Funzo...1. wanandoa kuambiana ukweli 2. Kufikiri na kufanya uchunguzi kabla ya kuchukua hatua....much love dada msimiliaj na mwandishi
@fatmas733811 ай бұрын
Leo natamani kucomment tu
@Husnakinang10 ай бұрын
Very beautiful voice ❤❤ simulizi zako ni nzur sana haki nakupenda bure na zinafunza basi ubarikiwe Kwa kuelimisha watu wote walio kwenye ndoa,, ahsante sana
@MargertMumbi11 ай бұрын
Dada Bt huwa nakupenda bure mm❤❤❤❤❤❤❤
@AdoloSaleh11 ай бұрын
❤❤❤
@reachelchemtai260410 ай бұрын
Dada Tatiana humepetwa huone pepo amekufunika macho shatani hanakuahaisjetu. Kutoroka nyumba yako hili hutezake yeye ni mwizi pesa hachukuwe huna Amani pole Sana si wewe ni shatani hata husisikiye wazizi wako
@Sss-b9w6f11 ай бұрын
Shukran sana❤❤❤❤❤❤
@christinahaule-p8i11 ай бұрын
❤❤❤
@JuliusMalunde11 ай бұрын
Asante
@fatumajumapili290711 ай бұрын
Nice 😘😘😘
@tabiasalum338111 ай бұрын
Nimewai❤❤
@asiamodriq293311 ай бұрын
❤❤❤
@RahmaSalehe-k8j11 ай бұрын
Jamn leo afadhal nimewah❤❤❤❤
@WwEe-qc7tc9 ай бұрын
Kuna wakati mwingine mtu hufaa kuubadili msimamo ilu kujuwa kuwa katika maisha sio wote wakuwaamini kuanzia eother mme د,mkeama hata wazazi kwani ndoa nimtihani usio kuwa na ufaulu ama kufeli ila itamtegemea mwenye kufanya maamuzi yake na kucheza kadi zake kimakini. hivyo sioni kama tatiana alikosa uvumilivu na kuamua kujitegemea na kuishi maaisha mapya ili kujiaminishia alivyo taka kujituma ili kujihakikishia kama kila kitu kipo salama kwani kuhakiki mambo vlnivizuri mnoo kwani jibu ukilipata unafamya maamuzi mema ili kumjuwa patric vyema ili tatiana ajue pakuanzia na kumalizia ili maisha yaspgee
@MYME-u5d11 ай бұрын
Ila kuna watu wana husda jamn paulina ana choyo
@rizmwMwriz-mf2cu11 ай бұрын
Asante sana Binty Mshana kwa smlz tamu
@Rais__772daughters11 ай бұрын
😂😂😂😂kuna kitu nilisubili kukiskia ila wapi😂😂😂Tatiana kaniagusha😅😅😅
@kingbyaro601610 ай бұрын
From Canada vip Lilian aliludi kumutembelea 😂😂😂lile geto na vitu vilibaki nanani
@Rais__772daughters10 ай бұрын
@@kingbyaro6016 😂😂😂
@nurafedrick37810 ай бұрын
Amemsitiri mume kwa wazazi ingekuwa ni mm ningesema tuu
@Rais__772daughters10 ай бұрын
@@nurafedrick378 tatiana amebanwa hadi kasema kweli😂😂😂
@nurafedrick37810 ай бұрын
@@Rais__772daughters 😀😀😀😀😀sikuzote ukweli unawacha mtu huru
@aishaobo618611 ай бұрын
Jamani leo msimuliaji sauti ipo chini kweli nimeongeA volume ila bado uwe ukiongeza sauti kiasi tunajivunia kukusikiliza Binti mshana
@rizmwMwriz-mf2cu11 ай бұрын
Kabsaa kisauti kina utamu wake Maa Shaa Allah
@victoriangasa11 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉.
@NancyKwimba11 ай бұрын
❤❤❤
@KhadijaKajoli-wm5rc11 ай бұрын
Habari zenu
@LuciaMusa11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Eshamwata_Christine11 ай бұрын
❤❤
@nellylewa445710 ай бұрын
Asante sana tumepata funzo ❤❤❤❤
@PiliKhamis-mb6ty11 ай бұрын
Jamani nipo namie uuii
@AgnessLorry7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nurafedrick37810 ай бұрын
Huyu fiona aliokotwaa nakusaidiwa happhapo akaonewa huruma akapata mpenzi lkn akawa na muashwoo akaona alete mtu kwaroom yamtu aise Patrick unamoyo mana angekuwa mwingine ungempigia.haya wivuu tuu mwisho kuharibia wengine lkn limekushuka shuu