VIVA MTIKILA....MANENO MAZITO YA MAREHEMU MTIKILA....MTIKILA ALIKUWA MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
@user-ze6lx9ng6s21 күн бұрын
Mtikila alikuwa genius sana, RIP
@margarethpolepole743822 күн бұрын
Hiyo kiboko ccm oyeeeee kazi inaendelea
@athanaschacha.942422 күн бұрын
Siasa maana yake ni Maisha. Tena ni Maisha ya kila kitu. Na Imani pia ni sehemu ya Maisha nk. Ndani ya Maisha Kuna mambo mengi mno.ikiwemo undugu, ujirani na ushirikiano mwema na kufanya kazi na kutimiza wajibu kwa vitendo na kwa maneno kwa maana ya kujenga au kubomoa pale panapozuia hayo maendeleo. Mungu ibariki Dunia na ulimwengu wake na vyote vilivyomo.Pia Mungu aibariki 🇹🇿.
@dayanikitambi208522 күн бұрын
Mzee nakukubali unaukwer
@user-gr9wc7bc2m22 күн бұрын
Watanzania wanamwelewa mtu akiondoka dunia hata lisu atakapondolewa dunia ndo utasikia lisu tunamuelewa unyani ule uleee
@youngsachafurniture548218 күн бұрын
Wengi ni wanafikiii
@user-sl1ko9me7u22 күн бұрын
RIP MZEE MTIKILA.
@JosephuSwai20 күн бұрын
Kweli Rip
@hafidhbarau998122 күн бұрын
Duh asant Baba umeongea kweli
@AizackKalenge-ro5rc22 күн бұрын
Huyu Jamaa alikuwa shujaa sana,Mwenye kuona mbali,Alishawishi wabunge55 Kuitete Tanganyika,Mwasisi wa mfumo wa vyama vingi,Mtu wa kwanza kudai Katiba mpya
@fabianmainchanyangachika501722 күн бұрын
Fact Mungu akubariki
@rebekakulwa615921 күн бұрын
Limbwa la fisiyemu linasema alichanganyikiwa jamani hii nchi Ina ndondocha wa kitosha
@margarethpolepole743822 күн бұрын
Kila Grip ya Amani inakumbukwa Mungu tunaombq amani Tanzania
@godwinkileo770218 күн бұрын
Jamaa alikua haogopi kabisa
@francissimwinga-gb2vd20 күн бұрын
Kama ulikuwa humwelewi huyu jamaa basi unaugonjwa wa akili mkubwa
@PaskaliCharles-pz8ds18 күн бұрын
Mzalendo wa kweli Hakika tumpate wapi wakuvaa viatu vyake
@user-nz6rs9vn3t13 күн бұрын
Dah ila huyu mwamba ni alijua mambo mengi
@prosperleonard434122 күн бұрын
Ifike mahala tukubali madhaifu tuyarekebishe tuache woga na unafiki
@mamlomamlo906422 күн бұрын
Kawachukia wahindi mwisho wake ,wahindi kawaacha yeye katangulia
@user-hl4pd2fy5x22 күн бұрын
TANGANYIKA YETU 😂
@kaaakwakutuliaa517913 күн бұрын
siku mkivunja muungano hamtaamini , kaskazini inakua nchi moja hatuwezi kuongozwa na wasenge kama hawa kipara kama mkundu
@frankhoffa835613 күн бұрын
Shida kubwa anamkundu kama wa mamayako hivi
@mauamkamba490621 күн бұрын
Kikwete alifanya makosa kutokumchapa kagame kipindi kile. Haya matusi sio binadamu kabisa aisee
@GilbertNhigula14 күн бұрын
Nyie Wana Siasa ivi Kweli Mna dini Kweli ? hii hapana na Mashaka na Nyie , ! Mjue Siasa imetoka Kwenye dini !, Mnataka kitugawa hee Sababu ya Kukosa Madaraka ? Jueni Sasa Madaraka yanawekwa na Mungu Si Mwanadamu hata Waliopo Wametokana na Mungu Sababu Mungu Aliruhusu ndiomaana Wapo !, Basi Zigaweni na Familia Zetu tuone Kama mtaweza , . !
@sylvestercameo626313 күн бұрын
Mungu huyo huyo ndiye aliwapa watu wake akili ya ufahamu na utambuzi, kujua mema na mabaya, uhuru wa kuamua na kutenda ili kuyatawala mazingira anamoishi. Hayo yanapofanyika katika jamii ndiyo siasa. Kwa hiyo kila binadamu maisha yake yamefungamanishwa na siasa. Mungu hatuchagulii viongozi bali anabariki maamuzi yetu ya kuwapata viongozi, isitokee tukawa na viongozi mafisadi, tukabaki tumekunja mikono tukiomba Mungu atuondolee viongozi mafisadi, wahujumu, wabadilifu au makatili. Uhuru wa kuwaweka au kuwaondoa uko mikononi mwa jamii husika. Hiyo ndiyo dini ya kweli isiyo na unafiki!
@KhaleedHamad-vl7lz21 күн бұрын
Apedomia manyani wasio elewa
@abdallahkaskas616820 күн бұрын
Kwaiyo LOWASA kiasili ni MTUSI mtu wa kutoka Rwanda au nimelewa vby..
@sautikuu21218 күн бұрын
Umeelewa vibaya
@HappyIceSkate-sb8uf22 күн бұрын
Ww hamnazo
@KhaleedHamad-vl7lz21 күн бұрын
Nahuyu semeni udini na ukabila kenge nyie
@emmanuelmakorere483520 күн бұрын
Huyoni unyani
@user-tn7ic2ky3i22 күн бұрын
Hivi yupo wapi kitikila
@TAMUTAMUTV22 күн бұрын
Alishaafariki kitambo
@user-tn7ic2ky3i22 күн бұрын
Tanzania 🇹🇿 ilipoteza mtu mtukweli kupata mtu kama mtikila na Makufuli itachukuwa myaka 30 mbele Mungu awalaze maali pema Peponi
@sautikuu21218 күн бұрын
@@user-tn7ic2ky3i zungumzia watu wa maana sio magufuli.
@imranijuma695516 күн бұрын
Walimuua
@rajabunziku818820 күн бұрын
Wana siasa tunawajua mdomo ndo unawapa rizq amani hii tuliyo nayo imejengwa
@JosephuSwai20 күн бұрын
Ujinga ndio amani
@ClemoohPeter13 күн бұрын
Hawa wazanzibari wabaguzi sana wao wanakuja kwetu wanajenga sisi wabara wanatukataa kwao mi mungano sioni faida nao siutaki kwanza wanaubinafsi arafu wao wanakatiba yao tena inasema Mali ya wazanzibari iwanufahishe wazanzibari tu hatutaki mungano kira mtu apambane na hali yake
@user-hn3oz7xu1z11 күн бұрын
Pole Ila msikilize vizuri mchungaji anachosema
@lmdos43828 күн бұрын
punguza chuki mkuu utaweza kufikiri vizuri
@saidabdala498016 күн бұрын
Mtikila aliuliwa. Ccm walimuuwa. YOYOTE atakae zungumziya kuhusu MUUNGANO. Kifo kiko mbele yake. Au kigungo. Mtkila alikyfa kwa exdent ya gari. Jee uchaguzi ulifanywa ?? .wazanzibari sio wajinga. Hata kufo cha karume ni NYERERE ndio aloagiza
@nakalikyumile323421 күн бұрын
Sasa mafuta yakiisha je meli zitaleta mchele?utajiri ni ardhi mkiwa nayo hakika njaa mtaisikia kwa wenzenu
@kwisa489920 күн бұрын
Wewe nawe jifunze kuwekeza unapo pata pa kuazia Dubai wamebadili mfumo wamepata mjaji kwene mafuta wamewekeza kwene utarihii wa majengo ya.kushangaza
@jumamohamed316820 күн бұрын
Utajiri wa mwanadamu ni akili timamu .
@1961nungwi17 күн бұрын
@jumamohHapoamed3168 hapo umenena! Tizama Japan, !Nchi ndogo kwa Ardhi lakini kubwa kwa akili Duniani.
@clemencemkondya856122 күн бұрын
Huya jamaa alishachanganyikiwa
@NorbethJosphath-hm1zb22 күн бұрын
Nani amechanganyikiwa
@saimonisichimata855922 күн бұрын
Mkondya uccm unakusumbua
@user-oy5dz5xl8s22 күн бұрын
Kalambe wenzako miguu upewe kuwa mkuu wa ukoko baada ya toplyear
@HappyIceSkate-sb8uf22 күн бұрын
Hamnazo
@hafidhhemed151422 күн бұрын
Kwa kuongea ukweli?? Au na ww una tatizo la unyani, apedomia??
@rebekakulwa615921 күн бұрын
Limbwa la fisiyemu linasema alichanganyikiwa jamani hii nchi Ina ndondocha wa kitosha