No video

TAZAMA MABEHEWA MAPYA YA GHOROFA YAKIPOKELEWA, UWEZO WA KUTEMBEA KWA KASI, KM 300 SAA MOJA NA NUSU

  Рет қаралды 19,481

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 75
@abdallahomary515
@abdallahomary515 Жыл бұрын
Kazi nzuri, hongera sana Dr Samia well done, mambo kama haya yanafurahisha sna.
@user-lr5wc6kk7m
@user-lr5wc6kk7m Жыл бұрын
Magufuli hy
@OmaryNgitu-io6sz
@OmaryNgitu-io6sz Жыл бұрын
Rangi ya blue kama mwendokasi ingependeza zaidi,Mwenyezi Mungu tujaalie zaidi,viva tanzania
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 8 ай бұрын
Safi sana government yangu hongereni sana kwa jambo hili
@sekitauniquedesigns8813
@sekitauniquedesigns8813 Жыл бұрын
Kwani hakunaga rangi nyingine?!😢
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
Tanzania huwa hatushindwi kukosea yaan kila jambo lazima liwe na kasoro huyo mtaalam wa rangi si mtu mzuri yale yaliyopo pale ni mapya lakin yanaonekana yamechoka Kiwango cha rangi kilitakiwa kipandishwe mpaka 63 ili kuongeza mng'ao na kutowahi kupauka kutokana na mazingira ya Dar
@nasrajeremiahnasra8161
@nasrajeremiahnasra8161 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mh9251
@mh9251 Жыл бұрын
Huyo aliyetamka neno hakunaga ni neno inayotumika Kenya. Nahisi ni mkenya ndio maana kaanza maneno. Haswa kwasababu reli yao mpya hawana behewa lenye gorofa juu na chini.
@mohamedsaid2882
@mohamedsaid2882 Жыл бұрын
Nilifikiri nipo peke yangu 😂😂
@fatumasalim1946
@fatumasalim1946 Жыл бұрын
Hongera sana viongozi wa tanzania Sio kama viongozi wa Kenya wezi mafisadi
@aminata3702
@aminata3702 6 ай бұрын
Haituhusu
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Safi selikali 🙌
@starjay3052
@starjay3052 Жыл бұрын
bongo kikubwa uzima tu 😂😂
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 Жыл бұрын
Hiyo rangi ndo wakuu wa nchi hii mmependekeza
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
hata mie litaka kuuliza 🤣🤣🤣
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 Жыл бұрын
Millard Ayou unasema mabehewa mapya alaf msemaji anasema mabehewa used😂😂😂😂 mimi nasoma comment tu
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Жыл бұрын
Hivi TRC haina kitengo cha Mawasiliano kwa umma ambacho angekuwepo msemaji rasmi wa TRC badala kila tukio la TRC Mr G.Msigwa ndiye anakuwa msemaji?
@wolinet1
@wolinet1 Жыл бұрын
Hongera selikali na walipaji wote wa kodi
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
MANENO MEEENGI . UMEME MNAOOO?- TUSIKUTE WATU WANALALA BARABARANI KWA KUKOSA UMEUME.
@yussuphyonamwiwindi7111
@yussuphyonamwiwindi7111 Жыл бұрын
Hongera sana slowly will win the goal
@starjay3052
@starjay3052 Жыл бұрын
ila ya mtumba ayo
@YaaMnyad
@YaaMnyad Жыл бұрын
Mama yupo kazin
@martinmwasubila8762
@martinmwasubila8762 Жыл бұрын
Hatuitaji maneno mengi bali utendaji mzuri na bora na wa kiwango
@damassetas5897
@damassetas5897 9 ай бұрын
Yaan wanazani wakisema ya gorofa tutachanganyikiwa ...na hayo sio ya kisasa ni Bora wangechukua mabodi ya zongtong bus toa matairi weka cheses ya behewa ni laxshar mara 100 ya haya wanayozungumza hapa ...kama sio utapeli nini
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 Жыл бұрын
TRC wajaribu kubuni rangi yenye mvuto
@r14kgroup68
@r14kgroup68 Жыл бұрын
Binafsishane na hayo
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Kwaio tumenunua used daaah asee hii Tanzania
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
mzee wetu alitaka kuleta mapya na ya kisasa , yaani hata aibu hawana
@eliaspaul9028
@eliaspaul9028 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fZapqJqGh52bja8 ☝️☝️☝️☝️☝️☝️ Tazama majaribio yalivyo fanyika
@lucasmourice8347
@lucasmourice8347 Жыл бұрын
Hahaha sasa umekarabat inakuaje mpya sasa
@abroadconnectededucationlt5435
@abroadconnectededucationlt5435 8 ай бұрын
NTAKUKUMBUKA DAIMA BABA MAGUFURI
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 Жыл бұрын
Kazi ya magu
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Guys ni kwanini hii rangi watu hawakuipenda kusema kweli Mimi hiyi rangi nilikuwa nimeipenda sana
@starjay3052
@starjay3052 Жыл бұрын
ivi kwa akili zako mchina atanunua bewa lililo tumika acha siasa kaka
@noriegacapadona9340
@noriegacapadona9340 Жыл бұрын
Mama unaupiga mwingi SEMA tubadilishieni hii rangi ya binzari
@martinmwasubila8762
@martinmwasubila8762 Жыл бұрын
Kwa nini yasipakwe rangi ya nchi yetu?
@bagaileshabani3179
@bagaileshabani3179 Жыл бұрын
Pumbavu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
tena nazi 😂😂
@philip788
@philip788 Жыл бұрын
Unatuchanganya kusema km 300 kwa saa moja ma nusu. Sema tuu ni km 200 kwa saa moja.
@damassetas5897
@damassetas5897 9 ай бұрын
Yaan kunawatu hawana hata wivu yaani kwakua nyumbani kwake anatumia masofa ya kununua kwa rashid bila kujiuliza kwanini rashid kamuuzia yeye anaona kapata rahisi jamani wivu wa mapenzi tuuhamishie kwenye maendeleo basi.
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z Жыл бұрын
Yanainjini?, au yanajiendesha yenyewe.kama sio mapya yanakuaje yakisasa?
@Chiruka-qj3eb
@Chiruka-qj3eb Жыл бұрын
Usengee mtupuu 😮
@noriegacapadona9340
@noriegacapadona9340 Жыл бұрын
Watu wengi wanao fanya Kazi TRC hawajui Kiswahili kwenye L wao Wana weka R Na kwenye R wanaweka L msije kusabanisha Akali Janani tafadhalini wapigeni msasa
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 Жыл бұрын
Sihitaji kupakia train Bora nibaki bus tu serekali umeleta mabehewa yakizamani yamepitwa na wakati yametumika huko mkaona myanunue mkayafanyia ukarabati
@HF005-gf8di
@HF005-gf8di Жыл бұрын
Hahahah serikali inanunua used hahaha yanarangi ya halotel
@sagulesalehe6203
@sagulesalehe6203 Жыл бұрын
Uzid
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@starjay3052
@starjay3052 Жыл бұрын
ila sasa siasa zimezidi vichwa mbona amna asa iyo mabewa yatajiemdesha yenyewe
@justinefelis2071
@justinefelis2071 Жыл бұрын
Kwani wewe ndo umeleta maB ehewa???
@starjay3052
@starjay3052 Жыл бұрын
@@justinefelis2071 kaleta baba ako na mama ako kwani we ulikua unataka kufirwa au kutombwa
@mangushiog-7352
@mangushiog-7352 Жыл бұрын
Leo mimi sina furaha😢
@phillipmatola6964
@phillipmatola6964 Жыл бұрын
Sema Rangi Sasa duuh.. Sio poa
@harrywarren61
@harrywarren61 Жыл бұрын
yametumika swali yatatumika miahaka mingapi na Yana galantii? Kwasababu yametumika
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 Жыл бұрын
Haya tusubili hizoajali kama za India mungu tusimamae mana hukotulikoyatoa 😢
@swalehebakari8400
@swalehebakari8400 Жыл бұрын
😂😂😂
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 Жыл бұрын
mbn speed ndogo sana 😅😅😅😅😅
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
Kkkkkkkkkkkj ati yamekarabetiwa
@n_onlinetv91
@n_onlinetv91 Жыл бұрын
Usd ni usd tu mzee acha stori nyingi 😁😁😁 eti usd imekarabatiwa imekua mpya🤣🤣
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
lazima walete pumbazo lao baada ya upigaji wao
@n_onlinetv91
@n_onlinetv91 Жыл бұрын
Mpaka hapo tushapigwa wanatafuta pakutokea sasa🤣🤣🤣
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Sasa mbona kerere atusikiiiiiiiiiii. tenaaaaaaa
@iddyngaiwa
@iddyngaiwa Жыл бұрын
Duuuu kumbe yametumika
@abumasoud1996
@abumasoud1996 Жыл бұрын
Mabehewa ya shachoka.yemeenda kilimotitar nyingi.wazungu wanatumia vitu vyao masaa 24.yamepigwa rangi mnayaona mazuri.chuma cha trein ni Kama mwilinwa binadamu Kina mda wake wa kuchoka
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 Жыл бұрын
Wewe umesomea wapi 😂
@michaelbwire8574
@michaelbwire8574 Жыл бұрын
mabehewa ya ghorofa ya nn tena mamb yameshakua meng tena
@MayaKhairun
@MayaKhairun Ай бұрын
Hongereniiiii🫡🫡🫡
@damassetas5897
@damassetas5897 9 ай бұрын
Hiyo ni rangi ya shirika wewe.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
kumbe mitumba !! 🥱🥱🥱 hii ndivyo walivyo wapigaji
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 Жыл бұрын
Tuache kujidharau
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
@@wozanawewoz979 sasa kununua mitumba ni dharau kiasi gani ? au sio dharau kwenu ?
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 Жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 nchi yetu bado ni maskini sasa ukitaka kila kitu kipya si utaambiwa tupe reli yote na miaka kadhaa ya mikataba😂
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
@@wozanawewoz979 nchi masikini au tatizo ni viongozi hovyo na wezi tuu
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Жыл бұрын
Kumbe serikali nayo inanunua vitu used
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
aibu kweli halafu wanataka kitukunguwaza eti !!!! hata China wananunua used 🤣🤣🤣🤣 Chinese kwa rail ni namba moja duniani ,
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Sasa mbona kerere atusikiiiiiiiiiii. tenaaaaaaa
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 51 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 2,3 МЛН
MAGUFULI:NILIPOTAKA KUJENGA TRENI YA UMEME INAWEZEKANA  HAWAKUNIAMINI''
7:39
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
TRC RELI TV
Рет қаралды 23 М.
NJE MPAKA NDANI YA MABEHEWA YA KISASA YA GHOROFA YA SGR
6:23
TRC RELI TV
Рет қаралды 37 М.
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10