TAZAMA BASHE AKIMUOMBEA MZUNGU ALIYEPIGWA BEI NA TANESCO "WANATAKA MILIONI 90"

  Рет қаралды 158,988

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 191
@ramadhanikaita9672
@ramadhanikaita9672 4 жыл бұрын
Serikali iko kazini awamu hii mpaka raha yaani bigup kijana Bashe
@blackbeauty8462
@blackbeauty8462 4 жыл бұрын
Natumai apple moja tutauziwa mia mbili badala elfu moja.....big up Hussein Bashe.
@SaadEbrahim
@SaadEbrahim 4 жыл бұрын
Huyu Mheshimiwa Bashe Ninamkubali sana katika Serikali ya Mheshimiwa Rais Magufuli huyu kijana ni mchapa kazi mzuri sana Mungu amlinde na maaduwi zake amin.
@ambrosempesha7718
@ambrosempesha7718 4 жыл бұрын
Safi sana bashe Mungu akupiganie maana maendeleo bila viwanda haiwezekani
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 жыл бұрын
Mliwahi sema bashe Ni msomali. Leo mwamsifu kwa kazi yake nzuri. Tanzania amkeni msiwabague watu kwa misingi ya asili zao. Yaweza kua asili za mbali ndiyo zaleta maendeleo ndiyo maana Mzee Mkapa aliwapa fursa wawekezaji. Kua mtanzania sio tiketi ya kwenda mbinguni. Wakeup guys.🇰🇪🙋
@africanboyamani8640
@africanboyamani8640 4 жыл бұрын
Hussein bashe nakukubali kuliko kiongozi yoyote hapa Tanzania napenda uongozi wako
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 4 жыл бұрын
Viongozi wanao take action instantly kama hawa ndio tunaowahitaji: Kuna mambo mengi hayaendi serikalini kwasababu viongozi hawafanyi maamuzi ya haraka! Mfano_Mwaka mzima, wizara inajibizana kwa barua na wananchi, bila kupata suluhisho! Wakati hata kwa phone mnaweza kupata suluhisho la tatizo! Kuna viongozi/ watumishi wa serikali waoga kufanya maamuzi, na kusababisha masuala yanakaa muda mrefu bila kutekelezwa! Chapa kazi Bashe
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 жыл бұрын
Huyu kaka namkubali sana, he can think outside the box, Mungu akubariki Bashe
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Ahsante sana mh Bashe. Ubarikiwe sana na Bwana Yesu. Amen.
@dioskorimtalo2348
@dioskorimtalo2348 4 жыл бұрын
Action on the spot .. Ndio dunia ya wenzetu inavyoendeshwa. Sie tulichelewa sana ! Vry gd Bashe.
@godfreynyansira8227
@godfreynyansira8227 4 жыл бұрын
Nmekuelewa vzuri sana, ,kazi nzuri bashe
@johnkiganga6014
@johnkiganga6014 2 жыл бұрын
the best waziri in tanzania god bless u .a big advicer
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 4 жыл бұрын
Huyu ndiye hussen bashe nazani unaeleweka vizuri sasa
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
HAWA NDIO WATU TUNAWATAKA TANZANIA KUKAA CCM NI KUPOTEZA MDA. CCM INAZUIA HATA WAWEKEZAJI KUFANYA KAZI UPUUZI MTUPU.
@jumakapesa726
@jumakapesa726 4 жыл бұрын
Bashe walikuchelewesha sana mdogo wangu. Maombi yangu kama si awamu hii basi November upewe uwaziri kimili. Unaweza Mhe:
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 4 жыл бұрын
Hakuchelewa Biblia inasema kila kitu kwa Majira na wakati wake
@issakawanya8511
@issakawanya8511 4 жыл бұрын
Allah akulinde akupe hekma na afya njema
@elinazadaniel3721
@elinazadaniel3721 4 жыл бұрын
Hongera waziri bashe kwa kuzibua palipokwama
@raheemhamisi5370
@raheemhamisi5370 4 жыл бұрын
Kilichofanyika apo ni ufisadi ndo maana ata Boss wao anasema haiwezi kuwa bei kubwa kias icho jaman ata kama ni mzungu,,,,mbona anawawezesha wabongo hao growers zaid ya 200 ni wabongo. Duuuuuh,,,,,ama kwel tutapona kwel kwa hali iyo??????? Hongera sana Mheshimiwa Hussein Bashe.
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
Umeona kaka
@Linkmycommunity
@Linkmycommunity 4 жыл бұрын
Yaani wabongo ,,,,,,huwa siwaelewi jaman ,,,,,,90M ???
@pius_kiraka
@pius_kiraka 4 жыл бұрын
Msiwaonee TANESCO. Hao wanataka kuvuta umeme mkubwa wa njia tatu kutoka kilometa mbili. Ni lazima bei zake ziwe kubwa.
@khalidikibakuli132
@khalidikibakuli132 4 жыл бұрын
Tanzania naikubali sana kuona viongozi wetu wapo makin
@drgeofreymdede3952
@drgeofreymdede3952 4 жыл бұрын
Tanesco Iringa wanazingua sana. Hawajitambui. Nafikiri kuna haja ya kutumia nguvu kidogo. Kuna eneo lipo isakalilo wananchi wanahitaji umeme lakini hawataki kuweka. Ni shida sana. Hongera sana Hussein Bashe endeleeni kuchapa kazi nchi inawategemea.
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 4 жыл бұрын
Mwanzoni ulipokuwa unajiunga na wapingaji,pingaji nilkuwaga sikuelewi kabisa Bashe Sasa ninakuelewa Mungu akusaidie ufike mbali
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 4 жыл бұрын
Ukweli bila kuangalia uchama bashe alikuwa anapinga vitu vyenye tija na ndio maana mweshimiwa rais alimwona na amempa kazi ili atatue yale aliyokuwa anayapinga bungeni.na wote sasa tunaona jinsi anavyotekeleza kwa vitendo. Ninamkubalia sana huyu jamaa
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 4 жыл бұрын
Alikuwa anataka asikike kwenye Mamlaka ya Juu na alisikika
@sylvanussebastian6209
@sylvanussebastian6209 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mkuu!!!
@masungamnganya8678
@masungamnganya8678 4 жыл бұрын
Daaah big up sana
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 4 жыл бұрын
Hongera Mheshimiwa...
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 4 жыл бұрын
Kama na wewe unataka pia bei ya apple ishuke gonga like Bashe atuone
@festonawapatasanainaunganl4698
@festonawapatasanainaunganl4698 3 жыл бұрын
Asante kijana uone wakulima wapigwa huku swara ra,umeme
@solemba595
@solemba595 3 жыл бұрын
Hiyo ndio maneno watu wafaidike na rasilimali za Taifa, Hongera nyingi ziende kwa Bashe na Waziri muhusika...
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 4 жыл бұрын
Good job mweshimiwa bashe kwa kweli ni amkubali sana Huyu mweshimiwa.kwanza anabusara sana hakurupuki na wala haropoki ropoki.
@melchiadgodwine9192
@melchiadgodwine9192 4 жыл бұрын
Bashe wewe ni jembeeee haukuchaguliwa kwa bahati
@kahamaonelive9432
@kahamaonelive9432 4 жыл бұрын
Piga kazi Bashe tuko na wewe 2020
@faustintourstravelzanzibar6506
@faustintourstravelzanzibar6506 4 жыл бұрын
Huyu ukimuita waziri ni sawa kabisa.
@felixmwayeya6716
@felixmwayeya6716 4 жыл бұрын
Bashe makini sana mungu akubariki
@dsstanzania
@dsstanzania 4 жыл бұрын
Safi
@petermgmgalula2104
@petermgmgalula2104 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sema punguza lugha ya kikoloni ongea kiswahilii lugha yako mwanzo mwisho. Weka hata na kinyamwezi utaeleweka zaidi
@dollyandthedoliganeloi3025
@dollyandthedoliganeloi3025 4 жыл бұрын
Mbona kingereza mnaogopa ndugu zangu
@petermgmgalula2104
@petermgmgalula2104 4 жыл бұрын
Siogopi kizungu ndugu ninaishi Africa kusini na ni mwalimu wa secondary hata kununua nyanya huku ni kizungu. Nakiongea vizuri tu.
@dollyandthedoliganeloi3025
@dollyandthedoliganeloi3025 4 жыл бұрын
@@petermgmgalula2104 yaani uku UK ukutane na mzungu wa Liverpool au Scotland akiongea kingereza utafikiri anaongea utafikiri anaongea kinyamwezi manake humuelewi kabisaa
@Segerethom
@Segerethom 4 жыл бұрын
Bashe you are a leader brother. Viva.
@kombuchahluckyMartin
@kombuchahluckyMartin 4 жыл бұрын
Good job. Tunataka ivi
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
client advocacy hiyo safi sana
@chelesielisha5908
@chelesielisha5908 4 жыл бұрын
Hahahahaha kilometa 2 umeme gharama million 90 hiyo ni noma
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 Жыл бұрын
If call you waziri ni kama kuna kitu kinapungua wewe ni Baba Fulani ivi alafu kaka yaani kama faraja Fulani ivi God bless
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
NDIO MAANA WAWEKEZAJI WENGI WAMEHAMA TZ
@ribambawala
@ribambawala 4 жыл бұрын
Hawa ndio viongozi tunao wataka
@bornthagylife3802
@bornthagylife3802 3 жыл бұрын
Mmnyamwezi mwenzangu basheanafaaa kua Rais kuriko Jpm msukuma
@teres3519
@teres3519 4 жыл бұрын
Big up Bashe. Bottlenecks should be dealt up with.
@florianmbena580
@florianmbena580 4 жыл бұрын
Safi sana kijana mwenzetu
@mussaomary7173
@mussaomary7173 4 жыл бұрын
Mkiongea lugha moja raha sana.ni rahisi pia kuelewana.
@philipoinzag2379
@philipoinzag2379 4 жыл бұрын
Hizo ndio kazi zenu lakini m unataka mpaka Rais apite asimamiswe azitatute shida ambazo nyie ndio jukumu lenu Sasa hapo umempunguzia kazi Rais wetu kwa kweli Safi Sana bashe mungu akuongoze na akujaalie umri mrefu na akuzidishie Imani na akuepushe na maballaa yote ya walimwengu Amin
@daudirajabu6798
@daudirajabu6798 4 жыл бұрын
Kaz nzuri
@sylvanussebastian6209
@sylvanussebastian6209 4 жыл бұрын
Kwa mbali sana nimesikia kama wabheja sana bhaba ni kweli au masikio yangu tu!!!!
@khalfanothuman9988
@khalfanothuman9988 4 жыл бұрын
Nikweri msukuma huyo
@macoc8379
@macoc8379 4 жыл бұрын
😅😅😅
@malikisombi980
@malikisombi980 4 жыл бұрын
Basheee oyeeee💪💪
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 4 жыл бұрын
Nakila sababu ya kumpenda kiongozi wangu makini mh Bashe asante sana
@reganikalenga988
@reganikalenga988 4 жыл бұрын
Napafahamu nilishafanya kazi hapo Huyo mzungu anaitwa Annah
@swahiliforex
@swahiliforex 4 жыл бұрын
Anna Thomas cluivert
@andrew29468
@andrew29468 4 жыл бұрын
hongera Waziri,nakuunga mkono
@lawmaina78
@lawmaina78 4 жыл бұрын
Raha sana kwa kweli, hongera.
@worldstartz
@worldstartz 4 жыл бұрын
Safi sana
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 4 жыл бұрын
Yes,Yes,Tanzania Kwanza.
@Ba63828
@Ba63828 4 жыл бұрын
TOUGH JOB EXECUTED EXCELLENTLY VIONGOZI
@zefamange7281
@zefamange7281 4 жыл бұрын
WATANZANIA TUNAJIKWAMISHA SISI WENYEWE, SIJUI NANI KATULOGAA
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
yaani hawa mameneja naamini sasa ndo waliouwa viwanda vya kambarage...umrme m90?????
@sheynarhere4277
@sheynarhere4277 4 жыл бұрын
Heh Hawa wamezidi wakiona wazungu Tena ndio wanazidi
@Ba63828
@Ba63828 4 жыл бұрын
TUMELOGWA NA RUSHWA INAUMA SANA
@zefamange7281
@zefamange7281 4 жыл бұрын
@@kyaro5945 wamshukuru mungu mm sijapewa uwaziri, ninge wafukuza kazi kuanzia vibarua walio shika tep wakati wa kupima mpaka walio piga hesabu za milion 90
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
Yani umesema kama mimi kila siku nasema nani katulonga watanzania
@wilsonjohn1919
@wilsonjohn1919 4 жыл бұрын
Wabeja sana uko vizur kwa kinyamwez
@peterokalo9632
@peterokalo9632 4 жыл бұрын
Wake up all Africa’s country’s What about land for Tanzania 🇹🇿 citizens
@mcluciana4554
@mcluciana4554 4 жыл бұрын
Safiii sana Kiongozi
@omararale7962
@omararale7962 3 жыл бұрын
Huyu mzungu Mtanzania anahaki kama watanzania wenziye
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
HAPA KAZI TU , MIJITU YA KUKWAMISHA MAMBO SERIKALI HII HAINA NAFASI . HONGERENI VIONGOZI MNAOCHAPA KAZI BILA KUHITAJI RUSHWA . WALIOTAKA KUKWAMISHA WATUMBULIWE .
@ridhiwaniomari7425
@ridhiwaniomari7425 4 жыл бұрын
WASUKUMWE NDANI TU!
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 4 жыл бұрын
Huyu kijana nilimuona kwa mbali sana vile yaani jamaa yupo kivingine katika swala la mfumo wa uwongozi
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
Wasomali ni stone face hawanaga kuchekacheka.
@saloujohn3639
@saloujohn3639 4 жыл бұрын
Good job sir
@RANKMANTANZANIACOLTD
@RANKMANTANZANIACOLTD 4 жыл бұрын
Dah! Hawa ndo mawaziri tunaowahitaji awamu ya tano na Tanzania kwa ujumla
@adammakoye4198
@adammakoye4198 4 жыл бұрын
Naibu waziri nadhani umesikia kuhusiana na nzige kule kaskazini mwa Kenya na sehemu ktk SOMALIA na Ethiopia vile sisi kma majirani wa Kenya ni vipi tunajilinda na nzige hapo kabla hatufikiwa na hilo janga
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 4 жыл бұрын
Zige kenya zishauliwa kitambo
@Anita-fn5cv
@Anita-fn5cv 4 жыл бұрын
Nzige wanaendelea kuenea sehemu nyingi za Kenya
@florakankutebe3987
@florakankutebe3987 4 жыл бұрын
Nimekuelewa waziri
@bijampolamsemakweli9687
@bijampolamsemakweli9687 4 жыл бұрын
Yaani Tanesco wamezidi mimi kwangu kuna mradi wa REA lakini wanataka ninunue nguzo 380000 yaani wananchi tunanyanyasika sana
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 4 жыл бұрын
Kiukweli sisindio tunao ludishana nyuma maendeleo hv yeye wao tanesco walimtoza beikubwa hvyo awakujua yupo maeneo gani
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
Wabong tuna shida sana, eti kwa kuwa ni mzingu basi piga bei
@samweljuma585
@samweljuma585 4 жыл бұрын
Kazi njema kaka.
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 4 жыл бұрын
Yaani huyu anapendwa mpaka nchi za jirani
@paulkisatulusana1142
@paulkisatulusana1142 4 жыл бұрын
Bashe oyeeee
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 4 жыл бұрын
👍👍👍
@somanikhaliphan5950
@somanikhaliphan5950 4 жыл бұрын
Vizuri sana
@nimrodsigulu2053
@nimrodsigulu2053 4 жыл бұрын
Safi..sio yule anaejiita nje ya box
@abdallahjeshi9164
@abdallahjeshi9164 4 жыл бұрын
Nc Mr bashe
@franciskavyega280
@franciskavyega280 4 жыл бұрын
Good sana...
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 4 жыл бұрын
Waziri wa Kilimo mbona simsikii namsikia Naibu Waziri siku zote
@abermstafa2873
@abermstafa2873 4 жыл бұрын
Hawa ndo viongoz tunaowataka
@juliuschacha7753
@juliuschacha7753 4 жыл бұрын
Bongo ukisikia ni mzungu watu wanajua pesa ipo
@imaculatadominic7005
@imaculatadominic7005 4 жыл бұрын
afadhali maeple yalimwe kwetu maana ni tunda adim hata mlaji huwa anaonekana VIP SANA
@msafiriaugustino2957
@msafiriaugustino2957 4 жыл бұрын
tumbua kuna watu wanapiga hapo sio bure hehehehe
@erickzephania1030
@erickzephania1030 4 жыл бұрын
Tanesco na baadhi ya wafanyakazi hapo uchunguzi ufanyike. Maana waswahili tukiona ngozi nyeupe tu tunajua fursa
@peterezrom5194
@peterezrom5194 3 жыл бұрын
Kwa Sasa inapendeza
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 4 жыл бұрын
mimi mwenyewe kiwanda changu, nimefunga generator, tenesco waliniandikia bill ya ajabu nikawapotezea
@khamisrashidy1079
@khamisrashidy1079 4 жыл бұрын
Bashe wabheja sana
@fehomliez4549
@fehomliez4549 4 жыл бұрын
bashe huna usanii kabisa, hii ndio quality ya watendaji tunaowahitaji ktk awamu hii, heko dr john magufuli
@mushtaqdada9804
@mushtaqdada9804 4 жыл бұрын
Tanzania first
@mkambotv5418
@mkambotv5418 4 жыл бұрын
MSOMALI YUWAPIGA KAZI SANA
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 4 жыл бұрын
Wabenja sana baba
@allyflavour8005
@allyflavour8005 4 жыл бұрын
Mungu awasaidie viongozi wa namba hiii nisafi sana ila sisi binaadamu wengine tukipata hivyo vyeo khaaa allah ndie anaejua kama hatukuzaliwa vile
@feasalhanad1094
@feasalhanad1094 4 жыл бұрын
Salaaaaah 90m watu wahisidi kweli
@carremmajan4550
@carremmajan4550 4 жыл бұрын
Kilos cha simba
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 4 жыл бұрын
Show up!
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 4 жыл бұрын
Ndo maana ya "kawazungukieni waliowapigia kura". Na si wazungu. Ungekuwa ulaya Mh. Bashe ungelijulia wapi hilo?
@prosperbucheyeki2607
@prosperbucheyeki2607 2 жыл бұрын
Anasifa yakua waziri
@Utadowot
@Utadowot 4 жыл бұрын
Wariahe toka Kenya atawaonyesha ufisadi vilvyo
@joellumala3206
@joellumala3206 4 жыл бұрын
Wabheja sana bhabha
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Good
@Baba-JJ
@Baba-JJ 4 жыл бұрын
Ya kujifunza hapa mi nimeyaona mambo mawili ila nawewe msomaji kama una yako ongezea. 1. Bei zinazotolewa na Tanesco huwa sio halisi na hazina msingi au chanzo (basis) 2. Ukihitaji gharama halisi na halali watafute viongozi wa kisiasa.
@ridhiwaniomari7425
@ridhiwaniomari7425 4 жыл бұрын
Mipango mikubwa kama hii ya kuanzisha viwanda bora kuongea moja kwa moja na Waziri husika kuliko kupitia watu wa chini,ili wao wapewe maagizo kutoka juu. Ukianzia kwao lazima wakupige dili,na hii inaonyesha wazi kuwa hawana huruma na watu wa chini
@josephsoka1565
@josephsoka1565 4 жыл бұрын
Huyu bashe urais 2040!!!
@mchuumchu9801
@mchuumchu9801 4 жыл бұрын
Hawa jamaaa waliomwambia ml 90 wachunguzwe mpaka waziri anasema hiyo gharama ni kubwa kwani wao hawaelewi? Watumbuliwe.
@denismakweba3870
@denismakweba3870 3 жыл бұрын
2km,90 millions they are no serious at all. Kuna vitu tunajikwamisha sana,wanataka tuendeleee kununua apple south?
@nenomoja9633
@nenomoja9633 4 жыл бұрын
Huyu Jamaa bashed ni kama mkuu wa Mkoa wangu wa mtwara. Anamaliza kazi hapo hapo hakuna sijui njoo kesho. Anaita pande Mbilinyi Anatolia maelekezo unajua sisi watanzania hatupendani hata Mtu ukianzia kamladi ka maandazi kwa mtaji wa 50000 ukihitaji umeme jasho litakutoka na utajuta.
@tuntulusekelo4191
@tuntulusekelo4191 4 жыл бұрын
hivi TENESCO WAPO SAYARI GANI?
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 31 МЛН
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 25 МЛН
African Village life #cooking  village food for Breakfast
19:52
Murangasia
Рет қаралды 2 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 34 М.
MKURUGENZI ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSEMWA NA WAZIRI JAFO...
6:56
Global TV Online
Рет қаралды 655 М.
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Prof James Ker-Lindsay
Рет қаралды 140 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 31 МЛН