'TANZANIA NZIMA TATIZO KUBWA NI UONGOZI WA CCM'

  Рет қаралды 1,906

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 10
@albertkamala6843
@albertkamala6843 5 ай бұрын
Ni kweli kabisa kwamba ktk taasisi yoyote ya kijamii mafanikio au kinyume chake kwa kiwango kikubwa hutegemea aina ya uongozi/viongozi waliopo! Nyuma ya maendeleo makubwa au maendeleo duni ktk jamii yoyote atakuwepo kiongozi au viongozi kadhaa!
@shaurishauritanga226
@shaurishauritanga226 5 ай бұрын
Ni ngumu sana kutenganisha Serikali na CCM teacher's Union is CCM union
@BudodiBudodijohn
@BudodiBudodijohn 5 ай бұрын
Acheni kulaumu walimu wote sema baadhi ya walimu usiwaunganishe walimu wote
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 5 ай бұрын
Haijalishi hata kama wizara na taasisi ya ualimu iko chini ya ccm bado ni haki yao kuteteamaslahi yao wala hawawezi kufukuza waalimu wote,na wakiwasimamisha viongozi wao na wao wagome kufundisha... Tofauti na hivyo waalimu waki-Complomise na serikali hawatakaa wapate haki zao,wataendelea kuwapuuza kama walivyopuuza elimu nchini..watoto wao wanasoma shule bora na nje-ulaya
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 5 ай бұрын
Nchi hii I ya ajabu sana yaani unaweza kuleta ugari na nyama ya kuku na mavi ya chooni utashangaa baadhi yao wanasema Mimi nakula mavi
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 5 ай бұрын
Ni kweli kabisa. Ni mila na desturi ya CCM kutumia fedha kurubuni wananchi ili wawachaguwe kwa nafasi mbalimbali. Sasa mbinu hiyo wanaweza kabisa kuitumia kupenyeza mamluki ndani ya vyama pinzani. Mimi nina mfano hai. Mdogo wangu uchaguzi wa mwaka 1919/20 aligombea udiwani kata ya jimboni kwetu (naomba nisitaje majina). Akawa ana sifa zote hadi jina lake likarudi kuwa amepita katika waliowania. Mkoani matokeo yakapinduliwa baada ya aliyemfuatia kura ya maoni kuhonga mamilioni kwa vigogo wa mkoani na bw. mdogo akaenguliwa kimauzauza! Kisa kingine unganisha hapo ni kwamba mdogo wangu hakuwa na mamilioni ya kumpiku "hasimu!" wake!
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Uchaguzi ni kama mpira wa kona hata wa ndani ya vyama hautaisha kugombaniwa.
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 5 ай бұрын
Waalimu walihusika kuiba kura uchaguzi uliopita. Vimwalimu vina njaa mpaka basi.... Waalimu wa cku hizi walowengi ni borgus Sana!!
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Jiandae kwa mikakati ya chama chako, kwenye chama cha siasa mkakati ni kushika dola. Kama wakitoa hela watashinda watafanya hivyo nk. Njia bora hutafsiriwa kwenye kufikia lengo. Chama kijipange chenyewe hata goalkeeper pass zote za Wapinzani wake anaziona na hadi mpira unakwenda kwenye nyavu. Hii nakusudia kuona mkakati ni kitu kimoja na kuudhibiti ni kitu kingine.
@BudodiBudodijohn
@BudodiBudodijohn 5 ай бұрын
Tu kuulize swali mashinji na Akina Nasari walikuwa walimu acha kuhukumu walimu wote
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 105 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,2 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Leo #MariaSpaces tunajadili Uchaguzi 2024 - tubanane na CCM au tususe?
4:00:57
How I see Kenya as A Tanzanian
15:38
Explore with Bertin
Рет қаралды 17 М.
Mtikila ALIVYOUKATAA MUUNGANO live bila CHENGAAAAA!
12:13
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 25 М.
Sikiliza! Mtaalam aongelea mkataba wa bandari!
27:08
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 2,8 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,2 МЛН