#TBC

  Рет қаралды 889

TBConline

TBConline

Күн бұрын

Zaidi ya shilingi bilioni 400 zilizowekezwa na serikali kuboresha Bandari ya Tanga zimeanza kuzaa matunda katika ukusanyaji wa mapato baada ya shehena ya mizigo mipya ikiwemo salfa na kopa kuanza kushushwa kwenye bandari hiyo.
Akizunguza wakati wa ziara ya Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Meneja wa Bandari hiyo, Masoud Mrisha amesema bandari hiyo imepiga hatua kubwa kutokana na uwekezaji huo.
Kwa upande wao, wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TASAC wameeleza kuridhishwa na kazi iliyofanywa na serikali kwenye bandari hiyo huku Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Mohamed Salum akiwataka wadau kujitokeza kuwekeza na kutumia bandari hiyo.
Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani ametoa ombi kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) pamoja TASAC kutenga eneo la kushusha bidhaa za salfa ili zisije kwa bahati mbaya zikachanganyika na bidhaa za chakula.

Пікірлер: 3
@GodfreyMhando-gn7ok
@GodfreyMhando-gn7ok Ай бұрын
nice work raisi .Wa Tanzania
@fatimabazii385
@fatimabazii385 Ай бұрын
Leo ni tarehe 26 Julia sio 27😢
@DauderMnazi
@DauderMnazi Ай бұрын
Wizara ijitahidi barabara ya handeni singida ikamilike mbona bandali itafanya kazi ya kutosha kama ya dar2
#TBC1: WEKEZA TANZANIA:  KUMEKUCHA FURSA BANDARI YA TANGA
28:21
TBConline
Рет қаралды 2,6 М.
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,8 МЛН
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 334 М.
Fahamu kuhusu Siku ya Mabaharia Duniani.
4:31
TASAC Online TV
Рет қаралды 296
The Most Useless Megaprojects in the World
17:11
MegaBuilds
Рет қаралды 1,4 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН