Siku zuchu akianza kuwa motivational speaker mniamshe nalala kwa sasa, Mombasa baridi tu
@yusternyirenda7231 Жыл бұрын
Wake up 👆
@uwimanauwimana76922 жыл бұрын
Baba mzazi amefika, mbavu zangu mieeee 😀😀👍
@lodrickmwambene1332 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zuchuforlife61822 жыл бұрын
God tell me they are dating ❤️😍😍
@hawakiwamba93142 жыл бұрын
Mi nawapenda sana😍😍
@yuzzohcrayze2 жыл бұрын
😂
@zuchuforlife61822 жыл бұрын
Me too❤️❤️😍
@mymunamymuna48072 жыл бұрын
Domo kimziki yko chini kazi nikusapoti machawa tu
@mlenglewis17472 жыл бұрын
Baba yangu amefika😂😂🤣
@magrethyeremia22792 жыл бұрын
Jmn huku MC huku mwenye sherehe duuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@raybby92912 жыл бұрын
Nimecheka MC hasikiki anasikika baba shuhuri🤣
@zubeydazubeyda8042 жыл бұрын
@@raybby9291 😂😂😂😂
@lilianjeremia10242 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti baba ake mzazi jmn 🙌 baba levo ana wenge sio poa
@coachissah77032 жыл бұрын
Diamond platnumz the king of Africa
@johnkyara80612 жыл бұрын
Baba levo mentally hayupo sawa kabsa
@ruthchaz45362 жыл бұрын
ahahaha
@coachissah77032 жыл бұрын
Diamond platnumz simba baba Lao africa
@halimajamaniamekuwamndeme96172 жыл бұрын
Nampenda sana huyu mtangazaji
@dullysaid97852 жыл бұрын
Bob..J kajitahid kupata snup pamoja na king 🦁 but ful mikaushoo mikali alimdharau but nw time yak kujipendekezaaa...simbaa ndo habarii ya mjinii
@youngweezy38462 жыл бұрын
Baba levo 😁😁😁😂 dah
@graceedward61302 жыл бұрын
Mko powaa
@jokhaali58932 жыл бұрын
salamu natuma kwa wewe ZUHURA KOPA (ZUCHU). hayo mambo ya starehe unazofanya usiku mkubwa na malaya wa Dar es salaam hayakufalii. Wewe ni mtoto wa kiislamu uliyozaliwa kwenye ndowa, achana na watoto wa haramu ambao ni malaya piya. Pesa yao ni ya hapa duniani tu. Hisabu za M. Mungu zinakusubiri. Jirekebishe darling ♥ 💖
@brayanjose40412 жыл бұрын
Jinga ww
@vickydan28692 жыл бұрын
Waisilamu mna mambo hahahhaha
@stevenkapugi42092 жыл бұрын
Ahahaha baba levo ni shidaaa
@fatuamjafary49592 жыл бұрын
Jamani wezangu amujaliangalia ilo mondi kavulugwa na zuchu maana kazunguka apo kwenye gali kama kapoteza kitu
@muzneali51112 жыл бұрын
Angekuwa Zari kwa kweli asingekubali avae uchafu huo
@work4lifenews2762 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 baba levo wapi kabisa
@fidelekahezi51752 жыл бұрын
Nilichogundua ayo TV mna kamera nzuri
@rashowshine78492 жыл бұрын
Umeona eeh huko mwengine ni chenga
@floraundisa36882 жыл бұрын
Weweeeee
@jumaamohamed28152 жыл бұрын
Maskini Bob Junior
@jumamofu95732 жыл бұрын
Mi nimeona Bob Junior kaomba picha kwa simba
@roudhamahmoud7632 жыл бұрын
Mnamuona hanaakili baba leo yake ya duniya yanamwendeya
@JOHNJOHN-pu7wb2 жыл бұрын
Bob junior now chawa 😅🥹
@valaryawour60162 жыл бұрын
Pesa Jameni
@rizoibrahimovich82172 жыл бұрын
Chawa promax
@malugubrithon14782 жыл бұрын
Bob journal maskin mond ana story hata kidogo
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
Babaalevo anashobo sana mbona
@marrymenas2 жыл бұрын
Hivi? Diamond na Zuchu ni wachumba kweli? Kamoyo kanaanza kuniuma kwa mbali... Zuchu kazubaa au madai yake anajiamin, haoneshi ushirikiano kwa Mondi mpka anajishitukia.
@johnkyara80612 жыл бұрын
Hii kazi baba levo anafanya mm ataunipe nn kuwa chawa wa mtu siwezi
@masoudmasoud65572 жыл бұрын
Acha ujinga hujapata nafasi tu
@maloomaalmnsj51112 жыл бұрын
Mie 😂😂😂 nataka uwe chawa wangu
@lynwanje68942 жыл бұрын
Maskini Zuchu akaa kama mtoto aliyepotea njia,kwani amelazimishwa??
@asiashaban58092 жыл бұрын
😃😄😄kweli kabisaa
@lynwanje68942 жыл бұрын
@@asiashaban5809 😂😂
@zubeydazubeyda8042 жыл бұрын
@@lynwanje6894 kabisa yanii mmmh🤣🤣🤣
@grandmaempiresecret2 жыл бұрын
Jinsi ya kuondoa uvimbe haja kubwa(bawasiri sugu)bonyeza👇kzbin.info/www/bejne/rpKTpqSPrLaar7M
Astaghfirullah starehe ya dunia tu hii binadaam pumzi zinatuhadaa mtoto wa kiislam anavyodhalilishwa
@modysultan61702 жыл бұрын
anajidhalilisha mwenyewe kwani kalazimishwa na dini anaijua
@victormushi66412 жыл бұрын
acheni kujifagilia basi mnaena kinyume na maandiko sana.
@bakariathumani81052 жыл бұрын
Tutayaona mengi
@petermgaya38122 жыл бұрын
Sijaelewa hapa...naona utoto tu
@zuberikwambiana35742 жыл бұрын
Pesa kitu cha ajabu sana,kuna namna unavyoipata inapelekea hata kwamba ulikuwa na wazazi halali kabisa sasa heshima yao unawapa watu wenye mambo ya hovyo kabisa.
@idrisamapesa27322 жыл бұрын
Jamaa anamtaja harmonize kila mda ajuw Kama ni 1 yakiki
@emmanuelkivenule8752 жыл бұрын
Sasa Bob junior anaomba picha na Diamond wewe nani jaman
@johasaeed3912 жыл бұрын
Ayibu sana anachokifanya diamond
@yuzzohcrayze2 жыл бұрын
😂
@wennceslausmushi23562 жыл бұрын
Diamond hana kosa huyo mtoto wa kike ndio shida.
@johasaeed3912 жыл бұрын
@@wennceslausmushi2356 kivipi yaani daimond alitakiaa awe na msimamo kashakuwa mkubwa siyo kina mbosso anatakiwa awake heshima sasa kwa Jamiii wallah kama angemuoa huyo zuuchu hakika Angela ya jambo lamaaana sana kwa jamii
@wennceslausmushi23562 жыл бұрын
@@johasaeed391 nasema hivi huyo ni boss wa zuchu,zuchu kenda kufanya kazi pale iweje akubali kutembea na boss wake kwanza inaharibu reputation ya lebal na yeye mwenyewe inaonyesha boss hajiheshimu kutembea na staff wake kisha boss mwenyewe hana sifa nzuri kimahusiano,itoshe kusema zuchu kusafisha jina aolewe tu.
@johasaeed3912 жыл бұрын
@@wennceslausmushi2356 sana inaharibu na mwanaume ndo kaponyeza dem akabonyea ila atakuja ayibika sana zuuchu diamond bado sana namwisho atakuja kurudi kwa zari
@lovenessitiku62932 жыл бұрын
Zuchu kamteka kijana wa kibara
@maulidihassani83242 жыл бұрын
nyiee muacheni baba levo maana akiliyake inamtuma sasa mtapata shida kuumiza vichwa hapa hapaitaji nguvu wala akili kikubwa uwena macho ukiangalia unaachia hapohapo
@salmayahya11072 жыл бұрын
Makubwaaa
@hamisisefu10712 жыл бұрын
alie buni pesa ajafika mbingin
@roudhamahmoud7632 жыл бұрын
Astaghafirulwah baba na mama yanu wazazi
@givensanga35242 жыл бұрын
Kamkana baba yake
@christianmbappe89002 жыл бұрын
Make no mistake: DIAMOND LOVES ZUCH!! Take that to the nearest bank!!
@idrisamapesa27322 жыл бұрын
Anatakiwa apimwe akili kabisa uyu m2
@lelahngumbao99982 жыл бұрын
nani ameskia beb kiatu
@fatumaamani52712 жыл бұрын
Mm hapa 😄
@noelkalinga2 жыл бұрын
@@fatumaamani5271 wwewwwe
@lelahngumbao99982 жыл бұрын
@@fatumaamani5271 kumbe umeskia nilikuwa naona n mm peke yangu🤣🤣
@modysultan61702 жыл бұрын
unamasikio kama popo imebidi nirudie🤣
@lelahngumbao99982 жыл бұрын
@@modysultan6170 🤣🤣🤣🤣naukaskia nn
@psuccess60452 жыл бұрын
Tazama Mbosso alichokifanya usiku wa Jana👉👉👉👉👉👉👉kzbin.info/www/bejne/q5C2p3ulmq2Yi6s
@johasaeed3912 жыл бұрын
Kwa yeye mwanamziki mkubwa niayibu sana
@joshuabryson80442 жыл бұрын
Piga hela baba levo ......watu wacheke wee ndo ushachomoka hivo