Vijana wanufaika wa Mradi wa BBT - Life Unenepeshaji wa Mifugo..waeleza mafanikio ya mradi huo na kuhaidi kutimiza ndoto zao na kuongeza Tija katika Sekta ya mifugo..
Пікірлер: 6
@henrywambua777011 ай бұрын
Jamani nmeipenda sasa ushauri ni serikali iweke mafunzo hayo mikoa yote na wilaya zote
@sheikhaswalehsalim339211 ай бұрын
Samia hoyeeeeee❤❤❤❤
@user-dv4is4vj6g11 күн бұрын
Ivi wanao wezeshwa na serikali wanakuwa na vigezo gani?
@jerrymysteries305510 ай бұрын
Dr Samia udumu milele na milele sasa nakuomba hii ifanyike Tanzania nzima bara na visiwani ili vijana wajikwamue kiuchumi