Рет қаралды 716,481
Maajabu! Inafahamika kwamba maji hayapandi mlima lakini je, unaweza kuamini kwamba maji eneo la Kijungu, Rungwe mkoani Mbeya maji yanapandisha mlima? Global Tv Online, imefunga safari mpaka eneo hilo la kipekee na kuzungumza na chifu wa Wanyakyusa, Lusajo... ambaye anafafanua kwa kina kuhusu eneo hili la ajabu, Kiwira Magereza ambako maji yanapandisha mlima.
Chifu wa Wanyakyusa anaeleza kwa kina kuhusu maajabu haya na jinsi maji yanavyoweza kupanda yakipita chini ya ardhi.
Chifu Lusajo anaeleza kwamba eneo hilo lina vyungu viwili vya maji, ambapo unapotaka kuvuka, lazima uzingatie masharti ya kutanguliza mguu wa kulia au wa kushoto, kutegemeana na mahali unapokwenda.
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers