Barikiwa kipenzi dada kwa msaada wako barikiwa Sana❤️❤️🙏
@rithaurassa6 күн бұрын
Dada nimekupenda sana Kwa maswlali yuko hekima sana umetumia Mungu akubariki sana wanatakiwa viongozi wengi kwenye hii nchi kama wewe.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤Bado na MUNGU atakubariki San.
@mrsab3035 күн бұрын
Thanks good job ❤❤❤❤
@HappyCleophace-h3u6 күн бұрын
Dada mungu akubaliki kwa kumtetea uyo mama
@aminamareta92976 күн бұрын
Dada nimekupenda sana chukuwa mauwa yako🎉🎉🎉 safi sana😂😂😂
@JohnGregory-u4p6 күн бұрын
Hongera mno
@NuruNyanja-kz1qr6 күн бұрын
Kazi nzur kiongozi endelea kuishi uwasaidie wananchi
@KostaJoseph7 күн бұрын
Safi sana madam Sendiga
@FatimaAli-of4gh4 күн бұрын
Wewe Dada umenifurahisha tena umenifurahisha kungekuwa na uwezekano huko miaka ya mbele ugombee mpaka urais tunahitaji watu kama nyie katika nchi yetu watu wengi tunazurumiwa kama hivo
@tegemeakyangenyenka61116 күн бұрын
Hongera mkuu wa wilaya,
@RosemaryMalya6 күн бұрын
Ni mkuu wa Mkoa wa Baba ti
@SalhaAlly-x8q6 күн бұрын
Mtoto wa magufuli huyu ndo twamtaka jaman awe kiongoz mkubwa sana TANZANIA
@LomaKivuyo-c6r7 күн бұрын
Madam mim nakuelewa sana kwenye mikutano yako,
@ChristerKok7 күн бұрын
Mwenyekiti sukuma ndani.
@MatronaThomas-wz5si7 күн бұрын
Huyo Mwenyekiti hajui hata wajibu wake na sheria za mwenendo wa jinai
@officialngalya30627 күн бұрын
Mh. Mkuu wa mkoa ungenipa hata dakika 3 tu nimzabe makofi kdogo huyu mwenyekiti .😂😂👆🏻
@pillyseleman80906 күн бұрын
Pumbavu Sana huyo mwenykiti na group lake lore
@ChristerKok7 күн бұрын
Afungwe kwanza mwenyekiti na kundi lake.
@valenakomba76867 сағат бұрын
UMEZODOKA MWENYEKITI UCHWARA NA MWIZI.
@mollelamosole83527 күн бұрын
Inabidi wawekwe ndani kabisa huwezi kumfanyia hivyo mwanchi mali walizo chukua haziendani na kilicho ibiwa huo ni unyanyasaji
@ShabanMahenya-x8s6 күн бұрын
Saf sendiga
@josephat667 күн бұрын
Huyu maam samia km anamakosa bas mfutie mkuu wa mkoa huyu anakufaa... Na sio CHALAMILA NO.