Hongera sana TRC mwenyezi Mungu awape uwezo wa kuitunza, kuiendesha kwa tija na kutoa huduma bora.
@modestwenceslaus9
Safi Sana TRL sasa nitapanda ya kutoka Dar Saa 3 asubuhi nikavinjari Moro siku za Weekend🎉🎉🎉
@user-mo7iq2fd8g
hongern san
@raphaelmwamakimbula9642
Hongera na Asante sana Kwa kuendelea kurahisisha usafiri na usafirishaji Tanzania♥️💯🇹🇿👏
@nasibugunda792728 күн бұрын
Tushazoea kuchelewa kuwahi aaaaah
@bakarijumakupaza4351
Safi saaana TZ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zobakazizi7637
Station ya morogoro bado wana changamoto ya kufanya zoezi la kupanda treni liwe la starehe. Wanachelewa kufungua mlango na kukagua tiketi.
@oscarboniface9690
Asante sana TRC
@epsilonshila1170
Hii safi sana
@user-gb2lf1hh9k
Nice🎉
@zobakazizi7637
Hii imekaa vizuri sana.
@omarybakunda2554
Hapo sawa
@YusufSasamalo-uz4ii
Hapa safii sana
@faustinluambano2958
Hii treni isimamishwe
@magorymara5515
Tunashukuru kwa tarifa tunawaomba kama kuna maeneo watu wanakatiza kwenye reli na hakuna kingo ya kuzuia basi wekeni ili msije mkaleta majanga hasa maeneo ya Pugu
@athumaniamiri880
Vizur
@Nick16697
Imeanza kuwalipa sio, kesho kutwa mtwambie kampuni inajiendesha kwa hasara...