Jembe sports mkundu wa nyani wew,acha uchonganishi wa kimavi,pumbaaav xn
@rehemaabdullah76062 жыл бұрын
Kumbe mna uganga wenu kabisa😁😁😁😁😁😁😁😁
@rehemaabdullah76062 жыл бұрын
Mmh katoa sir ya Club
@NajatNaifat2 жыл бұрын
Wazee wa chumba no 4 😂
@adam-saffi2112 жыл бұрын
Hakuna uchawi popote pale. usaidie kuwaroga wanasiasa wanaokula hela zetu? They are so corrupt wa Rogen I hao
@zahirurumidis43012 жыл бұрын
Haswaaa....
@rehemaabdullah76062 жыл бұрын
Kila kitu kina mwisho wakee mwisho wa ubaya aibu
@stanslausbereghe38192 жыл бұрын
Msemaji wa Simba, km alifuatilia maneno yangu ya nyuma, km ulinielewa, chumba namba 4. Eeeeh kumbe Simba kuna Na: 4 Eeeeh! bwanaaaa!
@berthareuben49022 жыл бұрын
Mzee mm nimekuelewa
@abasmwika34322 жыл бұрын
Hawa wazee walitakiwa kukatazwa kuongea anaongea mambo ya kipuuzi ya kishirikina!!!
@aboubakarsadick16772 жыл бұрын
Ifungueni timu imefungwa inahitaji kufunguliwa, hasa saafu ya ushambuliaji
@khalidkulanga70072 жыл бұрын
Chumba namba-4 haikufanya kazi mpaka mfungwe na prison? nanyie hatariiii Kwa uganga
@nassermacatta43452 жыл бұрын
Simba ilipokuwa inashinda walikuwa wapi?
@jumakhalid55542 жыл бұрын
Mnaroga
@ramamchina47302 жыл бұрын
Uchaw uliondoka tuy sasa tumelud
@kkktmajengo50452 жыл бұрын
Huyu mzee amekosea. Kwani kumsema magolo hadharani inasaidia nini? Kwanini yasisemwe hayo kwenye vikao? Hapo kwenye media anatengeneza ufa ambao sidhani kama una umuhimu kwa simba kwa sasa maana ya nguvu moja
@davidmwamanda64732 жыл бұрын
Kikao cha siri mbona kina kuwa sio siri tena Baba yangu. Kisingezungumzwa chochoteee kwenye vyombo vya habari
@abujumanne75702 жыл бұрын
Mzee umeongea ukweli ..gari la mashabiki wa Simba ilipata ajali mbea tuka fungwa goli 1. Vivo hivo. Kagera ajali Kama ile ile tuka fungwa goli moja ..hao ni utopolo tume wa ona pumbavu
@mohamedpesambili94602 жыл бұрын
Acha ushirikina ww
@salumjuma34512 жыл бұрын
@@mohamedpesambili9460,we mwenyewe mshirikina, niambie timu gani ambayo haina ushirikina ukitoa simba
@mohamedpesambili94602 жыл бұрын
@@salumjuma3451 siongei na ww usiejielewa.kama unajua Tim zote zina ushirikia ispokua Simba inamaanisha wew ndo mganga wa hizo timu.
@rehemaabdullah76062 жыл бұрын
Umejuajee kama utopolo kama naww sio njia moja? Sema kila kitu kina mwisho wake mliwaroga Sana Yanga Utakuta mchezaji akisajili wa anashida nzr lkn akifika ndan ya Club Anaonekana achez vzr mpaka unajiuliza kwann so. Mkae kwa kutulia mmekosea mashart ya mganga wenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁Yale mapigo mlivokuwa mkiifanyia Yanga yote yanawarudia