Hili ni moja ya goli la kifala sana.. CR7 hakupaswa kuingia mapajani, alitakiwa kwanza kuitoa keta ya nyuma kumalizia steps
@kassimdadi5406 Жыл бұрын
Naskia kashinda 3 nduli tuwekee hayo mengine tuone
@stellabijela22382 ай бұрын
Goli gani?🤔
@kassimdadi5406 Жыл бұрын
Kakosea kula hapo kwenye mixa, agepata sare
@BobanKiko-xs1hs Жыл бұрын
Tuwekee na mapambano ya dogo shuku fundi wetu
@AdilMedir Жыл бұрын
❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅
@MbwanaMwazoa8 ай бұрын
Hiiiii ilikua sareee na sio goliiii
@KakotMsongole-o4v Жыл бұрын
Mkuu reta namagoli.Ronaldo
@qaisalqais6633 Жыл бұрын
Leo naweka la Ronaldo
@Mtituboy Жыл бұрын
Tunakupongeza ila usibague,hakuna hata ambayo Ronaldo amemfunga mtu ukaweka .kila siku anazofungwa ronaldo
@qaisalqais6633 Жыл бұрын
Magoli ya Ronaldo nitayapost Juma nne Ronald vs Sisco (honey goal?) Ronaldo vs kiwembe (mwanaukome) Ronaldo vs shuku(real talent)
@kassimdadi5406 Жыл бұрын
Poa na magoli mengine Naskia nduli kafunga 3
@meshackjoseph2289 Жыл бұрын
ile ngumu ndo ilimaliza bao😅
@wherethefanstarts5302 Жыл бұрын
Mafundi wanafikiria wanafungwa magoli ya ajabu ajabu mnoo😅😅
@qaisalqais6633 Жыл бұрын
Draft ni mchezo mpana San usiache kuchunguza step za mafundi tumekuzidi san
@eddiedonald7483 Жыл бұрын
Hawa mafund wanafikiria adi wanakoaea, goli gani ilo la kufungw sasa?
@qaisalqais6633 Жыл бұрын
Ukiona fundi kafungwa basi hata ww unafungwa
@eddiedonald7483 Жыл бұрын
@@qaisalqais6633 kaka eeh ilo draft ad hapo nduli alipopiga mixer ni droo sena cr7 alifikiria sana ad akajichanganya
@allymsukulu Жыл бұрын
@@qaisalqais6633 kaka kafanye analysis kwa kina uteletee huu mchezo vizuri Ila mi nimeona move ya nduli mara baada ya ronaldo kuweka kete konan karibu na single kona ya nduli ni move ngumu sana Si nyepesi kama watu wanavyo fikiria
@ridhiwaniswaleh7878 Жыл бұрын
Wapewe mechi ya maludiano.
@qaisalqais6633 Жыл бұрын
Watapewa itakuwa mechi nzuri zaidi
@salumzambwi8941 Жыл бұрын
Hilo bao kafungwaje cr7, mbona jepesi sana kufungwa fundi mkubwa kama yeye. Imekuaje ameanza kuziba hiyo kete ya nyuma?
@allymsukulu Жыл бұрын
Move alofanya nduli baada ya ronaldo kumaliza konani karibu na single kona ya ronaldo ni move ngumu sana jaribu kuifuatilia utagundua sare si yawazi sana
@Mtituboy Жыл бұрын
Magori ya Ronaldo hujawahi kuleta
@qaisalqais6633 Жыл бұрын
Magoli ya Ronald yapo tayar kesho nayaweka
@qaisalqais6633 Жыл бұрын
Kesho nayaweka
@kassimdadi5406 Жыл бұрын
Poa
@ashery1368 Жыл бұрын
Ronado kazngua kwenye Kula hyo mixer ilikua sare
@stanleyndelwa7491 Жыл бұрын
Sijaelewa bado kwanini wa bluue hizo kete 2 alizozibia King aliiitoa badala ya kumtoa huku aingie king mbona ilikua inakuja kutoa sare maana angeingia King na kula kete ya bure