TAZAMA SIKU YA PILI ABIRIA WAKIWASILI DAR KUTOKA MOROGORO

  Рет қаралды 13,699

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Ай бұрын

Пікірлер: 51
@Loftyattorneys
@Loftyattorneys Ай бұрын
JPM alikuwa na maono makubwa sana alithubutu kwa namna yake no matter what keep resting in peace
@khamissaleh921
@khamissaleh921 Ай бұрын
Hii ilikuwa ni East African Community strategy iliobuniwa na Marais wa Nchi za Africa Mashariki kujenga Reli katika Nchi zao ,kipindi hicho kilikuwa Kati ya Marais Mussoveni,Uhuru Kenyatta na Jakaya kikwete na Manifesto ya CCM iliinguzwa 2014 na mradi ukaaza Rasmi 2015-2016 ,
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 Ай бұрын
Z​@@khamissaleh921😂😂😂😂 unaongea porojo kubuni na kufanya ni tofauti acha porojo
@rahmaomary5134
@rahmaomary5134 Ай бұрын
@@khamissaleh921 Facts
@rahmaomary5134
@rahmaomary5134 Ай бұрын
@@charlesmtesigwa2923 waweza vipi kufanya bila kubuni?
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 Ай бұрын
@@rahmaomary5134 kama mtu kafanya kitu apewe maua yake sio kutafuta kuindoa uhalali kwa mtu kwa kigezo cha kutaja taja majina ya mtu ambae hajafanya kikwete katawala wote ni mashahidi miradi haikuwa kipaumbele chake hata ungemuongeza miaka mitano husingeona sgr,bwawa la umeme wala nini maana hivyo havikuwa kipaumbele chake
@ahmedkyama4734
@ahmedkyama4734 Ай бұрын
Jitahidini huduma zinabaki kua bora, sio mnaanza vizuri badae mnaanza kuboronga
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Ай бұрын
Safiii sn nchi yangu tanzania
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Ай бұрын
Dr. Kadogosa hongera ila Tanroad wametuangusha...barabara za kufika station morogoro ni mbovu. Kwa nini hawakujenga barabara, wakaweka lami, wakafunga taa. Kwanini Tanroad mmelala hivi?
@noelswai2660
@noelswai2660 Ай бұрын
Kazi nzuri kwa serikali yetu, MUNGU ibariki Tanzania 🇹🇿🙏
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Ай бұрын
Nchi zetu za kiafrica zina wakashifu wengi wanaojificha kwenye kivuli cha ukosoaji hili lilionekana mwanzo hasa pale mradi huu wa reli ulipo husisha umeme na tanesco yetu hatimae treni ya umeme imeanza kazi na ila mjue wana subiri mambo yaharibike ili warudi kwa kasi huduma basi ziwe bora kila siku ili waendelee kujificha huko huko 😂😂
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Ай бұрын
Nikweli
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 Ай бұрын
We are blessed 🇹🇿
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 Ай бұрын
Hapa kodi zetu zimeenda halali kabisa,. hongereni kwa usimamizi mzuri,.
@HalimaHamisi-j4m
@HalimaHamisi-j4m Ай бұрын
BWANA Masanja Kadogosa tunakuomba utuwekee sehemu rafiki sisi bodaboda wa Dar es salaam wanaposhuka abiria wawe na usalama wao na Mali zao
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Ай бұрын
Watanzania mpaka muwafunge hao wanaopita juu ya fence. Bila kuwasomesha darasa hawataacha. Wachukulieni mfano na wafungwe, hutaona mtu anafanya hivyo tena!
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h Ай бұрын
Sio wameitikia walikuwa wanasubria mda mrefu mpk hamu ikaisha kabsa
@Manjalino
@Manjalino Ай бұрын
❤❤❤❤ tanzania nchi yangu
@maleojoseph5272
@maleojoseph5272 Ай бұрын
Ndo yetu na ndo tunayo ipenda.. Tunamshukuru Mungu kwa hii treni
@husseinally6699
@husseinally6699 Ай бұрын
Root ya jioni ingeanza saa 12 kamilli ama saa 1 usiku saa 10 mapema mno kama unafuatilia jambo la kiofisi huo muda bado upo ofisini bado hujatoka Saa 10 kamili kama mchana tu Jioni iwe jioni kweli Hususani kama mkoa wa morogoro ina wilaya zingine zipo mbali Hivyo itatoa fursa pia wanokaa wilaya za mbali kuja kupanda treni bila presha za kuachwa
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Ай бұрын
GOOOD
@noelngowitechnicalsolution
@noelngowitechnicalsolution Ай бұрын
Kazi nzuri
@abdulvinthemogo4036
@abdulvinthemogo4036 Ай бұрын
Baada ya wiki kadhaa wataanza kutuongopea Makusanyo, Baada ya Miezi Kadhaa Wataanza kusema Vichwa vimepelekwa Kwenye Matengenezo
@ruhindacostantine2092
@ruhindacostantine2092 Ай бұрын
Mawazo mabaya utoka kwenye roho mbaya
@davisfrank7932
@davisfrank7932 Ай бұрын
kazi nzuri ila kwanini station za sgr ziko mbali na vituo vyamabasi mfano magufuli na nane nane?
@mussamussa8181
@mussamussa8181 Ай бұрын
Tena cjui alie dsnganya nan cha dodoma kupeleka mbal vile..wakat wangekijenga TAMBUKA RELI PALE PALE TU NJI YA UDOM ILE BASI..
@albertmaneno
@albertmaneno Ай бұрын
Safi sana
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Ай бұрын
SAF sana❤❤❤
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z Ай бұрын
Nikitoka mkoani nitakua naishia morogoro kwenda dar nitapanda tren
@255kwetu8
@255kwetu8 Ай бұрын
Hahaha kama mimi
@ericmoramagige3407
@ericmoramagige3407 Ай бұрын
Issue mizigo mikubwa kama ,Mabegi makubwa , yange wekwa kama kwenye ndege, kuwe na behewa la mizigo tuu. Watu wasiingie na Mabegi makubwa . Sehemu za kukalia
@AlexChilla
@AlexChilla Ай бұрын
Route ya dar to dodoma itaanza lini?
@typhonesapali9054
@typhonesapali9054 Ай бұрын
Tiketi kwa mtandao zinapatiknaje? Elekezeni basi tuelewe
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka Ай бұрын
Tunaomba mutuwekee mfumo wa card kama pale ferry kigamboni
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Ай бұрын
Kadogosa pisha basi ushaongea sana
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Watanzania tuko tayari kulipa kodi
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka Ай бұрын
Tunahitaji Card za kugusa
@user-cm9hc1fu4h
@user-cm9hc1fu4h Ай бұрын
Hao wadada wahudumu wenye mabegi ni lazima wawe na mabegi
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Hii tren ama ni gari mosh
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Nilisema watanzania ni watu wa ovyo ovyo wameshaanza uharibifu wataanza kuingilia madirishani watafunja vyoo wataiba masink kila kitu , mngeanza kucharaza viboko hadharani
@user-wd2vt3fc9k
@user-wd2vt3fc9k Ай бұрын
Usitukane watu tafadhali mimi ni mtanzania ni sio wa hovyo. Na kama kuna kitu ulichomaanisha kwa watanzania watu wa ain't hizo wapo duniani kote na kila nchi. Naongea kwa uzoefu.
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile Ай бұрын
Mbona treni ya kizamani
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv Ай бұрын
Nunua Yako
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Ай бұрын
Kila siku kuongea na waandishi wa habari fanyeni kazi bwana mmekuwa kero
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
Tanzania Ni Nchi mchanganyiko wa Kabila na madhehebu tofauti kwanini wale wadada wanaopenda kuvaa hijjab nao hawakupewa nafasi??? Au hawapendezi wakiwa wanahudumia? Mbona hata Rais anaivaa je nae hapendezi? Tuache kukariri
@mohamedmbalazi748
@mohamedmbalazi748 Ай бұрын
Uliambiwa akivaa haruhusiwi?
@musakatwale1959
@musakatwale1959 Ай бұрын
JPM NI MUNGU MTU YU HAI
@rahmaomary5134
@rahmaomary5134 Ай бұрын
Loooo!Muogope MUNGU
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
HII HAPA  SAFARI SGR  DAR HADI MORO, NDANI YA TRENI YA SGR
10:07
TRC RELI TV
Рет қаралды 38 М.
RAIS SAMIA AZINDUA SAFARI ZA SGR | ASAFIRI DAR - DODOMA
14:51
TRC RELI TV
Рет қаралды 2,6 М.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН