Nimekupenda bure, uko humble, huna mbwembwe unaongea kama mtanzania halisi na sio ngozi nyeupe. I'm inspired!
@wangaeliwilfred29197 жыл бұрын
Sumry ana capitalize kwenye ukubwa wa eneo lakini wale wanaotaka kuingia kwenye kilimo sio lazima uwe na ekari 100 ndio utengeneze hela kwenye kilimo. Unaweza kulima high value crops kwenye ekari 1-5 na ukawa milionea kwenye kilimo. It all depends jinsi utakavyoweza kuitumia kila kipande cha ardhi ulichonacho kwa ufanisi. Tuanzie hapo. Kwenye hiyo ekari moja unaweza kutumia drip irrigation na green house chache. Nafikiri issue kubwa ni mbili au tatu; kujua nini cha kuzalisha na soko lake na pili kujua jinsi ya kupata mtaji.
@zawadgunza20937 ай бұрын
Kabsa kaka
@kenanjohn20627 жыл бұрын
Kaka Millard hizi ndo interview tunazoitaji kuziona sisi watu wa kilimo inatupa hamasa sana..kuona mwenzetu amewekeza kiasi hicho .. Shukran
@emanueltesha88734 жыл бұрын
Mzee wangu namkubali sana katika wamiliki wa mabasi huyu mzee summry namba moja wa pili shabiby watatu abood, nne namaliza na mchaga mwenzangu Brasto makundi big up sana wazee wangu amanipa matumaini sana kupambana na mm kuja kumiliki bus kama zenu
@johnonkoba8955 жыл бұрын
Hongera sumry serikali ikupe mikono,iingilie kati mahindi kutoka inchi za inje ipigwe marufuku👍💟
@samwelnaal79527 жыл бұрын
Uongezewe zaidi Bwana Salim Sumry..Mungu akubariki zaidi
@iddikobelo819kobelo27 жыл бұрын
Mungu akubarik sana Mzee Sumry,nasi tupo nyuma yako tunachechemea
@henriquemuyanga89607 жыл бұрын
Millard makala kama hizi ndizo zinakutofautisha na wengine, nakusihi sana kaka karibu kufanya kipindi kirefu na uhiji vitu vingi zaidi. Hoji zaidi juu ya teknolojia wanazo tumia(machinery) na pia masoko. This is inspirational bro
@brown85587 жыл бұрын
Hongera kwa interview nzuri. Tunataka za namna hii. Pili serikali iangalie zao la mahindi kama zao la biashara na chakula ili watu wawe huru kulima, kutunza na kuuza ili watu wafaidike na kilimo cha mahindi. Serikali inunue ya kwakwe ya kutosha na wengine waendelee kuuza wanavyoona inafaa ndio italeta kilimo cha ushindani. Sumry anasema ana gunia 47elfu lkn hawezi kuuza ingawa mahindi kutoka zambia yanaingia na kuuzwa. Hapo ni kuwatia hasara wakulima.
@kidodosimichael3495 жыл бұрын
SAFI SANA MR MILLARD AYO NA HONGERA MR SUMRY KWA KWELI UMENIFUNUA MAWAZO SANA!!!
@freedomwirelesssolutions13885 жыл бұрын
This is soo great,how African people can be creative and produce large scale farm produce!! Big up brother Sumry!!
@fraviusmanyika75217 жыл бұрын
Shukurani sana mtu wangu wa nguvu Millard Ayo Asante kwa taarifa nzuri sana endelea kutuelimisha kupitia taaluma yako M/mungu akubariki.
@lucasjames21024 жыл бұрын
Honger San mkuu unae jituma mungu akujalie uhai mref kwan ukipat ww nasisi tunapat
Mashaallah Allah akubarik na akuhifadhi wewe na biashara zako. Unajitahid sana. Watanzania tunajivunia sana kuwa watanzania. Nchi yetu nzuri sana na watu wake wazuri sana. Inasikitisha tukiona tunagombana kwa mambo ya kipuuzi. Sisi tunatolewa mfano na nchi za jirani kwa umoja na mshikamano wetu. I'm proud to be Mtanzania. Mungu wabariki wafanya biashara halali wote .
@fadhilimlingi61927 жыл бұрын
Hizi ndio interview zenye akili Sana Sana. Na wa tz tuache uvivu. Cheki huyu jamaa amenunua pori na anapata shida kweli kusafisha but mwisho wa siku utasikia oo tuna taka Ardhi yetu wanakijiji hao, baada ya kuona Shamba ni safi na ni kubwa. Big Up Summry
@josephathassan43073 жыл бұрын
Nakubalii sana
@yaqoubsalim995 жыл бұрын
Allah atie baraka katika biashara zako, Amiin
@rashdhamdun2 жыл бұрын
Aamin yarabi
@ikoziboy44885 жыл бұрын
Daaah!!! Appreciate from sumbawanga my homeland sumry the great
@chekajumasebunga83587 жыл бұрын
Asa sisi wabongo tunaoishi nje tunapenda kuona vitu kama hivyo kwani vinatupa upeo na mawazo wa kutaka kijiendereza kimaisha nyumbani TZ, Millard Ayo we the best online news thanks, keep it up homy.
@allilutavi66037 жыл бұрын
Very interesting....safi sana aisee Mr.Sumry
@peterkayuwi89117 жыл бұрын
Hongera sana salum Sumry kwa upigaji kazi mwanaume wa shoka
@williamibrahimu92257 жыл бұрын
Hongera sana bwana mabasi kwa kufanya kazi nzuri kama hiyo
@abuusufian65067 жыл бұрын
Nakukubali mtu wangu Wa nguvu Millard ayo
@salummuhija44357 жыл бұрын
safi sana ayo TV tumechoka kila siku wanasiasa lisu, lisu lisu, lisu lisu, tunataka habari kama hizi zibazowafungua watu ubongo kwamba maisha yanaendelea. siku nyingine unatembelea viwandani kama kawa.
@bugangoborder7 жыл бұрын
Haya bwana nimemuona Sumry kwa mara ya kwanza na nimejifunza kitu. Pamoja sana mdogo wangu Milard endelea kutuletea ishu za kutafuta hela
@kendrickmushi2227 жыл бұрын
iko powa sana bro...unajitahidi sana Millard MUNGU akuongeze.
@georgemassebu20837 жыл бұрын
Kati ya maisha ninayo yatamani ni kua mkulima mkubwa,kilimo kinalipa lakini pia kilimo ni furaha.kinampa mtu raha pale anapoenda shambani na kutazama ule muonekano wake inaleta raha na faraja.
@didamugya60397 жыл бұрын
george massebu ukitaka kufurahia kilimo uwe na hela la sivyo kitakupa majonzi pia😀
@georgemassebu20837 жыл бұрын
dida mugya Ninajua sana ndugu,ni maisha ya kiTanzania na hayana ugeni kwangu
@Emmanuelbahatiartist6 жыл бұрын
Good
@baburama91135 жыл бұрын
Kilimo kinakuw na furaha pale mkulima anapoona mazao alioyapanda yamekubali lkin yakigoma kilimo kinakuw majanga, da mungu atufanyie wepec kwa yale tunayoyafanya, au co mkubwa
@jumaramadhanuseni76114 жыл бұрын
Kweli
@majidhamoud8567 жыл бұрын
Binaadamu ss ni wanafki sana tulivyoona kwamba hatoi mabasi tukasema amefilisika hana hela, kumbe mwenzetu alikuwa anatucheki tu sasa hv ana ongelea mashine za milioni mia sita mia ngapi wacha apige kazi maana ss watanzania ni wavivu sana , keep up sumry never give up.
@SalmanMughal-lq5lt2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@robertjames64345 жыл бұрын
Ongera sana mr summry kilimo ndiyo habari ya mjini natamani kurudi shamba 👍👍
@kijokombao53457 жыл бұрын
asante sana millady kwa habari nzuri nimeingalia hadi mwisho unanikumbusha kipindi naangalia economic documentary hongera kwa habari nzuri narudia tena
@habibakhlifa85347 жыл бұрын
Asante sana milad Ayo habarii nzurii sana sio kila Sikh diamond na Zarii wao wanakula kuku sie wanatumalizia mb zetu hapo tu ejifunza sana
@nadirmahfoudh18126 жыл бұрын
Masha'Allaaah!! Mola akupe taufiq
@meremetasanga19926 жыл бұрын
Nilifanikiwa kufika Msipazi farm, kiukweli Sumry kawekeza halafu sio mchoyo wa maarifa. Nilifundishwa vitu vingi sana na kuwa encouraged.
@10gb2716 күн бұрын
Insipiring interview. Thanks Millard
@coachtemba60027 жыл бұрын
This is epic, Millard. Tuletee na Bakhresa, Manji na Dewji...
@m-tatu10504 жыл бұрын
Hongera Salumu
@emanuelndumukwa30737 жыл бұрын
Kwakweli kwenye mabasi ulikuwa unachelewa....huku ndio mpango mzima...unatupa hamasa hata sisi ambao tutaanza na heka moja...👍
@GasperNShoo6 жыл бұрын
kilimo hakiongopi
@aliwaleo17477 жыл бұрын
kweli Mr summury umedhubutu na umeweza mungu akuongoze uendeleee kufundisha watu ujasilia mali your risk taker
@carlosmoshi3927 жыл бұрын
jamaa anatisha sna kahama VEIN,namshauri aanze pia kupaki unga auze sembe kwa kwenda mbele.BIGUP SUMRYFARM
@usteryakobo75514 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka Millard kwa interview km hii kwa watu km cc tuliokuwa tunategemea xhule tumepata new idea
@mussamkalawa21017 жыл бұрын
Shukran sana kaka mirado
@noboatiman7 жыл бұрын
I love that...no Jodi...Big up Baba Magu
@Cado_TV.5 жыл бұрын
Nimependa hiyo very inspired about agriculture.
@TopTenKaliTV7 жыл бұрын
Nimeipenda Welcome all to TOP T
@michaelfaustin17776 жыл бұрын
Duh nimeipenda kweli Mzee anaona mbali hongera kwa hilo
@charlesjohn57924 жыл бұрын
Safi Sana ndiyo maana nahamia shambani na Forex hukohuko
@damasbaltazaryjr66187 жыл бұрын
interesting aseee, muendelezo wa hbr hii tunautaka kaka Millard ayo
@millardayoTZA7 жыл бұрын
sawa mtu wangu, shukrani kwa kutazama Fred
@fredypetter77147 жыл бұрын
+Millard Ayo brother nifanyie mpango wa namba zake nikafanye kaz kwake nijib inbox 0759930001
@emanuelyjeremia70987 жыл бұрын
millard ayo nicheki kwa 0753996407 tufanye kazi kaka
@florencekashaija75395 жыл бұрын
Millard Ayo Sasa umekuwa, kwa tani za habari. Mb zetu ni hisa zako .
@aminalibondo75075 жыл бұрын
Hongera mzee salum mola akubariki kw kazi zako nazidi kukuongezea kipato kwa kz yako inshaAllah
@mahamudubakari58954 жыл бұрын
Nimependa sana sana hii mzee sumry yupo makin nakazi
@makaveliomari72114 жыл бұрын
Mzee upo sahihi madereva madereva mungu nifanye niwe tofauti na madereva anaowataja boss huyu
@stevebupamba50093 жыл бұрын
Hizi ndizo interview tunazotaka...sio Mtoto kamtapeli baba yake wa kambo,sjui nini nini...tupe ubunifu wa kibiashara ili nasi tuelimike na tuthubutu. Ahsanteni Ayo
@sabinashabani11652 жыл бұрын
Safi sana na hongera sana kwaubunifu mzur
@wazirichedi53844 жыл бұрын
Alhamdululah Allah akuongoze vema use mfano bora!
@Gcuttter7 жыл бұрын
hawa ndio watu wanatakiwa dunia.I want to be just like him
@AK-ll5tu7 жыл бұрын
cutting edge nimeipenda hiyo..
@mwanashaabdallah36386 жыл бұрын
cutting edge rty ur best ma dear u will inshallah hakuna mtu alozaliwa na kazi kila kitu ni bidii na akili yako
@omaribongo47386 жыл бұрын
cutting edge madaraka
@robsonkawiche58236 жыл бұрын
+Omari Bongo kazi ngumu hii
@salimchatu59417 жыл бұрын
Mash Allah mabruk salum sumry
@lovenessmapinda49557 жыл бұрын
I appreciate Ua work bro @Millardayo!!!
@mohamedfogo88207 жыл бұрын
Sumry hiyo ndo biashara Mungu akuongoze,
@nassaabdul61147 жыл бұрын
Kaka milard leta habar kama hizi za maendeleo na sio mda wote kututangazia mambo ya instagram ya diamond na zari hayana maana kwetu..
@saumuhassan13657 жыл бұрын
nassa abdul 😂😂😂 kweli dear
@aishamohd98527 жыл бұрын
nassa abdul kabisa ndugu yangu
@twahirnasa15747 жыл бұрын
Kwel bro yani nimekua inspired dah tunatamani kufanya kilimo cha kisasa tatizo hatuna elimu ya kilimo wala mitaji ya kutosha
@beatricesisso55307 жыл бұрын
nassa abdul true
@abubakarimwasumilwe72937 жыл бұрын
swadaktaa....
@rosemarybenjamin43337 жыл бұрын
Yan milad Ayo ukika hap unapendeza kweli 😍😍
@sellepearl12027 жыл бұрын
Asante mtu wetu wanguvu kwa kutuletea haya Madini
@begaca6 жыл бұрын
Wow SAFI SANA MZEE WETU
@barakasaid44787 жыл бұрын
Superb... Nimejifunza kitu... Wish all tanzanians tungekuwa na moyo uo wa huyu tajiri
@erastomwakalinga70797 жыл бұрын
millard ayo hiz ndo habar kaka tunazo zitaka lkn yale ya diamond na zari hayatusaidii sisi ni kwa mapenz yao lkn tunapo pata habae km hiz tunafunguka ki upeo wa mawazo na mtazamo kuu yaaisha shrakran mkuu ayo#
@papafikiri7 жыл бұрын
Umetumia zile akili zako hasa Milard kuleta hii...hujatumia za wale.....kazi nzuri sana
@sundaylema2497 жыл бұрын
millard ayo hakika wewe ni noma!kip it up nakuona mtu mkubwa na heshima kede kede baadae
@damariszuckschwert94897 жыл бұрын
Big Up kwa Sumry.
@maoulidhoti54447 жыл бұрын
shida madereva wanafilisi matajiri kwa kutotunza mahari
@marykitiru92127 жыл бұрын
mmmh duuh hongera zake..
@machundemauma13386 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii habari ya leo. Hizi habari za namna hii zitakupaisha sana.
@saidsaid94637 жыл бұрын
Safi sana sumry unatufundisha kujiajiri hapa kazi2
@thobiasthomas29767 жыл бұрын
aisee this is the best interview so far ukiachilia zile za kina mika mwamba.
@theresialija39817 жыл бұрын
Kazi nzuri Brother Asante
@SuperKibwana5 жыл бұрын
Thanks M. Ayo
@nassorosimba20905 жыл бұрын
Kwa kweli ahsante sana, mimi leo nimepata role model mwingine wa ndoto zangu
@bernardmitti59207 жыл бұрын
safi sana .mungu akujalie sumry.
@oyay28216 жыл бұрын
Safi sanna ndugu salum sumry
@shebatshebati32597 жыл бұрын
hii ndio tunategemea kutoka ayotv , tupe habari zenye changamoto kwa ukuaji wetu. nakukubali jirani yangu.
@tz79763 жыл бұрын
Sumry ni moja ya mabilionea wakubwa Tanzania
@oscarezekiel18267 жыл бұрын
Hongera sana milard ayo Tunaomba mwendeleza wa hii habari it's very interesting!
@samsan95tvlaizer597 жыл бұрын
good interview halafu kuna kitu nimekijifunza kweli ukitaka kufanikiwa amini katika kitu unachokifanya #Millard ayo kunywa soda nakujaa kulipa
@yusuphmlangali72957 жыл бұрын
safi sana millard nimejifunza kitu kikubwa sana kwa hii interview yani tunatakiwa kutazama fursa mbali mbali kwa jamii
@smartonlinetv51442 жыл бұрын
Hivi ndivyo vitu vya kutuletea vinaelimisha na kujifunza zaidi. Sio kila siku zari,mara diamond. Sasa hivi umekuja na kibibi kingine sijui anaitwa dorry rest si akarest huko kwao. Watu tunawaza maisha Sasa hivi sio kujisifu na sura kama ni sura hata mbuzi anayo.
@husseinhkitambi17017 жыл бұрын
kilimo hakina kodi unachokipata chote cha kwako kuliko mabasi unakimbizana hovyo na mlundikano wa kodi na kero za madreva
@shekhanialawi28107 жыл бұрын
Na Faini Polisi Juu Dah....
@mansoormtuzu45927 жыл бұрын
kweli kaka kikwazo matrafki
@ramadhanimustapha32445 жыл бұрын
aisee kumbe kilimo hakina kodi.
@steventalimpa59395 жыл бұрын
Hussein H Kitambi kodi unalipa kwenye ununuzi wa pembejeo
@abbyclassic84643 жыл бұрын
@@ramadhanimustapha3244 kodi ipo kaka ukinunua hata mbolea na ukumbuke wakat wa mauzo kaisar yupo
@bibiemanzi96205 жыл бұрын
bro imetulia sana...tunaomba mwendelezo
@majimazuri58277 жыл бұрын
Hongera sana Millard; Kwa kweli hizi ndiyo video za kutuletea, siyo maudaku kila saa; yanatusaidia nini? Big up sana kwa video nzuri mno; nimejifunza mengi; japo kama imeishia nusu hivi; next time tuletee yote.
@mswadikubushumbilo71706 жыл бұрын
Millad nimeipenda hiyo,niombee kazi naiweza hiyo machine,
@abdulrahman2827 жыл бұрын
Safi salumu summry kwa kuingia katika kilimo
@hawajuma21636 жыл бұрын
Jaman kweli ukijituma hata mwenyez mungu anakupa... Nimeipenda sana hii
@bensonfrank6437 жыл бұрын
Huyu mzee sio Milionea ni bilionea..
@martinlwiva17857 жыл бұрын
Safi sana salum sumry
@tinyaanosiatha11186 жыл бұрын
Hizi ndizo habari za kusikiza sio mnatupa habari za za kina wema Wakiwa kwenye puu wanaonyesha matako yao. Nimependa sana Hii habari za good job milard Ayo
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Good news,thankx #Millard kwa Habar njema
@stevenlyando18017 жыл бұрын
nimependa hii kitu ndo maana kaona mabasi biashara yamwenda wazimu,,,ila serikali mnatakiwa muwe fair kidogo,mmezuia watu kuuza mahindi nje kwanini watu wa nje waingize humu kwetu wakati wafanyabiasha kama hawa store zimejaa mzig o kama huo....wazambia kawataja hapo wanakuja kupiga pesa huku wakati sie hatuendi kwao hii kitu haijabalance aisee....big up sumry so interest
@seifali24737 жыл бұрын
I salute u @millardayo 🙌🏾
@millardayoTZA7 жыл бұрын
asante sana Seif Ali kwa kutazama AyoTV na kuniachia comment yako hapa
@evaevance59327 жыл бұрын
+Millard Ayo y moto hiyo barikiwa bro
@shackambassador9394 жыл бұрын
@@millardayoTZA mbona unajibu text wachache zingine huzion it's mean
@allybakali92126 жыл бұрын
Aisee nimeipenda sana hii
@nebertabely66707 жыл бұрын
best interview so far
@egnerozo11605 жыл бұрын
Congratulation...We want this king of interview and treat subjects that are really helpful.
@bhaleeali49677 жыл бұрын
#millardayo imalizie hii habari jamaa anaongea point aisey
@emmanuelmasse4595 ай бұрын
Milioni miasita inatajwa kama shilingi jero kweli kazi tunayo