90 3 ай бұрын
Tema mate chini we shagal usiombe ya kukute na ndio mana mbaroz auwajar kwa sababu mnamsimamo na kumbuka dunia duara
@TaarabChannel
@TaarabChannel 3 ай бұрын
Jamani....madhila ju ya madhila.... subhannallah
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 3 ай бұрын
Pole sana dada😢😢😢
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 3 ай бұрын
Sasa hyu hajateswa oman kateswa na waafrika wezake
@user-fo5ii9tl3g
@user-fo5ii9tl3g 3 ай бұрын
Tatizo watu hawafatilii story wako kuongea tu yy kasema kadhia yake na agent na ubalozi waja Sasa.
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo 3 ай бұрын
Asilimia kubwa ambao wanakucoment ni ambao awamjuw zanin ila kwa mtu ambaye anamjuwa vizur awez kucoment usengeuseng.zanin pole akuna mwanadam ambaye anapenda mafanikio ya mwenzake
@africanfood_zanzibar4863
@africanfood_zanzibar4863 3 ай бұрын
Shidah siyo kumjua maelezo yake anayotoa hayajanyooka kuelesha watu tumuelewe
@user-rw6vl4kz2b
@user-rw6vl4kz2b 3 ай бұрын
Utakuta Ata Oman awaijuwi vizuri
@sygtamks1643
@sygtamks1643 6 күн бұрын
Haya maisha bana
@amiribakari2528
@amiribakari2528 3 ай бұрын
Mabalozi wetu wa kitz ni shida nchi nyingi sana
@QUEENBEEOG
@QUEENBEEOG 3 ай бұрын
Ushauri wangu roga 😂😂 iyo ndoa inaweza ijafa mune akaona mambo mengi aka amua kupotezea roga dada 😂😂😂 pole sana aiseee ndugu yangu najuwa uliyo ongea ni yakweli coz na mm nipo iraq
@rayakhalifa855
@rayakhalifa855 3 ай бұрын
Si kweli aliyosema, mbona anataka rudi huku oman? Please usituchafuwe
@RahmaKasawa-cn2dt
@RahmaKasawa-cn2dt 3 ай бұрын
Nyie wanafki tuachieni my wetu acheni kucoment pumba wakati oman munajua ni mambo ya bahati nasibu ukikanyaga mdudu mbaya utajuta😎😎😎
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 ай бұрын
😊😊😊🎉🎉 mauwa yako my warabu ubahatishe ila weng wao mashetwani aswaaa, Huyu dada simjui sbb sina group la Oman, Anayoyaongea weng wanayapitia
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Nikweri nashangq hawa mashaghhqla wanamponda yote Dongetu
@dogofiy6277
@dogofiy6277 3 ай бұрын
Kwl Oman n bahat n sib s wote wazr n s wote wabay
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo 3 ай бұрын
😍😍😍😍😍 kabisa
@dogofiy6277
@dogofiy6277 3 ай бұрын
Mm nyumb y kwnz walla sijamlz mwez nisharud nikapew nyengn n nikimlz vzr tu miaka miwl
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k 3 ай бұрын
DAAH💔💔💔💔POLE SANAAA YANI UMEONDOKA WEWE KAMA WEWEEEE🙆
@user-gf2sq5ux4o
@user-gf2sq5ux4o 3 ай бұрын
Lahaullah😢😢😢😢😢😢😢😢 hadi machozi yananitoka jaman
@user-iy3fx7cl1j
@user-iy3fx7cl1j 3 ай бұрын
Hawa wingi wao unawakuta washajenga na wana majumba kwa pesa izo izo za awo watu wanaowaponda,istoshe wingi wao hawaendei swala la kazi wanaenda kujiuza,unamkuta tajir au mzamin ashatoa pesa na kumleta mfanya kazi, halafu mfanya kazi ashafika nchi husika hatak kufanya kazi .Kiufupi hawandei kilichowapeleka
@zayumar2955
@zayumar2955 3 ай бұрын
Pole Sana mdada Zanini Sasa ivyo unavyosema uko kwenye hio ndoa kimaslahi si watajua wenyewe 🤣 🤣 🤣 🤣 sema nmekupenda Sana umejua kuongea Kila kitu 😘 😘 😘 na kusema ukwel ubalozi wa Tanzania nchini Oman Kila mtu analalamika sijui Kwann hawajirekebishi
@africanfood_zanzibar4863
@africanfood_zanzibar4863 3 ай бұрын
Yani upo kama ubarozi wa omani tabia zao za kiarabu arabu
@zayumar2955
@zayumar2955 3 ай бұрын
Sijui wapoje hawaelewe kilichowapeleka hapo badala ya kutusimamia sie wao wanasimama na mabos ovyo kabisaaa hawana faida​@@africanfood_zanzibar4863
@zayumar2955
@zayumar2955 3 ай бұрын
@@africanfood_zanzibar4863 Yan sijui wamewekwa embassy kufanya nn wallah mtihan tujitahid tu kutokufanya mabaya ktk nnchi za watu kama baloz zenyewe ndio hizi
@MohamedMohames-if9dm
@MohamedMohames-if9dm 3 ай бұрын
Dada anachosema yupo sahihi
@VvhhVhjhgc
@VvhhVhjhgc 3 ай бұрын
Mbuzi iyo mweee,,,imani kwa askar ipo sahihi dada
@QUEENBEEOG
@QUEENBEEOG 3 ай бұрын
Siyo mzee sana hata ivyo bado mzagamuano ipo😂😂
@meddycr
@meddycr 3 ай бұрын
Lovyuuu mwanamke mwezangu
@user-hp3kj1bu6b
@user-hp3kj1bu6b 3 ай бұрын
Kuna watu hamjaelewa lkn omba dua ubaki ulipo muarabu asijekugeuka lkn waliomfanyia c waarabu ni ubalozi unahusik km ubalozi upo kwann hauhitaji hasira sbb pale wapo kwa ajili ya wafanyakaz
@AdelinaCharles-oy9ug
@AdelinaCharles-oy9ug 3 ай бұрын
Dada nimekuelewa sana kwa maelezo yako kiufupi huku yataka moyo asilimia hapa omani wanao ishi vizuli iwachache waio wengi wanapitia changamoto tu
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 3 ай бұрын
Wote mna mshambulia huyu dada ni wafanyakazi wa UBAROZINI?
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 ай бұрын
Shida inaweza kuwepo ila SIyo wote wabaya maana hata hapa kwetu Kuna matajiri wabaya hivyo roho mbaya ni mtu siyo watu wote acheni kuogopesha watu
@user-to2co7qm2k
@user-to2co7qm2k 3 ай бұрын
Muongo mtz huolewi kwa pesa hiyo kupewa nyingi Miya 4😂😂
@fauzeia976
@fauzeia976 3 ай бұрын
Amebahatika
@user-dm7mp2uq6u
@user-dm7mp2uq6u 3 ай бұрын
Kwa bikra gani aliokua nayo ad apewe pesa hiyo wenyewe wanapeana pesa nyingi kwa xbb ya kuolewa na bikra yy kashazaa wtt 4 kisha kibabu cha watu kitoe pesa hiyo kwan si alikua amejipost huyu ck ya ndoa yake kule tiktok 😂😂😂
@fauzeia976
@fauzeia976 3 ай бұрын
@@user-dm7mp2uq6uWana bikra za mbele tu nyuma wanaliwa na wakaka zao kama ulikuwa huijui hii siri Leo ndo nakupa tena wanaishi mascat mjini wanajiuza hata za mbele hawana
@fauzeia976
@fauzeia976 3 ай бұрын
@@user-dm7mp2uq6u nishakaa na mabinti wameshamaliza kusoma na wameshaajiriwa walipanga nyumba kila siku walikuwa wanaleta wanaume tofautitofauti na akiwa na ijaza basi mtoko ni saa sita usiku akirudi mchana kachoka hata kutembea anashindwa
@agneslyatuu6349
@agneslyatuu6349 3 ай бұрын
Yaaanii maelezo yako vizurii kabisaa tatizo ubalozi wetu walioko Omani wananjaa na roho mbaya na wivu
@khadijabuberwa3362
@khadijabuberwa3362 3 ай бұрын
Wewe nimuongo
@debbiethomas9825
@debbiethomas9825 3 ай бұрын
PASSPORTS HAZIUZWI.... 🫵
@RahmaSenga
@RahmaSenga 3 ай бұрын
Nikweli kabas yaarb tupe Mwisho mwema
@maryammsang202
@maryammsang202 3 ай бұрын
😢
@SalmaKautipe-xs5hx
@SalmaKautipe-xs5hx 3 ай бұрын
Hawa ndo wanaofanya umalaya baladala ya kufanya kilichowapeleka omani, tena wanawakatisha tamaa watu wengine wasiende kutafuta maisha, mpuuzi huyo watu Wana miaka kibao uko na hakuna kilichowakuta
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 dada umenichekesha etiiii nimeenda kulipoti police kwenye kituo chake cha kazi😂😂😂😂😂😂 Hongeraa mpenzi ww nimpambanaji mwanamke wa shokaaaaa 💪💪💪💪
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 3 ай бұрын
😂😂😂huyu ngumi mkononi kabisa 😂😂
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 3 ай бұрын
Labda uyo mme wake anafanya kazi kwenye icho kituo cha police labda mme wake ni police
@OkwSunzu
@OkwSunzu 3 ай бұрын
We dada mjuaji sana ulivofika oman ukajikuta raia wa huko tena nikujuze tuu nchi za wenzetu ukiwa na matukio unafungiwa kuingia kama unategemea kurudi oman sahau pambana na jua la bongo
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 ай бұрын
Muongo wewe serikali ya oman inajali raia wa kigeni na haki zao
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 ай бұрын
Yaani kinachokusumbua ni udini tu kwasababu wamesemwa miungu yenu waarabu lakini hakuna mswahili ambaye halalamiki kuhusu unyama wa waarabu siyo watanzania, wakenya,waganda,waghana hata wanigeria wanalalamika sana kuhusu unyanyasaji huko uarabuni
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Acha uongo serikali ya saudia ni shenzi sana hasa wageni kutoka Africa wakipata shida hawapati msaada dunia kwa Sasa ni kiganja tunaona mengi baadhi ya waarabu ni makatili
@rahilaabdulrazzak9951
@rahilaabdulrazzak9951 3 ай бұрын
Sifahamu kwa nini ung'ang'anie kubaki Omani. Kama kweli Waomani wabaya kwanini ulikubali kuolewa nao, japo kama una maisha magumu Tanzania. Wewe unataka urejee OMAN ukapate chumo kwa ajili ya familia yako lkn hutaki watanzania wengine wende nao wakatafute rizki za halali, huoni kama wewe una agenda yako binafsi na chuki zako binafsi. Na wengine nao wanataka wende OMAN wakatafute fedha za kuwasomeshea watoto wao na kukidhi shida za familia zao. ⚠️Muogope Mungu. Yeye ndio shahidi wa yote.
@user-vt9jc6ig1w
@user-vt9jc6ig1w 2 ай бұрын
Dada angu sina chakulipa ila Mungu atakuhifazi kwakila shari. Za walimwengu endelea kueleza ukweli wa ubalozini
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 3 ай бұрын
Polesana ndugu mimwenyewe nishapandaga ndege n'a dada wa singida kapingwa nakasindikizwa kamaunavyosema polisindio walimsidikiza mshahala hakupewa upo sahihi waeleze jazikama zote
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ndio ata wa laani kwa roho zao mbaya
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Jamani raiya wa Oman asilimia kubwa ni makatili sana poleni
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 3 ай бұрын
@@MiriamAbdallah yaani usione mtu kaunda oman kafanikiwa ukasema nami niende huko utumie bahati tu lakini kunamambo aiza kwa boss au kwamfanyakazi misiwatetei ila yotenisha yaona changamoto
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 3 ай бұрын
@@MiriamAbdallah nakingine huyu dada aweza sema kaipata paspot yake je anajua kama inaweza wekewa wino mwekundu asinine tena omani hayo yapo nahawezi uwona akingia tu akienda maigresheniharudi anasindikizwa tena napolis
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
@@OmanOman-dd5qk MOLA wenu awa nusuru tuu mrudi nyumbani salama, ninayokutana nayo huku mitandaoni kwa wafanyakazi wa Oman inaumiza mwenyezi MUNGU awalinde mmenda kutafuta riski sio kupenda
@VvhhVhjhgc
@VvhhVhjhgc 3 ай бұрын
Mtangazaji unamaswali mazur ,,ila mengine umeyasahauuu aaahh,
@LatifaMusa-dy3id
@LatifaMusa-dy3id 3 ай бұрын
Jamani ubarozi wa oman hawana msaada tupaze sauti jamani wanaroho mbaya sana
@arafahhh5574
@arafahhh5574 3 ай бұрын
Kwa hiyo ulikuja kufanya vurumai kwa ajili ya watoto wako hakika wewe ni adui ishi vizuri na watu
@user-no7wr6uv1p
@user-no7wr6uv1p 3 ай бұрын
Muongo huyo kila kitu kipo kwenye system na hata ukitaka kuolewa ipo system ruwi sio jela muongo huyo unawekwa mahabusi tu kwa ajili ya maswali duuuu uongo jamani mbaharibia nchi yenu kwa yo go mlo nao
@QUEENBEEOG
@QUEENBEEOG 3 ай бұрын
Unamsemeaje mtu sasa watu wengi wana wekwa jela
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 3 ай бұрын
January makamba na mama samia timua wafanyakazi wote ubarozi wa oman hawana msada wwte kazi ya barozi nini nje ya nchi si kusaidia wananchi hao sasa waonao wamekuwa madarali fukuza hao wote wapeleke wenye moyo wa msada
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 3 ай бұрын
Fact mawazo yako kama yangu ubalozi ungesafishwa wote pale nnaiman kuna kitu kingebadilika
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 3 ай бұрын
Hahahahah😂😂😂hatoki mtu hapa ....
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 3 ай бұрын
@@OmanOman-vb4uj 🤣🤣🤣na hapo atoki mtu kweli tangu kelele zilipo anzia nailo jengo muwe mnalibena kuenda nalo kwenu jion asubuh mnaliludsha👌👌
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@jasminmohagthari3730😂😂😂😂😂😂😂😂 we kiboko 😂😂😂😂😂
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 55 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН