Haqq siku zote inakaa juu, Ahsant mzee Allah akuongoze ktk uislam
@abuuaisha6110Күн бұрын
Amiin
@babanatalis8401Ай бұрын
Mzee wa upako asikilizwe ana hoja ya msingi
@allysimu685622 күн бұрын
Wewe ni mkweli nakupenda Sana mchungaji kalibu kwenye uislam mashaallah nidini ya haki na yaukweli
@moseskatega8441Ай бұрын
Yesu alisema, " uzima wa milele ndio huu.Wakujue were Mungu wa pekee wa kweli na wa milele, wanijue pia mimi Yesu Kristu uliyenituma."
@ErnestLule-z7t4 ай бұрын
1 Timotheo 3:16 Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katika mataifa, Akaaminiwa katika ulimwengu, Akachukuliwa juu katika utukufu.
@simonzakaria47706 ай бұрын
Mathayo 1:23 [23]Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
@helencyprian8745Ай бұрын
Asante sana
@PacchaYassinАй бұрын
Yani wakristo wangetoka huko kumuita yesu mungu na kujua mungi ni 1,hakuzaa wala hakuzaliwa, wala hana afananae, bass huenda maisha yangenyoka👍🙏🏿
@nelssua8486Ай бұрын
Soma, 1 Timotheo 3:16 alafu urudi tuzungumze
@francismauya6110Ай бұрын
Ombea fahamu zako, usije ukasahau hili
@abdullahmanalex2306Ай бұрын
@@nelssua8486kitabu kipi unachosoma (BIBLIA)😂
@topfreelancer5151Ай бұрын
@@nelssua8486 hivi kwanini hamuhoji taurati ilipo? Why mpewe kumbukumbu la taurati?? Where is taurati???
@mohamedjakaya53556 ай бұрын
Ni kweli kabisa Yesu siyo Mungu na wala hakuhusika ktk kuumba hii dunia ila ni nabii wa Mwenyezi Mungu na wanaomwita mungu na kumuabudu hiyo ni imani yao maana kuna wanaoabudu ng'ombe na masanamu pia wapo hivyo msimlaumu mzee wa upako
@HarrisBama-m6f15 күн бұрын
Nani aliye umba juwa namwezi?
@elijahmediaservices6 ай бұрын
Yesu ni Mungu. Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Isaya 9:6
@HansiKatumbi6 ай бұрын
Ww hushasema mtoto amezaliwa huo ni mpango wa Paulo Yesu katabiriwa na malaika gabrieli na hutabiri huo aliyopewa bikira maria kuwa hatapa mtoto na mtoto huyo jina lake hataitwa Yesu sasa huo mpango wa mtoto amezaliwa jina Emanuel ni mpango wa wapagani waliokupeni dini ukisoma matendo ya mitume 11:25-26 hutapata jibu
@kimwerimhando33836 ай бұрын
Mungu hajazaliwa na yeyote wote waliozaliwa na mwanamke siku zao za kuishi ni chache Mungu hana mwisho
@thekingdragon83586 ай бұрын
mungu haonekani na bibilia inaema vivyo na atakae muona mungu anakufa sasa iweje yesu awe mungu
@farajisewe74166 ай бұрын
acha kukalili someni maandiko jamani, acheni mambo ya kurithi Tutumie akili zetu mungu alizotupa,, mungu atatuuliza tulizitumiaje
@dinocastico84956 ай бұрын
Kwahio mungu alimuumba maria ikisha maria akamzaa mungu na kumnyonyesha. Ikisha mungu akakamatwa na binaadam akauliwa na binaadam 😂. Yani mnaona kama kungu ni kipande cha nguru eeh
@smprotz6 ай бұрын
Nachomkubali @mzeewaupako anajenga msingi WA andiko Kwa uwazi WA maandiko MENGI. Sio Hawa wengine wanaotegemea andiko Moja lisilo WAZI. Wewe ni Chief Bhana
@HusseinAbdallahNgwema3 күн бұрын
Uko sawa kabisa mzee wetu Mungu akubariki sana na waumini wote kwani wamekuelewa
@JohariaNyagawaАй бұрын
Mzee wa upako yupo sahihi kabisa sijui kwanini watu wabishi yesu mwenyewe alijikatalia yeye sio mungu .yupo mungu baba someni vizuri
@paulrwechungura428428 күн бұрын
Unapotoka
@castorchipalo846 ай бұрын
kwani mshikaji wa upako kakosea wapi mi kwangu sahihi mungu na yesu vitu viwili tofauti
@RamadhanpMwakilasa-di5hc6 ай бұрын
Baba uko sawa nakubali na unatuelimisha hiyo kazi ni ngumu sana mungu akutie nguvu
@elizabethmusyoka4535 ай бұрын
Mnapotozwa Alafu mnasema mnafunzwa
@SiriliNachan4 ай бұрын
Anakupoteza hakufundishi
@RamadhanpMwakilasa-di5hc4 ай бұрын
@@SiriliNachan kwahyo ww unaona uko sawa mungu kumfananisha na mwanadamu mungu hana ushirika na kumbe chochote haitaji nguvu nyingi kutambua hilo
@neemamajana30786 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤Kipawa nilichonacho nilikitamani kutoka kwako miaka hiyo. Nilimuomba Mungu akanishushia biblia ikanijaa kichwani, chanzo ni ww.
@rockevarist42996 ай бұрын
Jeremiah 10:16,19 Warumi 9:5
@bakariadamu60686 ай бұрын
Yesu ni mtume kwa wana waisirail tu sio dunia nzima
@rogatimushi6896 ай бұрын
Kwaiyo we unapindana na yesu au maana yeye anasema ametumwa ulimwenguni ili kuokoa ulimwwngu
@bakariadamu60686 ай бұрын
@@rogatimushi689 bibilia haibadiliki maneno yanakua ni yale yale binadamu ndio mnabadilisha
@cadiaOnesmo-hd5lr6 ай бұрын
Pole
@Habaritrending.tanzania4 ай бұрын
@@rogatimushi689ndo maan akasema yesu ni mtume ambae ametumwa na mungu ,ujaelewa nn apo😂
@OmaryAlly-h3h2 ай бұрын
Mzee wa upako uko sawa Mungu atabaki kua Mungu Yesu ni binaadamu kama Mimi ila yeye amepewa unabii na miujiza Ili kuwafikishia ujumbe Wana wa Izirael waache Mila potofu na kumuabudu Mungu mmoja
@Givenall.com_Official_Acco-w5y23 күн бұрын
Kuna nabii aliweza kufufa wafu tena zaidi ya mara 3, kuna nabii aliweza kukaa bila kula wala kunywa siku 40, kuna nabii aliweza kupaa kuondoka duniani, kuna nabii aliweza kufufuka baada ya kufa..?
@KudraWanguvu-em1xw4 ай бұрын
huyu mzee wa upako yuko sawa kabisa hawa kwa hili sema ukweli kwa wanaokupinga hawana hoja za msingi M/Mungu hakuzaa wala kuzaliwa.
@wizpleid32252 ай бұрын
Katika mwili haya twende katika roho😂😂😂
@BensonNevele6 ай бұрын
Asante cheef Kwa mafundisho yako
@SunguraShabani5 ай бұрын
WARAKA WA KWANZA WA YOHANA 5 20 NASI TWAJUA KWAMBA MWANA WA MUNGU AMEKWISHA KUJA, NAYE AMETUPA AKILI KWAMBA TUMJUE YEYE ALIYE WA KWELI, NASI TUMO NDANI YAKE YEYE ALIYE WA KWELI, YAANI, NDANI YA MWANA WAKE YESU KRISTO, HUYU NDIYE MUNGU WA KWELI, NA UZIMA WA MILELE. AMEN!!!💖💖💖
@husseinbhatia4346 ай бұрын
Allah akuongoze zaid.imebaki sehem ndogo tu utakua umenyoooka mzeee
@SiriliNachan4 ай бұрын
Anapotea
@abdullahmanalex2306Ай бұрын
@@SiriliNachankama ulivyopotea wewe
@SiriliNachanАй бұрын
@@abdullahmanalex2306 siabudu sanamu mm
@SiriliNachanАй бұрын
@@abdullahmanalex2306 nyie n waabudu masanamu
@SiriliNachanАй бұрын
@@abdullahmanalex2306 mimi siyo mwabudu sanamu km nyie waislam
@abdulmohd68805 ай бұрын
Ck zte ukiamua kua mkweli jipange mawe utakayopigwa n mengi sn, keep up Lusekelo Allah is the only God✌️
@SiriliNachan4 ай бұрын
Ashapotea huyo
@francismauya6110Ай бұрын
Halafu kumbukeni nyinyi ni watu wa Allah, Mungu wawa kristo cyo Alah msijipe shida
@wazirisaid83265 ай бұрын
Upo sahihi Sana Mzee wa upako, wafundishe watu wanahubiri utamaduni wa Warumi wanafanya kua Injili.
@jameswissa99816 ай бұрын
Yesu Ni Mungu Na ni Hakika Yoh 1:1
@KaisiSandaliАй бұрын
Yohana 1;1 acheni kudanganywa,wanaokudanganyeni watakupelekeni motoni yohana 1,1 mungu amejitambulisha yeye mwenyewe Kwa hapo mwanzo,tambua anaposema hapo mwanzo jua mungu yupo lakini peke yake,neno anamaanisha aliumba Kwa kitamka TU,kiwe kitu Fulani na kinakuwa Kwa maana neno ni mungu mwenyewe, anamaanisha mtamkaji wa hayo maneno ni mungu mwenyewe,anamaani Kila kitu unachikiona na usivoviona yeye ndio muumbaji Kwa kutamka,ana maanisha Mimi,wewe,miti,wanyama,yesu,na vyote vilikuwa Kwa mungu kama neno TU na mungu akasema kuwa na tukawa na ndo maana anasema bila neno kisingefanyika chochote,Yani bila yeye mungu na hilo neno lake kutamka kiwe Fulani kisingekupo chochote kwahiyo katika hiyo Aya uungu wa yesu haupo kabisa Kaa utulie uisome Tena utaelewa
@FadhiliMakasi-vb9dl5 ай бұрын
Yesu sio mungu
@SiriliNachan4 ай бұрын
Yesu n mungu
@JoyceMtambo-d1l4 ай бұрын
Yesu siyo mungu ila ni Mungu
@Habaritrending.tanzania4 ай бұрын
@@JoyceMtambo-d1lwe jau😂
@Habaritrending.tanzania4 ай бұрын
@@SiriliNachanacha ujinga uwo ,usiish kwa kukalili
@SiriliNachan4 ай бұрын
@@Habaritrending.tanzania km sio mungu bc n nan nikuulize ww
@binurusm888624 күн бұрын
Waeleweshe, ipo Siku tu Wengi/Wote Wataelewa tu, Tuombeane Heri Wakati Wote, Aamina.
@burkardkayombo46085 ай бұрын
Mbele ya mungu wako unasimama kwa maneno yako. Lakini baada ya kukusikiliza inaonesha wewe ni sawa na Askofu Nikodemu aliyeshangaa uzaliwa wa mtu mara ya pili. Kwako (1) Hujaokoka (2) Kwa kukosa wokovu umeshindwa kujua pande mbili za Yesu, ambazo hayo aliyosema Yesu alikuwa wapi na akiwa nani. (3) Kwa kukosa kwako kuokoka umeshindwa kujua Yesu Duniani alikuja kufanya nini. Sikushangai, kwani ndani ya nyumba kuna vyombo vyenye thamani na visivyo na thamani. Huna uwezo wa kubadilisha kitu, YESU NI MUNGU.
@drmauji11265 ай бұрын
Mzee wa upako unanena vema sana barikiwa sana
@ShukurkollAngel6 ай бұрын
Yesu siyo Mungu. Mwenyezi Mungu ni mmiliki wa Ulimwengu ambao una Sayari zaidi ya Trillion 2 na anajua vilivyomo. Yesu si mmiliki na hajui chochote kuhusu Sayari zote hizo. Mungu hana hofu lakini Yesu alikuwa na hofu wakati alipopata habari anatafutwa na maadui zake. Mungu hajaribiwi na Ibilisi lakini Yesu alijaribiwa.
@mgejadldm16 ай бұрын
Yesu alimjibu shetani usimjaribu bwana Mungu wako , soma biblia wewe
@nduwimanaamidou40096 ай бұрын
Yesu ni Nabi tu wala siyo Mungu
@IbrahimuMaselo5 ай бұрын
@@mgejadldm1pia hajamaansha hvyo ulvyoelewa ww. Anamaansha pnd akfanya km shetan alvyomuamulu bc atakuw kamjaribu Mungu baba
@Faya8846 ай бұрын
Ata yesu alimulizaa petro watu wabasema mimi ni nani petro hakamjibu wew n mwana wa Mungu ulie hai🙏🙏🙏
@JoshuaSanka5 ай бұрын
Acha kufundisha watu uongo sifa zote alizanazo Mungu na Yesu anazo,utahukumiwa Kwa kufundisha uongo huu sijui kama unafundisha Kwa kutokujua au Kwa kujua
@yusufulukamata7152Ай бұрын
Ww acha kumsingizia mungu mungu hana sifa kama za yesu mungu alizaliwa na nan pia mungu alinyonya wap mungu hana sifa kama za yesu
@HassanSadiki-l5cАй бұрын
Yesu mamake ni mariam..... Mmke Mungu anaitwa nanni????
@kombosalehe9787Ай бұрын
Umeona wapi Mungu anakula mkate
@BanyangaMohammed6 ай бұрын
Hatauseme yesu si mungu haitamufanya kutokuwa mungu danganya Hao ambao hawasome maandiko
@allyKassim-b5q16 күн бұрын
anachosema Mzee Wa upako ni kweli yesu sio mungu
@allyKassim-b5q16 күн бұрын
yesu sio mungu kweli Mzee Wa upako
@NenoVitendo6 ай бұрын
Huwezi kumjua Yesu bila yeye kujifunua kwako,mathayo 11;27 Yesu ni Mungu hakuna ubishi.Wanaochanganywa na maandiko nawashauri waokoke kwanza,waishi maisha matakatifu,wajazwe Roho mtakatifu ndipo watamuelewa vizuri 1wakorinto 2;13(atajifunua kwao).Waulize wanaosema kuwa Yesu si Mungu ,waliambiwa na Roho mtktfu au wamepotelea kwenye maandiko? Maandiko hayo yameandikwa kwa uongozi wa Roho mt ,hivyo ukitaka kuyaelewa lazima ujazwe Roho yuleyule maana hayatambuliki kwa hekima ya kibinadamu,thx
@hajimasoud72106 ай бұрын
Kwahiyo wewe mbwa unataka kusema yaani wewe wakati unakuja dunia ulipita sehemu ya siri ya mama yako na huyo mungu wako yesu wakati anakuja duniani alipita sehemu ya siri ya Mariam yaani kwenye uchi wa Mariam Sasa wewe siutakuwa ni taira huyo ni mungu gani wa hivyo
@NenoVitendo6 ай бұрын
@@hajimasoud7210 kwa njia hiyo ya matusi na ubishi hautamjua Yesu,naomba akusamehe nami nimekusamehe maana hujui au unajua nguvu zinazokutumia..Mpokee Yesu,uliishi neno lake ,ujazwe Roho mtakatifu ,atajitamburisha kwako ya kuwa yeye ni nani,Asante ,Mungu akupe kipawa cha wokovu shekh
@WinfridaCreitus-bf3zn6 ай бұрын
Acha matusi aisee, wewe unaupofu wa kimaandiko, Yesu mwenyewe anakwambia mimi ni alfa na omega yaani wamwanzo na wamwisho, tena anasema kabla ya Ibrahim mimi niko, Yesu anatamka kwa kinywa chake. Sasa kama alikuwepo kabla hata ya Babu wa mababu Ibrahim, wewe unamzungumziaje kibinadam, tizama usiwe kama wale waliomsurubisha maana alipojitanabaisha kuwa yu Mungu waliona amekufuru nakumsema kuwa anafundisha mafundisho mapotofu maana walikua na idea kama zako, Tumwombe atuokoe nakututoa kwenye upofu huo. Usitukane maana u naupofu wakimaandiko.
@yessesamson7416 ай бұрын
@@hajimasoud7210 umemuelewa vzuri uliekomenti kwake au unajibu kudhihirisha ujinga wako amejibu alichosoma na wewe lete ulichosoma sio ushabiki na ujinga ujinga lete maandiko yanayozuia yesu kutokua Mungu kwenye biblia
@kanisalatecjcusofficial6 ай бұрын
Amen amen
@StevenMutale-xt9yj6 ай бұрын
Haki mandiko yana timia wewe unaye sema yesu sii Mungu naa fikiri wewe ni mzee wamashatani
@Mwalamidihimbwa6 ай бұрын
Uko sawa mzee kabisa yani mungu hazai hajulikani alivyo yesu watu waliish nae na alimuomba Amuepushe na baraa
@alexanderchacha85855 ай бұрын
Mzee wangu nimekuelewa❤❤🎉🎉
@SalimuNuru294Ай бұрын
Swadakta Mzee wa upako
@josephatjoseph17556 ай бұрын
YOHANA 8:58-59 58 Yesu akawa jibu, “Nawaambia wazi, kabla Ibrahimu hajazaliwa, ‘Mimi nipo.’ ” 59 Ndipo wakainua mawe wamwue; lakini Yesu akajificha wasim wone; akatoka Hekaluni. YOHANA 10:18 Hakuna mtu atakayeondoa uhai wangu, bali ninautoa mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuuchukua tena.
@KornelNyenzi6 ай бұрын
Upofu wako ndio kikombe chako , ila Mungu n mwenye rehema anakuhtj Zaid so sisi kama wakristo tunakuombea uione rehema n pia jifunze kusoma bible vizuri n roho mtakatifu akuongoze uyapate mafunuo haya , maaan mpinga kristo yupo mbioni n anafamya kazi
@jumaramadhan1013Ай бұрын
Mzee wa upako tunashukuru kwa mafunzo yako yakumjuwa Mungu mmoja tu
@samwelmatemu88736 ай бұрын
Huyu mzee wa upako ni shangingi flani la kikristo.maandiko yapo wazi kabisa Yesu ndie huyohuyo Mungua katika utendaji wake wa kazi
@krizofrancisco53106 ай бұрын
Akili huna
@HappyKiteboarder-du9th6 ай бұрын
Mkichaa wewe unaepinga ukweli yesu ni mtume
@FadhilaHaki6 ай бұрын
In Catholic mungu ni mmoja katika nafsi tofauti ni tafakari ya dominika ya pili ILIYOPITA .huyu amepotea tayar ni kumwombea tu apate mwanga
@Hussein-gx4qu6 ай бұрын
@@FadhilaHakimungu Moja katika nafsi tatu huo ni upangani ulioingizwa kanisani mwaka wa 3 baada ya yesu kuondoka mbona Kila kitu Kiko wazi anaempinga Mzee wa upako ampinge kwa hoja
@StevenPeter-sg7zo6 ай бұрын
Kwan mzee wa upako anatumia biblia gani maana maandiko yanayosema Yesu ni Mungu yamejaa tele., au kama anatumia quran pia aseme maana ndyo kitabu kinachopinga uungu wa Yesu Sasa kama anasema Yesu si Mungu anasubiri nini kanisani.,si afadhali aende msikitini akaungane na waislamu na quran kupinga uungu wa Yesu!!!
@kizasebaziga81356 ай бұрын
Mzee wa upoko ni muukweli
@SiriliNachan4 ай бұрын
Kondoo aliyepotea
@kelvinmurithi72556 ай бұрын
Amen Mzee nakubaliana nawe mia kwa mia ubarikiwa
@JAPHETJOSEPH-b6e6 ай бұрын
Yesu anakuona tubu KWA maneno Kuntu yasiyo na uzima wala uhai ,wewe sio mkristo ,sis wakristo tunaamini Yesu ni MUNGU , MUNGU pamoja nasi baba wa Milele
@mkilwaabdul92306 ай бұрын
soma vizuri biblia.huyo mzee wa upako anatoa maandiko kwa biblia.someni biblia ndio utajua
@josephmtikile-yf3pq5 ай бұрын
Huyo ni tapeli tyu yupo ki pesa
@abbymdee89206 ай бұрын
Umesema kweli Mzee wa Upako Mwenyezi Mungu akubariki.
@paulrwechungura42846 ай бұрын
Kanisa ni moja tu ,katoliki la mitume
@DenisTarimo-l6o19 күн бұрын
Mungu akurehemu
@salimMohammed-v5m5 ай бұрын
Wana macho hawaoni wanamaskio hawasikiii leo sio Muislam kasema kukwambia Mungu ni mmoja bali mzee wa Upako ndio anakuwekeni wazi kuwa Mungu mmoja na Yesu sio mungu
@SiriliNachan4 ай бұрын
Yesu n mwana wa mungu na mungu hazai binadam anazaa mungu
@MwinjilistCostansiaАй бұрын
Hahahahaahahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mzee wa upako au mpiga pesa za waislam
@jumaramadhan1013Ай бұрын
Naenda babangu tena baba yenu Naenda kwa Mungu tena Mungu wenu
@amedeusmtui54956 ай бұрын
Isaya 9:6 ...Naye ataitwa jina lake, mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu
@gdswai44795 ай бұрын
Hii ndio njia sahihi ya kutetea Yesu Kristo kuwa Mungu. Neno litasimama milele. 13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; (Tito 2:13)
@regnaldymambaly98802 ай бұрын
biblia yenyewe inasema kuwa Yesu apewa mamlaka yote yaani yote kabisa haiku sema sehemu ya mamlaka ila imesema yote tena ikasema mbinguni na duniani sasa kila mtu anajuwa kuwa anaemiliki mbinguni ni Mungu akuna mwingine sasa yesu kapewa mamlaka yote mbinguni na duniani je yeye atakuwa ni nani? atakama kuna Mungu mwingine huyo tunamwitaji wa nini wakati mamlaka yake yote kasha mpa yesu?alafu Yesu ndie mwenye jina lipitalo majina yote sasa jina linalopita majina yote ni la nani kama sio la Mungu? alafu yesu alipo kuwa hapaduniani alikuwa ana waponya watu kwamfano kuna mmoja alimwambia inuka jitwike godoro lakoumesamehewa dhambi zako,sasa uki muuliza ata kichaa ni nani mwenye uwezo wa kusamehe dhambi ata kujibu ni Mungu peke yake ,sasa Yesu yeyealikuwa ana mwambia mtu inuka umesamehewa dhambi zako sio ngoja nikuombee kwa Mungu akusamehe au Mungu amekusamehe,alafu kitu kingine tumeona au kusikia shuhuda za watu wengi wakisema walipelekwa mbinguni na hii haijalishi kuwa ni kweli walipelekwa mbinguni au ni uwongo lakini wote wanasema wali mwona yesu akuna anae sema ali mwona Mungu, alafu anaposema yeye ni alfa naomega yani mwanzo na mwisho je alie wa mwanzo na wa mwisho ni nani kama sio Mungu? mzee wa upako hapa ume tupiga na kitu kizito au umetung'oa jino na sururu bila ganzi,au unafikiri ingekuwaje kama Yesu alipo kuwa hapa duniani ange jitangaza waziwazi kuwa yeye ndie Mungu wakati wakati huohuo kulikuwa na vipofu, vilema , masikini nk je unafikiri hawa wange kutana nae wange mwabia nini? c wangebakia kumlalamikia kwani mimi ukaniumba hivi au kwanini mimi ni masikini bila kujuwa aababu ya Mungu kuyaacha hayo yatokee? au hujui kwanini Mungu anasema tumtatute? je? unafikiri anasema tumtafute kama tunavyo tafuta pesa,,? la hasha ni kufikiria yale alio yasema yaani ukilinganisha hilinahili upate kuelewa ana maanisha nini
@denismugisha226 күн бұрын
@@amedeusmtui5495 Yesu ni MUNGU 100% waingizwe tu mkenge wasiojishughlisha kusoma neno
@ProsperKimaro-d9b6 ай бұрын
Soma Neno Mzee wa upako wafilipi 2:5-10 jitahid kujua unabii acha kudanganya watu wa Mungu na msome nabii Isaya vzr
@ashakijaji5869Ай бұрын
Yesu ni MUNGU kwa wakirsto,sisi waislam tuna MUNGU Moja tu,hakuna MUNGINE Tena.
@shaameshaame28376 ай бұрын
Mungu hawez kutahiriwa na kiumbe wake aliemuumba,
@HappyKiteboarder-du9th6 ай бұрын
Swadakta
@WinfridaCreitus-bf3zn6 ай бұрын
Yeye mwenyewe anaajichanganya, mwili wa nyama aliotoka nao kwa Mariam aliuvua palepale alipokufa msalabani, anasema Yohana baada ya miaka 30 alimwona akiwa na. Mwili mwinginekabisa, mwili wenye utukufu, anasema alipomwona alizimia, kwanini azimie maana alimona Mungu. Tizama sifa alizomwona nazo, macho kama miale ya moto, sura kama mwangaza wa jua, sauti kama wa maji mengi nk. Alikua na mwili wa utukufu, mtukufu ni Mungu tu, kwanini manajichanganya afu mnasifiana.
@WinfridaCreitus-bf3zn6 ай бұрын
Kwahilo lakusema alitahiriwa ni pale unapomwangalia Yesu kibinadamu, ili akubalike katika jamii ilibidi afanye hayo ili aishi na jamii Ile ili aweze kuwahubiri Habari njema, hebu fikiria kama angekuja kwa utukufu ule wa mbinguni, nani angeweza kuwa nae karibu? Alijishusha ili injili itufikie. Kwahiyo usimwangalie Yesu in a human perspective. Mtizame Yesu yule aliekuwepo kabla ya Ibrahim babu yenu, Yule Yesu katika Yohana 1:1-14, yaani pale tunaposoma kuwa alikua neno nae neno alikua kwa Mungu, nae neno alikua Mungu, akafanyika Mwili nao utukufu wake tukaona kama utukufu wa mwana pekee wa Mungu. Jamani kwanini hatusomi maandiko? Yaani alikua kwa Mungu nae alikua Mungu. Ila sisi wanadamu tukamwona kama mwana pekee wa Mungu. Mnataka andiko lipi mjue kuwa alikua Mungu? Ee baba wasamehe maana hawajui wayafikiriayo.
@anoldpotentin24466 ай бұрын
Nyie ambae mmeshawahi kumuona Mungu tuambie anafananaje?
Allah akupe mwisho mwema kwa ukweli unaoutoa usiogope binadam mungu Yuko pamoja na wewe
@RamZomboko2 ай бұрын
Bora umesema ukweli ,allah akuafikishe uwe muislamu
@SekaDeboy6 ай бұрын
Sahihi kabisa we mzee Uwe MUISLAMU TU Allah akuongoze YESU Ni nabii tu wa MUNGU
@PeterJuliusSabuni6 ай бұрын
Mzee wa upako ni mlevi hap kagonga bia zake anaongea utumbo utumbo kalale wewe
@JohnMahu-f1g6 ай бұрын
W tz wanaoamin wahubiri badala ya kusoma neno la mungu ni janga hyu aombewe amepagawa au konyagi yohn 1 kulikuwako neno naye neno alikuwako yesu ni mungu mwanzo na mwisho
@kanisalatecjcusofficial6 ай бұрын
Amena amen
@SabianaKarani12 күн бұрын
Anayoyasema yapo kasome utaona
@RAJVII-fu7duКүн бұрын
@@JohnMahu-f1g acha uongo
@abuuaisha6110Күн бұрын
@@JohnMahu-f1g Wewe ndio umepagawa siukasome hayo maandiko aliyoyataja
@ChanilaKitwima-zc6ko5 ай бұрын
Hakika Hekima za wanadamu mbele za Mungu ni upuuzi Anthony lusekelo rudi miguuni pa Yesu ukatubu nafasi bado ingalipo😥
@YuscoJuma2 ай бұрын
Oya ndugu mungu hakuzaa hwa raaku zariwa irayesu kazaliwawp
@jumaramadhan1013Ай бұрын
Yesu hajawahi kujiita Mungu hata siku moja
@victorirengo385728 күн бұрын
Multiplication ya mungu inawachanganya sana wanadamu. Maana wanadamu wanaichambua kimwili.
@MichaelMathew-j3f6 ай бұрын
Mungu mmoja nafsi 3. Yesu ni Mungu, Mungu ni neno, Yesu Kristo ni neno, akafanyika mwili akaja kwetu nasi tukaona utukufu wake!! Yohana 1:1-14, Yesu ni Mungu Warumi 9:5, Tito2:13. Kwahiyo mzee wa upako ww ni mpinga Kristo. Utaangamia tu!! Tubu leo hii.
@nurdinmfamau34936 ай бұрын
Haangamii Kwa Kusema Ukweli. Soma Vizuri Biblia Au Sikiliza Ama Uliza Haujui. Usinukuu vipengelee Usivyovijua. Rudia Maneno YEROI YEROI MBONA Umeniacha Bwana Yesu Akiomba Msaada Kwa Mungu Wake.
@MichaelMathew-j3f6 ай бұрын
@@nurdinmfamau3493 No no no. Isaya 9:6 Yesu ni Mungu mwenye nguvu mfalme wa amani. Huwezi kuniambia kitu ww mpagani usiyejua kitu.
@nurdinmfamau34936 ай бұрын
@@MichaelMathew-j3f Eti Yesu Ni Mungu Na Mungu Atakuwa Nani.
@nurdinmfamau34936 ай бұрын
@@MichaelMathew-j3f Ukweli Umekufikia Mengineyo. Mengine Aongoki Mwenye Kuongoka Ila Kwa Matakwa Ya Wetu Mlezi.
@MichaelMathew-j3f6 ай бұрын
@@nurdinmfamau3493 andika point vizuri maana hata sikuelewi. Andika kitu vizuri ueleweke
@deusdedithhenry15246 ай бұрын
Ufunuo wa Yohana 22:12-16 12. Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo. 13. Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho. 14. Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake. 15. Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya. 16. Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung’aa ya asubuhi.
@SamwelKipenzi6 ай бұрын
Amina mtumishi mimi nimeelewa kbs
@goodluckkivike5 ай бұрын
Yesu ni MUNGU
@LuqmanAndrew-nu9rx5 ай бұрын
Na Mungu n nan?
@ramadhaniomary9241Ай бұрын
Hapana karibuni utajuta cheo Cha mungu siyo mchezo
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
Allahu Akbaru
@rashidhemed53315 ай бұрын
Wakristo weng hawasom bibilia ni wafata mkumbo wakat yesu akiwa tumbon mwa mam ake nan alikuw anaongoza dunia kama yesu ni mungu mzee wa upako uko sawa
@elinisafimndeme29715 ай бұрын
Swali la kijinga kabisa😅😅
@DaudiSangella6 ай бұрын
Watu hawakumwelewa Yesu na hawata mwelewa milele. Yesu alikuwa binadamu aslimia 100.
@rizikilukali15586 ай бұрын
Ajidhaniae amesimama aangalie asianguke
@NicholasMacharia-nt5jf6 ай бұрын
Tabiriwa na manabii kama yeye waseme utakuja,zaliwa kiroho kama yeye,fufua watu kama yeye,tebea juu ya maji uliwa na usurubiwe fufuka siku ya tatu na upae angani ikielekea paradiso,kama wewe ni mwanadamu kama yeye.
@dstaroficial5 ай бұрын
Kuna watu walikuja kuwapoteza kwa kuwatia iman nakuwafanya wasitumie akil na ndo mana wanajifichia kwa roho mtakatifu pale unapowambia ukwel ila naamin kupitia mchungaj wao kuna vitu vtawafanya watafakar
@SiriliNachan4 ай бұрын
Km ww usingemwelewa ndo mana bibilia inasema alifanyika kuwa mwili ko yesu n mungu
@wizpleid32252 ай бұрын
Kwani yesu alitoka wapi
@MohamedKidwaka-y4o6 ай бұрын
Kweli yesu ni mtume kama mtume, Sio mungu ndugu zetu wakristo
@rashidmexes36296 ай бұрын
Mbona hujakubali kama Yesu ni Mwana wa Mungu kama mwalimu alivyoeleza hapo
@paschalcosmas60936 ай бұрын
YOHANA 20:28" Thomaso akamwambia(Yesu), Bwana wangu na Mungu wangu, Yesu akamwambia, wewe kwakuwa umeniona umesadiki, heri wanaoamini bila kuona"......je, kama Yesu si Mungu kwanini alikubali kuitwa na Thomaso kuwa ni Bwana na Mungu?..tena alimpongeza Thomaso Kwa kumtambua yeye kuwa ni Bwana na ni Mungu?
@StevenPeter-sg7zo6 ай бұрын
Tito 2:13 Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa kristo Yesu MUNGU MKUU na mwokozi wetu. Hivi haya maandiko hamuyaoni au mkifika ukurasa huo mnaruka??!!
@josephmtikile-yf3pq5 ай бұрын
Yesu ni mungu nafsi ya pili na kabla hajapewa jina la yesu alifahamika kama neno na alikuwepa kabla ya dunia kuumbwa rejea kitabu Cha mwazo mungu amesema na tumfanye mtu Kwa sura na mfano wetu alikuwa na yesu
@DaudiPaulo-f9j5 ай бұрын
Hiyo njia ulioichangua mzee itakuangamiza mungu anachukia upotoshaja@
@DaudiSangella6 ай бұрын
Neno la Mungu lilikuwa kwa Yesu.Tulizungumza na Mungu aslimia100 kupitia kinnywa cha Yesu.aliye muona yesu alimuonaMungu kwa NENO sio kwa kwa umbo.na ukweli huu haupingiki.Lusekelo yuko sawa.
@Kimwaga-b8p3 ай бұрын
Yesu ni Mungu alikuwepo kabla ya mariam pia kabla ya ibrahim yoh 8:58
@StephanoAkyoo6 ай бұрын
Yesu ni Mungu. Isaya 6: 9 Hakuna hajaye Kwa Baba ila Kwa njia ya MIMI. FILIPO alijibiwa. Hakuna atakayeelewa haya ila MTEULE TUU.
@NLCG1006 ай бұрын
Daaaaaa hakuna ajae kwa baba ila kwa njia yangu??? Kweli kaka Akyoo hapo mimi cjaelewa kifungu hiki kinanichanganyaga sn
@McbarakaeventsTz labda ujanielewa Yesu mbinguni yupo na kazi basi kaka mm nakutaka unambie iyo kazi. Mbona simple tu.
@charlesyotham79775 ай бұрын
😂😂 Mzee mbona unajichanganya tena Mara Yesu sio Mungu mara Mungu.
@festinamwakipale3919Ай бұрын
Umejichora ulikuja na mafuta ya upako mbingu zimekukataa watoto wa machifu dunian ni machifu sembuse yeye aliye jitoa uhai umepoteana mzee wa upako Yesu Ni Mungu mwana waumini wako wameingiliwa
@onlyyoujesus82326 ай бұрын
Yesu ni Mungu kweli
@AsumntaAmosАй бұрын
Macho jua mm Yesu ni njia ya uzima ya kunifikisha mbinguni tena anasema mtu awezi kufika Kwa Baba bila kupitia kwake hivi mnajumbuka Yesu aliwauliza wanafunzi wake akasema watu wanamwitaje na akawaambia na ninyi je wasenaje kumbuka majibu ya wanafunzi wa Yesu wanaye sema Yesu sio Mungu na wanaye sema Yesu ni Mungu mtajaza kupitia majibu ya wanafunzi wake
@HashimShee-g1tАй бұрын
Yesu sio mungu wala sio mwana wa mungu wala si utatu katika utatu ila ni mtume wa Allah kapewa injili kazaliwa kwa miujiza wa neno liliyotoka kwa Allah na Maryam bikira
@kabarezephanie3573Ай бұрын
Mzhe wa wupako hana wufunuo wa maandiko , Kbsa yesucristo ndie mungu wetu Yani mungu akizihirishwa ndani ya mwili 1timoteyo 3:16 ,Tito 2:11-13
@saidali-xv8yh5 ай бұрын
Yesu siyo Mungu wala si mtoto wa Mungu, wala yesu hakufaa msalabani.
@wizpleid32252 ай бұрын
Sawa unatakaje sasa
@zenajuma17456 ай бұрын
YESU LEO YUKO KWETU KAMA ROHO MTAKATIFU...NDIYE YESU LEO.....NDIYE ANAYEKAA NDANI YETU TUMUAMINIO LEO....
@isayakiyeyeu62956 ай бұрын
Yesu anajitambulisha kuwa ni Mungu Yohana 1:1_5
@idinado-wk3lx6 ай бұрын
Wewe hauna akili nasiyo kosa LAKO na ndio maana bibilia zenu Kila mwaka Zinabadilishwa vifungu mala viongezwe mala viondowe ondeo vifungu siyo kola lako Mimi nawalaumu mashetani wanao potosha watu 😢😢😢😢
@deusdedithhenry15246 ай бұрын
Yesu Kristo anamwambia huyo Yohana ya kwamba yeye "Yesu Kristo" ni Alfa na Omega. Ufunuo wa Yohana 22:12-16 13. Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho. 16. Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung’aa ya asubuhi. Najua kuna watu hamfurahi ila YESU KRISTO NI "ALFA NA OMEGA, MWANZO NA MWISHO" . YESU NI MUNGU. NA ATARUDI KUHUKUMU ULIMWENGU HUU. JIANDAE KUMPOKEA.
@ZuhuraMwanafuno6 ай бұрын
Anarudi lini tumsubili
@rashidimahmud86056 ай бұрын
Huo ndo ukweli mungu Hali,hashikwi na usingizi Wala kulala,halii Bali anachukia,hacheki Bali anafurahi,haendi chooni, hakuzaa Wala kuzaliwa, hafi Wala kufufuka ukiona mungu unaye muabudu anasifa hizo jua umepotea upotofu ulio dhahiri Wala usilete ujanja ujanja maana wengine wanasema Kuna mungu wa mwili na waroho uo ni uhuni2
@SamhhIlo-ib4ij6 ай бұрын
Ndomana Mungu alimpa kila mtu akili na macho ukiamua kusikiliza uvundo ni wewe tu! "Mungu akasema naTUMFANYE MTU KWA SURA YETU" Mwanzo 1:26 mwanzo 11:7 isaya 6:8 tito 2: 13 ufunuo1:3-6 ukipotea umechagua
@jamesmwakyusa77196 ай бұрын
Ukweli tusiopenda kusikia
@shabanramadhan76326 ай бұрын
Mungu atatutia nguvu hata mbuyu ulianza kama mchicha
@WinfridaCreitus-bf3zn6 ай бұрын
Ungekua unajua vyema maandiko unpeeled kuwa huu si ukweli ni upotofu. Wanafunzi wake wakamuuliza unasema unakwenda kwa baba tuonyeshe basi huyo baba, akasema nalikua nanyi siku zote hamkunijua? Lakini maeneo mengi tu anajitanabaisha kuwa mimi niko ambae niko, mimi ni alfa na omega. Lakini maandiko yanathibitisha kuwa Yesu ni Mungu, ukitamani tuyachakate nambie tuendelee nikuthibitishie.
@joshuandone4686 ай бұрын
soma Yohana Sur ya 1 yote hapo utaelewa uungu waYesu
@iysser5 ай бұрын
@@joshuandone468 kweli lakini hakusema yeye ni Mungu... ndio point yake anakusudia Kwa Nafasi yake yesu kulinganisha na Sisi wanaadam Daraja yake ipo Juu, ila kwa Mungu Hafanani nae. I think Hapo ndio Anakusudia.
@adamcharo93275 ай бұрын
Mzee wa upako ako sawa kabisa na watu wajifunze kutoka kwake
@nehemiagwalusako5966 ай бұрын
Lkn ktk yote najua Mungu uliniamin kuwa kwenye kizazi hiki,one day nitayang'oa haya mana mi nyundo yako uliniambia wazi YESU WEWE NI MUNGU
@MariyamMussa-l6x22 күн бұрын
Napenda sana kukusikliza
@elijahmediaservices6 ай бұрын
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Isaya 9:6
@kanisalatecjcusofficial6 ай бұрын
❤❤❤
@timotheosimon37226 ай бұрын
Nice nice
@anoldpotentin24466 ай бұрын
Umemaliza kila kitu comrade
@ShabaniMoshi-jh7yj6 ай бұрын
😀😀😀😀
@AllyKheyr17 күн бұрын
Allaaah akuongoze wewe na sote kuijua kweri na kuifata
@MjumbeAgano29 күн бұрын
Sikia wewe kipofu, Yesu ni Neno lililofanyika mwili na NENO ni ROHO na Roho ni Mungu. Ni kwasababu ule mwili uliyefanyika kwa Neno huo sio Mungu ila mwili ulirudi kuwa NENO. Sasa wewe ni mwongo na utumishi wako ni wa baba yako Ibilisi.
@richardamswetyjesus80174 ай бұрын
Hapo umechemsha mzee
@RaymondBasiliАй бұрын
Mzee wa Upako umenena ukweli mtupu,Yesu Kristo si Mungu na Wala hakuwahi kujishuhudia hivyo, alitamka waziwazi kuwa Mungu ni baba yake,na alitumwa naye kuja ulimwenguni, Wala hajawhi kusema ni mwenziwe, alikuwa akisali na kumwomba Mungu.
@TarajiaHamisi6 ай бұрын
Upo sahihi sana. Na Mungu akuongoze uzidi kuiona nuru.Ameen.
@zenajuma17456 ай бұрын
MUNGU YUKO NDANI YA YESU NA YESU YUKO NDANI YA MUNGU NA SISI TUNAOMWAMINI YESU KRISTO KAMA BWANA NA MWOKOZI WETU TUKO NDANI YA YESU NA YEYE YUKO NDANI YETU. ......
@KhamisiMohamed6 ай бұрын
Hakika upo saw yesu sio mungu na ana sifa ya uungu wala usimuingize yesu kwenye mtihani siku ya kihama aulizwe na mwenyez mung
@josephatmahango38696 ай бұрын
Kwani wewe unajua hiyo kiama Nani atahukumu
@mgejadldm16 ай бұрын
Naye neno ni Mungu, naye neno akafanyika mwili, yaani wakristo wa siku hizi jau kweli
@NenoVitendo6 ай бұрын
Sio wote,.Wale aliojifunua kwao wanamjua na kumuelewa ,achana na huyu mtumishi ambaye anahararisha kutoelewa kwake,mathayo 11;27
@malkiarosemuhando33106 ай бұрын
Na Kila jicho litamwona, na hao waliomchoma watamwona, YESU NI MUNGU KWELI KUTOKA KATIKA MUNGU KWELI,!!!!!
@andrewmhagama98166 ай бұрын
@user-wq4pl5dv6b Ukisoma Biblia kwa utashi wako hutaelewa kaa hivyo hivyo.Au tafuta watu wakuelesmishe.kwa nini Ni Neno.Kwa maana Mungu aliumba kilakitu kwa neno vitu vikawa.Ila wewe kibinadamu huwezi tamka vitu vikawa ndio maana yake.
@emanuelyohana30496 ай бұрын
uko sawa
@gdswai44795 ай бұрын
Ukileta hoja yoyote inayomhusu Yesu kristo lazima huwe na ushahidi kamili wa kwenye Bible sio kusema vile unavyowaza hiyo nimbaya na upotoshaji wa Neno la Mungu. ANGALIA = 13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; (Tito 2:13)
@GraceKwayu-yo4zfАй бұрын
Waislam wote karibuni kwenye kanisa la mzee wa Upako.