Audio &. Video by Tanganyika Productions www.tanganyikaproductions.co.tz/
Пікірлер: 608
@lillychero135 Жыл бұрын
Kama bado kuna mtu anaskiliza kwaya hii naomba kuona likes hapa❤
@RebekaTango-cd7rt11 ай бұрын
Hongereni watumishi wa mungu kwauimbaji mzuri sana
@AlfredShauri9 ай бұрын
Kwaya yenu Iko vizuri nawatskien utume mwema
@user-wt2tq4ff2p6 ай бұрын
Nabarikiwa San na hii kwaya wish ni gekiwa UDOM na mim
@ericahnyanda46846 ай бұрын
❤
@RAIMUNDI-vg7df4 ай бұрын
najpendanyimbohii❤amena
@sulesulebaraka23763 жыл бұрын
Mungu awatagulie katika safari yenu ya uimbaji sikuzote
@franciskamau89079 ай бұрын
Wimbo mzuri sana na utabakia wa kupendeza milele. Maneno ya kufariji wanaopitia magumu maishani..naupenda sana ❤
@edsonsambala6013 жыл бұрын
Kila jambo mfanyalo kumbukeni Bwana Yu nanyi. Mmenena vema marafiki wa Yesu. Mungu awabariki sana katika utume wenu. Ni vema kusema, Bwana yu nanyi siku zote. Jipeni nyoyo na msiwe na hofu.
@lucasembassy3 жыл бұрын
Amina sana nawe ubarikiwe sana..Karibu kwenye uzinduz wetu
@marysona26633 жыл бұрын
Safi sanaaaaa!🌹🌹🌹vijana ngozo ya kanisa la kesho. "Ninawaandikia ninyi vijana kwa kuwa mnayo nguvu"💪
@noelramadhani30513 жыл бұрын
Wimbo mzuri barikiweni wapendwa....nakuona my mama #Evodia Anthony, Mungu akuzidishie karama ya huduma.
@othmarluwawilo83083 жыл бұрын
Safi sana sara na kitabu, ndipo Mungu atawapenyezie neema
@anthonyandrew57593 жыл бұрын
Nawapongezeni sana wanakwaya kwa kuimba vizuri binafsi ni mwanakwaya nafrahi sana
@edelassenga85153 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri sana na ubunifu wa hali ya juu. Mungu atukuzwe
@lucasembassy3 жыл бұрын
Aminaaaa
@MariaMdzovela90-ch5md9 ай бұрын
Mbarikiwe sana R.c wezangu najipa moyo Kila siku najua mungu hawezi mtupa mja wake
@alexbazilius27303 жыл бұрын
Mungu awabarik ndugu zangu hongera Dada Aika Beatrice na wengineo mt Bernardo tunawapenda
@stephenandrew32923 жыл бұрын
Mungu awabariki sana wanakwaya wetu kwa kazi nzuri ya Utume
@lucasembassy3 жыл бұрын
Amina xaanaa
@ArchilleusRevocatus19 күн бұрын
Kwa kweli uimbaji wenu unanikosha sana roho yangu kwanza mnaimba mme2lia, hamna para hooooooongeren xaaaaaaaaaana!!.
@milabutambali39583 жыл бұрын
Fantastic!!!!!! Ade sasa ulivopendeza!! Hongeren udom
@benithaedwini38833 жыл бұрын
Mung awabark xana na awajalie mioy ya kujitolea kw kumtikia bwana maan yey ni muweza wa yote
@edsonsambala6013 жыл бұрын
Sikati tamaa Kamwe, Bwana yupo nami siku zote. Aliyenitoa nilikotoka Atanifikisha pia niendako: sina wasiwasi
@lucymichael81953 жыл бұрын
Hongera sana wana udom mnatufurahisha sana.
@hillarykibet72643 жыл бұрын
Very nice song choir God 🙏🙏🙏 blessed you people tunatarajia zingine xoon
@mjubamkush15323 жыл бұрын
Mzidi kubarikiwa kwa kazi nzuri
@evagabinus70413 жыл бұрын
Hakika Bwana yu nasi, tunamshukuru yeye kwa utume huu na ujumbe mzuri kwa watu wote.
@lucasembassy3 жыл бұрын
Amina sana
@AgnesMutindi-fq1oj14 күн бұрын
Mungu wetu hajalala .......yupo nasi siku zote😍😘😘😘😘o strongly believe that
@shekendenterprisesltd64784 күн бұрын
AMINA
@domiepisezini72993 жыл бұрын
jamani mimi nauliza nyimbo moja ivi bwana bwana Ata wabariki siku zote za maisha
@felisterligwa3 жыл бұрын
Hakika Mungu yupo nasi,asanteni sana kwa tafakari nzuri
@salomemahembega94203 жыл бұрын
Woow ... Safi Sana kazi nzuri na msg nzuri pia nimeskia ushimanyi umehusika hapa katika tungo.... Heshma yako bro popote ulipo 💪🥂🙏🤩
@cgenpro1753 жыл бұрын
Nimehusika 100% kabisa madam kuanzia utunzi, kurekodi nk
@lucasembassy3 жыл бұрын
Fundi mkuu
@jenipherkyando48223 жыл бұрын
Mmenitia nguvu sana nyinyi hamjui tu amina amina amina
@lucasembassy3 жыл бұрын
AMINA KUU
@TRIPLE_M_13k3 жыл бұрын
Mapito hutufanya tuone MUNGU you mwema kwetu kwa kutupigania maana bado tunaendelea kuishi kwa mapenzi yake kwenye njia ya maisha yetu.
@yailirogasian2413 жыл бұрын
Aminaaa
@lucasembassy3 жыл бұрын
Amina kubwa
@wyckliffenyangaresithebest3 жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri.Barikiwa
@omukadahlmmaculate78103 жыл бұрын
Wakwanza kutazama wapi like
@gabrielmanda502 Жыл бұрын
Mi miongoni kwa Vyuo vinavyoimba vizuri know! Hongereni sana kwakuendelea kumtumuza Mungu
@Vision2012Tv3 жыл бұрын
Wimbo ni mzuri saana, ongereni saana mzidi kudumu katika kumuimbia Bwana nyimbo na Zaburi hakika atawajazi. 🙏🙏🥰🤗🤗
@Vision2012Tv3 жыл бұрын
Na pia mmependezaa saana🤗🤗🤗🤗🙏nimebarikiwa sana🙏
@lucasembassy3 жыл бұрын
Amina sana karibu
@thomasmaliga18923 жыл бұрын
daah classmate wangu naona wachapa kazi kazi ya Mungu iendelee Shimanyi ni hatari kwa kazi anazoziandaa siku zote
@teilom.lwandeaj19473 жыл бұрын
Sautu nzury sanaaa....🔥🔥🔥🥰🥰🥰🔥🔥🔥👍🏿
@carolinamuchi59803 жыл бұрын
Safiii sana from Spain nawapenda🇪🇸🇪🇸
@lucasembassy3 жыл бұрын
Woow...Karibu sana tunakupenda..Pia sote
@Edsonmkinga3 жыл бұрын
tunakupenda pia karibu THE UNIVERSITY DODOMA
@renatusmmasy48053 жыл бұрын
Amina mmefanya kazi nzuri sana sana .Mungu awabariki sana
@jasperwendojhomeonline.9153 жыл бұрын
AHSANT SANA
@sistervenerandarugemalira21913 жыл бұрын
Hongereni saaaana kwa wimbo mzuri, Mungu yu pamoja nasi siku zote.
@revinaosward55823 жыл бұрын
Asantesana mbarikiwe
@isaakhaonga59733 жыл бұрын
Hongereni sana
@liliannyantika32994 ай бұрын
This choir inspired me last year 2023 in the Easter conference that took place in UDOM....May God continue uplifting and blessing them.
@raphaelmulei97423 жыл бұрын
Nawapongeza sana kwa wimbo mzuri.Mungu awabariki siku zote za maisha yenu
@zeinoalves98873 жыл бұрын
Quando jesus entra nas nossas vidas é potrque ele nos ama verdadeiramente
@jenifasebeje7866 Жыл бұрын
hongera nying saana kwa mtunzi, pia wanakwaya mungu awe nanyi siku zoote.
@johnmulei95902 жыл бұрын
Nyimbo Tamu Zaidi Mungu awashidishie baraka zake
@livinusmugisha44963 жыл бұрын
Ongereni kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwaongoza
@teodosiatsuut61762 жыл бұрын
P
@daudimasumbuko66453 жыл бұрын
Kazi nzuri watu wa Mungu. Hongereni sana
@zeinoalves98873 жыл бұрын
Os verdadedeiros adoradores sáo aqueles que adora ao senhor en espirito e en verdade segue na confiaça con Deus
@revocatusogalo68573 жыл бұрын
Hongereni Sana Ujumbe mzri snaa Hongera Sana kwako Shimanyi
@cgenpro1753 жыл бұрын
Asante sana kaka
@mercymburu82272 жыл бұрын
Jipeni moto,asa wakati huu ,wimbo muzuri,mbarikiwe sana
@johnkimario77233 жыл бұрын
hongereni sana vijana tangazeni injili ivyo hivyo kupitia nyimbo
@donathakimaro52762 жыл бұрын
Safi sana mtumikieni Mungu mkiwa vijana wenye nguvu naye hatawaacha
@conradmwanyika2063 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana hongera sana kwenu,,mungu awabariki ktk utume wenu🙏🙏
@peterkitoti46273 жыл бұрын
Nyimbo kupitia kwaya, ni jia moia ya kueneza INJIRII.
@eduigemutimanwa3132 Жыл бұрын
Nawa penda Sana mungu awajaliye afiya n'a nguvu muzidi kutuburudisha sikuzote
@msetymaswy93143 жыл бұрын
Chair yail commando wangu john dah!!! Natamani na Mimi nirudi nikaimbe choir
@lucasembassy3 жыл бұрын
Ahahah karibuu
@yailirogasian2413 жыл бұрын
Njoo kijana,,,,vijana tunapambana maana huu ndo muda wetu
@augustinomigilimo60933 жыл бұрын
#Absolutely kazi nzuri sana wapendwa
@lilianijoseph51073 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kuitenda kazi yake kwa uaminifu,mkumbuke muumba wako siku za ujana wako ,,🙏🙏,Aki mungu azidi kukulinda my brother asajile nkomele😍😍
@asajilenkomele12863 жыл бұрын
Asante Dada ubarikiwe Unakaribishwa kwenye uzinduzi tunao tarajia kufanya Siku ya tarehe 13/06/2021 Karibu sanaa
Kama nayaona matunda niliyoyalea Mimi hongera zao vijana
@franksylvester75303 жыл бұрын
@@msetymaswy9314 Matunda mema.......
@yailirogasian2413 жыл бұрын
Tunashukuru Dada Fortu kwa kutuuzia Sare🤗
@franksylvester75303 жыл бұрын
@@yailirogasian241 Ahsanteni sana boss wangu naona mme pendeza mno
@namakulawinnie4679 Жыл бұрын
VeryNice,youguys
@charlesjkyallo58353 жыл бұрын
Pure talent .shimanyi FM. Hongera kaka. Mlio wa nota ya kwanza ya kinada Kwa umbali. Naijua utunzi wa FM Kazi nzuri
@cgenpro1753 жыл бұрын
Ha ha ha karibu sana
@josephadolph6053 жыл бұрын
@@cgenpro175 kazi nzuri sana Kaka
@cgenpro1753 жыл бұрын
@@josephadolph605 asante kaka
@josephadolph6053 жыл бұрын
Unapatikana wapi sasa hivi kaka
@cgenpro1753 жыл бұрын
@@josephadolph605 Dom
@mitchelljames23873 жыл бұрын
Hongereni .yu ar so smart guys.keep on lifting the body of christ by singing. Be blessed
@zeinoalves98873 жыл бұрын
Deixa Deus usar estes talentos do senhor sáo vasos de honrra
@zeinoalves98873 жыл бұрын
Os verdadeiros adoradores sáo aqueles que adoran Deus en espirito e en verdade
@edgambaganile66153 жыл бұрын
Hongera sana waimbaji. Hongera zaidi kwa Mtunzi Shimanyi kama kawaida yake kazi zake safi kabisa
@zeinoalves98873 жыл бұрын
Nunca esqueçan vocés sáo ungidas e escolhlidas para louvar ao senhor o mundo tódo ama vocés sáo queridas
@mecryjerusha4720 Жыл бұрын
Amen amen amen amen asante wapendwa katika nyimbo nzuri sakusifu bwana yasu kristo namungu akusaidie sana kutangaza injili ya bwana yesu mubarikiwe wapendwa
@ericfria2597 Жыл бұрын
66kñvjj IP d96 IP 77 bi mi by
@benonmwakwari34283 жыл бұрын
Kwaya kazi nzuri Mungu awabariki
@karimilucah27023 жыл бұрын
Love Catholic Choirs
@yohanisule6663 жыл бұрын
Ipo vzry sana,,,,na mmependeza,hongereni
@paulinekonki5520 Жыл бұрын
MSIHOFU KWANI MUNGU WETU HATALALA WALA KUSINSINZIA KAMWE❤❤❤❤❤💯
@clementmarandu27122 жыл бұрын
Mungu awaangazie nuru ya uso wake mzidi kuinjilisha neno la Mungu kupitia nyimbo
@joycekway87972 жыл бұрын
Big up, this song is so touching and encouraging as it showing how God encourages his people. Yes, don't lose heart people God the one who created you will give you the grace to pass through.
@erodeshayo86723 жыл бұрын
Wimbo mzr Sana Ase Mung awabariki aliye skiliza zaidi ya Mara moja tujuane
@Lottygoodlucky5 күн бұрын
Opo vzr kabisa😊
@zeinoalves98873 жыл бұрын
Aqueles que aman o senhor de verdade sabe guardar os seus mandamentos exodo cp 20 ama ao senhor
@adonaiae2 жыл бұрын
Graça e Paz da parte de Deus Amo vocês no amor maior. Em Cristo Jesus o Senhor. Saúdo desde São Paulo, Brasil....
@jonathanmkwizu56923 жыл бұрын
Super vijana wetu!!
@zeinoalves98873 жыл бұрын
Os que sáo salvos ten seu nome escrito no livrro da vida somos abençodos ttodos os dias da nossa vida
@dosteajoseph79392 жыл бұрын
Tumshukuru kwa utume wa kutuinjisha kwa nyimbo Mungu awabariki Sana Amina
@greysonkibiki79903 жыл бұрын
Kali sana mungu awape nguvu
@stellashimey28313 жыл бұрын
Aminaaaaaaaaaaa Mwenyezi Mungu azidi kuwatunza
@magrethyeremia22793 жыл бұрын
Mmeimba vizuri saaana hongereni
@lucasembassy3 жыл бұрын
Asnte
@miltonwilliam32983 жыл бұрын
Tre Bien. Very good waimbaji. Muko vizuri haswaa! Asie kubali kazi yenu huo ni wa shetani. Kazi inaendelea but matendo yenu yaambatane na wimbo huu.
@wilsonmkumbo95753 жыл бұрын
Mpo vzr mbarikiwe!
@emanuelisulle88583 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri ya uinjilishaji
@williamlendao16763 жыл бұрын
Huduma yenu ni njema sana, Mbarikiwe sana
@papaa5037 Жыл бұрын
💕💕💕mungu yup mwema nyimbo nzuri sana
@stanleyokanga7223 Жыл бұрын
This is really heavenly choir, may God bless you my sisters and brothers and lift you high
@swalehjuma40722 жыл бұрын
shukurani sana Mungu zaidi kuwatia nguvu
@marystambuli80452 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana hongereni kwa kutuinjilisha. Najivunia kuwa Mkatoliki.
@zamordouyon47362 жыл бұрын
Mw vrèman renmen nou.Bondye beni nou
@zeinoalves98873 жыл бұрын
Estes servos do senhor sáo aplaudido onde chegan vasos de honrra na obra de Deus
@devottemunzombo50872 жыл бұрын
Que le seigneur vous comple de ses grâce.
@zeinoalves98873 жыл бұрын
Esre conjunto é muito especial Deus está na vida de vocés creia somente e agradece o senhor
@jeyarakinimary13639 ай бұрын
unique, cheerful,awesome,spiritual, performance.
@virginiakahuha6528 Жыл бұрын
Muema's songs really bless me when I tune in to her songs it's like being in heaven.
@rosepanga84183 жыл бұрын
Tumebarikiwa na wimbo huo hongereni sana
@mariumabraham7683 жыл бұрын
Ujumbe mzuri Sanaa,, mbarikiwe
@FrancoiskilauriBiologiemedical3 ай бұрын
Nyimbo ni nzuri saana ila tunayo lazima ya partition
@ceciliamzumara70782 жыл бұрын
This is beautiful song...anyone who knows the meaning please help! To God be the Glory and bless this wonderful choir.
@mjubamkush15323 жыл бұрын
Wimbo mzuri pia mmependeza sana
@ndekirwamungure20703 жыл бұрын
Vizuri Sana mlijipanga vizuri ujumbe umefika barikiweni nyote waimbaji
@charlynzumbuko94123 жыл бұрын
Bien
@user-pm9xl7lt7o11 ай бұрын
Nimeipeda hii kwaya sana
@Amahirweempire-tv49022 жыл бұрын
Shukulani kwa nyimbo muzuri sa ndugu.nimesema kutoka inchi ya Rwanda
@desderiadeogratiuskadati11313 жыл бұрын
Mungu azidi bariki talanta zenu🙌🏼❤️
@nkunikapaul55432 жыл бұрын
Teyuuf
@merinachalinze6455 Жыл бұрын
Hakika mko vizuri Mungu awaongoze na kuwabariki napenda vijana kumtukuza Mungu
@josephlufungulo6734Ай бұрын
one of the best song ever
@johnsichalwe61253 жыл бұрын
Mko vizuri, endelezeni juhudi za kuutangaza ukuu wa "MUNGU"!!