KAULI YA SUGU ILIVYOMCHEKESHA RAIS SAMIA "SIJA LOST, NIKO FRESH, LEO VIJANA WANAKODI PRIVATE JET"

  Рет қаралды 307,911

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 197
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 2 жыл бұрын
Kama unaamini Sugu anarudi Bungeni 2025 gonga like hapa.
@ombenianton3611
@ombenianton3611 2 жыл бұрын
Cjui kikichomuweka Tulia Akson ktk nafasi ya hili jembe
@daressalaampost5785
@daressalaampost5785 2 жыл бұрын
Labda akagombee jimbo lingine, uzoefu unaonekana ni ngumu kumuondoa speaker jimboni. Akigombea jimbo lingine atapata
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 2 жыл бұрын
wapo wengine wengi tu
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 2 жыл бұрын
ndani ya ccm
@katemachanda7035
@katemachanda7035 2 жыл бұрын
Endeleeni kumdanganya..
@sehemunzuri
@sehemunzuri 2 жыл бұрын
Beautiful speech, keep inspiring Kichwa✌️❤️
@abdallahmpwatile3265
@abdallahmpwatile3265 2 жыл бұрын
Sijawahi kushindwa kukuelewa, you're my Hiphop Icon
@kelvinmmary5170
@kelvinmmary5170 2 жыл бұрын
Hongera sana Mhe. Sugu Safari ya maisha inaonekana nyepesi mtu akiongea lakini kuishi katika nafasi hio na kubeba jasho na changamoto sio nyepesi Hongera sana My public figure
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 2 жыл бұрын
Sana uko vzr🙏🙏🙏🙏🙏
@laulymo2063
@laulymo2063 2 жыл бұрын
Umeongea point sana ndugu
@jixxyjussy4721
@jixxyjussy4721 2 жыл бұрын
Thank you Sugu....u really delivered a very matured speech.
@pascalnicolaus6986
@pascalnicolaus6986 2 жыл бұрын
You always have my respect and Salute Mr Joseph! You are so gifted!
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 2 жыл бұрын
Aisee kaongea vizuri sana hasa apa kwenye Finishing 🙏💪💪💪🔥
@josephmateru8892
@josephmateru8892 2 жыл бұрын
Hongera cna sugu umefanya jambo kubwa hongera cna big up 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@shukranitv2971
@shukranitv2971 2 жыл бұрын
Mama Samia han bifu na wapinzan hongera mama
@MakelemoMaganga-zj8jy
@MakelemoMaganga-zj8jy Жыл бұрын
Jongwe,Taita, Sugu, Legend you deserve the best bro.
@jacksonmtonyole1929
@jacksonmtonyole1929 2 жыл бұрын
Namwona Samia wa ndoto nyngine Big up Saaanah Mamaaah ......
@jacobd.kasofu2204
@jacobd.kasofu2204 2 жыл бұрын
Great Speech my Best Friend and Soul MP...You delivered it wisely thank you Mr.SUGU JOSEPH MBILINYI.
@saimonelias9774
@saimonelias9774 2 жыл бұрын
Oyoooo
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 2 жыл бұрын
Sugu has a lot of talents instead of being musician morever he is comedian and manymore his voice and speeches makes me fun indeed 🤣🤣👏👏🇹🇿💪
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Legendary of the Hip hop in my the Country Mr. II Sugu Joseph Mbilinyi, appreciate you and congratulations Sir.
@rukikomuingi6026
@rukikomuingi6026 2 жыл бұрын
Kwasababu mm ni rapa kama wew ninakupa freestyle kwasababu ulikua unatembea kwa miguu iliuwerapa leo unakula kuku kwa mlija mashavu yametuna kama paka heshima umeipata na pesa unezipata . hongera sana Mr 2 wew ndio chumbuko la hiphop mungu akubalika brother
@alinagwemwaselela9053
@alinagwemwaselela9053 2 жыл бұрын
It's is not hard to get money, but we all trying to be Legends. Respect to this Brother.
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 2 жыл бұрын
Hongera sugu Niko Nairobi Kenya nyimbo zenu hapa Kenya zinapigwa kila mahali Hadi raha
@waltergodwin2529
@waltergodwin2529 2 жыл бұрын
Legend of all the time, Sugu moto chini.
@jumamakanko5144
@jumamakanko5144 2 жыл бұрын
Sugu moto chini u're a super star the legend 🔥🔥🔥🔥🔥💪
@nyangetv8802
@nyangetv8802 2 жыл бұрын
Naandika kukumbuka jinsi nilivyoandika kwenye daftari mashairi yako miaka hiyo ya 1996 ulipotoa album yako ya kwanza ya Ndani Ya Bongo. Safari ulianza mbali sana, hukukata tamaa na hatimaye umefanikiwa kufanya tamasha hili la kihistoria. Muziki wa Bongo si uhuni, umevuna ulichokipanda. HONGERA SANA MR II
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mh Sugu,nakupendaga sana
@KalamuYaGalana
@KalamuYaGalana 2 жыл бұрын
Mimi mmoja wa fans wake wengi huku Malindi, Pwani ya Kenya.
@mosesndahani3315
@mosesndahani3315 2 жыл бұрын
Naiona Tanzania iliyopotea imerudi wenyeviti wa vyama kukaa pamoja Mungu mbariki Rais wetu Samia.
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 2 жыл бұрын
Yo rap bonanza. Long Walk. We live Hip-Hop. Maisha Halisi siyo kuigiza
@mussahaji905
@mussahaji905 2 жыл бұрын
Tanzania hua Ina furaha Raisi akiwa Muislam...inauma lakini ndo ukweli ulivyo..
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
@@mussahaji905 umeona ehh
@dogouliza8934
@dogouliza8934 2 жыл бұрын
Tanzania ya upendo wa kutosha
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
@@mussahaji905 Huo ndio ukweli sio kuwa tunaleta udini nisieleweke hivyo Mimi ni mkristo na huwa naambiaga hata wengine wore Awamu zote zilizopita Za kikristo zimekuwa za kibabe Ujinga ujinga mwingi kwa kichaka cha kujenga nchi ila Meengi ni wizi wizi tu unafiki nafiki,kujipendekeza pendekeza same na ubabe kwa wenye Madaraka
@geeva99
@geeva99 2 жыл бұрын
Sasa huyu ndo legend 🙌🏾
@effortmsossy4271
@effortmsossy4271 2 жыл бұрын
Beautiful mind..!
@barikimoshi4474
@barikimoshi4474 2 жыл бұрын
Hongera Mr sana Mr sugu Safi
@joshua.mhando
@joshua.mhando 2 жыл бұрын
"My wife, All of my family imekaa kwenye meza next to ya Mh Rais kwasababu ya mimi kupiga mziki wa Hip Hop" 🙌
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 2 жыл бұрын
Longlive Sugu wewe ni icon kwenye Bongo fleva.
@fadhilhimid2776
@fadhilhimid2776 Жыл бұрын
Ahsante Sugu upo vizuri
@josephinevicent1010
@josephinevicent1010 2 жыл бұрын
Mimi nfarijika sana kwa uongozi wa mama.mungu endelea kutembea na mama uyu
@hajisaidy3081
@hajisaidy3081 2 жыл бұрын
Sugu hongera sana you made it up.
@diktator1889
@diktator1889 2 жыл бұрын
Kenyan leaders should emulate this.
@kwelinauzimamedia3215
@kwelinauzimamedia3215 2 жыл бұрын
Asiye jua Anaweza fikiri nikawaida , lakini fikiria ni kwa roho ya nani inayo waunganisha watu hawa
@calimahad9274
@calimahad9274 2 жыл бұрын
Hats off Sugu !!
@dineshog8575
@dineshog8575 Жыл бұрын
First rapper on everything
@leolaswai5784
@leolaswai5784 Жыл бұрын
This man is the presidential material,from the womb to the tomb,born to give orders.
@brother_majesty
@brother_majesty 2 жыл бұрын
BIG UP CHIEF
@peterstanslaus2477
@peterstanslaus2477 2 жыл бұрын
Dah safi sana hii
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 жыл бұрын
Safi mama kwa kuwaunganisha wapinzani na kuwa kitu kimoja
@nelsonkileo3247
@nelsonkileo3247 2 жыл бұрын
Taita kama ametetemeka hivi mbele ya Mama . 😀😂
@immamwandolela6851
@immamwandolela6851 2 жыл бұрын
Raisi wa mbeya cit oyooooo
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
#AVATASTAR255 🎼👽
@athanaswilliam6940
@athanaswilliam6940 2 жыл бұрын
Daaah Ila Sugu...
@fredrickmwegole7841
@fredrickmwegole7841 2 жыл бұрын
Asiv tukikaa ni mambo ya sugu iv hatujui vitu vinapanda being na wananchi hatuna hera
@jamessanga7120
@jamessanga7120 2 жыл бұрын
suguuuuuuuuu🤝⚒️❤️🇹🇿
@hamisihalfani6374
@hamisihalfani6374 2 жыл бұрын
💥
@johnmawazotz
@johnmawazotz 2 жыл бұрын
Sugu Mungu akulinde akutunze Sawa Sawa na Mapenzi yake yalio Mema kila wakati
@lowkeybongo
@lowkeybongo 2 жыл бұрын
Sugu my idol
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
"Lakini kwa upendo mkubwa umekubali kutenga mda wako Kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" hiyo ndio Tanzania tunayoitaka ya wote sio ya watu fulani fulani tu tena wachache. Hongera Mh Rais wasikize makundi yote kama ulivyojipangia.
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Mimi chadema kweli ira Samia ataturetea katiba mpya jinsi anavyo shirikia na wapinzani
@magorymara5515
@magorymara5515 2 жыл бұрын
Asante mama kwa kuitikia wito wa washa za waha ndugu zetu za wa juu lakin pia usikatae kuitikia wito wa wale wananch wa chini ili nao wakwambie shida zao hicho ndo kilio chao
@christopherhilary9453
@christopherhilary9453 2 жыл бұрын
Heshima kwako mama
@ibradx3029
@ibradx3029 2 жыл бұрын
Hip hop for life
@allawyarro2970
@allawyarro2970 2 жыл бұрын
Hakika wewe ni SUGU Kweli. Miaka 30 ni kitu kikubwa Sana . HONGERA Sana JONGWE
@rehemaisaack1728
@rehemaisaack1728 2 жыл бұрын
Millard idea debater wametutapeli maelfu ya watanzania publish hiyo hbr
@shukranitv2971
@shukranitv2971 2 жыл бұрын
Suguuuu alirudi ccm ni uwaziri Moja Kwa mojaaa
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 2 жыл бұрын
Hawezi kurudu huyu!!! ana kiburi
@habibukilango7738
@habibukilango7738 2 жыл бұрын
Wanakuita SUGU
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 2 жыл бұрын
Tuna rais mpya tanzania anaitwa samia tuna fulaha sana ata sugu ana fulai ni uhuru wa kujieleza asante samia huna ubaguzi mama
@perucebuhomaosward8512
@perucebuhomaosward8512 2 жыл бұрын
🚶‍♂️🚶‍♂️
@kinarakinara2074
@kinarakinara2074 2 жыл бұрын
Huyu mama Safi sana
@shukurkatembo2807
@shukurkatembo2807 2 жыл бұрын
Jongwe aminia sana brother
@vincentmboya
@vincentmboya 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 2 жыл бұрын
Kiongozi kama kiongozi skuzote habwabwaji anaongea yamana wewe sugu nikiongozi na nusu big up brother
@hawkeye9845
@hawkeye9845 2 жыл бұрын
Naionea wivu TANZANIA nikiwa mombasa, nakumbuka hadithi aliotowa mwalimu kuhusu kijana aliepanda mlimani, na magufuli alifika juu ya mlima na akampata mrembo Mama Samia wakaifanya Tanzania ya kuonewa wivu mzuri
@merickymangula5156
@merickymangula5156 2 жыл бұрын
Sugu ni mkinga sio mngoni,ukisikia mbilinyi,sanga,kyando n.k iyo ni Kinga wazee wa mshiko
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Ndio maana nashawishika kufutilia mbali matumizi ya majina ya ubini/ukoo.. Hasara Ni Nyingi kuliko faida
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 2 жыл бұрын
Napee mhuuu
@majaliwakinyonyi1006
@majaliwakinyonyi1006 2 жыл бұрын
Utasikiya mond kajipendekeza hapo
@dineshog8575
@dineshog8575 Жыл бұрын
Hiphop ni kazii
@whitelove_og369
@whitelove_og369 2 жыл бұрын
#UNAAMBIWA SUGU HAPA ALIZGUA TAZAMA kzbin.info/www/bejne/jnW0nZSDesqhY8k
@zeddybass6672
@zeddybass6672 2 жыл бұрын
Ww uliekua unawagawa watu huko uliko uwekwe pale unapostahiri
@mymbaralitv2968
@mymbaralitv2968 2 жыл бұрын
Sasha kawa bint now
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 жыл бұрын
Kwani hii tafrija ina lenga Nini haswa maana naona kama mapicha picha TU 😃😃😃😃🙌
@zubedamagambo9600
@zubedamagambo9600 2 жыл бұрын
Hata mm sielewi aisee😁😁😁😁😁
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
Hutaelewa
@deogratiasmlacha9047
@deogratiasmlacha9047 2 жыл бұрын
Umri wako bado subiri ukue ndio utaelewa
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 жыл бұрын
@@deogratiasmlacha9047 🙆😀😃😃🙏
@MasterChief-Ortiz
@MasterChief-Ortiz 2 жыл бұрын
hamna msanii amewahi kukodi private jet kwenda sehemu yoyote
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 жыл бұрын
acha ufara
@bigtv4204
@bigtv4204 2 жыл бұрын
diamond ndo mfano wa hayo kijana au umesahau mwakajana mond amekod pj kwenda south africa yeye na s2kizz tu
@shunimbarak2018
@shunimbarak2018 2 жыл бұрын
Acheni ujinga tanzania amkeniiiiiiii
@albertjames6845
@albertjames6845 Жыл бұрын
Unakung’utwa
@zakayokivuyo1823
@zakayokivuyo1823 2 жыл бұрын
C see
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 2 жыл бұрын
MAMA, RAIS WETU KIPENZI UNAUPIGA MWINGI.MAMA NI HAKIMU,MAMA NI MPATANISHI,MAMA KIONGOZI SHUPAVU,MAMA DAKTARI .MAMA HUKUSANYA FAMILIA. YAJAYO YANAFURAHISHA HUU NI MWANZO TU.
@josephatmakuka4860
@josephatmakuka4860 2 жыл бұрын
Jongwe
@samsonjames4047
@samsonjames4047 2 жыл бұрын
Megatune tv
@samsonjames4047
@samsonjames4047 2 жыл бұрын
MEGATUNE TV
@emmanuelmkamba1964
@emmanuelmkamba1964 Жыл бұрын
Taita 👊
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 2 жыл бұрын
We bwana sio rapa ni marapa tu sasa rapa gan wa hivo
@alexalen6799
@alexalen6799 2 жыл бұрын
Watu kama nyie wasenge sasa umekereka na nini hapo au kakuhusisha fara wewe acha wivu wa mafanikio ya mwenzio.
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 жыл бұрын
Leta wengine basi
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 жыл бұрын
Wewe utakua mpumbavu sana sugu ni moja waasis wa hip hop Tanzania mjinga ww kua na respect nae
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 жыл бұрын
@@ChoroTesla huyu mtu hajielewi, hawa ni wale wanaopenda sana kuongea ila wanajua machache sana
@mtotowaray1726
@mtotowaray1726 2 жыл бұрын
Taita kama taita , Taita mfupi lakin Pesa Matata..!!
@kwelinauzimamedia3215
@kwelinauzimamedia3215 2 жыл бұрын
Mnakubaliana ili mzidi kuizamisha inchi
@smfkingdom9944
@smfkingdom9944 2 жыл бұрын
Kamti🌴 pombe kzbin.info/www/bejne/e6C4f61-j9SqfLs Isikupite hii kal sana
@broka_genius3615
@broka_genius3615 2 жыл бұрын
Saa ndio usome
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 жыл бұрын
Kwa sababu yupo smart
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Lakini vijana hao kuna walio pata vijipesa wanakuoneni nyie mlio waanzishia mwendo ni wajinga! Huongea upuuzi mwingi huku (wakishihirisha ni washamba kiasi gani) eti, wakionesha vijipesa hivyo mitandaoni!
@khubeybjandal7435
@khubeybjandal7435 2 жыл бұрын
Huna issues miaka 30 unaimba tu, mambo ya kipuuz
@jimsonshipela980
@jimsonshipela980 2 жыл бұрын
DUDU BAYA VANESSA MDEE KAJITOA KWENYE USHETANI kzbin.info/www/bejne/n4ecinZ4pbGhm6s
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
Nandio Mahana Raisi wa marekani awezikukutana name kutokana uwezo wako ndogo wewe unatakiwa ukae na Maraya wenzako
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
unajipaisha tu mnafiki sana ewe nakukumbuka matendo yako sitaki niyaseme hapa
@eliamkonda5162
@eliamkonda5162 2 жыл бұрын
Na wewe jipaishe
@deogratiasmlacha9047
@deogratiasmlacha9047 2 жыл бұрын
Tafuta hela usiwe na visirani
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 жыл бұрын
Acha makasiriko wewe
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 2 жыл бұрын
@@eliamkonda5162 putuka
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 2 жыл бұрын
Kwani wewe bado mwanamuziki?
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
Raisi uko mpaka kwenye mapati unauchungu kweli na watanzania wewe Bibi mpuuzi Sana wewe
@josephatthadeo3745
@josephatthadeo3745 2 жыл бұрын
kaz huna au
@tadeikapinga2905
@tadeikapinga2905 2 жыл бұрын
Wee si kichwa ni m'babaishaji tu ungekuwa kichwa usingeandikiwa maelezo' hayo yangetoka kichwani tu' na wewe si mmoja wa waanzilishi wa rap' ni kukop na kupesti nyimbo za black Amerika' huna jipya, waongopeeni wasiowajua
@nesto3587
@nesto3587 2 жыл бұрын
Raise wa mchongo😂😂😂
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
Weee
@mrtrama8936
@mrtrama8936 2 жыл бұрын
Upumbaf 2
@kifanyaliwengi2281
@kifanyaliwengi2281 2 жыл бұрын
Mr trama umezaliwa juzi wewe huwez mfahamu sugu kabisa mpambafu mwenyew
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Sikiliza muziki wa Sugu haki na Justin Kalikawe halafu bwana mdogo njoo tuongee tena
@amandusmark3060
@amandusmark3060 2 жыл бұрын
Umaskini utakuua
@edwinfredrickzakaria4782
@edwinfredrickzakaria4782 2 жыл бұрын
Inatia aibuu Rais mzima kabsa kuuhuzulia upumbavu tuu huku wananchi wanateseka wanalia haraf nyie mnakua Bata et mziki mda mwingine mtu anaweza kujizaralisha mwenyewe paspo nazalau
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 2 жыл бұрын
Hujielew
@ericcbulamile612
@ericcbulamile612 2 жыл бұрын
Ndugu, vp???
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 2 жыл бұрын
@@ericcbulamile612 kavurugwa ndugu
@amaninyoni5645
@amaninyoni5645 2 жыл бұрын
Kweli wewe hewa
@suleimankhamis7378
@suleimankhamis7378 2 жыл бұрын
Aibu gani inayotiwa apo?
@TeamKRX
@TeamKRX 2 жыл бұрын
Hata habari hana bibie ya wananchi wake wakipigana risasi wakitwangana mawe yeye anacheka buheri hamsa wa ishrin raha raha tuu akitoka apo ndege inamsubir haya tutafika rabda
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 2 жыл бұрын
Sasa ww ulitaka afanyeje,ikiwa kama waliopigana walikua ni watu waliobeba dhamana ya kuishi pamoja ktk maisha yao yote,usifanye uzembe kutegemea kumlaumu mtu
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
Kwani yy ndio aliewapa risasi
@simaimohd3557
@simaimohd3557 2 жыл бұрын
Jitafakari.
@zedennjate548
@zedennjate548 2 жыл бұрын
Huna akili
@salimusalim3610
@salimusalim3610 2 жыл бұрын
Kuongoza mijitu kama hii inataka subra
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
Raisi wa Ajabu Kazi yake kujirusha TU anakazi ya kufanya ushakura Mzee unajifanya kijana
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 2 жыл бұрын
Yaan raisi kakosa kazi ya kufanya imembidi akasherehekee ujinga wa mjinga
@mcgeemwamba9303
@mcgeemwamba9303 2 жыл бұрын
Unajua nini fara wewe
@officiallnobystar
@officiallnobystar 2 жыл бұрын
Mjinga Ni ww Umekuja kuangaria Video Alafu Unakuwa Na makaziliko yako ya Maisha
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Wwwe ndio mwehu haswa rais siyo mbaguzi kama ulivyo wewe na magufuli wenu huyo
@iddyissa8110
@iddyissa8110 2 жыл бұрын
Kabisaaaa kikwetewa2
@salimusalim3610
@salimusalim3610 2 жыл бұрын
Inauma tulia dawa ikuingie
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,6 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
32:38
YahStoneTown
Рет қаралды 109 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 777 М.
Prof Jay awapagawisha Wanamorogoro mbele ya JPM
4:24
Azam TV
Рет қаралды 305 М.