Kamara alikuwa anatumia allowable time ya golikipa angalieni tofauti ya mtu kudaka moira na mtu kujiangusha kama kaumia ,inawezekana ninyi niwachanga sana wa mambo haya ya uchambuzi
@muddybluuissah5072Күн бұрын
👏👏👏
@anithawidambe75432 күн бұрын
TUSEME UKWELI LEO SIMBA WAMECHEZA VZR SANA.SINGIDA WALIKUWA WANACHEZA RAFU SANA. SINGIDA WANACHEZA RAFU REFA AKITOA ADHABU WAO WANALALAMIKA.
@Sanjey-vp1fmКүн бұрын
Simba inacheza kimikakati zaidi, simba ikiwa hawajapata matokeo kipindi cha mwanzo waangalie jinc wanavyopambana mpaka mwisho lkn pia angalia michezo yote ambayo wametia goli kipindi cha mwazo halafu chapili wanakuwaje so hii ni mikakati kumentain walichonacho. Eleweni ivo.
@patrickkilongo3214Күн бұрын
Hii simba itaumiza kila shabiki kwa mda wake , hata ufiche vipi utatoboka tu kiisia 😂😂😂😂
@TabithaLukindoКүн бұрын
hahahahahaha 😂😂😂😂 nakubali
@karimamir1998Күн бұрын
Hujui mpira were uchambuzi wa kishabiki , mechi imetawaliwa na refa na makosa mengi. Mechi bora ya nusu msimu ni yanga vs singida
@TabithaLukindoКүн бұрын
hahahah skia hii nyumbu ndo maana hunaitwa ww kwenda kuchambua😂😂😂 means hujui
@RashidiMwigaКүн бұрын
Bado haujathema tehetehe.
@shidahezron4445Күн бұрын
Cheki hili nalo,usilete utoporo wako hapa
@KelvinMhina-c3u2 күн бұрын
Nisome kama mhina zimba woye
@ismailhassan5209Күн бұрын
Amefungwa magori mengi kitaifa na kimataifa Manura kwa kukurupuka bila uhakika wa kuclear shambling. Haya yamemgharimu Metacha . Usibishane na wajinga wa mpira utakuwa mjinga. Ni goli halali