Inna Lilah wainnailay rajiun Allah mma ajrunii fee musibati waalifliikhair Khair Minha, Mola afanye kaburi lako liwe moja ya viwanja vya pepo, na akupe Pepo ya Firdausi liAllah inshaallah.
@mohammedrajabumwamba13224 ай бұрын
MaashaaAllah 😢😢😢nalia kwa furaha wallahi natamani ungekua baba yangu allah awajaze kheri wazazi wetu wawe watu wa kheri inshaallah
@mwantumuabdallah62502 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah Al AmeenTv
@salmafaraj65445 ай бұрын
Allah atakujaalia pepo inshallah bi idhnilah
@saadibraahim85612 жыл бұрын
Mabruuk mabruuk mabruuk
@saidalnaamani12335 ай бұрын
ALLAH akupe jana fardos aalaa
@MohamedMeja5 ай бұрын
Masha allah mungu akulipea heri kwa kazi yakoo Ameen ya rabii
@aligmoha90152 жыл бұрын
Maa sha allah ustadh Adam in sha allah allah atakulipa amin
@kondomrisho87765 ай бұрын
Innallillah wainna illah rajiuun Mzee pumzika kwa amani na Allah (sw) akupunguzie joto la kaburi na afanye kaburi lako kuwa viwanja vya peponi inshaallah
@hythamhashiem44585 ай бұрын
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك مع الذين أنعم الله عليهم من النبيين والصديقين والشهداء والصالحين
@dahelahmad6331 Жыл бұрын
Allah atakupa Lile unalotarajia. AMIN AMIN Amiyn
@MussaShaibu-k5b5 ай бұрын
Mungu akulipe kheer babu yang
@NaimaMasoud-ny6zs5 ай бұрын
Inna LILAHI WA INNA ILAIIHI RAJIUUN.
@AdamHamadi-hj2yx5 ай бұрын
Mashaallah!Kheri
@nasymchuzi86675 ай бұрын
Mashallah
@mwajohari43855 ай бұрын
Mashallah tabaaraka Rahman
@OsmanMussa-ry6mh5 ай бұрын
Allaahumma aamiiin
@MiriamAziz-z5t5 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AMWEKE MAHALI PEMA HUKO AKHERA NA MAHALI PEMA PEPONI...AMIIN.
@yuschhhhcdxddddddxd8962 жыл бұрын
ukimhoji na sheikh Twalib Ahmad itakuwa kher zaid
@alameentvTz2 жыл бұрын
InshaAllah Tutalifanyia Kazi , Endelea Kuangalia Al Ameen Tv.
@mohamedkilemile30582 жыл бұрын
Sheikh langu mbona ile interview na sheikh Hamid Masoud Jongo, mbona hujaimalizia.
@alameentvTz2 жыл бұрын
Ahsante kwa kutukumbusha Mungu akubariki , Endelea Kuangalia Al Ameen Tv kwa Mengi Mazuri.
@jamalkishangu5 ай бұрын
Sheikh alikuwa na umri mkubwa lakini kumbukumbu ilikuwa imara kabisa. Mungu alifanye kaburi lako kuwa miongoni mwa nyumba za peponi.
@AyubuIkaku5 ай бұрын
Amiin
@abdallahmaftah6469 Жыл бұрын
Sheikh Hongera sana ila Umetupunja😀... maana hujamuuliza kuhusu Ilimu yake ktk fanni nyengine alizisoma kwa Masheikh gani..... Pia alitaja neno luwali wa Dar er salaam... nilitamani kujua alikusudia nini? ila Kwa ujumla Allah ampe umri wenye manufaa na Amjaalie Mwisho mwema.
@alameentvTz Жыл бұрын
Asili ni neno la Kiarabu "الوالي" al-wali linalomaanisha mtawala wa mahali au eneo asiyejitegemea bali aliyeteuliwa na serikali kushughulikia mambo ya utawala katika eneo fulani. Mara nyingi katika nchi za utamaduni wa Uislamu Wali alisimamia "wilaya". Kazi yake ililingana na "gavana". Ahsante kwa kutufuatilia AL AMEEN TV . ELIMIKA ANGAZIKA NA AL AMEEN TV.