Woooooiiiiii Gweeee!!! Dodoma yetu mungu ibariki tz ,mungu ibariki fodoma
@FaithAlfred-u4w3 ай бұрын
Naomba form
@mawazoaliselemani5 ай бұрын
Uhitaji wa vyuo ulitakiwa tokea miaka 60 nyumba. Nashangaa mwamko unapatikana Sasa tunachelewa sana kujitambua..
@ManyunyuTv Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dada Rose tunakupenda
@kambamazig02024 Жыл бұрын
RIP Magufuri kwa vision yako ya kuibadili Dodoma na Tanzania kwa ujumla. Tutakukumbuka Daima!
@mawazoaliselemani5 ай бұрын
Na ninaposema tungejitambua mapema simaanishi majengo hapa!kwa mfano kulikuwa na wajuzi wengi miaka ya nyuma kama vile watengenezaji wa vyombo vya baharini(mashua,dau,nk) Serikari haikuwatambua wamekufa na ujuzi wao hata kama wangelifundisha chini ya miti muhimu ni ujuzi na huu ni mfano Moja tu ila kulikuwa na mafundi seremala,wakulima stadi woote walitakiwa wawezeshwe na watambuliwe ili wangeeneza ujuzi wao 11:52 12:18
@bennymajata683 Жыл бұрын
Asante sana Dada Rose
@tedycasian1779 Жыл бұрын
Mahitaji namba za hio chuo nimlete mdogo angu aje asome