DARAJA LA MUNGU: NYERERE Alizuiwa Kulivuka SABABU Ya NYOKA!

  Рет қаралды 158,799

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 3 жыл бұрын
Yaani Joka limzuru Mwenyeji mwenye Nchi.wageni wazungu wawe salama.Kweli tuliliwa kwanza akili ndiyo tukaliwa mali zetu.Hongera Baba wa Taifa letu kwa kuwatimua.Japo mwili wako hatuuoni lakini kazi zako tunaziona.
@haikajohn7580
@haikajohn7580 3 жыл бұрын
Eti
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
Kazi nzuri Ongeza jitihada kijana.
@humphreykarua5241
@humphreykarua5241 3 жыл бұрын
Fantastically to hear from u urs most honestly H
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Hongera sana kwa masimulizi mazuri. Huwa nafuatiliavsana simulizi zako hasa historia za watu mashuhuri. Bigup sana.
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 жыл бұрын
Yani sisi waafrika mababuzetu tunawaita mizimu,tamaduni zetu uchawi lakini wababu wawazungu tunawaita watakatifu kweli😭😭
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 5 жыл бұрын
Madam Colethaa umeon eee ikiwa at hao wajeriman walipoondok walichimbia pesa zao chini na ukisubutu kuzitafuta lazima maisha yako yawe mashakani kwakuwa walifukia pesa na ndani yake wanajua wenyewe walifanya makafara gani
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 жыл бұрын
@@wahidashabaz5982 weacha2 mababuzao watakatifu wakwetu wachawi nihatare
@davidbiseko511
@davidbiseko511 5 жыл бұрын
Tumetekwa kifikra
@gracekivike827
@gracekivike827 5 жыл бұрын
😂😂😂😂jamani nimecheka
@Mokiwa
@Mokiwa 5 жыл бұрын
Madam Colethaa uchawi ni imani hata wazungu wanga vilevile
@charliebruce7793
@charliebruce7793 3 жыл бұрын
Huo mto uko katika nchi gani, congratulations for letting us know 👍👍
@atupakyselwesya5853
@atupakyselwesya5853 3 жыл бұрын
Mto upo nchi ya Tanzania mkowa wa mbeya wilaya ya rungwe
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 3 жыл бұрын
Tanzania
@farajagordon4847
@farajagordon4847 5 жыл бұрын
Exactly brother, kwetu huko
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Uzuri wa simulizi zako ni jinsi unavyopangilia pamoja na picha. Kumbe sauti nzuri si kwaya tu bali hata kusoma historia ama taarifa za habari mfano RIP Batikomba na Charles Hillary nk.
@mwasisobajohan7641
@mwasisobajohan7641 4 жыл бұрын
Asante kwa simulizi nzuri
@kassimmbaruku5128
@kassimmbaruku5128 5 жыл бұрын
bro unaweza kusimulia story sauti yko ikipoa sana
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Subhanallah Allahu Akbar. Ametakasika Allah m'bora wa kuumba, wala hana mshirika (hakuzaa, hakuzaliwa na wala hana mwana/mtoto). Ameumba watu ktk nafsi 4 tofauti; 1)Amemuumba Adam kwa kutokana na udongo, 2)amemuumba Hawaa kutoka ktķ ubavu Wa Adam, 3)ametuumba binSdam/watoto wa Adam kutokana na mbegu ya Uzazi ya Adam na Hawaa na 4) amemuumba Issa/Yesu (Mwana wa Maryam) bila ya baba! Subhanallah Allahu Akbar. Mungu Mola Muumba (Allah) ametukuka kwa sifa za uumbaji wake/m'bora as kuumba. Japo wapo wasojitambuwa humfanya/humwita Issa/Yesu ni Mungu na mwana wa Mungu !!! Mungu akitaka jambo liwe husema "kuwa..." na huwa. Hivyo tusiwape sifa viumbe sifa zisizostahiki kupewa/kuwa nazo. Kiumbe atabaki kuwa kiumbe/muumbwa (yupo muumvaji aloumba kiumbe/viumbe), hata hilo daraja limeumbwa na Mungu Mola Mumba bingwa wa miujiza. BinaAdam hawezi kufanya jambo bali huwezeshwa/huelimishwa na Muumba (Allab), mitume na manabii wa kweli walifanya miijiza kwa kupata/kupewa karama na Allah (Mungu Mola Muumba). Baadhi ya mitume na manabii (wazushi/waongo) wa Zama hizi hufanya uchawi wa mazingaumbwe (viini macho) na kujifanya ni miujiza/karama kutoka kwa Mungu! Chamsingi binAdam tuwe makini sana tusiwape viumbe sifa za Uungu ilhali wao ni viumbe/wameumbwa. Mbona Adam haitwi/hafanywi Mungu?! Maana afadhal Issa/Yesu anayo mama na ametokana na ukoo/saba ya Maryam lakini Adam hana baba wala mamama (hana nasaba/ukoo) mbona haitwi/hafanywi Mungu bali Issa/Yesu ndo awe Mungu huu ni ujinga na umbumbumbu mkubwa! Eti Mungu Yesu kafa/ķauliwa Msalabani mmmh......! Mungu nae anakufa/anauliwa na viymbe alowaumba?! Tujitambuwe, tubadilike, tuwache mazowea.
@nemambelwa142
@nemambelwa142 3 жыл бұрын
Masha Allah Jazakallahu khayr kwa elimu
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 2 ай бұрын
Dini ya kiislamu ni mawazo ya majini aliyovuviwa Muhamad pangoni akidai ni Gabriel. Lengo ni kupinga ukombozi ulio katika Kristo Yesu maana kule kusema hana Mwana wala hakuzaa ni kauli ya majini walipoisikia Kurani. Ni maigizo ya shetani kujifanya Mungu. Utendaji na uwezo wa Mungu si kama wanadamu. Sisi wanadamu lazima tuwe na mke ili kupata mwana, lakini kwa Mungu si lazima yeye husema na inakuwa. sisi lazima tuwe na mbegu ili kuotesha mmea, lakini Mungu aliotesha mimea bila mbegu. Mwislamu anasema Mungu hana mwana maana hana mke!! Nami nakubali maana ni uislamu kwenye ufahamu wake. Na ukishakuwa mwislamu lazima uwe na mitazamo ya kiislamu.
@princeramadhani4950
@princeramadhani4950 5 жыл бұрын
Ahsante Kwa story nzur kamanda
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 жыл бұрын
Mbona hatulioni hilo joka?
@dennischeyo1302
@dennischeyo1302 5 жыл бұрын
Kukaja Mbeya City
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 5 жыл бұрын
Good story
@ellymaz2187
@ellymaz2187 3 жыл бұрын
Kumbe tumaanza kuibiwa zamani, enzi za Nyerere watu walikuwa wanazuga wanaweka mitambo ya kufua umeme kumbe wanaiba madini. Asante Nyerere kwa kuwatimua. Lakini Waafrika tutaamka lini?
@gmdecoration6044
@gmdecoration6044 5 жыл бұрын
aise yani kama tembo aliye kula miraa kwaraha zetu Ananias Edgar
@tinadaniel6919
@tinadaniel6919 5 жыл бұрын
Nimeshafika hapa
@antonymuchina9515
@antonymuchina9515 3 жыл бұрын
Wah
@kassimmbaruku5128
@kassimmbaruku5128 5 жыл бұрын
unavutia sana kwenye story
@TwalibumsaaMusharaba
@TwalibumsaaMusharaba Ай бұрын
Mimi kudura naweza kurivuka hizo ni imani potofu
@dsstanzania
@dsstanzania 3 жыл бұрын
Okay
@egonkasiano7822
@egonkasiano7822 5 жыл бұрын
Safi sana
@stellamwakatulile3202
@stellamwakatulile3202 3 жыл бұрын
Jamani mbeya yetu
@rasnonoregekiswahili4799
@rasnonoregekiswahili4799 Жыл бұрын
Siku hizi watu tunapita haikatazwi. Kuzuri mno
@neemajosephati8403
@neemajosephati8403 5 жыл бұрын
Mungu Mkubwa
@hooswengosha2985
@hooswengosha2985 3 жыл бұрын
Dah ebwna eeh hizi sehemu mali tusomee basi tujepakomboa tusipaanglie t
@mkenyaog3170
@mkenyaog3170 5 жыл бұрын
Msituekee habari za akina naniii tumewachoka tuleteeni makala kama ha mala kwa mala # Bg up global
@hooswengosha2985
@hooswengosha2985 3 жыл бұрын
Kwel babaa
@floraflora5717
@floraflora5717 28 күн бұрын
Mwambie ccm wavitengeneze viwe vivutio tizama china
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 5 жыл бұрын
Kuna bikon IPO juu ya daraja LA mungu pale ningependa ckumoja nipate historia yake
@athumanrajabu8739
@athumanrajabu8739 5 жыл бұрын
due noma sana majabu ya dunia
@khadijaabdallamasoud7690
@khadijaabdallamasoud7690 3 жыл бұрын
Naendelea kujifunza
@ayubunsajigwa3935
@ayubunsajigwa3935 5 жыл бұрын
Hakuna cha joka wala nyoka Bali ni simulizi za kutumga .Bali hilo daraja ni matokeo ya volcono ambayo ilitokea miaka mingi iliyopita .mashimo ya volcano ndiyo MTO hupita
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 5 жыл бұрын
ayubu nsajigwa kama hakuna joka nenda ukavuke kijungu au ukaulize ile bikoni juu yadaraja kama cjakosea iliwekwa 1972 uliza nan aliweka
@bilalothaman6457
@bilalothaman6457 5 жыл бұрын
Wewe akili unazo🙏 safi sana. Usipende kushikiwa utapata taabu sana. Joka khaaaa 😴 sio unakubali tuu kila kitu
@kryptonsamath7955
@kryptonsamath7955 5 жыл бұрын
sio volcanoo ww uo ni mwmba wa cave lain ulio liwa na maji ambapo ule mgum ndo un exst kam drja
@jaredoguya2510
@jaredoguya2510 5 жыл бұрын
I salute you bro. That's a real fact's
@leecliffemwaikambo8389
@leecliffemwaikambo8389 5 жыл бұрын
Mi nahisi kuna madini sana hapo kwaiyo Warusi waliwaza baada ya kufukuzwa watayapataje tena? Wakaona wawatishe watu kwa kutunga story hiyo ili baadae waje warudi kwa njia nyingine kuyachimba.
@sofianjozi7791
@sofianjozi7791 3 жыл бұрын
Hili nalo neno
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 9 ай бұрын
Hamna hizo story zipo Toka enzi na enzi kabla ya ukoloni
@tusajigwekanemela2864
@tusajigwekanemela2864 3 жыл бұрын
Nimefika nipazuri hatariii
@zakariasuleiman8989
@zakariasuleiman8989 3 жыл бұрын
Mh
@yohanamwawalo7113
@yohanamwawalo7113 3 жыл бұрын
Nauliza ivi hilo joka bado lipo mpaka sasa?
@moblackmpangule9188
@moblackmpangule9188 3 жыл бұрын
Kwetu mbona kunamto autaki kujengwa daraja
@georginajohn8456
@georginajohn8456 3 жыл бұрын
Weeee fanya Mawasiliano utangaze vuvutio vya kwenu wageni waje kutembelea
@sarahmarishay6938
@sarahmarishay6938 3 жыл бұрын
Duuuu
@prospersanga7942
@prospersanga7942 3 жыл бұрын
Tulimpoza mwanachuo mwenzetu hapo, aljifanya mwanadini na alipotea siku nne siku ya tano ndo akaokotwa, it was 2019 aprili jamaa from mwanza huu mto Ni hatr usipofuata mashart yake
@jaffaryhassany9832
@jaffaryhassany9832 5 жыл бұрын
Mhhhhhh afrika ndio mana kufanikiwa lazima uwe mchaw 😂😂😂
@mwanjekeyz8671
@mwanjekeyz8671 3 жыл бұрын
Kyala aperile fyosaa
@Mokiwa
@Mokiwa 5 жыл бұрын
Story hizi 🤣🤣🤣🤣 ndiyo maana watu hatuendelei, watu wanaogopa kwenda kutega mitambo ya umeme kisa joka ambalo mara ya mwisho haijulikani lilionekana lini. Tangu nina miaka mitano naufahamu mto kiwira nasikia tu story hizo na watu wameogelea mpaka hapo daraja la Mungu tulikuwa tunatoa viota vya njiwa na mbayuwayu... Me siamini katika mnachokisema maana nimeishi huko
@mohamediathumani9823
@mohamediathumani9823 5 жыл бұрын
Bro ww hukosei
@neemajaili2083
@neemajaili2083 5 жыл бұрын
kukaja kumyitu
@fledymavikamavika6580
@fledymavikamavika6580 3 жыл бұрын
Sitori zulii
Maajabu ya Daraja la Mungu na Simulizi ya Kusisimua ya Nyerere na Warusi
14:50
MAANDAZI MANNE USIKU | Oka Martin & Carpoza
4:05
Wanyabi
Рет қаралды 300 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
PART1: MTI WA AJABU, UKIUPANDA MTU ANAKUFA, MKE HAZAI, SHEHE AELEZEA A-Z..
17:46
IJUE HISTORIA YA MAAJABU YA MWANAMALUNDI
11:30
Global TV Online
Рет қаралды 309 М.
Tazama Maajabu ya Maji Kupandisha Mlima Eneo la Kijungu- Rungwe
10:37
Global TV Online
Рет қаралды 716 М.
DUNIA (Ep 46)
22:12
ASMA FILMS
Рет қаралды 50 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН