BURUNDI 0-4 TANZANIA BARA | HIGHLIGHTS (CECAFA WOMEN'S CHALLENGE CUP - 18/11/2019)

  Рет қаралды 276,322

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 139
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 9 ай бұрын
Wanawake hawajawahi kutuangusha❤❤❤🎉🎉🎉
@ayokofolly8208
@ayokofolly8208 4 жыл бұрын
🤩🤸🏿‍♂️For real the beautiful and best soccer field that I ever seen in Africa🇹🇿⚽️
@nayopamsham5616
@nayopamsham5616 4 жыл бұрын
Ni mmoja kati ya mchezaji wa kutumainiwa Mwanahamisi Omary namkubali sana huyu dada
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Nayopa Msham kashazeeka tyari..ni muda wa akina donesia $ labda asha rashid
@johnfrahini994
@johnfrahini994 4 жыл бұрын
Yaani hii timu ya wanawake ikikutana kucheza na taifa stars taifa stars lazima wachezee magoli
@geteyeyenyamsera1935
@geteyeyenyamsera1935 4 жыл бұрын
Huyu Dada no 4,6,7,8,16,19, hawa Masada ni shida yule donisia alifunga goli ambalo halijawai kufungwa hata ulaya binge la goli
@zakiazubery2055
@zakiazubery2055 4 жыл бұрын
Katunzi mi nampenda sana movement zake mhaya wangu
@zakiazubery2055
@zakiazubery2055 4 жыл бұрын
asee stumai ni machine🙌🙌🙌
@tonijr8229
@tonijr8229 4 жыл бұрын
timu nzuri ila uchoyo mwingiii sanaaa
@howardally4116
@howardally4116 4 жыл бұрын
Jezi no 4 anajuwa mpira sana kam mwanamme
@yohanamwashilindi120
@yohanamwashilindi120 4 жыл бұрын
Amina ally
@riphatmuhene9615
@riphatmuhene9615 4 жыл бұрын
Burundi kipa wao mzuri sana
@gkplexus2855
@gkplexus2855 4 жыл бұрын
what fantastic game 👏👏
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
safi sana mwlm, ila fny kuzungumza na mwanahamisi asee..kitu akifnyacho sija kikawaathiri wachezaji wengine..
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 4 жыл бұрын
Asanteni sana dada zetu
@piussimpleritius155
@piussimpleritius155 4 жыл бұрын
Mpira tunacheza ila ibdi kocha awape somo tunapoteza nafasi nyngi za magor ya wazi, na gaucho apunguze ubnafsi na awe mtulivu mwishoni.
@sukariabdul2892
@sukariabdul2892 4 жыл бұрын
Hao wa Zanzibar kama tumeungana nchi moja kwa nni wana timu yao? si wangeungana na hawa wa tz ,muungano wetu nn sasa?
@saint_j7263
@saint_j7263 4 жыл бұрын
Sukari Abdul 😂😂😂😂sehem ambayo inaraisi wake ulitakuwa team hakuna muungano hapa
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 4 жыл бұрын
Hii ni CECAFA kwa wanaume tunaiita Kilimanjaro Stars siyo Taifa stazz umeeewa ww
@richardjefta4216
@richardjefta4216 4 жыл бұрын
Kwa mpira wanao cheza hawa wadada tz ni bara wanaume wakalale wako vizuri kunaraha tupu kuwacheki wadada wa tanzania
@jjumageu6357
@jjumageu6357 4 жыл бұрын
Kwel Kaka
@صخرهثابته
@صخرهثابته 4 жыл бұрын
Kabisa wanawake wana bidii kuliko wanaume wanaume nyodo na kujiona ni kwingi
@lubavaclassic7048
@lubavaclassic7048 4 жыл бұрын
Zanzibar mtatusamehe nduguzetu maana tuko kundi moja na hakutakuwa na msamaha wala swaliamtumee...!!!
@hellenryoba2085
@hellenryoba2085 4 жыл бұрын
Kama naona magori ya mvua
@lubavaclassic7048
@lubavaclassic7048 4 жыл бұрын
@@hellenryoba2085 Aiseeee wajiandae kisaikolojiaaaaa maana sioni kama kuna dalili hata ya gori chi ya tano....kama Uyu Burundi alimpiga tano bila na sisi tumempiga NNE bilaa loooooooooooohhh Mungu akawatienguvu Nduguzetuu...!
@sm5tv
@sm5tv 4 жыл бұрын
Zanzibar wamegoma kufanya mazoezi ,yawezekana tukapewa point tatu
@lubavaclassic7048
@lubavaclassic7048 4 жыл бұрын
@@sm5tv loooooh uwanjani watakuja sema kitakachowakuta ni Mungu saidiaa mzeee...!!
@farajirashidi8186
@farajirashidi8186 4 жыл бұрын
Lubava Classic x wenyewe tunawafundisha soma nyinyi watanganyika,kina fei wapo uko abdul azizi agrei,muda xx ni babalaaao
@mastidiawamara1264
@mastidiawamara1264 4 жыл бұрын
mwanahamis Omari anatunyima uhondo wa magori. Mchoyo sana
@technicalengineer9576
@technicalengineer9576 4 жыл бұрын
Mwanahamis mchoyo sana wa pasi za mwisho
@riphatmuhene9615
@riphatmuhene9615 4 жыл бұрын
Asha Rashid alikua mchezaji wa Zanzibar before lkn huku kwetu soka la wanawake halijapewa nafasi.
@khadijarajab8383
@khadijarajab8383 3 жыл бұрын
Udini ndio chanzo.
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 жыл бұрын
@@khadijarajab8383 umeonah ee yan mm natamn sku moja niwe mchezaj mpira naupend hatar
@khadijarajab8383
@khadijarajab8383 3 жыл бұрын
@@zalhathasaid2060 Njoo bara mchawi kipaji tu.
@morama7jr559
@morama7jr559 4 жыл бұрын
Huyu Mwanahamis Omary (Gaucho) ni hatari aisee
@technicalengineer9576
@technicalengineer9576 4 жыл бұрын
Unamuachaje huyu Doris minja
@minaside6717
@minaside6717 4 жыл бұрын
Tanzania juu
@alexanderwille9282
@alexanderwille9282 4 жыл бұрын
Mina side good
@geteyeyenyamsera1935
@geteyeyenyamsera1935 4 жыл бұрын
Taifa stars itasubili sana kwa Kilimanjaro hiloz watoto wanaupiga mwingi
@leonceleonidas3779
@leonceleonidas3779 3 жыл бұрын
Zuch
@michaelraphael5970
@michaelraphael5970 4 жыл бұрын
Wanajitahidi sana haw dada tz
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 жыл бұрын
Donisia Minja namfananisha na mtu fulani kutoka Brazil yaani analijua soka
@kanutimosha1115
@kanutimosha1115 2 жыл бұрын
Hongera akina dada
@stelawilliam8836
@stelawilliam8836 4 жыл бұрын
Hongereni Dada zetu
@ashtarmaliki7210
@ashtarmaliki7210 2 жыл бұрын
Fayaaaaaa
@abdulqawiyyubinego9870
@abdulqawiyyubinego9870 4 жыл бұрын
Big up
@sniperislam4547
@sniperislam4547 4 жыл бұрын
namckia kwa mbaali salama ngale
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 2 жыл бұрын
Mwanahamisi ni mchezaji mzuri tatizo uchoyo wa mpira
@heryikiponda2518
@heryikiponda2518 4 жыл бұрын
Hongela mabigwa
@jjumageu6357
@jjumageu6357 4 жыл бұрын
Da raha sana Dada zetu wanaweza
@sawmelimuru3861
@sawmelimuru3861 4 жыл бұрын
Wanawake wanacheza kuliko wanaume sijui sasa tufanyaje
@saint_j7263
@saint_j7263 4 жыл бұрын
Sawmeli Muru tuwakutanishe tuone
@teddyerasto3345
@teddyerasto3345 4 жыл бұрын
😂😂
@ngilasingardelukumay753
@ngilasingardelukumay753 4 жыл бұрын
😀😀😀😀 mtangazaji Wa kike Fala kwel ety donisia anakosa goli la wazi afu anasema namna ambavyo amekosa unaweza ukamsifu
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 4 жыл бұрын
Mwanahamisi Omary .......HATAREE!
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
ernest sinje anapaswa kujitahidi kuachia mpira mapema zaidi kupunguza makosa!
@mcdondosha4151
@mcdondosha4151 4 жыл бұрын
Jezi namba saba mzuri ila anapoteza nafasi nyingi pia mbinafsi sana kuna haja ya kocha kumpa semina
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Mc Dondosha mwalala huyo..mwanasha hamis
@jadenjames8763
@jadenjames8763 4 жыл бұрын
Apa final Lazima nipate mke
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 4 жыл бұрын
Hongereni sama Kilimanjaro Queens!
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 4 жыл бұрын
Wanavotoa through napenda kweli
@baizoboy1719
@baizoboy1719 3 жыл бұрын
Sijaoa lazima nipate Mke Kilimanjaro starz
@bahariahd6299
@bahariahd6299 4 жыл бұрын
HUYU MTANGAZAJI WA KIKE MSOMESHENI ANATUBOA KOZI HAJUI KISHA ANATAKA AJIFANYE KAMA ANAJUA ANYAMAZE ANAKERA
@nurdinhemed6
@nurdinhemed6 4 жыл бұрын
Yuko fild ndio mana...tumvumilie atakua mzur in shaa Allah
@lucasmachibya6976
@lucasmachibya6976 4 жыл бұрын
Huyo awe anasubir mshahara2
@l.h.l2254
@l.h.l2254 4 жыл бұрын
Kuna mahali anakwambia eti tangu juzi timu ya tanzania imekua ikifaidika na offside. Eti wamekuwa na ofiside nyingi na wamezitumia. Hahhha hata sijui alitaka kusema nini!
@josboy5384
@josboy5384 4 жыл бұрын
@@l.h.l2254 😂😂😂😂 dah! Nimecheka sana
@josboy5384
@josboy5384 4 жыл бұрын
Kiukweli anazingua hajui anachokifanya yupoyupo2 na kama yupo kwenye mafunzo akajifunzie kwenye ndondo cup huko. Huku cc 2po sirous bhana
@pauloemanueli7485
@pauloemanueli7485 11 ай бұрын
Wao
@jeviounipers
@jeviounipers 4 жыл бұрын
huyo number 4 ni nyoko...anaujua mpira aisee
@omarjumanne4356
@omarjumanne4356 4 жыл бұрын
Wakari.tanzania
@violethmoses5002
@violethmoses5002 4 жыл бұрын
penda San nyie mm mwenyew mchezaj lkn sijui nitafanikiw lin
@homelandsstudios.6624
@homelandsstudios.6624 4 жыл бұрын
Kama upo dar wafatee simbaa watakusaidia
@neemamashauri6333
@neemamashauri6333 4 жыл бұрын
Huyo Mwanahamis anataka awe anafunga yy tu aache uchoyo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Neema Mashauri utu uzima kikosini nao sababu
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 2 жыл бұрын
Tatizo ubinafsi,uchoyo toa pasi kama umebanwa ndo maana ya timu
@angelavelin729
@angelavelin729 4 жыл бұрын
Kwan taifa stars wanafel wap
@halifun2nd944
@halifun2nd944 4 жыл бұрын
Uyu kipa waburundi ameonesha uwezo mkubwa sana ila wachezaj wake ndiyo wamemuangusha
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
Hali Fun 2nd hata washambuliaji wa k'njaro wamenfny aonekane mkali lakn laiti kama wangelikuwa wanaachia mpira mapema zaidi bas tungekuwa twazungumzia mabao mengi mno..na hap hakuna mwingine bali ni mwanahamisi omary ambaye ana uchoyo wa namna yake!
@farajirashidi8186
@farajirashidi8186 4 жыл бұрын
tumeungana kichama tu kakaa
@saint_j7263
@saint_j7263 4 жыл бұрын
Au kati ya hawa ma-qeens kuna masela nn, mbona hivo
@salumkanju1732
@salumkanju1732 2 жыл бұрын
Hahahahaha oya comments nyingine hazivumiliki Hahahahaha
@bahariahd6299
@bahariahd6299 4 жыл бұрын
TANGANYIKA TIMU YAO IPO SAWA
@saint_j7263
@saint_j7263 4 жыл бұрын
BAHARIA HD point
@farajirashidi8186
@farajirashidi8186 4 жыл бұрын
BAHARIA HD hahahahah x wanajiita tanzania wakat wajiite tanganyika
@alfredmsambaa1443
@alfredmsambaa1443 4 жыл бұрын
eb jenga picha kam team ya wanaume nd ingekua inagawa doz hivo,,dah yan ingekua team zikpangwa kundi moj na tz,,wanawaza wamemkosea nn mungu🤣🤣🤣😋
@saint_j7263
@saint_j7263 4 жыл бұрын
ally baruan 😂😂😂😂😂😂
@jessiejessilic8305
@jessiejessilic8305 4 жыл бұрын
😂😂😂
@innocentmussa9724
@innocentmussa9724 4 жыл бұрын
😀😁😂🤣
@polycarpnyoni6739
@polycarpnyoni6739 4 жыл бұрын
Uyu Donias km mohamed hussen vleeee
@kaaweemwenyewe2872
@kaaweemwenyewe2872 4 жыл бұрын
🤩🤩🤩🤩🤩team ya wanawake raha sanaaaaaa
@berrynilpastory1547
@berrynilpastory1547 4 жыл бұрын
Polycarp nyoni xxxx
@berrynilpastory1547
@berrynilpastory1547 4 жыл бұрын
Xxx
@berrynilpastory1547
@berrynilpastory1547 4 жыл бұрын
Xxx
@johnfrahini994
@johnfrahini994 4 жыл бұрын
Yani hawa wasichana kama sheria ingeruhsu wakipige na taifa stars taifa stars wangekuwa zaidi ya nne zaidi ya hatari
@jessiejessilic8305
@jessiejessilic8305 4 жыл бұрын
Niame Tanzania niende wapi sasa😂😂😂
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 2 жыл бұрын
Mwanahamisi mchongo,mbinafsi,mpendwa sifa hana utulivu kihelehele mno mwalimu mwangalieni
@violethmoses5002
@violethmoses5002 4 жыл бұрын
jaman nawakubal xan
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 2 жыл бұрын
Ni wachezaji wazuri tatizo kila mmoja anatafuta sifa hawachezi kwa maslahi ya timu
@fatmahissa3019
@fatmahissa3019 4 жыл бұрын
Huyu mtangazaji wa kike anawashwa kama shoga mgeni, yani ana dakia dakia nyooko
@jjumageu6357
@jjumageu6357 4 жыл бұрын
We
@oscarswila1267
@oscarswila1267 2 жыл бұрын
Aise nooma tz
@jurmainezaidi739
@jurmainezaidi739 4 жыл бұрын
Kama sio uyu namba 4.....udambwi usingekuwepo aisee
@zaidathuman6067
@zaidathuman6067 3 жыл бұрын
Kweliii mtoto Amina huyooo
@arikasisolution2253
@arikasisolution2253 4 жыл бұрын
Huyu mtangazaj wa kike anaujua kweli mpira wa miguu
@habibuhabibu1855
@habibuhabibu1855 3 жыл бұрын
Ila kipa burund wanae
@girionpantaleo5881
@girionpantaleo5881 2 жыл бұрын
Huyu Donisia ni mohamed hussein mtupu
@rajablugeje9190
@rajablugeje9190 4 жыл бұрын
HAWA WADADA WAJUA KA ULAYA KULIKO WANAUME, NA SIJAJUA KAMA TZ TUTAPATA WACHEZAJI WENGINE KA DONISIA, MWANAHAMIC, ASHA RASHID
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 2 жыл бұрын
Uchoyo wa mwanahamisi unaigharimu timu wangekuwa na magori hata kumi
@aishamohammed5347
@aishamohammed5347 4 жыл бұрын
😀😀😀😀
@lucasmachibya6976
@lucasmachibya6976 4 жыл бұрын
Huyo mtangazaji wa kike bora huwache kuongea unaboa haupo kimchezo upo ki mshahara
@elizabethmajaliwa3444
@elizabethmajaliwa3444 4 жыл бұрын
Mwanahamis unaweza ila tumia uwezo wako kutoa assist kwa wenzio ,acha uchoyo gawa pasi mshinde mengi
@nayopamsham5616
@nayopamsham5616 4 жыл бұрын
ila burundi wanalia kishezi yaan wakiguswa tu utasikia haaaaaa
@nurdinhemed6
@nurdinhemed6 4 жыл бұрын
Ukiona hvyo ujue wanajua mapenz sana
@saint_j7263
@saint_j7263 4 жыл бұрын
nurdin hemed 😂😂😂😂😂
@nayopamsham5616
@nayopamsham5616 4 жыл бұрын
@@nurdinhemed6 😃😃😃😃😃😆😆😁😁hatari sana
@صخرهثابته
@صخرهثابته 4 жыл бұрын
@@nurdinhemed6 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@manjaruujr146
@manjaruujr146 4 жыл бұрын
dabo D motoo
@salumkanju1732
@salumkanju1732 2 жыл бұрын
Safi sana
@ndamayapejr7725
@ndamayapejr7725 4 жыл бұрын
Mchaga og jez no 6
@salumkanju1732
@salumkanju1732 2 жыл бұрын
Nakapenda san haka ka demonising aisee
@rachelalex8160
@rachelalex8160 4 жыл бұрын
Donisia utakuja kua mtu mkubwa sana
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
halina ubishi..consistency kitu muhimu sana na yeye amekionesha anacho..ile mchezaji/ mtu kuwa wa kiwango walau vinavyokaribiana kwa michezo tofauti, na mchezo wa leo ambao kwa namna fulani waeza sema mgumu wao lakn katupia 2..asiongezeka kichwa tu akawa kama mwenzie mwanahamisi ambaye amekuwa wa ajabu sana mchezi wa 2 huu cmuelewi. Amina Ally #4 ametokea wapi naye maana ni wa moto 🔥 sijapata ona. Na lei sijamuona Bobby/ Firmino wangu wa k'njaro queens wangu --- Opa clement sanga!
@rachelalex8160
@rachelalex8160 4 жыл бұрын
Mwanahamis anaboa maana ni mbinafs
@lyovajr.768
@lyovajr.768 4 жыл бұрын
Amina ally anakipiga Simba queens... Opa hii game walimpa wing ilaa akikaa namba kumi Yuko fresh xana Donisia, stumai, asha, dahhh wanajua...
@technicalengineer9576
@technicalengineer9576 4 жыл бұрын
😂😂😋😂 aliye sikia lango halikuona goal
@bogotaamri6221
@bogotaamri6221 4 жыл бұрын
Mechi za jana
@janethmpemba4582
@janethmpemba4582 3 жыл бұрын
Jman donisia Ni hatr
@jumamkubwa4954
@jumamkubwa4954 4 жыл бұрын
Jmn naitwa husna naomba name kuunganishwa kwenye mpira napenda na Nina weza namba ang 0758166136
@charleslinze5281
@charleslinze5281 4 жыл бұрын
mabingwa tz
@godfreyboniphace.nicemovie5298
@godfreyboniphace.nicemovie5298 4 жыл бұрын
Haujakosea
@bogotaamri6221
@bogotaamri6221 4 жыл бұрын
Mechi za uefa
@isackamos916
@isackamos916 3 жыл бұрын
Simba puaz
@shabaniassani2819
@shabaniassani2819 3 жыл бұрын
Burundi shd
@castonimbeni4020
@castonimbeni4020 3 жыл бұрын
Bbnn
@fucktarddotard7535
@fucktarddotard7535 4 жыл бұрын
SISI kama KENYA twabeba kikombe
@johnfrahini994
@johnfrahini994 4 жыл бұрын
Yani hawa wasichana kama sheria ingeruhsu wakipige na taifa stars taifa stars wangekuwa zaidi ya nne zaidi ya hatari
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 81 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 78 МЛН
0% Sportsmanship but it gets increasingly more disrespectful
12:27
CECAFA WOMEN 2018: ETHIOPIA 1 VS 4 TANZANIA (Goals/Ibitego).
7:57
Lamine Yamal will never forget Endrick's performance in this match
14:22
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 81 МЛН