TANZANIA BARA 1-0 UGANDA: HIGHLIGHTS (SEMI FINAL CECAFA WOMEN'S CHALLENGE CUP - 23/11/2019)

  Рет қаралды 120,867

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens, imetinga fainali ya Kombe la CECAFA baada ya kuwaondosha Uganda kwa bao 1-0 kwenye nusu fainali kali iliyofanyika jioni ya leo dimbani Azam Complex Chamazi.
Mchezo huo ulioshuhudia kipindi cha kwanza kikimalizika kwa suluhu, uliamuliwa kwa goli la kipindi cha pili la mkongwe Asha Rashid maarufu kama Asha Mwalala.

Пікірлер: 97
@erickkaaya8356
@erickkaaya8356 4 жыл бұрын
Kwaupande wangu Mimi Naona kipa nimwepes Sana 👍 TZ
@lembrismongi103
@lembrismongi103 4 жыл бұрын
Hongereni wakina dada wa T🇹🇿💪
@bm4tv602
@bm4tv602 4 жыл бұрын
Wamefanya kwa kipindi hiki Tanzania iwe na furaha sana
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Bm39 Tv show kwa kip
@bm4tv602
@bm4tv602 4 жыл бұрын
Kwa michezo
@jackemanuel4697
@jackemanuel4697 4 жыл бұрын
Asante mungu kwa ushindi uliotujalia tanzania dhidi ya uganda
@rachelalex8160
@rachelalex8160 4 жыл бұрын
Mwanahamis ni mchezaji mzuri sema ni mchoyo wa pass akifika golin.
@seifmiraji43
@seifmiraji43 4 жыл бұрын
Aloo ananikera sana hiyo tabia ya kunyima wenzie pass akifika golini,nachukiaa
@charlesboaz4489
@charlesboaz4489 4 жыл бұрын
Bonge la mechi aseee!! Hongera Kilimanjaro Queens
@zboy1647
@zboy1647 4 жыл бұрын
tuko poa
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 2 жыл бұрын
Mmenifurahisha sana wanawake Tz tunaweza hakika dah mara ya tatu kombe.lazima tupoker tena
@jaydendumi7538
@jaydendumi7538 4 жыл бұрын
Kilimanjaro Queen kwa kweli wanajua kuchezea pia kulipigania taifa lao.
@suleimanchonya7736
@suleimanchonya7736 4 жыл бұрын
Hawa wadada wanacheza vzr kuliko hata timu ya taifa ya wanaume. Safi sana.
@rachelalex8160
@rachelalex8160 4 жыл бұрын
Mwanahamis anatakiwa apewe elim...magol 2 anapoteza
@tolekakipira9415
@tolekakipira9415 4 жыл бұрын
Safi inatia moyo like zenu
@oscarmosha9170
@oscarmosha9170 4 жыл бұрын
hongereni dada wa tz
@salumally7949
@salumally7949 4 жыл бұрын
Waamuzi ni wabovu hasa hao wapembeni wanahitaji maboresho ya hali juu sana
@eliassylvester8150
@eliassylvester8150 4 жыл бұрын
Hawa wachezaji wa safu ya mbele ni bora kuliko kina samata na wenzake
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 2 жыл бұрын
Safi sana wanawake jmn Tz mko vixuri mnooo wahoooo mwanahamuc jithidi uwe untoa pasi tunauwexo wa kufunga hata golinnne
@nayopamsham5616
@nayopamsham5616 4 жыл бұрын
Tanzania nguvu moja aminia sana hiki kikosi
@justinsombe187
@justinsombe187 4 жыл бұрын
Tanzania wakaze Kenya wako vizuri sana
@annarobson2866
@annarobson2866 4 жыл бұрын
Oyo
@thomasnyemba4367
@thomasnyemba4367 4 жыл бұрын
Kwa kipaa2 haaaa 2mepataa kwa kwelii
@mishaelmisana1973
@mishaelmisana1973 4 жыл бұрын
Ongereni sana
@kishoniyamoilengishoni6440
@kishoniyamoilengishoni6440 Жыл бұрын
Asante Tanzania
@jamesokello9812
@jamesokello9812 4 жыл бұрын
Kenyans are on form this time around.
@jacobshauri4799
@jacobshauri4799 Жыл бұрын
Ugandans are good than tz 😂 love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jessiejessilic8305
@jessiejessilic8305 4 жыл бұрын
Fainali inachezwa lini wadau
@zakiazubery2055
@zakiazubery2055 4 жыл бұрын
Mwanahamis alikuwa mchoyo sana aseee khaaa
@yousupjabri7304
@yousupjabri7304 4 жыл бұрын
Mwana hamis akiendelea kua mbinafc tz hatuchukue kombe ajalib kufungua nafac nakuwapa wenzie pia inshort tim iko vzr inshallah tutachukua kombe
@petromtakati2975
@petromtakati2975 4 жыл бұрын
Nisiwe mnafiki yule dada anajua mpira ila ababoa ni binafs saaana hatoi pass
@adbulikimalo8394
@adbulikimalo8394 4 жыл бұрын
Kenya hawatok nimeshawafuatilia match zao na nikakwambie tyu katka hizo nchi hakuna anaemfikia tz kwa mpira Hamna ubishi
@adbulikimalo8394
@adbulikimalo8394 4 жыл бұрын
@@petromtakati2975 yah na ndo muamiz wa match na hata anauwez m kubwa hata wakumilki mpira sema anataka ashinde y eye
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 4 жыл бұрын
Sawa ni mchoyo lkn goal limetokana na yy huyo mchoyo
@adbulikimalo8394
@adbulikimalo8394 4 жыл бұрын
@@elizabethjohn4549 ila baada yakupoteza sana wale tungewafunga mapema sana
@valencymalisa3026
@valencymalisa3026 3 жыл бұрын
Sio kwel
@suleimanhassan1217
@suleimanhassan1217 3 жыл бұрын
Safi sana
@alfredmsambaa1443
@alfredmsambaa1443 4 жыл бұрын
Nackia kuna mdada kachomoa betry dk za mwisho kabxa n nan uyo🤣🤣
@timothyturunya7085
@timothyturunya7085 4 жыл бұрын
Mchezo wa Kenya ni mzuri zaidi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Timothy Turunya kautazame
@jafarimsaghaa95
@jafarimsaghaa95 4 жыл бұрын
Safi kabisa
@fatmahissa3019
@fatmahissa3019 4 жыл бұрын
Nice
@gervaswmigayo386
@gervaswmigayo386 3 жыл бұрын
ama kweli wadada wetu mmenikosha kweli yaani hata mpewe urais wa inchi nisawatu,
@amosikabalata6381
@amosikabalata6381 4 жыл бұрын
Tz tunachukua tena hiki kikombe kwa mara ya tatu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Amosi Kabalata tuache kuota bahsi jamani, ukwl usemwe!
@NemucsportsTv
@NemucsportsTv 4 жыл бұрын
Subscribe kwa channel yetu tafadhali
@bronsonkirui784
@bronsonkirui784 4 жыл бұрын
Surfing KZbin
@jamecjohn7318
@jamecjohn7318 3 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 hahajhaj
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 жыл бұрын
Jamec John ama vipi mwamba!
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 жыл бұрын
Fainal lini?
@NemucsportsTv
@NemucsportsTv 4 жыл бұрын
Subscribe kwa channel yetu tafadhali
@elizabethmajaliwa3444
@elizabethmajaliwa3444 4 жыл бұрын
Mwanahamis badilika toa pasi kwa wenzio
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 2 жыл бұрын
Huyu binti anasumbuliwa na tatizo la UCHOYO hataki kugawa pasi
@magnusbugingo7471
@magnusbugingo7471 4 жыл бұрын
mwanahamis ana vitu vyote vya mpira Ila umakin unapungua sana anapo fika ndan ya kumi na nane hivyo aongeze umakin
@rosemaryalexander8503
@rosemaryalexander8503 3 жыл бұрын
Mkoa wa mwanza
@stevenchabai1087
@stevenchabai1087 4 жыл бұрын
Kuna haja sasa kuwe na ligi kuu ya wanawake kama ilivo kwa wanaume....TFF waliangalie hili wasisubiri mashindano ndo waanze kuokota okota wachezaji
@warlenjerome347
@warlenjerome347 4 жыл бұрын
Upo wapiii hujui kwamb Kuna league kuu y wanawakee Basi haufatilii soccer
@kisulaabas2614
@kisulaabas2614 4 жыл бұрын
@@warlenjerome347 Haya ndio huwa yanabishana na kitu halikijui
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 жыл бұрын
Wewe utakua hufwatilii mpila wewe leo ndio mala yakwanza pole sana sio kosa lako tatizo umekaa sana kijijini 😁😁😁
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 4 жыл бұрын
Mwanahamisi Omary wewe umenipa RAHA mimimi....looh!
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 2 жыл бұрын
Tatizo huyo binti mchoyo
@harunabushiri9534
@harunabushiri9534 4 жыл бұрын
Goood
@mohamedmahdi1352
@mohamedmahdi1352 4 жыл бұрын
Both teams are good young kids have good future
@saidisande3366
@saidisande3366 4 жыл бұрын
Uyo mtangazaji wa kike hajui bac anakeraa....😬😬
@timothyturunya7085
@timothyturunya7085 4 жыл бұрын
Kenya itanyanyua hicho kikombe
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Timothy Turunya yetu macho!
@wesleyodhiambo2285
@wesleyodhiambo2285 4 жыл бұрын
Kabisa ndugu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Wesley Odhiambo mwapeana moyo eti!
@wesleyodhiambo2285
@wesleyodhiambo2285 4 жыл бұрын
Kenya itashinda fainali
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Wesley Odhiambo hivyo!
@adbulikimalo8394
@adbulikimalo8394 4 жыл бұрын
Kwa kua we ndo mungu
@subiransasi8029
@subiransasi8029 4 жыл бұрын
Wesley Odhiambo thubutu Kwa mpira upi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Adbuli Kimalo M-ungu!
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Subira Nsasi duu..tuseme za ukwl, wTZ wenzngu mwajiamini vp maana kiukwl wKNY wanatisha
BABA YANGU KIPOFU Full episode /48/ #love
20:27
BabaJoan
Рет қаралды 11 М.
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3,1 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 37 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 12 МЛН
SIMBA AMEVUTWA SHARUBU NA COSTAL UNION LEO, SIMBA 2:2 COSTAL UNION
2:02
Kenya vs Uganda 7s Challenger Series 2024 Munich, Germany
21:22
Evans Bet Tv - #RugbyKe
Рет қаралды 118 М.
CAF CL | ANGALIA MAGOLI YOTE | SIMBA 3-1 ASEC MIMOSAS  | HIGHLIGHTS
8:17
TV3 TANZANIA
Рет қаралды 1,1 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26