Chezea classmate ww piga kelele kwa Kauthar wake weweeee uyo ata brain yake iko vizuri ma sha Allah
@binsultan69813 жыл бұрын
Mzur ila hajamfikia mke wangu
@adbashtv67013 жыл бұрын
Huyu dem kweli ni 🔥🔥🔥
@emperorx24123 жыл бұрын
Angusha like kama Hilo bunge limekua sawa sawa na comedy shows
@aquarianknight3 жыл бұрын
Mzuri kweli daah, nitatuma mshenga😂😂
@imeldabamba37793 жыл бұрын
Jmn hahaha
@necbottz3 жыл бұрын
eeeeeeeeeeh..🤣🤣🤣🤣🤣 wageni wa mheshimiwa mwita Kijiji. Inaonesha upendwa sana. 2:54
@mtaalumaelias86193 жыл бұрын
Spika mbavuzangu 😂 niko marekani nami nimemuona yuko vizuri ikiwa na moyowake ukopoa🇺🇸
@goodlucktemu31493 жыл бұрын
Manzese sikuizi ni marekani.
@mtaalumaelias86193 жыл бұрын
Baba wama inci mze
@rewaatesh48773 жыл бұрын
@@goodlucktemu3149 Kama kuna mitaa ya Argentina, Morocco, Libya, Congo, kwa nini asijivunie mtaa wa Marekani pale mbagala ?
@Taindy3 жыл бұрын
Kitu kama ni Kizuri ni kizuri... Marshala.
@shazyahya41213 жыл бұрын
Duuuh bro hii marshala cjakusoma ni nn au ni kispanyolaaaa😀
@Taindy3 жыл бұрын
@@shazyahya4121 Ni kiarabu kuepresi appreciation ya shukran ama asanti tu.
@joycemaige68382 жыл бұрын
@@Taindy 😂😂😂😂
@kamanda0073 жыл бұрын
Uwepo uwepo viwanja vya bunge karibu sana 🤣
@musarichard29343 жыл бұрын
Acha tu ninyamaze,,,maana nikitaka kuandika najikuta nafuta!..nisije kupotezwa na wasiojulikana mie😂😂
@EbondoSounds3 жыл бұрын
😱
@alisaidi74773 жыл бұрын
Wasojulikan wako chadem🤔🤔🤫🤫🤫🤐
@pierinamduda35523 жыл бұрын
nyoooooo kwa lipi acheni kujikweza
@issahajiday43983 жыл бұрын
Mfiraji huyo spika
@mapandabagiligwa64263 жыл бұрын
Bunge ramwaka huu mtaona mengi nabado
@allyndambwe43543 жыл бұрын
Sijui ntaingia lini humor Du
@rajabungole5213 жыл бұрын
Ndugai uko vizuri
@tanjaniyoman31603 жыл бұрын
Ndugay unamkuwadia tn hio c heshima
@jenifamligo51993 жыл бұрын
Hatariii
@kasimujumannekipemba37323 жыл бұрын
Noma
@aquarianknight3 жыл бұрын
Ni mzuri jamani
@fransiscashirima60683 жыл бұрын
Hata Mimi ni mzuri
@ramadhanmwandambotuntufye59723 жыл бұрын
Cheko ya kebehi ha ha ha ha!
@tztanzania22623 жыл бұрын
Kazur kananifaa maana mi nlivyomweus natakiwa nikaneutralize kwa mdogo wa bashe
@zwatts383 жыл бұрын
Hiyo ni harassment...only in Africa utasema hivyo
@jayjay88453 жыл бұрын
You taking shit too serious..chill out dude
@luulurashid9903 жыл бұрын
Of course that's why it's allowed. Different cultures. Same some of the things in Westeros world can't be used in any manner in Africa. So...
@alhamdharuna52773 жыл бұрын
duh tuacheni tamaa
@nasiwasumari38303 жыл бұрын
Duh!
@shaqirhassan23523 жыл бұрын
😂😂😂uwepo wepo maeneo ya viwanja
@naamohamed99643 жыл бұрын
😃😃😃wanajuana
@younggoodmanbrown68733 жыл бұрын
Duh CCM wamelewa madaraka wana ropoka kama uchi wa shortime- niliwahi ota ndoto hii awamu hii ya 5 ndio ya mwisho ccm kuongoza serikali ya jamhuri ya TZ
@cassyhenry33843 жыл бұрын
2:00
@teychriss32483 жыл бұрын
Karembo kwa kweli! Mwitta umetisha! Kijiji hakikubaki nyuma! ! lol!
@alesnema95963 жыл бұрын
Ni muzuki kwa kweli uyo demu
@aibanijr653 жыл бұрын
Dada kasifiwa hadi kakosa poz
@gitu4me3 жыл бұрын
IPO siku na sisi tutaalikwa na Bunge la Mbinguni
@janekikoti21793 жыл бұрын
😂😂😂😂
@gitu4me3 жыл бұрын
@@janekikoti2179 au sio J
@khalidbalala77533 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhh
@bjzee19813 жыл бұрын
Hussein Bashe siku muona kwenye campaign
@alimussa26553 жыл бұрын
Mungu wetu halali wala haendi likizo 😭 hatuchoki kumuomba 🤲🏾
@ilynpayne74913 жыл бұрын
Kwanini ndugu
@halimamasai22343 жыл бұрын
Bashe waziri wetu kipenzi hongera sana
@mrfix65963 жыл бұрын
Hivi ule uchaguzi umeisha kweli au macho yangu tu😵😵😵
@rajaburajabu10403 жыл бұрын
Bunge limejaa Waasherati watupu hili dah😂😂😂
@pierinamduda35523 жыл бұрын
hata wewe ungepata fursa hiyo tungekuona Muasherati so tafuta point so kila kitu chakuandika
@dullahbronze66613 жыл бұрын
Mke wamtu huyo bhana
@Bzmmellody3 жыл бұрын
Post vitu vya maaana
@josephsererya92183 жыл бұрын
Ndugai nae kumbe yumo
@davidmziray20483 жыл бұрын
Kweli in comedy
@wozanawewoz9793 жыл бұрын
Yaani Tanzania usipokuwa mweupe sio Mzuri
@user-un3df1sl2h3 жыл бұрын
Kweli kabisa,sisi watu weisi daah nishida ata kupata mume uwa nikazo
@teddygabriel56623 жыл бұрын
Hhhhhh
@merekwangujati158 Жыл бұрын
Polen
@issakawaya83153 жыл бұрын
Mzee acha kukodolea macho wake watu
@dominikishilali1943 жыл бұрын
Ndio uyue kuwa ccm ni ndugu
@reaganlyimo62593 жыл бұрын
Duh
@amanidikson35753 жыл бұрын
Mmemweka tyu wenyew huyo kwa maslah yake
@salimliemba34583 жыл бұрын
Unaistahiki kuwa spika 100%
@janestanslaus25173 жыл бұрын
Inasikitisha lakini ni kweli na ukizingatia hii ni nchi ambayo watu walio wengi ni weusi basi.
@ilynpayne74913 жыл бұрын
Demu pini sana
@awadhally10522 жыл бұрын
MashaAllah
@aploscoder43583 жыл бұрын
DADAKE bashe Pisi kali
@ibrahimgabriel48283 жыл бұрын
Linacheka kinafiki ipo siku mungu atayajibu
@janekikoti21793 жыл бұрын
😅😅utasubiri sana labda Mungu anaweza kukupiga mwenyewe unaye hukum wenzio
@bataboydavemage28513 жыл бұрын
Anamfanya Aida kama kituko hapo bungeni daa hatari sana
@stn48732 жыл бұрын
KUMEKUCHA...
@saumuhassan63653 жыл бұрын
Bi *Dalasho* mrembo kweli 😘😍😂😂
@ramadhanmwandambotuntufye59723 жыл бұрын
Kama anatania hivi
@boniphaceyohana72893 жыл бұрын
Bashe kesho nitakuja kwako ...ninamaongezi na dada ako
@allysaid23233 жыл бұрын
Kwetu nzega hatutaki wageni
@janekikoti21793 жыл бұрын
@@allysaid2323 😂😂😂
@allysaid23233 жыл бұрын
@@janekikoti2179 😂😂
@issahajiday43983 жыл бұрын
Mfiraji mkubwa weeee
@ashuuuaisha91223 жыл бұрын
Bashe asili yk kama msomali
@munaaabdillah90973 жыл бұрын
Ni msomal
@eddydauson75253 жыл бұрын
@Xaafid Mohamed Baba yake msomali mama msukuma
@fabriceingabire87363 жыл бұрын
Kama Vice President wa marekani kamala Harris wana fanana daaah
@hamadsempombe25333 жыл бұрын
Utambulisho umefana
@nazmaabdullkarim80223 жыл бұрын
Dah mbunge wetu katuacha wageni wake bila sababu zamsingi😪
@nawihadj66743 жыл бұрын
Nitkuja kuwachukua
@hemedrashid65253 жыл бұрын
@@nawihadj6674 na nyie mlimsumbua Sana kuwaomba kura