Boss mwenyewe na yeye alikua anapmba jaman polen sana
@JemaMhagama-oz6me7 күн бұрын
Duu poleni wana mbeya kwa marehemu wote waliopoteza maisha
@AnnaPaul-n6r9 күн бұрын
acha uwongo huyo sio mmiliki wa bac za hizo halafu muwe mnafanya utafiti ndio muwe mnaongea tulize wakazi wa tabora tukuwambie
@masoudalriyamy62989 күн бұрын
Ina lilah waina ilah rajiuni tuwaombee dua wenzetu walotangulia ispokua tujitahidi kufanya ibada na mtu asione kijana hafi umauti hauchahui mda tufanya ibada na tuombe dua mungu atupe husni lhatima
@user-kt7nn1jo2u9 күн бұрын
Mbona polis hawajasema kama mmliki alikuwemo....we muongo bhana...acha uongo we binadamu
@Alex-y9r5d6 күн бұрын
Yeye ndie alikua anaendesha
@vicentbunzal73427 күн бұрын
Hawa watoa taarifa naona kama vile wanakurupuka
@NeemaJuma-t4g8 күн бұрын
duuuuuh pole sana
@masoudalriyamy62989 күн бұрын
Sikujua kama hili jitu jongo hawatambui fani yao pengine hata cheti hana
@MohamedAhmed-yi1yf8 күн бұрын
Innalilahi wa innailayhi rajuin
@QasammaMachibya7 күн бұрын
tarifa hasa tajiri wa gar ? badohujafanya utafitivizur
Dereva anaendesha speed na tajiri yupo ndani ya Bus? hii imekaaaje?tajiri huyu ikiwa alihusika dereva wake aendeshe hovyo bila kuhofia ajali basi mtihani 🤔
@JumaMasumbuko-w3t9 күн бұрын
Dania tunapita 😅😅
@ramadhansaid21239 күн бұрын
Ili litangazaji ni kuma kwel nenda kalime to
@JemaMhagama-oz6me7 күн бұрын
Mtangazaji vipi? Unaniangusha
@rahmarashid16708 күн бұрын
Sasa huyo dereva hamduni ni dereva na mmiliki wa basi,,?naona jina ndo hilo hilo
@sheilaissa68368 күн бұрын
Yeye ni mdogo wa mmiliki wakati mwingine hua anakua dereva kwenye gari zao
@lusupi7 күн бұрын
@@sheilaissa6836nikweli kafariki au
@lusupi7 күн бұрын
Kafariki kweli au uongo
@sheilaissa68367 күн бұрын
@@lusupi kweli
@lusupi7 күн бұрын
@@sheilaissa6836 unamjua mbona mi bado nawasiliana nae