TAZAMA: MIUJIZA FEKI INAVYOFANYIKA MAKANISANI - Mchungaji Peter Mahenge

  Рет қаралды 60,802

UBUNGO CHRISTIAN CENTRE

UBUNGO CHRISTIAN CENTRE

Күн бұрын

Пікірлер: 143
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Mchungaji upo vizuri kusema UKWELI ni Bora zaidi hata kama watakereka na watakuchukia hao wezi lkn Kwa mungu anapenda ukweli
@christopherkaloli5512
@christopherkaloli5512 Жыл бұрын
Neema ya Mungu itawale kama Mchungaji huamini Nguvu za Mungu siyo kila anayefunguliwa nimaigizo, Mungu akupe Mafunuo zaidi pia.
@WilsonJohn-or6rl
@WilsonJohn-or6rl Жыл бұрын
Real Pastor inaskitisha sana nadhani Kwa upande mwingine huko ni kumpa utukufu shetani badala ya MUNGU. Sasa kama unaona hivo wewe ulie na nguvu za Mungu halisi SI udhihirishe tuzione. Pastor Mungu hajakuitia kujaji watu baba mchungaji tupe Neno hayo mengine yaache wewe umeona hayo ila humu humu kwenye dino yetu Kuna husda mwingine sana, Kuna ukritimba nk ambavo pia ni machukizo mbele za Mungu.
@Wilsonduwee
@Wilsonduwee Жыл бұрын
Sahihi sahihi Mchungaji. LAKINI, udhihirisho wa nguvu za Kristo upo, na si kila kuanguka au kurespond hivyo ni ku fake. Ukristo halisi, unaweza kuwa na nguvu hata zaidi ya mfano ulio utoa. Biblia inasema we should demonstrate power, na shetani hawezi kuvumilia anapoiona nguvu ya Mungu kwa mtumishi wake. Tuwe makini na tuwaheshimu watumishi wa Mungu, tusije tukapigwa kwa kuto ku honour watumishi wengine. moja ya tabia za kitanzania ni kuhisi wengine ni waongo. Ninakuombea kwa jina takatifu la Bwana Yesu, akupe nguvu za ajabu, ili uwe kielelezo kwa wote wenye nguvu za Mungu za mfumo huo.
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 Жыл бұрын
Kwani amesema KILA kuanguka ni kwa kipepo?
@omarisengasu3970
@omarisengasu3970 11 ай бұрын
Tazama Majira na Nyakati Tulizopo Mkuu, Jamaa hapo Kasema ukweli, Ana Li-Alert kanisa (Mathayo 24:4-28) unadhani hapo Yesu alikuwa anawaambia akina nani, kwamba watatokea wengi na kupotosha wengi Mkuu. na Upotoshaji Huo ni upi unafikiri watawapotosha kwenye nini. Fanya Tafiti Manabii wengi kama si wote wenye majina makubwa unaowajua hap TZ ni wapotoshaji. Yesu alitoa agizo moja (Math 28:19-20), Mission ya hao wengine ukiifatilia iko sawa na hilo andiko? Je Mataifa wanageuzwa na kufanywa kuwa wanafunzi wa kristo au mataifa wanafanywa mitaji kwa kukosa Maarifa, na kumuona Mungu ni kama Mtu wa Nipe Nikupe?
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 10 ай бұрын
Wewe Kama ni mchungaji kweli Umekosea sana,Mungu anawatumia hao Watumishi wake Kwa kiwango Cha juu sana so Usifikiri ni miujiza feki,Ukweli Mungu akurehemu sana
@WilsonJohn-or6rl
@WilsonJohn-or6rl Жыл бұрын
Baba mchungaji uko sawa kabisa Bado ukweli utabaki pale pale bado Kuna majitu huko wana 🔥 ya kweli kabisa maana kila kwenye msafara wa mamba vikenge vinakuwepo, ila sisi wana TAG tuwe tunatathimini tumeanza kufanya injili za kisupastar, za kiutu uzima, za kistaarabu sana tuangalie tusijue kuwa ndio tunaenda kule kule walipo Hawa Leo tunawaita wana dini(religious people) hii imesababishwa na kiburi Cha kuona tupo kwenye taasisi kubwa na kuwa tumeshaaminika kwenye jamii ila ikumbukwe sisi Hawa Hawa unaotuhubiria ndio washabiki ibada zikiisha huku kwenye dini yetu tunaenda kwao na sisi hao hao tunawaangalia hao jamaa kwenye KZbin etc. Natamani kila mtu ashindanie kila ameitiwa Kwa sabu haya mengine yanatupotezea focus towards our goals.
@kobelochande6669
@kobelochande6669 Жыл бұрын
Msg kubwa hii hongera
@eugenyraphael4334
@eugenyraphael4334 11 ай бұрын
Pole mchungaji,
@Its_rine_e
@Its_rine_e 12 күн бұрын
Jamani jamani msitukie mambo .....sio kwamba ndo huea anaubiri kuhusu hayo lkn hilo lilkuwa simo moja wapo la kujifunza acheni kukaza mafuvu.elewen bas
@elnorahmjomb1896
@elnorahmjomb1896 11 ай бұрын
Hii ndio hufanyika kweli mtu wa Mungu.barikiwa Sana kwa kutufungua macho
@joycefrances4516
@joycefrances4516 Жыл бұрын
We mpinga Kristo,Ina maana huamini Kama Mungu ana nguvu, inamaana Mungu ni WA maigizo Kama hayo UNAYOFANYA,embu hubiri neno la Mungu,acha fitna,haipendezi,ubiri neno na kufundusha watu kufunga na kuomba sio fitna ,
@daudidaniel544
@daudidaniel544 Жыл бұрын
Kila mtu ameitwa kwa wito tofauti so hatuwezi wote kukalingana ,,,,,wengine waliitwa kuwa waalimu wengine wachungaji wengine manabii na wengine mitume so all in all hata vile unajipeleka kwenye kumtafuta MUNGU ina matter pia ndiomaana maandiko yanasema ,,,God is the rewarder of those who deligently seek him
@zionembassytv5672
@zionembassytv5672 11 ай бұрын
Kuna tatizo kubwa sana kwa watumishi wa Mungu,huo anaofanya ni utoto wa kiroho
@yohanamasweko915
@yohanamasweko915 8 күн бұрын
Ubarikiwe sana baba
@nicaswaziri
@nicaswaziri Жыл бұрын
Mapepo yapo sio kila kitu ni miujiza feki. Mtu akishatawaliwa na pepo huwa dhaifu mno kelele tuu zinamuangusha, kila mtumishi wa Mungu ananguvu zake sio kila mtumishi atatoa pepo. Imani Imani Imani Yesu alisema ukiwa na imani ndogo ukiuambia mti ng'oka nao utan'goka. Mungu yupo na kazi inafanyika na miujiza tunapokea
@yusuphkayoka5452
@yusuphkayoka5452 Жыл бұрын
Maisha ni kupata majibu ya maswali yanayowaumiza watu, ni hivi watu washaangushwa Sana na nguvu zinazoitwa za Mungu lkn baada ya kuamka maisha ni yale Yale, kuna watu wanafunguliwa vifungo vya umasikini, vifungo vya kwenda ulaya, vifungo vya maradhi vifungo vingi Tu lkn maisha hayabadiliki, mbona bible ipo wazi kinachofungua vifungo sio kuanguka, Bali "ukiijua kweli nayo itakuweka huru" , na ukumbuke bible inasema, " Yesu ni njia kweli na uzima", Na Mungu akikuweka huru unakuwa huru kweli kweli, tuache kuamini kila kitu, nguvu za Mungu zinaingia Kwa mtu taratibu Kwa ufunuo anaoupata kupitia andiko, ule ufunuo utakaofunuliwa ndio inakuwa nguvu ya Mungu kuleta matokeo kwenye maisha yako, na kuombewa ombewa na kuangushwa hovyo hovyo bila kubadilika kimaisha.
@sylvanuskomba8646
@sylvanuskomba8646 Жыл бұрын
HAPO FEKI NI WEWE, KWANI KAMA HUNA NEEMA NYAMAZA KIMYA. PIA UJUWE KUNA WANAO FANYA HIVYO KWA NGUVU ZA MUNGU, USIJE UKAKUFURU
@hijazhija316
@hijazhija316 Жыл бұрын
Truth will be prevailed..in shaaAllah
@emanuelnyab9872
@emanuelnyab9872 11 ай бұрын
God bless you pastor
@BeatriceMuhomi-cz9cr
@BeatriceMuhomi-cz9cr Жыл бұрын
Mmmhii naikataa ya kujifanyisha watumishi wa mungu mtafuteni mungu kwa bidii maadamu anapatikana akipatikana ndipo utalihubiri neno la mungu na siyo maneno👏👏
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 Жыл бұрын
Sama bibilia vizuri,hayo mambo yote yatoka kwa Mungu .nandio mana akasema mwenye anaweza kuambia mlima ngoja naukajitupe baharini.naukangoka.sasa maneno hayo aliambiwanani, namanabii ,wachungaji,na mitume mpaka Leo,wapo nawanazaliwa,namiujiza lazima i
@joppagraphix2868
@joppagraphix2868 Жыл бұрын
Bado Hujamfamu Mungu Katika kiwango kingine Mtumishi Wa Mungu
@meshackmwangiministries.1748
@meshackmwangiministries.1748 2 ай бұрын
Huu nao ni ujinga. Injili ihubiriwe na Mungu kuaminiwa kwa roho na kweli.
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 Жыл бұрын
Miujiza ipo,uponyaji upo,kama kunampiga Dili,zambi ijuu yake lakini usijisafishe kwakutaka waumini wengi,acheni malumbano watumishi mkifa siku yakufufuka Kila mmoja ataubeba msalaba wake.
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Na bado mtasema,
@radisokida894
@radisokida894 Жыл бұрын
Piga kazi ya Mungu acha kuponda watumishi wenzako nyinyi watumishi mtakuwa lini wachawi wana umoja waganga wana umoja lakn nyinyi watumishi mnapondana tatizo kubwa sana hilo cjui ndo uwito mlio itiwa watumishi kuponda unaweza ukaungwa mkono na watu wasio elewa utaratibu wa Mungu kiukweli unakosea sana
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana,
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Жыл бұрын
I'm proud to be a Muslim
@RwelamiraPascal
@RwelamiraPascal Жыл бұрын
You are proud to be a Muslim fine! But Muslims will be saved by Jesus. Know where you are n where you are going
@thamani5842
@thamani5842 Жыл бұрын
Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah.
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Heheheeeeee m hungaji.jamani umenichekesha mnoooo
@Pastor-alex
@Pastor-alex Жыл бұрын
Tatizo sio miujiza fake @rosemuhandoofficial5676 Tatizo ni anayepinga miujiza hana miujiza ndio maana hapo hapo wanaohubiriwa nyumbani kwao wana mafuta na vitambaa vya upako.. Niamini mimi da rose
@christophercostantine7497
@christophercostantine7497 11 ай бұрын
alichokisema nikweli , hizi inatokana na Maneno ya Yesu dhidi ya Mafarisayo, Mathayo 12:39-41 kizazi Cha ishara na miujiza Kama Yona . Kwahiyo Nyakati hizi ili watu watambue Mungu Yuko ndani yako wanataka Miujiza na sio lile Neno litokalo Ndani yako ambalo ndilo linalosafisha Utu wetu wa ndani na kuwa Mpya kwa Mbegu ya Mungu isiyoweza kuharibika kupitia Ubatizo. Ndio miujiza Ipo lakini 1Yohana 4:1 Tumeambiwa tusiamini kila Roho Bali tuzichunguze.
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 Жыл бұрын
Fundisha neno la mungu tukuelewe,acha Majungu,waache wafu wazike wafu wao acha kutafuta kiki kupitia wachungaji wengine
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Жыл бұрын
Exactly,haya ni majungu,hamjui Mungu,msikae Kwa mchungaji anayewasema,watumishi wa Mungu Kwa wivu,
@shedrackmichael7875
@shedrackmichael7875 11 ай бұрын
Nguvu ya MUNGU ya kweli ipo kabisa mtu MUNGU ikiwa unaitaji kuexperience utendaji wa nguvu za Roho Mtakatifu karibu.
@ashamdemeka
@ashamdemeka 12 күн бұрын
Mm mcathorc nilijua uko kupuliza ni system ya walokole wote😅
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Ай бұрын
Wengine waongo lkn wengine kweli, watumishi mnanichanganya.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Hapo hakuna mtumishi hata maandiko hajui kabisa😂😂😂
@AjuaLupembe-px2rb
@AjuaLupembe-px2rb Жыл бұрын
Wewe mchungaji ogopa sana mimi nahubiri na hayo yanatokea na sio feki wala nini tafuta upako utaelewa namaanisha nini.
@Its_rine_e
@Its_rine_e 12 күн бұрын
Sasa unataka asiseme ukwel kwa yanayo tokea
@AmuriKajibom
@AmuriKajibom 9 ай бұрын
Nawapenda ubungo ucc
@PriscaKaweka-ih8jp
@PriscaKaweka-ih8jp 2 ай бұрын
Hiyo ni miujiza ya sarakasi atuitaki
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 14 күн бұрын
Hiiiiiiiiii ndiooooo injiliiiiii
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Жыл бұрын
Injili FEKI zipo ila Mungu hawekewi mipaka ..mmmmmmm
@AbdiHassan-nl4rg
@AbdiHassan-nl4rg 11 ай бұрын
Abdi Hassan Noor AMEN
@brunomassae6233
@brunomassae6233 Жыл бұрын
Hubiri Neno Nguvu za MUNGU zipo tena sana
@drtobias_
@drtobias_ Жыл бұрын
Hakika umenena vyema
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Жыл бұрын
Kabisa!Nguvu kubwa za MUNGU zipo za kufanya hayo yote na kufanya chochote.Mtu asiyekuwanazo huwa anaona kama maigizo na sikila mtumishi anazo ni neema pia.
@lydiamwatumbula7608
@lydiamwatumbula7608 Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua Mtumishi wa Bwana
@floramgimwa4464
@floramgimwa4464 Жыл бұрын
Yesu mwenyewe pamoja na kusema maneno, alitenda miujiza. Kwa hiyo naye alikuwa feki. Kama una ushahidi wa feki ni wewe. Lakini wapakwa mafuta wa kweli wapo. Sio watumishi wote ni feki. Na wewe tutakujuaje kama sio mpiga hela tu? Acha wivu. Hutafanikiwa kwa kuchafua kanisa. Wewe nawe fanya uliloitiwa.
@sylivestermwasile4203
@sylivestermwasile4203 11 ай бұрын
Shauri yakoo
@michaelemanuelsulle3155
@michaelemanuelsulle3155 Жыл бұрын
Ni kweli miujiza feki ipo, ila si kila anayefanya hivyo ulivyotolea mfano anafanya miujiza feki. Nguvu za MUNGU ni halisi ila wengi ambao hawana na hawajakutana nazo tangu waokoke hawawezi kuelewa mpaka wakutane nazo. Tuwe wavumilivu tu na tuheshimu vile BWANA anavyochagua kumtumia mtu asiyekuwa wa dhehebu lako! Mifano kama hii INAVUKA MISTARI fulani ambayo ni HATARI mbele za Mungu.
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 Жыл бұрын
Namiujiza lazima itendeke Ili kumzihirishia shetani kua Mungu ni mwenye nguvu.Inategemea kipawa chako ni Roho WA Mungu, au nicharohi WA shetani sawa mtumishi,tusome bibilia waumini tunadanganywa.sio analolisema mtumishi nisahii tu nae ni mwanadamu
@hospitalyamungutv8217
@hospitalyamungutv8217 11 ай бұрын
Tatizo kubwa kwa kanisa la leo macho ya rohoni hakuna. Ila miujiza ya kweli ipo kubali kataa.
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 11 ай бұрын
Kuna watu wameumbuka sanaaaaa
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Жыл бұрын
Mtumishi pokea 🌹🌹🥀 yako mapema maana umeongea kitu ambacho hata Mimi nilikuwa nakiwaza sana
@abdulrahmankafuku3449
@abdulrahmankafuku3449 Жыл бұрын
Waambie ukweliiiii hao wanaliwaaa tuuu sadaka mara maji ya upako, mara mafuta ya upako, "kweli watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifaaa" 😂😂😂
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 Жыл бұрын
Maarifa wewe ndio umeyakosa,Yesu ndio ametumia vifaa vya kiroho na wanafunzi wake,hata huyu mchungaji hamjui Mungu amemkalili TU,
@abdulrahmankafuku3449
@abdulrahmankafuku3449 Жыл бұрын
Mathayo 24:24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule. Mathayo 24:25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele. Mathayo 24:26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki. Hayo ni maneno ya YESU akiwionya lakini hamsikiiiiiiiiii maskini ya mungu rudini kundini kondoo mliopotea,
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 11 ай бұрын
Kinachovuta wengi miujiza
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 Жыл бұрын
Ulichofanya kwa madhabahu kinakuua mwenyewe yaani hautakuja kufikia viwango vya udhihirisho wa viwango vya juu ikiwa utadharirisha kazi ya Roho mtakatifu namna hiyo
@Apostleode
@Apostleode Жыл бұрын
Yohana 9:6-7 [6]Alipokwisha kusema hayo, alitema mate chini, akafanya tope kwa yale mate. Akampaka kipofu tope za macho, When he had thus spoken, he spat on the ground, and made clay of the spittle, and he anointed the eyes of the blind man with the clay, [7]akamwambia, Nenda kanawe katika birika ya Siloamu, (maana yake, Aliyetumwa). Basi akaenda na kunawa; akarudi anaona. And said unto him, Go, wash in the pool of Siloam, (which is by interpretation, Sent.) He went his way therefore, and washed, and came seeing. Hii ajabu alifanya Yesu na yeye ni Muongo?
@MICHAELMOBILECARE
@MICHAELMOBILECARE Жыл бұрын
Amen umemwambia ukwel maana shida warmish wa siku his kama hana kalima ya uponyaji anabolic lupins went kalama
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 11 ай бұрын
A True servant of God can not attack other servants of God
@moviezakutafsiriwatv
@moviezakutafsiriwatv Жыл бұрын
MAKANISA YA HIVI HOVYO SANA, MNAFUNDISHA WATU UONGO ,TAG HAIJAWAHI KUNIVUTIA KABISA ,HOVYO
@NehemiahAllen-rk2es
@NehemiahAllen-rk2es 11 ай бұрын
Mhh aiseee watumishi wa MUNGU hakika bado sana kuhusu viwango na kuhusu utendaji wa Roho mtakatifu hapa duniani kazi kubwa kabisa mtumishi wa MUNGU anaweza kufanya. Kama bado hujafika au hauwezi usipambane na wanaoweza, heshimu neema na upako na kazi za Roho mtakatifu acha makufuru hubiri ulicho nacho wewe, fanya cha kwako wewe, kila mmoja Ana kipawa cha tofauti na mwingine, na huduma tofauti na utendaji tofauti ila wote ni watumishi wa MUNGU kuwaleta watu ndani ya kristo yesu
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 11 ай бұрын
Spiritual father wa huyu mchungaji anakazi ya kufanya
@omarisengasu3970
@omarisengasu3970 11 ай бұрын
Jamaa kawambia ukweli, sisi tunapigia mstari tu Yanavyotimia (Mathayo 7:15 -18) alianza yule wa Arusha akawa Mkubwa sana na Miujiza mikubwa sana Tukamsifia sana na Heshima akapewa, akafanikiwa sana. lakini neno linase,ma tutawajua kwa Matunda yao. Na sasa anavyofifanya wewe una ufahamu wa neno unaonaje Matendo na Matunda yake unayaoneje ni ya mzabibu au ya miiba. Akaja wa Riverside......... sasa unamuonaje, akaja wa ubungo ehe sasa unamuonaje, wakaja na wengine na wengine mpaka leo. Jamaa anapoonya just be open in your Mind utamuelewa ila ukion ana wa-attack watumishi basi uta-mind mzee
@NehemiahAllen-rk2es
@NehemiahAllen-rk2es 11 ай бұрын
@@omarisengasu3970 ukionyesha feki onyesha original pia ili tuelewe au wewe onyesha original,
@jonasijeremia4523
@jonasijeremia4523 Жыл бұрын
Tusidanganyike kwa miujiza kwani hata shetani naye hufanya miujiza tena akitumia jina la Yesu
@floramgimwa4464
@floramgimwa4464 Жыл бұрын
Jonas nguvu ya miujiza haijawahi kukoma maana Yesu yule hai hadi sasa. Alisema mkiamini mtafanya ishara kubwa zaidi ya hizi. Wanaopinga wanamaanisha Yesu alisema uongo? Wa ukweli tutawatambua kwa matunda yao. Ya nini kutumia jukwaa kumdhalilisha Kristo kuwa alisema uongo kuwa atawamwagia wanadamu nguvu ya roho mtakatifu wakadhihirisha nguvu za Mungu?
@floramgimwa4464
@floramgimwa4464 Жыл бұрын
Wakristo sisi ni wajinga sana. Tuna kazi ya kutafuta Kiki kwa kukashifiana sisi kwa sisi. Nawachukia sana watumishi wa hivi. Anamponda mtumishi mwenzie, wakati hana hata uhakika na analoongea. Amefanya urafiti gani akajiridhisha kuwa mtumishi mwenzie ni feki. Kama yeye haamini miujiza asitake kila mtu awe Kama yeye. Wako waliopokea miujiza halisi kwa kuombewa na wana shuhuda.
@clemencemosha2043
@clemencemosha2043 Жыл бұрын
Ulichofanya sio sahihi na hiyo roho uliyonayo niyakujikweza...! usahihi wa mtu kuponywa ni kukua kwa imani yake ktk neno la Kristo...nae anaeponyesha ni Mungu..Yesu Kristo ktk ahadi ya neno lake kwa imani aliyokujalia muombaji... inawezekana ktk maombi hayo kwa Mungu kwa mtumishi huyohuyo unaempachika jina mtumishi fake ..wakapona watu hao hao ktk maombi ya huyo mtumishi..kwa njia ya neno lake Kristo Yesu kupitia imani ya wahusika.....😂 kwahiyo acha kudanganya watu ..anaeponyesha ni Yesu Kristo....😂 hivyo watumishi wa Mungu wameitwa kwa huduma mbali×2 na roho mtakatifu anafanya kazi na Kanisa la Bwana...😂 kila mtumishi wa Bwana atapokea ujira au thawabu..kwa wakati ukifika.. ww kama umeitwa na Bwana piga kazi.... acha kupotosha....kwani kazi ya Bwana inasonga mbele....hata kwa unafiki injili ya Bwana itahubiriwa na watu wa mataifa wataokoka.....mavuno ni mengi ila watenda kazi ni wachache.....acha wivu....piga kazi ya Bwana...😂 Neno la Bwana litasimama....acha mayoee!!!😂😂
@Apostleode
@Apostleode Жыл бұрын
Marko 16:20 [20]Nao wale wakatoka, wakahubiri kotekote, Bwana akitenda kazi pamoja nao, na kulithibitisha lile neno kwa ishara zilizofuatana nalo.] And they went forth, and preached every where, the Lord working with them, and confirming the word with signs following. Amen.
@leonardlubala393
@leonardlubala393 Жыл бұрын
Wewe kama unajua unafanya kazi ya Mungu kwa ukamirifu kwa nini usiendelee kuifanya badala ya kueneza mambo mengine huna uhakika nayo ni kama unadhihaki uweza wa huyo Mungu unaye dai una mtumikia kikamirifu. Nadhani unafanya makosa makubwa sana, kama una ushahidi kwa nini usikabiliane na Mtumishi unaye dhani anafanya hayo maigizo uongee naye ili umeonye kama kweli unamtumikia Mungu badala ya kuchafua uweza wa Mungu
@elishadaniely5349
@elishadaniely5349 Жыл бұрын
Mungu atutetee
@seifali3893
@seifali3893 11 ай бұрын
😂 tutaona mengi tu
@emmanuelgwalugano347
@emmanuelgwalugano347 Жыл бұрын
hayo ndiyo yaliyopo na yanayo endelea wrm kivule miujiza feki ya nguvu za giza jamaa mtalaam sana wa kufokafoka
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Жыл бұрын
Mtajitaja kidogo kidogo
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 Жыл бұрын
Hii Dunia inamambo sana , umeubili kweli,matapeli na waganga wa jadi wameingia makanisani
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Жыл бұрын
Zaman mrikua nyinyi ndomnaogoza maombi nakuponya leo mnapiga tena.kweli Mungu asimame mwenye. Mimi nimepona wala sijamjua mtu lakini nimepona tatizo langu TAG nimekuja sana kwenu lakin wapi.nimekwenda huko.mnako pinga nimepona siambiwi sichomoki hapo .mtafuteni Mungu kwanza hacha kupingana nyinyi kwa nyiny 😊
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Sure fake zipo na original pia 🤝🤝
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
Msikitini Imamu ajaribu kufanya hivo, atakula Bakora. Wadanganyeni wakristo wapumbavu.
@meshackkulinda1753
@meshackkulinda1753 Жыл бұрын
Mjue sana Mungu ili kuhepuka matapel
@elishadaniely5349
@elishadaniely5349 Жыл бұрын
Mungu asimame
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Baba unawatia.nguvu wanaotumia.hizo nguvu.we.hubiri injili shindana na mkuu wa giza ambae ndo vita yetu kanisa
@digitaltanzania
@digitaltanzania Жыл бұрын
Ametupa maarifa na hekimaaa
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 Жыл бұрын
Halafu eti mnamtafuta mpinga kristo nje ya kanisa. Kila mtumishi amepewa neema tofauti, Usidhani unawamaliza Bali unawatangaza hata wale feki wa ukweli watapata wafuasi maana mjiitao wa ukweli watu hawapati kitu kwenu. Embu chukueni muda kutangaza matendo makuu ya Mungu na nguvu zake zidhihirike kwenu watu wafunguliwe
@floramgimwa4464
@floramgimwa4464 Жыл бұрын
Acha kulidhalilisha kanisa mtumishi. Mungu atachuja mwenyewe ukweli na uongo. Ukweli utadumu na uongo utakufa. Hubiri neno Acha kutafuta sifa kwa kulichafua kanisa.
@arnoldkisanga
@arnoldkisanga Жыл бұрын
Nimeipenda hii wacha nisgee😅😂❤
@pendaeldaudi1125
@pendaeldaudi1125 Жыл бұрын
Good! Waambie hawa wana waadam
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Labda anakwambia wewe. Kama umefuatilia Biblia na kuijua hayo huwezi kumsgangaa huyu jamaa Fara
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Ай бұрын
Sijaelewa mbona dada aliombewa na Mtumishi wa Mungu Kulola akaanguka na akajizungusha hivyohivyo. Na kapona hadi leo mapepo yote kwisha.Sasa inamana kanisani kwako hutoi pepo? Mana mapepo makaidi.
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 11 ай бұрын
Kama wewe ni mtumishi wa Mungu hubiri injili ACHA Mengine ,feki unachofanya wewe
@sawanjema4889
@sawanjema4889 Жыл бұрын
Nimekuelewa
@komanyarafael4562
@komanyarafael4562 2 ай бұрын
Naona kakosa kitu cha kuhubiri Yesu ana sema tukimuamini yeye na tukiziamini kazi alizo zifanya tutafanya kubwa zaidi ya ya zile alizo fanya yeye
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 23 күн бұрын
MZEE HIYO NGUVU IPO SIO MAIGIZO KAMA UNAVYOSEMA WEWE MKUU. SEMA NISIONGEE MENGI ILA TUTAFUTE NGUVU ZA MUNGU
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Ndio tunasema DUNIANI HAKUNA DINI ISIPOKUWA NIUISLAM TU (3:19)
@nelsonishengoma9548
@nelsonishengoma9548 Жыл бұрын
Nyote wahun tu,
@prophetdanielmwebrania
@prophetdanielmwebrania Жыл бұрын
😅😅😅😅PIGA haoooo😅😅😅😅 imeisha iyo 😅😅😅
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Ukiwaambia ukweli hawautaki ukiwapa uwongo wanaupenda
@fredrickmwanjwango9093
@fredrickmwanjwango9093 11 ай бұрын
Mchungaji samahan lkn usiongelee watu ata wewe unaweza nenda mliman juma 5 uludi jpili asubuh unywe uingie madhabahun ivyoo vyote ni kawaida sana una mwamrisha Pepo na inakuwa ivyoo mbn daaa sema kwa wewe kwako inawez ikawa ngumu maan umemwekea roho mtakatifu mpk
@floramgimwa4464
@floramgimwa4464 Жыл бұрын
Wengine wanapona kwa neno, wengine wanahitaji muujiza. Yule mama mjane aliyemlisha elisha konzi moja ya unga, mwanawe alipofariki, haukuwa muda wa neno tena, ilihitaji fasta elisha aje amfufue mtoto, angechelewa na kuhubiriwa neno, wananzengo wangezika mtoto. Na elisha alimfufua. Sio kwamba yule mama alikuwa mbumbumbu wa imani. Ila kwa lililotokea alihitaji muujiza. So mtumishi usipondee miujiza.
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Ni ukweli mtupu. Watu wengi wamefungua Makanisa kwa ajili ya kujipatia tu kipato.
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy Жыл бұрын
Acha unafiki fundishaa neno siyo kukosoa we mwenyewe ni wa mchongo
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Жыл бұрын
HUBILI NENO LA MUNGU...UKIANZA KUFUNDISHA INJILI FEKI HUTOWEZA
@nasraabdallah
@nasraabdallah Жыл бұрын
Mmeamua kutoa ukweli wenyewe na bdo
@rosemneney3244
@rosemneney3244 Жыл бұрын
Umetumwa kwahiyo hayo ndio mahubiri yako hovyooo
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 Жыл бұрын
Tatizo waafrika kama mwatombwa, mtu akionge ukweli hamta, ivi nyie watu😂
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
😂😂😂 ukiona fake zipo na original zipo pia, Ila ukiona hata fake haipo sahau kuhusu original 🤣 Kazi NI moja tu jaa Roho mtakatifu akusaidie kuzitambua original 🤝
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 11 ай бұрын
Watu wanapona huko wewe unafikiri ni maigizo nenda uombewe upako uone ,watumishi wenye kweli ya Mungu hawana muda wa kuwasema vibaya wengine ,Badilika wewe,be serious in your calling from God
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Huyu ndio hakuna ni ziro Brain
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Watu wanapenda uongo... usipofanya hivyo uone kama watakuja tenna kanisani 😂😂😂
@kiyungusendama7149
@kiyungusendama7149 Жыл бұрын
Hekima na ufahamu wa rohoni imekuwa adimu hata kwa hawa waliopata neema ya kuonekana mitandaoni!
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Wewe mweyewe ukiwemo pia, acha kukosoa watu . Mzee
@johnlemoyian9601
@johnlemoyian9601 Жыл бұрын
Hahaha😂😂😂😂 niukweli
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Ай бұрын
Tatizo la wachungaji wa TAG wanapenda kujisikia,Nakusifia dhehebu lao,Lakini ukiangalia Unaona hakuna kitu ni maroho ya Uzinzi na uasherati,Angalia Roho ya Mapambo ya mwili,Warumi12:1-2
@Apostleode
@Apostleode Жыл бұрын
Kwann watu huamini kuwa Mtumishi wa Mungu nikukosa nguvu za Mungu kama hawa huyu jamaa alivyo kopo tupu? Maana kama niwa Mungu mbona haionyeshi yeye nguvu ya Mungu? Elima yule mchawi hakuwa na nguvu za Mungu mpaka akataka petro amuuzie watanzania kueni makini na watumishi wanaofundisha uongo makanisani sababu Mungu hajipingi na hawezi kuibadili kweli ya neno lake kuwa uongo
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
Hahahah
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Жыл бұрын
😂😂😂
@joppagraphix2868
@joppagraphix2868 Жыл бұрын
Huyo Bwana Unaemuongelea Utamuona ba wewe
@ClemenceMshana
@ClemenceMshana Жыл бұрын
Ukweli Ni siku ya hukumu waongo na wakweli watajulikana hapo
@agnesyjoseph3906
@agnesyjoseph3906 Жыл бұрын
😂😂
@DamasMerengary
@DamasMerengary Жыл бұрын
Niombe watumishi wa Mungu tuwe wakweli na tuwaelezee washiri wetu uhalisia wa nguvu za Mungu. Si kila mtu anayekuwa katika hali kama hyo anafanya miujiza fake. la hasha. Mungu ana nguvu. Hivi wakati Musa anainua fimbo na bahari inagawanyika nayo ilikuwa Fake. Niombe tuzungumzie jambo specific lakini si in genaral namna hiyo itawafanya watu hasa wachanga wawe misleaded. Tunauharibu mwili wa kristo jamani
@happymarchiusnjungani1138
@happymarchiusnjungani1138 Жыл бұрын
Wachungaji wengi wanajipatia vipato kwa njia ya miujiza hawahubir neno Bali wanawatisha watu weny Iman haha ..watu wanataka kuiona pasaka bila ijumaa
@susankkamau623
@susankkamau623 Жыл бұрын
Amina
@comforthunyu1823
@comforthunyu1823 Жыл бұрын
Mchungaji wew ni mtumishi wa mungu isihukumu Kwa kupotosha mm mwenyewe ni TAG hayo yanawezekana tatizo level zenu za kiroho zinatofautiana kaangalie Kwa Tb. Joshua usichokijua usiwemwepesi kukiongea elewa feki wapo na original wapo mungu mpaka sasa anafanya kazi kiwango chako Cha kumtafuta ndo kiwango chako chakumiliki nguvu ya mungu Bado unahitaji kujifunza Kwa walio juu yako ili mungu afanye hayo unayohisi ni maigizo na wew uitwe mchawi au feki Toka nje yabox ilione mungu anavyofanya kazi live hayo yote hata kwako yanawezekana usifikiri ni maigizo mm ni TAG tangu kuzaliwa mpaka sasa hayo unayohisi ni maigizo baadhi ya hayo mungu katumia mwili wangu kuyatenda hivyo basi usijikute unatenda dhambi Kwa kuhukumi na mm mwanzo nilikua kama wew nadhani haviwezekani lakin Kwa sasa nimefunga mdomo yote yanawezekana kwake yeye aminiye
@lusuvilonzowa8769
@lusuvilonzowa8769 Жыл бұрын
Basi kama bunadhani hivyo tuamini kua hakuna nguvu za Mungu? ndugu waongo wapo pia hata wakwelu mue man waeleza watu sio ubaya tu
@SMEDIA298
@SMEDIA298 Жыл бұрын
Jitahidi kumwelewa utapona MUNGU unakutana nae wewe sio kwa Kushuhudia kwa Watu tu ila NENO + MAOMBI + IMANI = JESUS katika haya yote lazima UKUTANE na MUNGU MWENYEWE
YESU SI MUNGU MASKOFU WAMJIA JUU MZEE WA UPAKO
6:33
Mzee wa upako
Рет қаралды 37 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Двое играют | Наташа и Вова
Рет қаралды 1,9 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Vilema FEKI waumbuliwa na aliyekua MCHUNGAJI
9:02
Miraj Khan
Рет қаралды 21 М.
Oxford Mathematician DESTROYS Atheism In Less Than 15 Minutes (BRILLIANT!)
15:43
MCHUNGAJI PETER MAHENGE AWASHA MOTO TAG KIMARA
18:54
NY TV
Рет қаралды 6 М.
USIMSHIKE MCHUMBA WAKO MKONO-MCH PETER MAHENGE
17:52
NY TV
Рет қаралды 8 М.
MCHUNGAJI PETER MAHENGE ASEMA "WENYENGUVU NDIOWANAOTEKA"
13:41
UBUNGO CHRISTIAN CENTRE
Рет қаралды 454
SIKIA KILICHO MPATA MCHUNGAJI MWITA AKIWA MADHABAHUNI
22:56
Mch. Peter Mahenge “Kwangu CHAKULA cha Usiku Hakiliki Bila MAOMBI”
8:18
UBUNGO CHRISTIAN CENTRE
Рет қаралды 1,6 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Двое играют | Наташа и Вова
Рет қаралды 1,9 МЛН