Daaaah vpaji tz gong like Kama umemkubali Oscar nyerere
@fnnyanda59933 жыл бұрын
Ukweli mr. Oscar Nyerere, kwa Hotuba hii, UMEWEZA. Serikali ikuenzi na iku-support kwa kazi hii nzuri. Unamwenzi Hayati Julius Kambarage Nyerere vizuri. KONGOLE KWAKO.
@labanimasawe63433 жыл бұрын
L"l L P. L
@swabry3 жыл бұрын
Kijana Oscar anakipaji 👍🏽👍🏽👍🏽 I used to listen to nyerere’s speech on radio free Africa from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@YusufAli-ib6xu3 жыл бұрын
Well done for our father memory Well said
@andrewjosephhezron233 жыл бұрын
Wewe jamàa jana tumekuchongea kifimbo hicho kumbe ndo kazi hiyo wewe ni nomaa wa kukayaa sawa bwana
@danieldottoalphonce82973 жыл бұрын
Jamaa kwan mtu wa wapi 😂😂😂😂
@سلامهالنهدي3 жыл бұрын
Ameshinda sauti haina tofauti kbs na sauti ya baba wa taifa yenyewe orignal kbs hongera..👏
@calolinamwandali35993 жыл бұрын
THANKS WE PLEAD WITH OUR GOVRNMENT KWAKWERI VJSNA WETU HAWA TU SIWATUMIE KWA SIASA TU ILA TUTAMBUEE VIPAJI VYAO HUYU OSCAR NYERERE HANA MPINZANI BELIEVE ME TUWASAIDIE I WE HAJIRA,THANX OSCAR THUS GREAT
@auntdorah91413 жыл бұрын
Yaani umepatia kabisa hiyo sauti jamaniii👏👏👏 na Majaliwa ni kiongozi bora kweli..
@michaelfrancisco.93063 жыл бұрын
Dah! "watu na vipaji vyao" Hongera Sana Oscar Nyerere.
@calolinamwandali35993 жыл бұрын
Congrats Oscar nyerere
@osiahlupa94983 жыл бұрын
Daah! Hakika umeweza kuigiza Vema sauti ya baba wa taifa.
@josephjohnomary5283 жыл бұрын
Ameweza kwa kweli,
@elispiuselias13393 жыл бұрын
unaweza bro Mungu azidi kukupa maisha marefu
@kakorejrboyz64473 жыл бұрын
FAMILIA YA NYERERE WANAFIRAHA SANA INGAWAJE BABA YAO HAYUPO HUYU JAMAA NI NOMA HAJAKOSEA HATA KUDOGO 💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ernestbarambilwa42423 жыл бұрын
Kwa kweli huyu anamwigiza Mwalimu kwa 98% yuko vizuri sana
@thechosenone.91693 жыл бұрын
Noma sanaa!
@jimmundakega81173 жыл бұрын
Osca Nyerere anastahili kupewa kipindi maalum siku ya Nyerere Day ili ahutubie taifa kwa kusoma moja ya hotuba za J K. Nyerere itakayo chaguliwa na waziri mkuu Majaliwa na kumwezesha Oscar.
@beesmarttv37923 жыл бұрын
Daah!!! Baba wa taifa bado anaish!! Kupitia watu🔥
@TheBestPhone79183 жыл бұрын
Kijana kajitaidi sauti nzr mwl. Mwenyewe
@andrewmnzava58233 жыл бұрын
Serikali Tunaomba, itambue na kurasmisha hivi vipaji kama tunu ya Taifa.
@gabrielmapunda60173 жыл бұрын
Hili ni wazo bora la mwaka kaka @Andrew A.B.Mnzava
@bizypatson19293 жыл бұрын
Kijana wangu hongera kwA juhudi zako kwa kipaji ulichonacho mungu aendelee kukusimamia.
@modemwantalufu46633 жыл бұрын
Unaweza aisee Nyerere live huyu hapa
@kimsamir9653 жыл бұрын
Nimependa sn nimefurahi sn
@zakariampompo9533 жыл бұрын
Safi Umetisha Sana Sana
@erickswai17563 жыл бұрын
Mashaallah mollah akujalie kwenye kipaji chako .
@wazirmlogi75323 жыл бұрын
Daah ss hii ndiyo saut ya nyerere kbs kbs
@josephjohn95783 жыл бұрын
Watu na vpaj vyao hongera sana
@yusuphmpando99003 жыл бұрын
Nilijuwa nyerere dah!
@emmanueltate15143 жыл бұрын
Kumbe Nyerere Bado yupo hai me nilijua alishakufa
@heyumi23403 жыл бұрын
😁😁😁
@michaelsamson96633 жыл бұрын
hakika Tz imejaliwa vipaji ata kwawazee like Oscar nyelele
@hisanmwakijungu103 жыл бұрын
Sio nyelele ni nyerere...
@henrymushi83403 жыл бұрын
Huyu jamaa kapatia sana hongera
@festuschunya70673 жыл бұрын
Oskar your a great mwalimu!!proud of you!!
@hamismabula58133 жыл бұрын
Saaaaaaaafi sana dah!
@clementiddi62443 жыл бұрын
Safi sana
@daudhenry62123 жыл бұрын
Safi sana!
@stevenmwita69973 жыл бұрын
noma sana aisee siyo yule tivu akee🤣🤣
@auntdorah91413 жыл бұрын
Mwalimu hatutamsahau!!
@bahatidamiani5613 жыл бұрын
Safi sana umeweza, JPM oyeeee
@SuperKibwana3 жыл бұрын
Amazing sana kwa kweli
@seifkiswamba9333 жыл бұрын
Huyu jamaa anaweza sana
@seiphselemani15063 жыл бұрын
Fundi umetisha brother
@samweldaniel79823 жыл бұрын
Kwa 85% umeweza, sio yule St Nyerere mpaka wajumbe wakaona hakuna kitu 😂
@mashakaamosgabinza38933 жыл бұрын
Tuendeleze hizi sauti za vijana wetu pia Tunaifanya Tanzania yetu kuwa enzi viongozi wetu mm naona mwalimu Nyerere bado yupo hai kupitia sauti za vijana wetu hawa
@mbarakamwande40713 жыл бұрын
Huyu jamaa kwa saiti ya mw,hana mpinzani
@danielmbalwa93073 жыл бұрын
Unawezaaaa umetishaaaa
@shabanizuberi45033 жыл бұрын
91%
@sefonyasingo90343 жыл бұрын
Amazing 😄😄
@leonidamaganga67503 жыл бұрын
Uyu ni nyerere kbsa,alaf JK comedian anawaeeza zaidi kikwete maguful na wengne,ila kwa kumuiga nyerere ni uyu
@beesmarttv37923 жыл бұрын
Kabisa jamaa anaweza sana
@muyamndiga66833 жыл бұрын
Mm nakubali saana huyu osika nyerere
@manchestercitybettartv59223 жыл бұрын
Kijana anajua jamani
@johnjoseph37733 жыл бұрын
Oooh Yes jamaaa anajua👌
@mohamedshah56593 жыл бұрын
Stive aingii hata kidogo kazi mikelele
@voicejoachim13703 жыл бұрын
🤣🤣
@ellymzalendo45173 жыл бұрын
Anaweza
@charasiwaverse21403 жыл бұрын
Jamaaa nouma Sana aiseee kama.nyerere huyu na baraka magufuri Hawana mpinzani
@josephmalema34113 жыл бұрын
yuko good
@imamswea48293 жыл бұрын
Shemeji umetisha
@a.s.afishfarming62253 жыл бұрын
Umetisha Oscar huna mpinzani maana mtu asipoambiwa atadhani ni hayati
@sportbundletv45103 жыл бұрын
Unajuaaaaaa
@nduwimanaelyse19823 жыл бұрын
Kweli nimekubali
@iayanjoel28413 жыл бұрын
duh like father like son ipo siku tutakupa nchi
@marcelcmagessa71303 жыл бұрын
Amekosha kwa sauti hyo ya baba wa TAIFA big up
@m0dytv1013 жыл бұрын
Jamaa yupo vizuri
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana kijana
@natafutapesa96783 жыл бұрын
Duuh jamaa yuko vizuri sanaa
@neemariwa77323 жыл бұрын
Hongera kaka
@alexfestoni51523 жыл бұрын
Kipaji ni kipaji umetisha
@ibrahimmwendo73793 жыл бұрын
Dah na Rais mwenyew JPM ndo hayupo tena😭
@rashidulutu11723 жыл бұрын
Umetisha sana mkuu
@sharifumbulu91733 жыл бұрын
Umetisha mbaya
@mahmoudaziz47173 жыл бұрын
Kuna jimama sijui toto la lufufu mkandala linataka million 500 kisa sauti ya baba ake lufufu, linamsumbua mkude simba eti kisa sauti ya baba ake inaigwa na kitale a.k.a mkude simba. Tizama jamaa anaiga sauti ya baba wa taifa akuna ata mmoja wa familia ya nyerere kaongea kitu🇹🇿💪.
@busta_malik59713 жыл бұрын
😂😂
@wisperfect53203 жыл бұрын
Njaa mbaya
@enocksengo52273 жыл бұрын
Uyu jamaa n nyerere sio oscar nyerere
@kishimbamusic51163 жыл бұрын
Nakukubali sana Oscar
@isackmwaipole1473 жыл бұрын
Umetishaa mkuu
@DaudiMazengoMasterDTEM3 жыл бұрын
Umeua💯💯💯💯
@luganomwakyusa76973 жыл бұрын
Steve hawezi hapa
@leiratykisura67183 жыл бұрын
Uyu kka hongera zake hamempatia baba wa taifa kabsaa sana 🤣😍🤲😭
@macknonkibona24013 жыл бұрын
100%LKN LOLOTE JAMBO HALIKOSI CHANGAMOTO KTK SPEECH ZAKO UNAZO IGIZA KAMA MWALIMU TOA NENO "MHESHIMIWA" YEYE HALIKUWA HANA TABIA YA MTU KUMUITA MHESHIMIWA HIVYO NDIYO ALIVYOKUWA JARIBU KUTAFUTA NAMNA NA KUMFUATILIA VZURI SPEECH ZA MTAARAMU MWENYEWE(Mwl Nyerere)
@eshiwillibard54643 жыл бұрын
Mwakasege
@mudywaya25993 жыл бұрын
Safi
@annakasada14543 жыл бұрын
Vzur Sana
@iranangole70073 жыл бұрын
Uyu anamueza nyerere kupta waigzaj wote
@renatusmgina4953 жыл бұрын
Nice
@miltonm.muriungi2033 жыл бұрын
This is amazing
@mlokozibambora65093 жыл бұрын
Good
@Kaukwaju3 жыл бұрын
Waoooh
@daudimtafya26503 жыл бұрын
Ni good
@noelngowitechnicalsolution3 жыл бұрын
Umejitahidi lakini Julius Nyerere hakuweka r badala ya l. Rekebisha hapo tu
@oscarnzoya1463 жыл бұрын
Fresh
@kombosalehe31563 жыл бұрын
Huyu sasa ndiye sio wale wengine
@nashirjumanne8513 жыл бұрын
Vizuri
@festuschunya70673 жыл бұрын
Huyu hakika mwalimu!!.
@georgeguragura16453 жыл бұрын
Big up
@jumakhatibu35613 жыл бұрын
Hatar
@ramantwaha41543 жыл бұрын
Noma a
@mbwanakiting71803 жыл бұрын
Very nice
@suleimanmohamed43673 жыл бұрын
Duh
@drp52253 жыл бұрын
His Gud
@abasmwika34323 жыл бұрын
Jamaa ana hatari aisee
@mwendokasibuildingconstruc46633 жыл бұрын
Safi kunawatu Wana vipaji
@nyembomajidi30273 жыл бұрын
ume weza Kaka KIPAJI wako 💪
@linusingoli4513 жыл бұрын
Ok
@salumukitemwe20243 жыл бұрын
Jamaa hanajuwa sn
@aliymuhamad89473 жыл бұрын
aaaahahahaha mama mbavu zangu. jamani uyu jamaaaa nooma kiukweli
@alexmwamwezi54513 жыл бұрын
Sio hicho tu vipo vingi vipaji tena viongeonekana ata tz tngecheza kombe la dunia